KAMA UNATAKA KUFANIKIWA JIFUNZE JINSI ya KUWA PEKE YAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #kuwapekeyako #powerofbeingalone #nguvuzauniverse Kuna faida kubwa sana katika kuwa peke yako. Ukichangamana na watu kabla ya kujua namna ya kuwa peke yako,uharibifu mwingi utatokea kuliko suluhisho. Tazama video hii mpaka mwisho ujifunze jinsi ya kuwa peke yako na faida zake.
    Jinsi ya kuwa peke yako
    nguvu ya kuwa peke yako
    power of being alone
    nguvu ya universe
    ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

КОМЕНТАРІ • 209

  • @elizabethtillya5682
    @elizabethtillya5682 4 місяці тому +2

    Amina dada mimi ni mtu mwenye aman na mafanikio makubwa sana katika maisha yangu hapa duniani ,Ameen

  • @juliuskalawa7860
    @juliuskalawa7860 4 місяці тому +1

    Kwa jina la Yesu hakuna kitu kilichoshindikana,Amen...

  • @JsephJegizh
    @JsephJegizh 4 місяці тому +2

    Hayo ninayoyasikia kutoka kwako muda mfupi uliopita nilikuwa ninaongea na mtu kuhusu kuwa peke yako hata kuishi hiyo staili kuwa peke yangu nimeanza kama miaka miwili hivi nimeona faida zake. Hongera sana.ninachokifiria na wewe ndio hivyo unayosema nina amini nguvu za ulimwengu.100 parsent

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому

      Hongera sana, Nakutakia mafanikio tele 🤝❤️

  • @hawaismail9951
    @hawaismail9951 Місяць тому

    Naamini katika nguvu za Ulimwengu nipo tayari kubadilika Amen

  • @KaviraKimimbi
    @KaviraKimimbi Місяць тому

    Amen asante sana kwa mafundisho hiyi kwani inanijenga sana Niko tayari kwa mabadiliko makubwa Mazurie katika maisha yangu kwani naamini nguvu za universe piya n'a nguvu za MUNGU zilizo ndani mwangu

  • @WesongaAbdalla
    @WesongaAbdalla 3 місяці тому +1

    Fantastic idea i like it,kupitia nguvu za ulimwengu nashukueu sana

  • @GabrielJoseph-n7z
    @GabrielJoseph-n7z 3 місяці тому +1

    Mimi ni mshindi hapa Dunia najikubali katka nguvu za universe

  • @DorahNselu
    @DorahNselu 4 місяці тому +1

    Ktk jina la yesu mm ninamafanikio makubwa amina

  • @yunisikyaruzi2380
    @yunisikyaruzi2380 Місяць тому

    Asante hakika Mimi ni WA thamani mbele za Mungu na wanadamu. Nafanya mambo makubwa duniani

  • @PeterMaruti-v1l
    @PeterMaruti-v1l 29 днів тому

    Ama kweli Kwa hakika Leo umenijenga kabisa dada Asante kabisa 👍

  • @balukujackson1066
    @balukujackson1066 4 місяці тому +2

    Asante sana dada yangu mimi tajiri mukubwa hapa duniyani nina Ku salimu sana❤❤❤❤

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 4 місяці тому +1

    Hakuna kinacho shindikana kwa jina la Yesu kristo 🙏🙏 ubalikiwe sana dada yetu kwa somo nzuri

  • @NeemaMkami
    @NeemaMkami Місяць тому

    Dada nakukuli mungu akubariki sana Kwa Neema aliyokupa

  • @AidaAdam-xv6cw
    @AidaAdam-xv6cw 4 місяці тому +1

    Asante naamini nguvu za ulimwengu Kwa Sasa Mambo yangu Yako vizuri nilikuwa na matatizo kwenye familia lakini baada ya kutumia nguvu za univers kwasasa kunamabaditiko makubwa

  • @Christina-dz7ff
    @Christina-dz7ff Місяць тому

    Kwq jina la yesu hakuna kitu chochote kisicho wezekana🙏🙏

  • @AminaNdayizeye
    @AminaNdayizeye 4 місяці тому +1

    Hakuna linalo shindikana chini ya jua Allah yuko nami daima nimepokea baraka kutoka kwa nguvu za ulimwengu nakwasasa niko vizuri nguvu mbaya ambazo zilikua zikinivamia usiku nimelala tangu nianze spell mbali mbali ambazo hua unatufunza kila siku wallahy nimekua tofauti sana kwangu kumetulia yani kuna amani ambayo haina mfano hakika mimi nitajiri hapa duniani ninaamini hivi karibuni milango ya mafanikio yangu yanafunguka nakupenda sana dadaangu❤❤❤❤ulimwengu uwe nami daima

