BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 199

  • @littleheroe541
    @littleheroe541 Рік тому +6

    Safi sana mhe DC umezungumza kiuongozi Mungu akutunze sana

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 Рік тому +1

    Asante mkuu wa wilaya kwa kazi nzuri, tuna watu nchi hii Wana mawazo mbaya kwa kutaka pesa ya haraka hawajiulizi nini kitatokea apo badae, watanzania kueni makini tutawekwa mateka bila kujua mfano kuna dada mmoja amekimbia kutoka Africa kusini dada uyo ni muuaji mkubwa na anacho kifanya ukukutana naetakuomba urafiki, na kwa sasa amewasiri daa asriyake ni msukuma na mrundi. Kuweni makini msipende vitu vya haraka

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому +2

    Asante mkuu uko vizuri sana

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki baba yangu,

  • @oigenngonyani1124
    @oigenngonyani1124 Рік тому +5

    Hongera Mh DC naomba iwe fundisho na maenneo mengine ya Nchi yetu Kuna Viongozi wa vijiji wanalichukua swala hili la kuuza maenneo Kwa urahisi Kwa kisngizio wananchi wameamua kumbe wao Viongozi wamelambishwa asali ni hatari sana

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому +2

    Tatizo viongozi wa Tz wanaheshimu sana ngozi nyeupe. Wanatuuza bana

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba Рік тому +3

    Huo ni wehu, m 25 , hii dunia aisee, mtendaji unamapungufu sana

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому +4

    Peleka ndani hao, hawana uchungu na rasilimali zetu.

  • @geey7893
    @geey7893 Рік тому +5

    DC wakwanza kuongea vzuri mpk mwisho bila kutaja SAMIA SAMIA SAMIAA DR SAMIAAA. BIG UP MURAAAAAA CHACHAAA

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому

      acha ukabila weweee, basi baki kwenu huko huko mbwinde usiende maeneo mengine ya Tanzania kama utapata maendeleo?!

    • @ejidemaswalikinoja5643
      @ejidemaswalikinoja5643 Рік тому

      Oohooo ushamharibia Sasa agundulike hajaimba zile nyimbo😂😂😂😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Рік тому

      😂😂😂😂😂

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      Kuna chawa na viongozi

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Рік тому +3

    Serikali inatakiwa kupima inchi nzima sehemu zote zijulikane sio wana inchi .

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 Рік тому +1

    Af sana DC.una mawazo ya kizalendoo

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому +2

    Mnauza lasilimali kwa milioni25 mabwege sana wanatuuza kisasa

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Місяць тому

    Acheni Upumbavu wa lkuuza Visiwa na Milima ya Asili Kwa wawekezaji Kwa Pesa Mbovu kwasababu ya Tanaa na wanakijiji wasiofikiria maisha ya vizazi vijavyo

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 Рік тому +4

    😂🤣😂🤣Yaani nimecheka Sana maana hii nchi tunahitaji msaada wa Mungu

  • @FrankNzombo-ps8gw
    @FrankNzombo-ps8gw Рік тому +2

    Ccm hii noma

  • @paulkaisi5689
    @paulkaisi5689 Рік тому +1

    Ni kitu cha ajabu sana mm nimefika mpka kwenye hiyo shule inayojengwa nimesikia hata maono ya watu kuna tatizo kubwa,hilo eneo na hicho kisiwa nakijua miaka mingi ,acheni kufanya kazi kwa masilahi yenu uongo ni mwingi sana

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 Рік тому

    Mungu akubaliki mngekuwa hivyo hadi kwenye bandali ningesema ewala yarabi ningewaombea heri.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому +2

    Kitu kimoja Mwalimu Nyerere alitupunja ni elimu yetu. Hapa kwenye Mima pengine kuna madini. Pengine kuna mafuta. Milioni 25 sio bei hata ya mawe. Serikali Ina uwezo wa kuwajengea shule. MBUNGE yuko wapi? Asante DC. W anatakiwa wanapenda Kama wewe kuilinda Tanzania.

