Sio kila uchafu serikali ukubebee wewe kazi yako nini da jama kila kitu serikali sasa Mtasema siku moja serikali iwafurie nguo ha ha ha mtanzania bwana uzembe na uchafu ndo vyetu
Wenzenu uchafu wanatengeneza umeme nyie mnafukia uchafu chini Afrika kazi tunayo mungu wangu badilikeni hizo takataka ni mali jambi why mungu help this peaple
Karibu baba
Waziri jafo nakukubali sana
Mbona mtaani uchafu umejaa kwenye kwenye madampo?kwa mfano dampo la KITANGIRI minazi mi tatu.uchafu adi barabarani.
Bado halijaanza kutumika
Mawakala wanapaswa kupita kukusanya uchafu, kama hawapiti toeni taarifa Ofisi ya Serikali ya Mtaa!
@@robertsalu6551 Dampo la Buhongwa limeanza kutumika. Linapokea uchafu kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Nyamagana.
Sio kila uchafu serikali ukubebee wewe kazi yako nini da jama kila kitu serikali sasa Mtasema siku moja serikali iwafurie nguo ha ha ha mtanzania bwana uzembe na uchafu ndo vyetu
@@mathewtwimanye92 sasa unataka uchafu ubebwe na nani nakati watu wanalipa kila mwez
Ujiji ataree
Fahamu zaidi kuhusiana na dampo la kisasa Mwanza ua-cam.com/video/qbqZkCHSqn8/v-deo.html
Wenzenu uchafu wanatengeneza umeme nyie mnafukia uchafu chini Afrika kazi tunayo mungu wangu badilikeni hizo takataka ni mali jambi why mungu help this peaple
Kigoma pachafu akuna magari zakuzoa taka yani panatishaaa