BMG TV: Taarifa mpya daraja la JP Magufuli (Kigongo- Busisi) Mwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 107

  • @AyoubMatabala-zf6oi
    @AyoubMatabala-zf6oi 17 днів тому +11

    Hongera Tanzania na viongozi kwa maono haya kazi iendelee na sisi huku Mlimba mtukumbuke tunahitaji barabara ya rami❤

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 16 днів тому +4

    Engineer yupo vizuri,very smart brain

  • @piusmanyika9818
    @piusmanyika9818 16 днів тому +8

    Magufuri mungu akulaze mahala pema peponi miladiyako imekuwa ssa ya kufanyia kampeni zai mana walisema mwezi 12na sasa tena wanasema mwezi w pili ungekuwepo naimani miladi yote ingekua isha kamilika kabisa kiatu chako hakuna w kukivaa

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 16 днів тому +2

      Wacha uzuzu, hebu thamini juhudi pia yawalionedeleza kutoka pale alipoishia marehemu JPM, mkataba wa Ujenzi huu ulikuwa unaishia mwezi wa kuminambili, lakini kunaongezeko la miezi miwili tu ili kukamilika kwake, kwamradi mkubwa kama huu kuongezwa miezi miwili nikawaida sana kwakuwa nimradi mkubwa sana unakumbwa na changamoto nyingi,kuongezwa miezi miwili Nisawa nakumalizika ndani ya muda, nampongeza JPM kwakuanzisha mradi huu wakimkakati lakini pia nampongeza Muheshimiwa Rais wetu wasasa mama Samia kwakuendeleza mradi huu nakuumaliza Kwa wakati kwani wakati anaingia madarakani mradi huu ulikuwa upo asilimia 25 tu ya Ujenzi wake, hongera Kwa viongozi wote waliohusika na mradi huu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 18 днів тому +7

    Huyo supervisor anajua kuelezea kazi yake 👏🏼

  • @ansgarkaissile
    @ansgarkaissile 17 днів тому +4

    Hongera mkandarasi unaeleweka vizuri.

  • @machumujuma6399
    @machumujuma6399 10 днів тому +2

    Hongera kwa mhandisi, maelezo mazuri yamenyooka

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  9 днів тому

      @@machumujuma6399 mhandisi yuko vizuri

  • @henerymartini3509
    @henerymartini3509 18 днів тому +10

    Magufuri, mola amlaze pema alikuwa na maono na maamuzi sahihi sana, ukali wake ndio matunda hayo

    • @irenewile
      @irenewile 11 днів тому

      Magufuli sio Ri mnakera

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah 15 днів тому +4

    RIP magufuli tutakuenzi kwa mengi mema na pole Jeannette Magufuli ila shukurani za watanzania na waliopo nje tunakushukulu

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 15 днів тому +1

    Mungu endelea kufungua vichwa vya viongozi wa Tanzania na watanzania tufanye mambo makubwa kwa rasilimali zetu wenyewe amen 🙏

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 18 днів тому +12

    Hapo kwakweli nampa zote magufuli

    • @jumamdoka7867
      @jumamdoka7867 16 днів тому

      Unafikiri roho mbaya itakisaidia nn??

  • @massvpro
    @massvpro 18 днів тому +3

    Mpiga Picha au Mhariri umechemka watazamaji wako tunataka kuona daraja vizuri wewe unaonyesha Mazungumzo zaidi Sio sawa ilia bigup

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 18 днів тому +9

    Magufuli amegoma kabisa kufa

  • @robertmsukwa8466
    @robertmsukwa8466 3 дні тому +1

    Kazi nzr Ila ninawasiwasi Sana na hizo kebo waya zilizobalance bampa mtazamo wangu Bora ingewekwa hata nguzo ndogo ya kusaidia hizo kebo umbali uliopo no mkubwa mno jamani miaka Mia moja Kwa kebo waya duh! Ni mtazamo tu lakini sikosoi Mambo ya kitaramu hayo

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 17 днів тому +2

    Supervisor hongera kwa maelezo mazuri tumejua mpaka hizi kebo zinafanya kazi gani na siyo urembo Asante sana

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 10 днів тому

    Ni suala la Wakati wa Mungu, kuweka sawa Watanganyika wote,

  • @mundethomas9313
    @mundethomas9313 18 днів тому +18

    Mhandisi apewe kitengo serikalini, yuko vizuri mnoo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@mundethomas9313 ana nondo sana

    • @SiwemaJohn-o5d
      @SiwemaJohn-o5d 16 днів тому

      Kweli kabisa

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 11 днів тому

      Wasukuma hatunaga longolongo uo ndo ukweli😅

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 11 днів тому +1

      Wasukuma tole bachangamfuu kwenye kazi😅
      Mkitaka nchii iende Nyie tupeni dhamana tu,hatunaga ukabila kama ndungu zetu wengine Sisi ni KAZI Tu kilimo hakitulipi lakini tunafanya tangu Uhuru we're made different 😂😂😂

