NDOTO 10 NYOTA YAKO IPO INATUMIWA NA WATU WENGINE! WAKAANGE HIVI KWA NINA LA YESU WARUDISHE CHAP.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2023

КОМЕНТАРІ • 90

  • @agnesotieno1826
    @agnesotieno1826 16 днів тому +1

    Namushukuru mungu kwa elimu juu ndoto ya kwanza hadi ya tisa zote Nisha ziota zingine na rudia Kila mara naomba mungu nisaidie nyota yanyu urudi

  • @evamuhaji
    @evamuhaji 19 днів тому

    Amina ubarikiwe mtumishi Asante kwa haya maarifa

  • @JoanReuben-mf4fq
    @JoanReuben-mf4fq Місяць тому +1

    Amen MUNGU akubariki mtumishi wake Kwa mafundisho mazuri

  • @KakuleAnicet
    @KakuleAnicet 4 місяці тому +1

    Amen, ubarikiwe milele mtumishi naamini ya kwamba nime okolewa na yesu kwa kusikiya mafundisho hiyo

  • @user-uq2wn6eo2r
    @user-uq2wn6eo2r 7 місяців тому +2

    Asante sana. Hizi ndoto tangu ya kwanza (1) mpaka nane (8) naziona mara mingi. Shukrani kwa mashauri. Amen

  • @a2zelinkgroup934
    @a2zelinkgroup934 3 місяці тому +1

    Amen,ubarikiwe milele mtumishi wa mungu nataka muniombeye niolewe

  • @user-vo6vl1hq7x
    @user-vo6vl1hq7x 7 місяців тому +6

    Oooh Mungu nisaidie, ndoto zote nimeziota sana! Na jana niliota mwanamke ninae mfaham alikua ananiingilia kinyume na ana maumbile ya kiume nilishituka nilikua namaumivu sehem hiyo, nikakamata huo nikautoa kwangu , nikaamka yapata sa nane usiku!

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  7 місяців тому +2

      Cancel ROHO ya KISHETANI HIYO! Kwa jina la YESU KRISTO. Jitahidi KUACHA dhambi na kuomba rehema Kwa KUFUNGA

    • @user-vo6vl1hq7x
      @user-vo6vl1hq7x 7 місяців тому

      Asante 🙏

    • @harryvice77
      @harryvice77 5 місяців тому

      Daaa eee yesu wangu naomba unisaidie nimeotaka nagolewa meni niliskia maumivu sanah

    • @gatwiriderrick
      @gatwiriderrick 5 місяців тому +1

      Pastor niliota mnyama akinipanda mabegani na wengine warefu wakinifuata

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  5 місяців тому +1

      @@gatwiriderrick shambulizi la KIROHO. OMBA

  • @user-kt2ss2kw2t
    @user-kt2ss2kw2t 3 місяці тому +1

    Ameni Mtumishi wa bwana. Mungu akubariki sana

  • @user-dz4he8su4e
    @user-dz4he8su4e Місяць тому

    Amen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu siku hizi naota lakini nashindwa kueleza nmeota nini

  • @user-vo6vl1hq7x
    @user-vo6vl1hq7x 7 місяців тому +2

    Kwa kweli mtumishi wa Mungu unatupa maarifa MUNGU atakubariki

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 5 місяців тому +1

    Amen ubarikiwe mtumishi niombee baba na mimi naota ndoto hizi ili mungu anilejeshee nyota yangu

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  5 місяців тому +2

      Tamka Kwa SAUTI mara 3 Kwa jina la YESU KRISTO. NYOTA yangu njoo HARAKA ⚠️. Kwa jina la YESU KRISTO na Kwa NGUVU za ROHO MTAKATIFU. Tuma MAOMBI 3 HUMU. Na Kuna vitabu vya KUKUSAIDIA HARAKA ⚠️ tunakutumia Whatsapp HARAKA

  • @kokusimarwakilomba7662
    @kokusimarwakilomba7662 17 днів тому

    AMINA.
    MUNGU AKUBARIKI.