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 Рік тому +2

    Inakuwaje kila kitu kiuzwe ?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому +2

    Hawa viongozi wetu hapa Tanzania . Hawana tofauti na wale wageni wa zamani kuuza watu wapelekwe utumwani kwa kupewa sukari na shanga. Sasa hawa wanatuuza kisasa oh my god

  • @emmanuelndotela9412
    @emmanuelndotela9412 Рік тому +5

    Inchi hii kuna watu wa ajabu sijapata kuona.

  • @jacksngeraldjacksnglukanga5652

    Kweli wazalendo mpo andi raha nikweli hamna kuuza chochote kisiwa 🏝️ na mlima 🗻 nimali ya Tz🇹🇿

  • @samhadas788
    @samhadas788 Рік тому +2

    Aibuu

  • @victormbinda1018
    @victormbinda1018 Рік тому +2

    Mbona huyu mkiti mnaendelea kumsikiliza upuuuzi wa anachosema mchakato hebu mpeni fundisho kali aishie hapo hapo na ujanja janja wao walivyozoea! Kweli sasa hii inch !!!!

  • @kazimilkazimil8615
    @kazimilkazimil8615 Рік тому

    Maeno ya wapi hapo

  • @ObligeeNdoni-pb4vs
    @ObligeeNdoni-pb4vs Рік тому +2

    Ovyoo kabisa!

  • @davidsamson8204
    @davidsamson8204 4 місяці тому +1

    Kweli nchi hii imefika pabaya sana mpaka viongozi wa kijiji wanajadiliana kuuza eneo la kisiwa

  • @BennyChatanda
    @BennyChatanda Рік тому +2

    Pumbavu. Zenu ...mmeanza kuuza hdi visiwa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +3

    Huyo diwani hafai atumbuliwetu

  • @yohanawihemba5825
    @yohanawihemba5825 Рік тому +2

    Anhaaaa! sasa nimegundua mnauza kidogokidogo mwisho inchi tushituke imeisha ngoja namimi nitafute mteja nauza mwanza yote nawatuwake alafu nahamia malawi

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 Рік тому +1

    Bei Ya.kuuza.kisiwa cha utalii sikwea.moja Tsh 3000!
    elimu inatakiwaa

  • @rajabusamson8036
    @rajabusamson8036 Рік тому +2

    Hiyo ndotanzania yasasa

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому +2

    Mchanganyiko wa Vyama unasaidia sana lakini kuiachia CCM ni hasara. Hivi wanaupeo kweli hawa watu?

  • @nakali79
    @nakali79 Рік тому +2

    Wataalamu Tanzania! Pumbavu hapa yapo majizi tu Wataalamu wako urusi kwa putin, huku zipo mbweha tu majizi matupu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 Рік тому +2

    nchi yangu hyo

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +2

    Yaan munauza visiwa vya inchi. ila mnavitamaasan. Hakunavyakuwafanyia hatuuzi.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +2

    Jamani mbona nchi inakwenda kiajabu sjabu kila mtu anauza nchi

  • @kiwalehonory2061
    @kiwalehonory2061 Рік тому +1

    Yaani mnauza ardhi kama njugu? Sasa vizazi vyetu wataishi wapi? Acheni tamaa. Ardhi haiuziki rudisheni hela.

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 Рік тому +3

    Ila watu ni wapumbavu mtakufa mtaviacha yani TNA tumekwisha mara bandali mala visiwa tunaomba Magufuli Afufuke

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 4 місяці тому +1

    Kweli jivi. Linafuata mnyaji na nyinyi wananzengo mnaanza kuuza alidh wasukumwe ndani hao

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 місяці тому

      Hahahaaaa kwamba sukuma ndani

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Kuweni makini viongozi jaman

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 Рік тому +2

    Nimegundua kitu katika nchi yetu,tusipo angaria tutakutwa tumeuzwa,na hili Ni tatizo lakutokuwa na hati za aridhi.