  • @RoseOdilo
    @RoseOdilo 4 місяці тому

    Ahsante sana dada yangu kipenzi wewe ni baraka kwa wengi kupitia wewe maisha yangu na mtazamo wangu ni chanya MUNGU wa mbinguni akupe maisha marefu❤😇🙏

  • @swaumuhassan9321
    @swaumuhassan9321 4 місяці тому

    Amiiin my dear,,,,,uzidishiwe baraka zaidi ya hizo ambazo unazo sasa,, Mimi ni mimi napokea mabadiliko makubwa mwaka huu 2024,,Nguvu za ulimwengu , Nguvu za uumbaji hazitoniacha kamwe.

  • @RahmaYusufu-d2o
    @RahmaYusufu-d2o 2 місяці тому

    Amiiin me tajili katka ulimwengu huu wa universe

  • @RonaldFondo
    @RonaldFondo 4 місяці тому +2

    Ukabarikiwe dada yangu niombee milango yangu ya baraka ifunguke amina🙏🙏

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому +1

      Amina,, milango itafunguka 🙏❤️❤️

    • @RonaldFondo
      @RonaldFondo 4 місяці тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE Amina🙏

  • @ElizabethJoh-ur2wz
    @ElizabethJoh-ur2wz 2 місяці тому

    Amina

  • @DanielMakubi-gs1ml
    @DanielMakubi-gs1ml 3 місяці тому +1

    Nimeshinda

  • @EverlyneMusungu-nm1pu
    @EverlyneMusungu-nm1pu 4 місяці тому +1

    Mimi napenda sana hii mavundisho lakini kila spell zifaulu maisha yangu inaendelea kuwa ngumu nisidie, NAmini nguvu ya universe

  • @سابينانابوكي
    @سابينانابوكي 4 місяці тому +1

    Mungu azidi kukubariki na kukuinua viwango vya juu kila kuitwapo leo❤❤❤

  • @AsmaKandindi
    @AsmaKandindi Місяць тому

    Asante Kwa mafunzo mazuri mungu hakuongoze sana aminaa

  • @MaryamMpinga
    @MaryamMpinga 4 місяці тому +1

    Amin dada .. ume tubadulisha sana mungu akuweke kwa ajiki yetu

  • @PILICHIGILO-fm3yo
    @PILICHIGILO-fm3yo 4 місяці тому +2

    Mimi ni najiamin na ninajikubali ni mshindi hapa dunian

  • @DieumerciNzanzu
    @DieumerciNzanzu 4 місяці тому +6

    Hakika leo nime njuwa kwamba mimi ni mimi, Mimi sio mutu mwengine yeyote yule. Asante sana Dada. Nina kupenda sana. Hakika punde tu ninapo kufwata nimekuwa na mabadiliko sana.

  • @SilvanusKamguna
    @SilvanusKamguna 4 місяці тому +1

    Nitafanikiwa katk maisha yngu Amina🙏

  • @GodfreyMukhwana
    @GodfreyMukhwana 4 місяці тому

    Amina. Asante Dadangu. Mimi ndio mimi na wa kipekee. Mimi ni mshindi na nina mahusiano mazuri na nafsi yangu.

  • @ZinjaLashes
    @ZinjaLashes 4 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana mwalimu wetu mungu akubariki sanaa

  • @CarosMpili
    @CarosMpili 4 місяці тому +1

    Mimi nimebadirika mimi nguvu za ulimwengu zimenibariki katika mabadiliko yang mimi ni tajiri nine Afya njema mimi nimefanikiwa mimi nitajiri pesa kwangu siotatizo pesa zinanitafuta ulimwengu umenibariki Asante

  • @RahelMrope
    @RahelMrope 3 місяці тому

    Naipenda nafsi yangu,na mm ni mimi sifanani na yeyete katika Dunia hii,mimi ni Tajiri sana

  • @AbaAbaa-t6h
    @AbaAbaa-t6h 3 місяці тому

    Mimibakushukuru sana tangunimeanzakukufatilia nimekuwa tofauti sana nimefurahiya maisha yangu Asante