  • @RoseMageni-hz2ni
    @RoseMageni-hz2ni 3 місяці тому +1

    Shalom baba mtumishi mimi niliota nilikua na mama mmoja wa kanisani tukawa tunatembea maporini mara kinyonga akaniralua yule mmama akanipaka dawa za kijani kwenye ile michirizi mpaka leo nimechoka sina nguvu za kufanya kazi nini maana ya hii naomba nisaidie namna ya kuomba baba ahsante kwa kutuletea msaada

    • @Fatumamohamedi-ny8ig
      @Fatumamohamedi-ny8ig Місяць тому

      Shalom mtumishi wa mungu,Nahitaj ichor kitabu nakipataje??pia nahitaj maombi

  • @user-te2fp7nb8z
    @user-te2fp7nb8z 6 місяців тому +1

    Amen.Mbingu zikubariki sana.shawahi ota nipo kanisan nanyolewa nywele

    • @user-te2fp7nb8z
      @user-te2fp7nb8z 6 місяців тому

      Sasa apo Mtumishi Ina maana wakanisan ndo walininyoa ama ko wanatumia nyota angu

    • @wamichezomorrice6651
      @wamichezomorrice6651 5 місяців тому

      Mimi niliwai kupoteza nguo zangu n adi sasa sijui zilizopo

  • @user-ij2ye2hr7s
    @user-ij2ye2hr7s 6 місяців тому +1

    Mungu akubariki baba niombee niliota nguo zangu zimechanwachanwa tena zile nzuri ninazoziamini kumbe ilikuwa ni taarifa kuwa kazini kuna mahali nimechafuliwa.

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 7 місяців тому +1

    Asante sn Mtumishi

  • @ErickFwani
    @ErickFwani 6 днів тому

    Niombe mtumishi wa mungu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 7 місяців тому +1

    Asante sana mtumishi

  • @user-zz2zx3kw7x
    @user-zz2zx3kw7x 5 місяців тому +1

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @user-uq4he9zy7v
    @user-uq4he9zy7v 4 місяці тому

    Asante sana mtumishi wangu umenifungua macho mana naota ndoto za ajabu

  • @user-pp3rp5ss8u
    @user-pp3rp5ss8u 7 місяців тому +1

    Thanks very much apostle,God bless you 🙏

  • @susynjambi
    @susynjambi 7 місяців тому +1

    Fast for 3 or 7 days 12hrs
    Shukuru Mungu
    Kuomba rehema kusamehewa dhambi na kusamehe wengine
    Omba neema ya Yesu kristu akusaidie kuepuka mitego ya shetani
    Kitabu cha
    Isaiah 60:1-28
    Hesabu 23:23
    Sabuli 118:17
    Kitabu cha kuhalipu mipango ya giza👇👇
    Isaiah 44:24-25
    Kitabu cha kufuta nyota
    Isaiah 60
    Matayo 5:16
    Kumbukumbu la torati:28:1-14
    Matayo 2:9-12
    Hesabu 2:6-9
    Isaiah 45:3
    Shukuru kwa
    Sabuli 113 117 150

  • @gladyswekesa6280
    @gladyswekesa6280 7 місяців тому +2

    asante sana hizi ndoto zote nimeziota

  • @angelineerum1472
    @angelineerum1472 7 місяців тому +1

    Asante Kwa mafundisho, niombee ndoa yangu ina changamoto , imefika mahali Sina interested nayo , simtaki mwenzangu kabsa nahisi kumchukia

  • @rukiamghena6289
    @rukiamghena6289 5 місяців тому

    Amen asante Sana mtumishi

  • @bihamasoantoinette80
    @bihamasoantoinette80 7 місяців тому +2

    Eee Mungu wangu tuokowe bwana tusaidie Baba ndotoni

  • @hellenkemunto5357
    @hellenkemunto5357 Місяць тому

    Mutumishi langu sikuota nilimuona muganga kwa umbali anakuja akitazama maandiko ya Kila duka na alikuwa amevaa kiuganga roho akaniambia ananitafu nikaingia ndani ya duka yangu nikikemea kesho yake akaja kwa duka akiwa amevaa suit akaniambia dada nimefutiwa na hii mpesa ngapi nkamjibu akasema ila hiwesi mvaa mtu ninaye mnunulia nkamuambia siku ngine basi akaniambia muuso muzuri akaenda. Sasa mutumishi anawesa kuwa aliniipia nyota

  • @JanetJumwa-zf7nn
    @JanetJumwa-zf7nn 6 місяців тому +1

    Mungu nisaidie mm naota nko harusini lkn harusi hiyo ungeuja nikawa mazishi nifanyeje

  • @giftmathias6344
    @giftmathias6344 4 місяці тому +2

    Jaman🙆‍♂️ vipi ukiota aliyekupiga risasi unamfaham? Inamaanisha yeye ndiyo adui wako kwenye uhalisia?