  • @nakali79
    @nakali79 Рік тому +4

    Hii nchi ina majitu ya hovyo jamani, hivi naota au kweli haya ninayoyatizama! Yaani ccm imeharibu nchi hivi! Kila mtu wanajifanyia atakavyo, huku Bandari, kule wanyama wanauzwa, mara ukifika loliondo simu inaonyesha uko dubai! Mara visiwa kuuzwa, pumbavu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Simu inaonyesha Dubai tena

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 Рік тому

      Yahani watanzani vijijini wamekupa wapumbavu je?je ma baby zetu wangeuza msingekua hata sehemu ya kuishi pili je mifugo yenu itaishi wapi na kula kwa uchoyo wa million 25 ujinga mtia ahibu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@queenpiscator6117 hatari sana

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Рік тому +1

      Hahaha hapo kwny simu kuonyesha uko Dubai😅😅

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@salomewandya7257 noma

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Рік тому +2

    Mwenyekiti,Mtendaji wote wanastahili adhabu ikiwemo kufukuzwa,ni tamaa na ujinga mkubwa viongozi mliopewa dhamana kujiamulia vitu bila kufuata sheria kwa kigezo kwamba wananchi wameridhia wakati mmewadanganya.
    Ujinga ni kwamba pesa ya kujenga shule ni nyie viongozi mnapaswa kuwasiliana na Tamisemi wagharimie,na pia mna Mbunge-DAS-DC-RC hao wote wapo kwa ajiri ya kushughulikia hizo issues!

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +3

    Nchi hii inawapunguani wengi sana. Deal kila kona

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf Рік тому

      Jamani wananchi tuwatafakari sana Hawa viongozi kama maeneo yangu ya chekereni bonite wizi umezidi wanatumia masta kii lakini sii balozi Wala mwemyekiti Wala kitongoji Wala mtendaji WA Kijiji wore Hawa a habari Sasa msaada wetu uko wapi jamaniii natamani Julia uwiiiii

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 Рік тому +1

    Mpaka wananchi wanauza kisiwa ili wajenge shule! Hatari sana Mkurugenzi hakujua mateso ya wanafunzi kutembea kilometer 320 kwa mwezi na kea mwaka ni km 3840 umbali wa Dar Mwanza naenda rudi.

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 Рік тому

    Ni u 🍻 yaani ubeer ukiingia kwenye u beer unalewa. Unakua mkataba🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

  • @RugemaliraRenatus-rf6yv
    @RugemaliraRenatus-rf6yv Рік тому +1

    Muwe ninaangalia mbali sio kuingia mikataba ya uchwara kisa umasikini ukiuza kisiwa au mlima ukamaliza shida zimeisha zitakuja nyingine itauza nini?

  • @andersonfrankswai6078
    @andersonfrankswai6078 Рік тому +1

    hapa hakuna kucheka na mtu
    wanacheza na akili za watanzania
    kuna baathi ya mambo siyo ya kufumbia macho
    "mambo haya yanaanza taratiiibu mwisho wake mbaya sanaaa"

  • @rajabusamson8036
    @rajabusamson8036 Рік тому +2

    Du

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +1

    Kwann mnatamaa yapesa kumanyie? Kwann mnauza mali yataifa? munashindwa kukataa kua hatuuz ziwa?

