NDOTO HIZI 8 ZINAONESHA KARAMA YA UTUMISHI MKUBWA WA MUNGU WA KIMATAIFA. NA MUNGU ANAKUPENDA SANA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2023
  • NDOTO HIZI 8 ZINAONESHA KARAMA YA UTUMISHI MKUBWA WA MUNGU WA KIMATAIFA. NA MUNGU ANAKUPENDA SANA!

КОМЕНТАРІ • 47

  • @irineDancan
    @irineDancan 14 днів тому +1

    Amen and amen Mungu akubariki sana kwamafundisho mtumishi wa Mungu

  • @Thuma_junior
    @Thuma_junior 23 дні тому

    Mungu abariki mtumishi 😭😭😭😭na malaika wake wakuongoze hii clip imenigusa ndani ya nafsi yangu nikiwa muislam nikama unaona ninayopitia kwa usingizi na cjajijua shukran sana umenipa muongozo

  • @stanleytouwa
    @stanleytouwa 4 дні тому

    Amina. Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU.

  • @hellenkemunto5357
    @hellenkemunto5357 Місяць тому

    Amen Amen Amen barikiwa

  • @RahelNicholas-ro4qx
    @RahelNicholas-ro4qx 20 днів тому

    Bwana yesu asifiwe nimeota rafiki angu wa zaman sana anapaa mbinguni anaongea na mungu na akirudi ukijarbu kumuulza mungu kakuambia nini hasemi anakua bubu anakua anakuangalia t, alienda mara nyingi lakini hatua ya mwisho mungu alileta mnyama akammeza nkabaki mimi nini maana yake🙏

  • @user-cq8vr4uk4m
    @user-cq8vr4uk4m Місяць тому

    Amen Amen

  • @user-xx6yr1fj5r
    @user-xx6yr1fj5r 9 місяців тому +2

    Amen.
    Mtumishi wa Mungu. sikuwa ninajua kwamba mimi ni Nabii.
    kwa Ndoto hizi, zinanihusu.
    Nimeamua kusimama na kutumuka katika nafasi yangu ya Unabii.
    Ninaomba Mungu anisaidie.
    Amen

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому +2

      MUNGU AKUSAIDIE Sana 🙏🙏🙏 na kujitoa NGUVU KUBWA KUPITIA ROHO MTAKATIFU

    • @zenoLasway
      @zenoLasway Місяць тому

      Mtumishi nakushikuru sana kwasaada huu barikiwa mwana wa Mungu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 10 місяців тому +1

    Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU

  • @AngelineKioko-qj4uw
    @AngelineKioko-qj4uw Місяць тому

    Asante mtumishi wa mungu kwa hakika umenielimisha barikiwa na mungu

  • @DeborahNyagawa-jy5gb
    @DeborahNyagawa-jy5gb 6 місяців тому +1

    Asante kwa kunifunua macho ya rohoni

  • @JaneUrio
    @JaneUrio Місяць тому

    Asante mtumishi kwa mafunzo haya kwakwel,ila ninajambo moja nisaidie ukiota unakusamayai mengi,au unalima shamba upande mmoja limezaaa n mwingine haujazaa mazao nni maana yake.

  • @agnesmafura9208
    @agnesmafura9208 10 місяців тому +1

    Thank you so much man of God

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk 13 днів тому

    Duh niliota watu wengi wamekufa Arusha kwenye mkutano wa mwamposa na ikatokea niliota wanawake wawili wakifunga ndoa baharini ndiyo roho za ushoga zikaanza kutangazwa hadi ya vimbunga niliota ikaja kutokea

  • @nelliaswamuyu8403
    @nelliaswamuyu8403 4 місяці тому

    Umenisaidia sana amen

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi Місяць тому

    Aleluyaaaaaaaaaaaaa 🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️🙏🏿🙏🏿

  • @catherinemwangj731
    @catherinemwangj731 8 місяців тому

    Amen be blessed

  • @jacksonnungu6127
    @jacksonnungu6127 Місяць тому

    Bwana Yesu asifiwe.niliota nikiwa naogelea baharini na former president uhuru kenyatta na nikaota nikivunja madhabao nyumbani kwa njia ya maombi alafu tena nikaota nikitoa maembe kwa mwembe ulikuwa umezaa sana