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому +3

      Ni ADUI anaye fuatilia KUHARIBU MAISHA YAKO. Kuwa MAKINI naye na OMBA Sana.
      Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa mungu kwa dhambi ulizotenda na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103. Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150.
      Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12.
      Ombea haya
      1. Rehema
      2.imani
      3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako
      Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1
      Mungu akubariki sana.
      Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa

    • @giftmathias6344
      @giftmathias6344 4 місяці тому

      @@shiningstarheavenlyembassy amen🙏

  • @DianaLiving-vt1lo
    @DianaLiving-vt1lo 6 місяців тому +1

    Asante sana mtumishi mimi Kuna ndoto naota sana ila cja wai kuilewa naota nafukuzwa na watu wengi sana pale wanapo nikalibia tu mi naanza kupaa kwenda juu wale watu Nita kuwa nawaonea chin mda mwingine nabaki naimba nyimbo za din mpaka Nita kapo amka ,

    • @DianaLiving-vt1lo
      @DianaLiving-vt1lo 6 місяців тому +1

      Nyingine naota ndugu zangu marehem walio kufa mda nikiwa nasoma shule ya Msingi hao marehem nilikuwa naishi nao kalibu sana Sasa nawaota wakinipa Hela ya kwenda nayo kuitumia wakati saiz ni mtu nzima na familia yangu japo Kwa Sasa hii ndota nikama miaka 4 ime pita ila kuota ila dhaman ili nitesa sana mda mwingine nilikuwa napokea mda mwingine ana tokea mtu kati kati ana ipushi Ile Hela Ina dondoka

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому

      @@DianaLiving-vt1lo ROHO ya MAUTI na HASARA inakuandama. Yule anayeipush ikaanguka ni Malaika WA bwana Ili kukuepusha na ROHO ya kigiliska na hasara

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому

      @@DianaLiving-vt1lo Yohana 10;10

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому +1

      MASHAMBULIZI, ila ROHO MTAKATIFU ANAKUSAIDIA kukuepusha na SHETANI

    • @DianaLiving-vt1lo
      @DianaLiving-vt1lo 6 місяців тому

      Asante mtumishi wa mungu

  • @JaneKatambachi
    @JaneKatambachi Місяць тому

    Ameen amen 🙏

  • @user-bd7gf8xl9x
    @user-bd7gf8xl9x Місяць тому

    Mimi naota sana sana na spiritual husband ni sadie pastor

  • @lizahbaey907
    @lizahbaey907 5 місяців тому +2

    Nliota nipo na mganga anataka kunifanyia dua

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  5 місяців тому +1

      Kataa ROHO ya KICHAWI INATAKA kuiba NYOTA YAKO. ACHA DHAMBI OMBA rehema Kwa Mungu HARAKA ⚠️

  • @bethwairimu-gu3cu
    @bethwairimu-gu3cu 6 місяців тому

    Mungu akubariki sana

  • @CeciliaWangui-uz5fo
    @CeciliaWangui-uz5fo 5 місяців тому +1

    Azifiwe Mugu Naitaja Maopi Kwa Ajili Ya Dowa Ya Dada Yagu Iwenaamani Amejaribudowa Nyiki Kiladowa Ajawayi Kuwana Amani Nasasa Ameolewa Tena Lakiniana Amani Maopiyenu Itamuba Amani Dada Yaku Phanice Nagila Wanyonyi

  • @ElizabethSamson-tl2uy
    @ElizabethSamson-tl2uy 2 місяці тому +1

    Mmmh hiz ndoto za kula kutembea peku uchi mifelej ya dam niliwahi kuota nanyolewa nywele na mganga akanpaka dawa