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Kwahiyo hiyo njaa au tz viongozi hawajielewi

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 Рік тому

    Anakiaprochi🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi Рік тому +2

    Nyie mnaongea juu ya kisiwa wakati ziwa zima wameshachukua dp world mmelala kweli

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Mkuu wawilaya nimefurahi sana mawazo yako

  • @andrewzagaza908
    @andrewzagaza908 Рік тому +2

    Wasukuma mkije hata hamuwezi fikilia kitu kama hicho, watani wangu nyie jajarukeni mtaibiwa sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Hao viongozi ni makabila mbalimbali

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 Рік тому +1

    Duu tutafika.tumechoka kiukweli🎉😅

  • @maselemasanja4569
    @maselemasanja4569 Рік тому +1

    DC elekeza Jambo liende vizuri tu, hapo Hakuna tatizo kabisa uoga ulionao nakuomba paza sauti hizo kwenye mkataba wa DP world. Wala sio wazawa lakini wanapigiwa chapuo waingie mikataba ambayo hata haionyeshi wananchi tutapata nini na Kwa wakati gani. Ushauri wangu waelekezwe wanakigongo kulekebusha mkataba uwe wa manufaa na sio kumtupilia mbali aliejitoa mpaka kapauwa madarasa.

  • @paulkaisi5689
    @paulkaisi5689 Рік тому

    Ukweli sisi tu wazawa wa hicho kijij tumesoma hapo tunayajua mazingira yyte nimefika hapo nimefanya nimeona na kusikia vitu vya ajabu ninaishauri serikali nendeni kijijini hapo chunguzeni vizuri pesa inapigwa tu

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 Рік тому +1

    Hii nchi tunaelekea cjui tu ni Mungu aingilie kati ila kwa uongozi uliopo sasa mmmh cjui.

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Рік тому +2

    Sasa maongezi yanini tiandani waujumu uchumi yambavu mwekezaji ndio nani sukumandani yani sukuma ndani

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Рік тому

    Iyosekindali ataikiisha kazbule Kwan watu wanasoma nahawana kaz maana kazi wanapeana wenyewe nakoozao

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Teteeni nchi yetu jaman

  • @OmarMuya-qm3ws
    @OmarMuya-qm3ws Рік тому +1

    Sasa wa africa 🌍 tunaenda wapi,mbona munaiuza africa wajuuku zako wataenda kuishi wapi,walo nunuwa wakija na familia zawo kuja kuishi hapo na walinunuwa kweli,mbona hamjali kwanini,yani marakumi afazali waafrica wale wa zamani na hawakuwa wamesoma munazidi bwanaa hivyo ndo kuijenga Africa 🌍

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Рік тому +1

    Haya ndiyo yanayo zungumzwa ya bandari bado tayari mwanza mmeanza acheni hayo

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 Рік тому

    Mbona mnamuuliza suala Ile Ile,
    Mnamchanganya bhana

  • @maselemasanja4569
    @maselemasanja4569 Рік тому +1

    Hisia zangu nafikiri angekuwa mwarabu maelekezo yangekuwa tofauti. Tuwaunge mkono wazawa wanaojitoa kuwekeza katika nchi Yao. Kama kuna kasoro wataalamu waingilie Kati kurekebisha na sio kumfurusha mzawa mwenye idea ya zoo. Naomba asikayishwe tamaa ila arekebishwe aendane na taratibu na Sheria za nchi.

  • @MarygetrudeKyauke-hn8hi
    @MarygetrudeKyauke-hn8hi Рік тому

    Mbona bandali mmeuza?

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Рік тому +1

    kila mtu anauza anachoweza

  • @JoelNyambalya
    @JoelNyambalya Рік тому +1

    Ahsate mweshimiwa hili nililisemea mapema sana hakuna mikataba ya selikali bila mwanashelia

  • @pamelamauki4209
    @pamelamauki4209 Рік тому +2

    Kwani hizi tonzo zinafsnyanini jamani!

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому +1

    Eti eeeee eeee yaani was sijui nani ametuloga

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +1

    Yaan hii inchi. Mbona kunavijitu vinatamaa? Kimevimba vimba mashavu kumaww yaan muuze maliyainchi kwaajili ya shule. Eti wataaram. Acheniukumamae.

