TAHARUKI!!! SHUHUDIA MAFURIKO Mwanza, watu wanasa majini
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Malori yaliyosheheni bidhaa yamenusurika kusombwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Mwanza kwa zaidi ya Saa 4.
Poleni sana ndg zetu .
Alhamdulilah nilihama hili eneo niliteseka sana
Poleni sana
Mungu awalinde wapendwa
Dah niatari sana
Acheni uzinzi. Ushoga mungu amechukia
Mungu tuhurumie na utusamehe
Polen sana
MUNGU wangu...
Hatari sanaa
Kipindi cha nuhu lkn wala hatuna habari na mungu aliyetuumba🎉
Poleni sana ndg zetu kwa mafuliko
"Mafuliko" ni kitu gani wewe andika kiswahili kinachoeleweka la sivyo acha kabisa kupotosha😠
Mabatini hapo kawaida yake mafriko ni kawaida hapo ila watu huwa hawa sikii kuhama hawataki
Daraja la Masai kanoni Mwanza tandamu la Mangarama Bunda pazuro
Duh ni hatari xna
Mafuriko na mpira wapi nawapi huyu nae😂😢😢😢
Mwanza sehemu gani?
Hapo yaweza kuwa tatizo ni serikali.Lakini wananchi ndiyo tatizo kubwa.Hasa linapokuja swala la kujenga ,tunataka bila kujali,jasa maeneo hatarishi kama vilw karibu mito,karibu na mabonde, karibu na milima., karibu na baraba na hata kwenye mikondo ya maji (Ujenzi hole).Hatujali,hatushauriki na wala hatukatazwi.Pesa inatuwasha ,kiburi cha pesa.
Lakini wakati ujenzi unapoanaza Serikali huwa ipo kuanzia mjumbe wa nyumba kumi kumi, ukiacha hao manispaa zipo zina mainjinia waliosomeshwa na Serikali ambao wanapaswa kutoa ushauri wao Kwa wakuu wao wa kazi. Utakuta jengo linajengwa likifikia kwenye rinta ndo wanakuja kuandika kwenye nyumba "Simamisha ujenzi". Mitaro hukumbukwa kufanyiwa usafi pindi mvua zinapoanza. Watumishi watoke ofisini waingie site waache viyoyozi.
Mipango Miji amkeni. Fanyeni kazi zenu
Nchi gani duniani amba haipatwi na mafuriko?
Hat huko kweny miundombinu bora kuna mafuriko pia usisahau
Two wrongs does not make it a right
Jamani sasa hao waliosimama juu ukuta, wana uhakika gani kuwa uko imara.
Sauti haisikiki wakt ni kituo kikubwacha habari
Yote tumwachie mungu
Hii sijui kama siio mto mirongo
Uokowaji wako wapi?
Watengeneze dalaja wakati wanaona bola wafanye usafi
Binfisi sina mashaka simba ni hi ushindi upo pale pale wapenzi longido tupo na timu yetu matumani yapo
Hapo inabidi kikosi cha uokoaji kiwahi haraka.
Hii hatar
Cjc
Daraja la masai
Mwanza sehem gani
Daraja la Masai
Huyu anaeishauri serikali mbona kama kaweka ugolo mdomoni😂
We unaangalia ugoro au unasikiliza ujumbe alioutoa?
Angalia ujumbe acha ushamba
Hatari sana
Hii hatar