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  2 місяці тому +2

      Omba sana giza likuache

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  2 місяці тому +2

      Kabla ya kuomba chochote Mshukuru Mungu na kwa ukuu wake na kuwa Amesha kujibu maombi yako na anakusikia na huwa anakusikia siku zote soma isaya 65:24
      Baada ya shukrani. Yafaa ujioshe na kujitakasa kwa damu ya Yesu Kristo.
      Pia teka fikra zako zimtii kristo na kuruhusu elimu ya Mungu na Mapenzi yatawale maisha yako hapa duniani kama huko mbinguni.
      Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa Mungu kwa dhambi zako zote ulizotenda unazozijua na usizozijua na pia badilika kabisa na maanisha na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103.
      Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150.
      Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12.
      Ombea haya
      1. Rehema
      2.imani
      3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako. Ruhusu moyo wako upondeke na kuvunjika mbele ya Mungu.
      Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1
      Ukimaliza maombi mshukuru Mungu kwa majibu na ukuu wake. Usio wa kawaida.
      Mungu akubariki sana.
      Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  2 місяці тому +1

      Kabla ya kuomba chochote Mshukuru Mungu na kwa ukuu wake na kuwa Amesha kujibu maombi yako na anakusikia na huwa anakusikia siku zote soma isaya 65:24
      Baada ya shukrani. Yafaa ujioshe na kujitakasa kwa damu ya Yesu Kristo.
      Pia teka fikra zako zimtii kristo na kuruhusu elimu ya Mungu na Mapenzi yatawale maisha yako hapa duniani kama huko mbinguni.
      Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa Mungu kwa dhambi zako zote ulizotenda unazozijua na usizozijua na pia badilika kabisa na maanisha na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103.
      Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150.
      Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12.
      Ombea haya
      1. Rehema
      2.imani
      3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako. Ruhusu moyo wako upondeke na kuvunjika mbele ya Mungu.
      Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1
      Ukimaliza maombi mshukuru Mungu kwa majibu na ukuu wake. Usio wa kawaida.
      Mungu akubariki sana.
      Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa

    • @ElizabethSamson-tl2uy
      @ElizabethSamson-tl2uy 2 місяці тому +1

      Asante,amen mtumishi wa mungu

    • @ElizabethSamson-tl2uy
      @ElizabethSamson-tl2uy 2 місяці тому +1

      Umenitia moyo sana barikiwa

  • @MarryNnko
    @MarryNnko 6 місяців тому

    Naomba msaada wako mtumish nmeota ndoto hiz jana nmeota boss wangu amenkasirikia kama vle nafukuzwa kaz nkaanza kupiga magoti nakuomba msamaha

  • @winceratieno2993
    @winceratieno2993 5 місяців тому

    Mimi nikilala naota mtu anafanya uzinzi na mimi kila saa, naomba niombee tafadhali.

  • @jacklinecoata4214
    @jacklinecoata4214 Місяць тому +1

    Mtumishi me nilishaota nimepewa nyama alfu nikatapika inamaana gani na mtu simjui

  • @AudreyMuhimpundu-oo8ek
    @AudreyMuhimpundu-oo8ek 6 місяців тому

    Shalom , mchungaji nishaota mara mbili eti nimepostiwa mtandaoni niko uchi , nishaota mara nyingi nafanya mapenz ndotoni , nishaota mara nyingi tuu niko nakula , nakumbana na vitu vya ajabu mpaka nahisi kama nyota yangu washagaiziba kbs

  • @user-yi5oi3bj1e
    @user-yi5oi3bj1e 5 місяців тому

    Mungu aingilie Kati kwakweliunapatikana wapi pasta

  • @gladyswekesa6280
    @gladyswekesa6280 7 місяців тому +1

    naomba usaidizi wa kujua jinzi ya kufunga sababu naishiwa na nguvu ninapoanza kujiandaa na mambo ya kuombana kufunga

  • @user-lx1ls2si7z
    @user-lx1ls2si7z 3 місяці тому

    Nimetafta kazi sipati nifanye aje

  • @mildredoenga4651
    @mildredoenga4651 6 місяців тому

    Nilikua nakimbia nikapewa kiteri yente ina maganda na jirani yetu nyumbani🤔🤔🤔

  • @user-iw3zk6sj9c
    @user-iw3zk6sj9c 6 місяців тому +2

    :

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 6 місяців тому +1

      Barikiwa sana tunashukuru sana kwa masomo yadoto Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake ..

  • @bethwairimu-gu3cu
    @bethwairimu-gu3cu 6 місяців тому +1

    Kuna mutu ana subua mimi kwadoto