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  11 днів тому

      @NgasaMaduhu Kilimo na ufugaji

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 17 днів тому +2

    Alhamdulillah mama umejitahidi

  • @NoahKatei
    @NoahKatei 12 днів тому +1

    Mungu'awatie'nguvu

  • @karimkinwary4668
    @karimkinwary4668 18 днів тому +7

    Walisema dec litaanza fanya kazi kwa nn iwe February tena
    Mko nyuma ya muda

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      Wamechelewa kukamilisha barabara, na kumwaga lami juu ya daraja

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 18 днів тому

      Hawajali muda kwa sababu wao hawaoni kama hiyo ni pesa inayopotea!

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 17 днів тому

      ​@@kambamazig02024 Sasa we ultakaje.? Toa hoja sio kubwatabwata

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 16 днів тому

      Miradi mikubwa hukumbwa na changamoto nyingi,kwahiyo hapo kuongeza miezi miwili yakumaliza Ujenzi nikama Bado wapo ndani ya muda.

  • @omarysalumu9432
    @omarysalumu9432 17 днів тому

    Uko vizur brother mkandarasi

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 18 днів тому +3

    Nimefurahi sana kusikia taarifa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому +1

      Pamoja sana. Ni taarifa njema kabisa

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 18 днів тому +5

    Kuzuia uhujumu pengine daraja lifungwe mfumo wa CCTV na taa za kutosha. Pongezi nyingi sana kwa kuendeleza mradi na kuondoa kero ya foleni ya magari kusubiri vivuko. Litaharakisha ukkuaji uchumi kanda ya ziwa na kuunganisha mji wa Sengerema na Mwanza.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 18 днів тому +2

      Sure, Camera ni Muhimu sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@benedictmrisho1800 umesema ukweli kabisa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@TM.Sullusi kabisa

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 17 днів тому

      hlo lazima nasio lazima kutangazwa. CCTV ztajitangaza zenyewe endapo wapuuzi wakianza kualibu miundombinu

  • @EmmanuelMichael-t8m
    @EmmanuelMichael-t8m 18 днів тому +5

    Mambo mazurii yanayowajali wananchi

  • @suleimanmajani6187
    @suleimanmajani6187 18 днів тому +8

    Siopesa. Zarais. Nipesa. Zawalkpakodi. Zikisimamiwa. Na. Rais. Samia. Suluhu. Hassan

    • @kilimanjaroflavour
      @kilimanjaroflavour 18 днів тому +2

      Rudi tuu shule ya msingi ukajifunze kuandika au nenda mirembe. Unatia aibu kabisa.

    • @Teddy-z4i
      @Teddy-z4i 18 днів тому +1

      ​@@kilimanjaroflavourKwan kakosea wap Samia ela sio yake yy n msimamiz tu nenda shule kiongoz

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel 18 днів тому +6

    Angekuwepo mzee lingekuwa tayari lakin sasa tulisubie ó

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 18 днів тому +2

      Shukuru limeisha

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому +1

      @@elikanasamwel Liko mbioni kukamilika, imesalia tu barabara unganishi na daraja lenyewe kuwekewa lami

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@abdallahselemani6423 litaisha

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 16 днів тому

      Hata angekuwepo huyo mzee unaesema kwenye miradi mikubwa kama hii kuongezeka muda Kwa ajili yakukamilisha Ujenzi nijambo lakawaida,hii miradi mikubwa inachangamoto nyingi, kuzidi miezi miwili tu Sio nongwa kikubwa nikushukuru muheshimiwa Rais ameendelea kusimamia mradi huu hadi kukamilika kwake

  • @MeshackYohana-n6r
    @MeshackYohana-n6r 11 днів тому +1

    Machawa utayajua tu

  • @TheonestusKagenzi
    @TheonestusKagenzi 13 днів тому +1

    Tujipongeze ni pesa zetu

  • @MeshackYohana-n6r
    @MeshackYohana-n6r 11 днів тому +1

    Magufuli jemne

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 18 днів тому +1

    Kwa kweli maendeleo yamaletwa kwa Kasi kubwa sana hongera mama Samia rais wetu wa jamuhuri ya muungano Tanzania

  • @ChristopherElias-h3i
    @ChristopherElias-h3i 4 дні тому +1

    Sawa tunataka daraja kumalizika tumechoka na %

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 дні тому

      Sahihi, daraja liko mbioni kukamilika

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 7 днів тому

    Pakeni rangi daraja at list

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 16 днів тому

    JPM HATOFUTWA KWA NAMNA YOYOTE ILE SANAMU YAKE IWE KUBWA HAPO DARAJANI.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 18 днів тому +2

    Kiswahili kingi mno na kazi za kubabaisha miaka yote hii kiasi kwamba kuchelewa kwa kukamilika daraja hili ni hasara kwa watanzania kila siku sababu za kipuuzi! Siasa badala ya kazi watu wanahitaji kuona daraja limemalizika ili litumike! Mhandisi acha siasa fanya kazi!

