UKIOTA NDOTO YA CHOO AMA KINYESI INA MAANA HII KIBIBLIA. USIOGOPE - Apostle Johaness John

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2023

КОМЕНТАРІ • 33

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 23 дні тому +1

    Nimekusikiliza vyema laminitis mimi niko tofauti nikota kinyesi au kimenizunguka hua nafanikiwa sana nanitashika ela sana

  • @subirapallangyo5670
    @subirapallangyo5670 Місяць тому +1

    Barikiwa mtumishi , asante Sana Kwa maneno ya Mungu

  • @mummymaduhu5307
    @mummymaduhu5307 Місяць тому +1

    Asante baba ubarikiwe mno

  • @JoyceOnyino
    @JoyceOnyino 3 місяці тому +1

    Ameniii mjugaji nimeota nimetapa choo inakinyezi na maji ilijaa Kwa choo nanikaosha na mtoto akakuja inaanaana gani

  • @inviolathaMasinde-yy1by
    @inviolathaMasinde-yy1by 6 місяців тому

    Amen mtumishi

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma 9 місяців тому

    Ameen..mtumishi m nliota naenda haja kubwa alaf baadae nkaoga pia Io inamaanisha nn

  • @annandunguru2678
    @annandunguru2678 7 місяців тому +1

    Niliota nimekwenda mahali tulikuwa wengi, nawengi wao ni wanafamilia wa tumbo moja, sasa hiyo nikaenda kusaidia nikakuta chooni ni kuchafu sikujisaidia, nikaenda sehemu nyingine hicho ndio kimjaa na wadudu wengi, nikatoka nikaanza kutafakari na kujiuliza nitafanyaje na nimeshikwa na haja, bahati nzuri nikatupa jicho nikaona niko karibu na eneo ambalo nilikuwa ninafanya kazi maana sasa hivi ni mstaafu nikaona niende kujisaidia, ghafla nasikia watu wanaongea kwa nje huyu yuko wapi, halafu ni usiku, nikatoka, wale watu wakaniambia unatafutwa sana na wale ndugu zako wamesema wanaingia watakiacha, bahati nikakutana nao mlangoni wakaanza kama kunilaumu nikawaambia huko siendi ninyi nendeni mara nikastuka kutoka kwenye ndoto, ina maanisha nini?

  • @user-rz7pj2hp7b
    @user-rz7pj2hp7b 6 місяців тому

    Habari ,niliota mwanangu anajisaidi kwa kuharisha na kukojoa kwa kwa kuvirusha kwa mbali nini maana ake

  • @latifakisena8345
    @latifakisena8345 3 місяці тому +3

    Nikwel kbsa mtumishi nimeota nipo chooni nachungulia kinyesi baada ya hapo nikaoga nakutoka nje ....najitahid sana kuomba. Nina maadui wengi kunamda ninaroho yakukataliwa nawatu pia napitia magum kwenye ndoa yangu mwanaume amenikimbia mwaka mzima na hakuna sababu yamsingi yakuniacha nilee watoto peke yangu naumia mnoo nakitahid sana kuomba ila bdo sijafanikiwa naomba uniweke kwenye maombi namm

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  3 місяці тому +1

      Amen

    • @VeronicaRobert-oy7cf
      @VeronicaRobert-oy7cf 2 місяці тому

      Habari mtumishi Mie nimeota nipo ndani nimelala nikachukua kopo nikajisaidia kinyesi kisha nikawa nataka kukitoa nje watu wakawa wapo nje nikawa wavizia watu wasione nimetoka na kinyesi ndani

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 4 місяці тому +1

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi
    Nisaidie kwa tafsiri pls nimeota kwa choo panaja uchafu mwingi sana maana yake nini

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому +1

      ISHARA ya DHAMBI na ROHO CHAFU kukufuatilia

    • @agathemichelle238
      @agathemichelle238 4 місяці тому

      @@shiningstarheavenlyembassy Asante nashukuru kwa tafsiri mubarikiwe na Bwana

    • @emilywafula9237
      @emilywafula9237 4 місяці тому +1

      Hi..Mimi Niliota majirani wangu wanakuja kijisaidia kwa choo changu ...yani majirani kona zote wanakuja chooni mwangu nimeshtuka😢🙄

    • @linahkavishe3745
      @linahkavishe3745 2 місяці тому

      Asante mimi baada ya kufunga maombi ya toba nmeota namfuta mama yangu mavi mara mbili

  • @JeniferIminza-ur3wj
    @JeniferIminza-ur3wj 9 місяців тому +1

    Amen mm apo nyumba nilikua naota sana nimeingia chooni lkn imejaa kila mahali mpaka akuna penye unakanyaga lkn sikuizi uwa sioti tena kwa sababu nimeachia mungu mambo yangu yote

  • @user-qw5kk5jw2z
    @user-qw5kk5jw2z 8 місяців тому

    Niliota nimekunya kwa chumba changu .inamaana ngani?

  • @user-um5bb9st5e
    @user-um5bb9st5e 8 місяців тому

    Mm nimeota nasafisha choo Cha wazngu lakini inavitu vingi vichafu naosha mpk bs

  • @user-zy1li5nt7x
    @user-zy1li5nt7x 9 місяців тому

    Nasimu kuwanguka choo

  • @marryedson2762
    @marryedson2762 5 місяців тому

    Nmeota nmeenda kwa choo nikakuta kuna tundu limebomoka kinyes kinaonekan na kina funza wengi nikawa naziba lile tu nkaliziba lote hii ina maan gan naomba kujua

  • @HarrietMwashi
    @HarrietMwashi 3 місяці тому

    Ukiota unafukiwa kwa choo ?

  • @mareh18
    @mareh18 7 місяців тому

    Na kueda haja kubwa kwa kiti????

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 8 місяців тому +1

    Ukiota unakuwa mavi,inamaanisha nini

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  8 місяців тому +1

      Yaani WEWE unageuka kuwa mavi au unakula mavi?

    • @user-kv7hq5mb6m
      @user-kv7hq5mb6m 8 місяців тому

      Unakula mavi,inamaanisha nini

    • @Teshy23
      @Teshy23 6 місяців тому

      ​@@shiningstarheavenlyembassyMm nimeota nimemaliza kujisaidia kila nikijisafisha kinyesi hakiishikikawa kinadondoka nikakimbilia kwenye maji mengi hii ina maana gani?

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому +1

      @@Teshy23 ACHA MAISHA ya DHAMBI, ni ISHARA ya AIBU nakupoteza heshima na utukufu WA MUNGU

    • @Teshy23
      @Teshy23 5 місяців тому

      @@shiningstarheavenlyembassy mtumishi niliota nimepoteza viatu high heels na raba nikakuta vimetupwa porini raba zimechafuka nin maana yake,then nikaota tena natembea nimevaa raba zilezile ni nyeupe ila zimechafuka msaada maana yake. Niliota siku tofauti