UKIOTA NDOTO YA MKOJO AU UKIKOJOA INA MAANA HII KIBIBLIA- Apostle Johaness John

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2023

КОМЕНТАРІ • 23

  • @user-cs4wh8ez7m
    @user-cs4wh8ez7m Місяць тому

    Amen

  • @user-gw4vv5uh9z
    @user-gw4vv5uh9z 7 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe sana sana mwanangu mpaka Sasa anakojoa kitandani ana umri ya miaka 16 anaota anakojoa kitandani mpaka sasa

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 3 місяці тому

    Asante sana ubarikiwe

  • @FlorenceNdakola
    @FlorenceNdakola 11 місяців тому +1

    ASante sana nabii wa ndoto,Ila na tamani nijuwe maana ya ndoto,kuota una zaa

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 місяців тому +1

      Kama una mimba na unategemea jujifungua mungu anakuonesha utazaa MTOTO WA aina GANI ila kama UPO single au HUNA mimba hii inaonesha MTOTO WA KIPEPO atakaye haribu uzazi WAKO, NDOA Yako , HATIMA Yako au MAISHA Yako. Cancel hiyo ROHO ya Giza Kwa jina la YESU KRISTO

  • @IrenaFrance-zk8sf
    @IrenaFrance-zk8sf 20 днів тому

    Niliota nakojoa kwnye shamba la migomba la kwetu kuna mtu alikuwa anataka anichungulie nikamwambia sitak unichungulie akaondoka nikakojoa nikiwa na furaha kwel kisha nikawa narud nyumbn uku ninafuraha

  • @PeninahKedogo
    @PeninahKedogo 8 днів тому

    Ukionda umekojoe mkojo mwishowe ni nyeupe kama maziwa inamanisha Nn??

  • @TeddyMustaphaMustapha
    @TeddyMustaphaMustapha 5 місяців тому +1

    Bwana yesu asafiwe nimeota nakojoa juu ya kaburini but kuna mwanamke alisimama akinisubiri but chaajabu nilikojoa kweli jamani nisaidie Mtumishi

  • @rachealsidi587
    @rachealsidi587 8 місяців тому +2

    Mim sikuota bali nilipo kua kenya nilikua usiku kama nataka kulala mpaka panya anikojolee na nikaanza kuwa na maisha magumu mpaka ndio nikaamua kusafiri

  • @KibukilaEmmanuel
    @KibukilaEmmanuel 7 місяців тому

    Mimi naotaka maake nimekawa kukojowa naapo naenda kojowa usiku ao nilamuke niombe Mungu

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 2 місяці тому

    Mtumishi,je ukiota unakojoa chooni kuku wanakunywa mkojo wakati unakojoa inamaana Gani?,nisaidie pls

  • @Moserichard96
    @Moserichard96 3 місяці тому +1

    Naomba number yako yenye naeza kupata kua mazungumzo saidi, ubarikiwe sana

  • @haikashayo4308
    @haikashayo4308 3 місяці тому +1

    Nimeota nmejikojolea mmevaa suruali nikachuchumaa nataka kukojoa lakini nikajikojolea

  • @vellahsimiyu2152
    @vellahsimiyu2152 2 місяці тому

    Niliota ninakojoa kwenye mkebe ndani ya nyumba na nilikuwa na mume wangu tuliyeachana miaka miwili na kushtuka nilikuwa nimejikojolea kweli. Hii ina maana gani?

  • @user-te5hj9gt8x
    @user-te5hj9gt8x 5 місяців тому

    Mi niliota nakojoa alafu nkaashtukia nmekojoa kwa malazi ina maana gani

  • @user-ub8yn7ev3d
    @user-ub8yn7ev3d 4 місяці тому

    Niliota na kojoa kitandani

  • @FridahFridahcent-qk8hw
    @FridahFridahcent-qk8hw 9 місяців тому

    Ukiota unapewa mahindi kwa kikabu au kwa mvuko inamaana gani