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 16 днів тому

      Wewe ndio unaleta siasa,nadhani hata maelezo yenyewe yamuhandisi hujayasikiliza nakama umeyasikikiza basi hujaelewa kilichoongelewa kutokana na uwezo wako waufahamu, mkataba wa daraja hili ulikuwa ukamilike mwezi wakumi nambili, wamoengeza muda hadi mwezi wapili maana yake hapo niongezeko la miezi miwili tu, kwamra mkubwa kama huu kuongeza miezi miwili niswala dogo nalakawaida sana Wala haliwezi kuwa sababu yakutopongeza juhudi zilizofanywa hapo badala yake iwe nongwa namalalamiko yasio natija

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 18 днів тому +2

    Mama apewe mauwa yake kabisa

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 16 днів тому

    Mama Samia mitano tena kwenda mbele.

  • @HavanansiData
    @HavanansiData 18 днів тому +6

    Hayo maelezo yote hakuna mwanasiasa anaelewa hapo

  • @amoschacha6401
    @amoschacha6401 18 днів тому +1

    56, 160

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 17 днів тому +2

    Tunatoka kuna barabara tumechoka

  • @VeloMahenge
    @VeloMahenge 17 днів тому

    Jamani mazuri niya kutazamia sio dhambi nchi nyingi zilitazamia kwa Magufuli mpa U s a ilifunga kwa ajili ya korona utakuta sisi hatu tazamii mipango mizuri inayo jenga nchi hatuzibi mianya mibaya

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi 5 днів тому

    Hakika Magufuli alikuwa kiongozi

  • @FestoMadumba
    @FestoMadumba 18 днів тому +1

    Tunga ge wanyinenyuu

  • @NoelMoto-tf6cw
    @NoelMoto-tf6cw 18 днів тому +1

    Wawoooo nimemuona mzee SUTUCHI kutoka dodoma Iyubu

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 17 днів тому

    Na bado tutarushwa tena ndio nchi hii ilivyo..haina aibu hata chembe

  • @MayalaBusolwa
    @MayalaBusolwa 18 днів тому +6

    Ilikuwa mwez wa 12 xaxa umekuwa wa 2 jaman hii nchi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому +3

      @@MayalaBusolwa maendeleo ni mchakato

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 18 днів тому

      Bora ya hivyo wasije ripua akajasababisha maafa

    • @kebo2155
      @kebo2155 18 днів тому +1

      uwe na subra..
      pole-pole na raha zetu..

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 18 днів тому +1

      Sio mbaya

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 18 днів тому +1

      Malalamiko jazz band 😂😂 mbona hata vinyumba vyetu tunavyojenga vinachelewa kumalizia sembuse faraja kubwa hivi

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 17 днів тому

    Hro daraja ritakuwa harina uimara ritakuwa mmeiba nondo cement kra sku stori angekuwepo mwamba usinge ropoka utoporo huo

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 17 днів тому +1

      kama ujamwelewa uyu MWANDISHI nshauri basi we sio mwelewa kabisa nabado we utakua n (mpumbavu)

  • @joshuafelix3021
    @joshuafelix3021 17 днів тому

    Onesha vizuli tulione

  • @Msafilymsafilycharess
    @Msafilymsafilycharess 16 днів тому

    Kwanini picha ya samia?. Mustufanye kama watanzania hatuna hakili.

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 16 днів тому

      Sasa sindio Rais wanchi kwasasa!? Unataka iwekwe picha yaani!?

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 18 днів тому +3

    Majinga nyie na mitano Tena hayajitambui hayo.

    • @haggaikinyau9047
      @haggaikinyau9047 18 днів тому +1

      Mjinga wewe unaowaona wenzako wajinga huku umesahau kuwa demokrasia ni kuamua nani umuunge mkono. Wenzako wameamua Samia na wewe amua wa kwako bila kuitwa mjinga

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@SanziNzige ni maoni yao, tuyaheshimu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@haggaikinyau9047 sahihi kabisa

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel 18 днів тому +2

    Na speed imepungua

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 днів тому

      @@elikanasamwel kazi ya lami kwenye barabara unganishi inaendelea

  • @innosentdominick5509
    @innosentdominick5509 5 днів тому

    Usiku wa manane