  • @DorahNselu
    @DorahNselu 4 місяці тому

    Ktk jina la yesu mm ninamafanikio makubwa amina naomba mafanikio zaidi ya haya

  • @ZedhariDirone-ie3bc
    @ZedhariDirone-ie3bc 4 місяці тому +1

    Amina 🙏

  • @JolieKanyama
    @JolieKanyama 4 місяці тому +1

    Amina mamaangu ubalikiwe

  • @MiltonApili
    @MiltonApili 4 місяці тому +1

    Blessed up madam, Mungu akubariki sana sana

  • @silvertz-ws7mm
    @silvertz-ws7mm 4 місяці тому

    Dada hili somo limenigusa saaaaaaana Sana Kuna mda kufanikiwa nataman kampan lakini nikikaa natafakari naweza bila mtu yyte nawaza peke angu kupitia nguvu za ulimwengu nawezaa🎉🎉🎉

  • @SalimaPeter-d2t
    @SalimaPeter-d2t 4 місяці тому +2

    Dada nakupenda sana kutoka moyon japo bado sijafanikiwa lkn moyo wangu unasema nisijal ipo siku nitafurah ❤❤❤

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому +1

      Jamani asante sana,nami nakupenda mnoo 🙏❤️❤️

  • @honorathacassian
    @honorathacassian 4 місяці тому +1

    Mimi ni wa kipekee sana hapa duniani na ninanafasi yangu muhimu sana hapa duniani

  • @watsbemaofficial
    @watsbemaofficial 4 місяці тому +1

    Mi nilikuwaga na hasira sana na watu wengine ila nikagundua unavyokuwa na ubaya ndani yako una attract negative energy mikosi,vitu kupotea ghafla,Mambo ayaendi lakini ukiamua kuchagua maisha ya furaha na amani bahati na Mambo mazuri vyote vinakufuata kila siku hakuna atakekuchukia

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому +1

      Ni kweli kabisa, Hongera kwa kulifahamu hilo 🤝❤️

  • @ElizabethNekoye-qt8rs
    @ElizabethNekoye-qt8rs 4 місяці тому

    Amina Amina, Asante sana dada. Barikiwa Kwa Hilo somo.

  • @AgnesNyorobi
    @AgnesNyorobi 4 місяці тому +1

    Amina dad yetu

  • @salumsafari5914
    @salumsafari5914 4 місяці тому +1

    Mimi ni mtu Bola na najiamini nakujipenda.... Najikubali na kujipenda

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 4 місяці тому

    Amina dada yangu nakupenda sana nonafalijka kupitia wewe

  • @GraceKileo-of4ss
    @GraceKileo-of4ss 4 місяці тому

    Ninajiamini ni mshindi katika maisha yangu kwakupitia nguvu za ulimwengu katika jina la yesu

  • @JosephEdward-o9c
    @JosephEdward-o9c 4 місяці тому +1

    Ahsante sana dada

  • @joycekimambo1602
    @joycekimambo1602 4 місяці тому +1

    Ahsante sana kwaelimu barikiwa mno my dear

  • @LatifaMushi-i3m
    @LatifaMushi-i3m 4 місяці тому +1

    Hakuna zaidi ya mm . Amin

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 3 місяці тому

    Ahsante kpz nakupenda kwaajili ya allah

  • @ElizabethDeusi-sx8di
    @ElizabethDeusi-sx8di 4 місяці тому

    Asante kwa somo zuri dada mungu akubariki sana ❤

  • @IsmailMse
    @IsmailMse 3 місяці тому +1

    Ulikuwa wapi sikuzote tunateseka na maishan ubaliliwe naamini Sasa mm nitajiri mkubwa

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 2 місяці тому

    Asante sana dada nimejifunza sana

  • @FrolaLeonard-jz5wv
    @FrolaLeonard-jz5wv 4 місяці тому

    Asant dada. Nitavifanyia kazi balikiwa sana dada🤝🏾❤

  • @venerandamorewa-h2t
    @venerandamorewa-h2t 4 місяці тому

    Amina mimi ni mshindi NAJIAMINI NA ASANTE

  • @BiataDule
    @BiataDule 4 місяці тому

    Aminaa balikiwa sana

  • @FARAJIFADHILI-v6x
    @FARAJIFADHILI-v6x 4 місяці тому

    Mm ni mm sitakuwa na kapakani ya watu waovu mungu nisaindie milango yangu ikafunguke yote niliyapangiwa na mwenyezi mungu asante mungu