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 2 місяці тому

    Balikiwa sana mtumisi wa mungu

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 3 місяці тому

    Amen

  • @olivajulius4225
    @olivajulius4225 9 місяців тому

    Amen apostle

  • @agnesthimoseo
    @agnesthimoseo Місяць тому

    asante mtumishi

  • @jonastakilihona
    @jonastakilihona 29 днів тому

    Niliwahi kuona angani maneno yameandikwa YESU NI YOTE, YOTE KATIKA YOTE

  • @PerusePheles
    @PerusePheles 2 місяці тому +1

    Shalom mm huota nanena

  • @user-cq8vr4uk4m
    @user-cq8vr4uk4m Місяць тому

    Mimi na penda Ota niko na ubiriya

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 10 місяців тому +1

    Woii mitishamba huwa naoneshwa afu narudi kuzisahau,😢ata nimewai oteshwa wimbo kuamka nikausahau adi leo😢afu ndoto zenye mi hukumbuka tu niza maafaa tu sijui saitan ananiwinda saana jamani Mungu anisaidie 🤲🤲🤲

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 8 місяців тому

    Mchungaji nikumbuke kwa maombi natamani kumtumikia Mungu

  • @JeniferIminza-ur3wj
    @JeniferIminza-ur3wj 9 місяців тому

    Mimi niliota tunaombewa wengi lkn venye uyo mama alifika kwangu akuomba alinikumbatia na kusema nimemupea yenye iko ndani yangu na akiendelea kuomba akaenda

  • @nancynancynancyw4931
    @nancynancynancyw4931 8 місяців тому

    Mimi liandikiwa herufi pqh na zingine hapo niwaabia wenye tulikua na wao watazame hawakuona kitu lakin mimi nilikuwa na yaona tu

  • @DeborahNyagawa-jy5gb
    @DeborahNyagawa-jy5gb 6 місяців тому +2

    Niliota maghufuli rais kabla hajafa ananibariki kwa kunipa sh 100watu wakawa wananishangaa kwelikweli akaniambia hiyo sh 100 nitalisha yatima nitasaidia wasiojiweza nitkula mpaka kizazi cha nne nitajenga makanisa nitalisha watumishi wake yaani mtume nmekuwa navita saana baada ya ndoto hii

  • @BellyKepher-jq7ef
    @BellyKepher-jq7ef 10 місяців тому +1

    Mimi niliwahi kuoneshwa mti flani wa uponyaji

  • @user-bk8dx3zt9y
    @user-bk8dx3zt9y 5 місяців тому

    Apost hizi ndoto zote ni mesha ziota Ila kwa kuanzoya n'a omba uni sahidiye

  • @matridamahundi2090
    @matridamahundi2090 10 місяців тому

    Mchungaji habar mm naota Niko na wenzangu tukiimba sana nyimbo za injiri na zingine nazijua na zingine sizijui ila naota naimba tena sauti nzuri mnoo na nyimbo nisizozijua hua naamka adi najitahidi kuimba nikiwa najalibu kuzikumbuka

  • @EdithaMyenzi
    @EdithaMyenzi 10 місяців тому

    Niliota Kuna mama amekuja kwangu anamapito mazito anataka nimuombee nikamwambia mwamini tu Mungu atakutoa ktk matatizo hayo wakati nazidi kumtia moyo Mungu anaweza kukuokoa nikaoma maandishi ktk ukuta kibao kimeandikwa matayo 7:7 nikawa namwambia unaona Neno la Mungu ingawa nilikua sijui limeandikwa Nini nilipo amka ndio nikasomà Biblia KUJUA kile kimeandikwa

  • @rosemaryauma6730
    @rosemaryauma6730 10 місяців тому

    Ukiota mwenye alikua anakupea unabii ni yule mme ambaye muliachana inamanisha nini

  • @JosephineKimbifya-qf1yv
    @JosephineKimbifya-qf1yv 3 місяці тому

    Amen