Aina 4 za Embe ambazo ni nzuri zaidi kwa kulima kibiashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @ndondeonlinetv9594
    @ndondeonlinetv9594 6 місяців тому

    Napendakujifunza KILIMO Cha embe fupi za kisasa

  • @hamidamsekwa
    @hamidamsekwa 9 місяців тому

    Mm nahitaji kwa ajili ya kula tu

  • @YASININYAWANGELE-em2hp
    @YASININYAWANGELE-em2hp Рік тому

    Mche mmoja ni bei gani

  • @blackmoy1999
    @blackmoy1999 Рік тому

    Napataje mbegu za embe za apple

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 4 роки тому

    kazi nzuri, miche ya miembe bei gani, na inachukua miaka mingapi kuanza kuzaa

    • @kilimobiashara6762
      @kilimobiashara6762  4 роки тому

      Asante sana. Miche 3000 kwa mche. Inachukua miaka 3 tu kuanza kuzaa

    • @BresnationMedia
      @BresnationMedia 4 роки тому

      Eka moja inapandwa miche mingapi, na inapandwa kwa nafasi zipi?

    • @wilsonmpollo1613
      @wilsonmpollo1613 3 роки тому

      @@kilimobiashara6762 naomba NBA zako bosi nikucheki naitaji miche

  • @theodosiajohn2424
    @theodosiajohn2424 Рік тому

    Unapatikana wapi?

  • @aishakyejo5565
    @aishakyejo5565 2 роки тому +1

    Naulizia soko la jumla (kama kuna kampuni au organization) la embe mkoa wa pwani

  • @isayamtanda8484
    @isayamtanda8484 4 роки тому

    Naomba mawasiliano tafadhali

  • @remmysbrand
    @remmysbrand 2 роки тому

    Ninaitaji mbeguuuuuu

  • @jimymagere1794
    @jimymagere1794 Рік тому

    Miche tommy na keitt unauzaje mi nipo Tabora

  • @menaurumartin4920
    @menaurumartin4920 4 роки тому +1

    Mwembe Wa tommy unachukua muda gani kuanza kuzaa??na INA zaa Mara ngapi kwa mwaka??

  • @hamisidihenga8831
    @hamisidihenga8831 4 роки тому

    Inazaa embe kuanzia ngapi ukiwa mkubwa?