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 4 місяці тому

    Ahsante Kwa Elimu

  • @upendo-xf7ml
    @upendo-xf7ml 4 місяці тому +1

    Asante sana dada

  • @Fatimah-mx6rq
    @Fatimah-mx6rq Місяць тому

    Asante

  • @OMWAMEMagotti
    @OMWAMEMagotti 4 місяці тому

    Asante kwa mafundisho mazuri

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 4 місяці тому +1

    Asante dada

  • @AliceDhahabu
    @AliceDhahabu 3 місяці тому

    Nimejifunza mengi sana asante

  • @juliethwiliam5011
    @juliethwiliam5011 4 місяці тому

    Mwenyezi mungu akubariki sana dadaangu umenitengeneza upya🙏

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 4 місяці тому +1

    Amina dada...mimi nina nguvu,mimi ni shujaa mimi ni tajiri

  • @bernardmalisawa3748
    @bernardmalisawa3748 4 місяці тому +1

    Nguvu za univers ikubariki

  • @DinoSamwel
    @DinoSamwel Місяць тому

    Ameni

  • @SaidSuleiman-hn4rq
    @SaidSuleiman-hn4rq 4 місяці тому +1

    Ameen

  • @tanoamani2205
    @tanoamani2205 4 місяці тому +1

    Mimi sistahili kuwa masikini.
    Nipo tayari kupokea muujiza wangu.

  • @concareenpius
    @concareenpius 4 місяці тому +1

    Kweli mimi nimimi na hakuna kma mimi

  • @zenobiusmahenge5476
    @zenobiusmahenge5476 4 місяці тому +1

    Amen

  • @DorcaKoy
    @DorcaKoy 4 місяці тому

    mimi.ni tajiri mkubwa sana na nina imani na nguvu za ulimwengu.inshala

  • @Veronica-kx1pt
    @Veronica-kx1pt 4 місяці тому

    Ameeen dad

  • @KostantiniDonati
    @KostantiniDonati 4 місяці тому +1

    Asante kwa somo zuri nina swali apa dada naomba uniambie maana ya hihi namba 1717 na 1818

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 місяці тому

    Ahsante sana❤

  • @virginiamusya4540
    @virginiamusya4540 4 місяці тому

    Thank you my sister for your teachings,, intact unanibariki sana.

  • @christineawonda
    @christineawonda 4 місяці тому +1

    Amina kweli mimi ni shujaa

  • @mariamwanga8431
    @mariamwanga8431 4 місяці тому

    Asante sana amina

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 4 місяці тому +1

    Asante Unvers

  • @PeterPeter-qp7iq
    @PeterPeter-qp7iq 4 місяці тому

    Asant sana

  • @felixkampamba9597
    @felixkampamba9597 4 місяці тому +1

    Kweli kabisa

  • @MugiranezaSabrina
    @MugiranezaSabrina 3 місяці тому

    Kweli kabisa ❤❤

  • @khalfanabdullahumoud4212
    @khalfanabdullahumoud4212 4 місяці тому

    Nimesoma

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 3 місяці тому

    Isha allah 🙏🙏

  • @Mwakalimga
    @Mwakalimga 4 місяці тому

    THANK YOU 🙏❤❤❤❤❤❤❤

  • @alexmwika9299
    @alexmwika9299 4 місяці тому

    Ameen dadagu

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 місяці тому

    Aminaaaa

  • @ReemaSimunyemba
    @ReemaSimunyemba 4 місяці тому

    Aminaa. Mimi ni mimi ninajiamini.

  • @helenaxander3585
    @helenaxander3585 4 місяці тому +1

    Mungu akupe miaka mingi dada

  • @MarryMmba
    @MarryMmba Місяць тому

    Nikweli Mimi ni Mimi na ninaweza kufikia malengo yangu.

  • @poulynmsoya7334
    @poulynmsoya7334 4 місяці тому

    Kwa jina la yesu mmi ninaweza

  • @JumaMgeri-fb2qs
    @JumaMgeri-fb2qs Місяць тому

    Hakika Mimi nimejitambua ktk Maisha yangu nitafanya mabadiliko

  • @RaphaelmagesaTaro
    @RaphaelmagesaTaro 3 місяці тому

    Naipenda nafsi yangu

  • @PaulineMwelo
    @PaulineMwelo Місяць тому

    Naamini katika nguvu za ulimwengu nipo tayari kubadilika anina

  • @BaptistaAndré-f4m
    @BaptistaAndré-f4m 4 місяці тому

    Mimi ni mshindi apa duniani kwa jina la yesu kristo

  • @ChristinaMakumbule
    @ChristinaMakumbule 4 місяці тому

    Ahsante,Mimi ni wathamani sana

  • @EverlineagathaNyangau
    @EverlineagathaNyangau 4 місяці тому

    Ameeeeen

  • @pascaliah
    @pascaliah 4 місяці тому

    Napenda kukaa peke yangu sana....am a loner

  • @AnnaMushi-d3g
    @AnnaMushi-d3g 4 місяці тому +1

    Dada mungu akulind saaan , mm sitaki kua masikin ombilangu kwako