  • @samuellugendo27
    @samuellugendo27 Рік тому +1

    Blaa blaa blaaa

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps Рік тому +1

    Wenyeviti madiwani Na watendaji wawe Na elimu ya juu advance nk hawa watu wanaharibu sana mipango ya serikari ndio maana migogoro mingi husababishwa Na hawo. Serikari iliangalie hilo

    • @stephanominja8927
      @stephanominja8927 Рік тому

      Wapewe semina kila kiongozi anapopata uongozi!! Kwnai wanazungukana. Alafu uwajibishwaji ni mdogo kwa kweli

  • @NickyPeter-ec4gv
    @NickyPeter-ec4gv Рік тому +1

    Mama ndo aliewafundisha vifaranga kunya kwenye sahan.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +1

    Musiuze visiwa jaman mbona serikari hii yahovo jaman

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 Рік тому +1

    Mwizi siku zote huwa akubali, mzee nyosha maneno,hao watu walikuwa wanakupa pesa kufanikisha hayo madeal

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 7 місяців тому +1

    Watu kama hawa Sio wazalendo wanaweza kuuza Ata ikulu ya rais kuwafunga jela wakajifunze Uzalendo

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 Рік тому +1

    Naayo yote nikwa sababu ya taswila ya uongozi wa ngazi za juu, kuna shida kwa watanzania kwa sasa MUNGU, wa mbinguni atusaidie uo ndyo ukweri

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +1

    Safisan kiongoz

  • @hassangauday6272
    @hassangauday6272 Рік тому +1

    Mbona sielewi bandari

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому

    Madarasa 3 yapauliwe kwa ml 25 mbona vichekesho 😅

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Рік тому

    Hadi huluma maskini hivi ni vichwa au maboga? Kweli hamna kitu hapo

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому +1

    Kweri KABISA hatutakiiiii. WATU mmepatwa na ninii??? Mnauwanaa ovvoo nchini yetuuu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +2

    Yani nyie mtawauza na wana nchi wenu

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Рік тому

    Baba chukua ichii maana sasa Tanzania inakela viongoz rushwa nyingi

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 Рік тому

    Huyo Alie uza hicho kisiwa kwani hicho kilikwa Cha babake,au ameona hicho kisiwa hakina mwenye nacho,

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 Рік тому

    Huyu mwenyekiti mwizi, waliomtangulia wangefanya kama yeye, kwenye kijiji mali zote zingekuwa zimeuzwa.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому +1

    Watu wa nje ndo watutawale kweli

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Рік тому +1

    Mirima yote tanzania ni mari ya jeshi ra wananchi nyambavu wewe wakikusikia jeshi kamata waripe era wariokura

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 Рік тому

    Namnukuu trampu alsema bara la afrika linahtaj viongoz wote kutenguliwa nakuanza na uongoz mpya sio huu hakna kiongoz afrika nzma

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому +1

    Hawana tofauti na wale watemi wa zama hizo kutuuzakwa kupewa shanga

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому

    Kisiwa kinauzwaga ml 30 siujinga huo basi kila mtu angenunua angekaa kisiwani

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 Рік тому

    Viongozi wenye upeo mdogo ndo matokeo yake haya nchi yetu inauzwa kidogokidogo wahenga walisema usipoumiza akili ukiwa kijana utautesa mwili ukiwa Mzee.

  • @amosnaqbarxanaabddallah2730

    😆😆😆😆😆ola nyinyi hawa wanataka wajilipe waende kuskojulokana ila limetibuka

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Рік тому

    Raisi wa Tanzania 🇹🇿 anaitwa nani?

  • @allyabdallah1183
    @allyabdallah1183 Рік тому

    Huyu jamaa muongo Sana anasingizia maendeleo ya jamii hafai,

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому

    Hao niweziiiii

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому

    Jamaani Hawa tunao wachagua wamevurugwa wachie nchi yetu hivi nivita vyadunia sisi nchiyetu tunaitaji amani hatutaki warabuuuu mpo warudi kwaooo mashemeji choka mbaya wakawekezee panya tutawarus