Kilimo Biashara
Kilimo Biashara
  • 30
  • 106 590
Drip irrigation kwenye Papai - Zinga Bagamoyo
Project ya Papai
Karibu ujipatie miche mizuri ya Papai zile za muda mfupi. Aina ya Papai ni Malkia F1 ambayo ni nyekundu ndani na ni tamu sana.
Miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna.
Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno. .
Kitalu chetu cha miche ya Papai kipo Kimara Kona, Dar
Tunafanya delivery, kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa). Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa. .
Pia karibu sana Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa.
Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk.
Vilevile tunazo Drip maalum kwa ajili ya matunda kama papai, pesheni, migomba nk
Wasiliana nasi kwa huduma bora na nafuu za kilimo.
Simu: 0763071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net 071007
Email: ushauri@kilimo.net
Переглядів: 1 058

Відео

Faida za Drip Irrigation
Переглядів 5173 роки тому
Nimekuletea somo zuri la Drip Irrigation, naamini ukifuatilia somo hili hadi mwisho utajifunza sana. Usiache kuweka comment yako hapo chini. Pia karibu sana Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa. Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk. Vilevile tunazo Drip maalum kwa ajili ya matunda kama papai, pesheni, migomba nk...
Kilimo cha Papai
Переглядів 2,1 тис.4 роки тому
Kilimo cha Papai
Drip Irrigation kwenye Papai
Переглядів 1784 роки тому
Drip Irrigation kwenye Papai
Kilimo bora cha Vitunguu maji - Part 2
Переглядів 16 тис.4 роки тому
Kilimo bora cha Vitunguu maji - Part 2
Kilimo Cha Pilipili Hoho za rangi kwenye Greenhouse
Переглядів 4404 роки тому
Kilimo Cha Pilipili Hoho za rangi kwenye Greenhouse
Kilimo cha Papai. Jinsi ya kuweka Mbolea ya Kukuzia.
Переглядів 2,8 тис.4 роки тому
OFA OFA OFa Karibu ujipatie miche mizuri ya Papai zile za muda mfupi kwa bei ya Ofa . Tareh 1 had 15 July 2020 Miche inapatikana kwa OFa ya punguzo la bei 2,500 tu kwa mche badala ya 3,000. Aina ya Papai ni Malkia F1 ambayo ni nyekundu ndani na ni tamu sana. Miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna. Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno. . Kitalu chetu cha m...
Drip Irrigation maalumu kwa ajili ya Matunda - (simu 0763071007)
Переглядів 2334 роки тому
Drip Irrigation maalumu kwa ajili ya Matunda - (simu 0763071007)
Kilimo cha Vitunguu - Part 1
Переглядів 4,4 тис.4 роки тому
Kilimo cha Vitunguu - Part 1
Greenhouse mpya - @Majengo Moshi
Переглядів 654 роки тому
Mrejesho kutoka kwa Wateja wetu tuliowajengea Greenhouse pale Majengo Moshi. karibu ujipatie Greenhouse nzuri sana kwa gharama nafuu. tucheki kupitia 0763071007
Kilimo cha Papai - Mlandizi (Simu: 0763071087)
Переглядів 2994 роки тому
Hapa ni shambani kwa mteja wetu wa Mlandizi. Papai zake zimekaribia kabisa kuvuna Karibu ujipatie Miche bora ya Papai pamoja na ushauri wa kitaalamu. Unapopata Miche kutoka kwetu tunakupa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji hadi kuvuna. tunatemblea shamba mara kwa mara na kukupa ushauri tucheki kupitia 0763071007
Aina 4 za Embe ambazo ni nzuri zaidi kwa kulima kibiashara
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Aina 4 za Embe ambazo ni nzuri zaidi kwa kulima kibiashara
Miche bora ya matunda mbalimbali
Переглядів 2,3 тис.5 років тому
Miche bora ya matunda mbalimbali
Faida 8 za Greenhouse
Переглядів 1,8 тис.5 років тому
Faida 8 za Greenhouse
Masoko Mazuri yenye Faida kubwa zaidi
Переглядів 1,6 тис.5 років тому
Masoko Mazuri yenye Faida kubwa zaidi
Tikiti Maji - Kitabu kizuri
Переглядів 2475 років тому
Tikiti Maji - Kitabu kizuri
Kilimo cha Tikiti - Masoko
Переглядів 7 тис.5 років тому
Kilimo cha Tikiti - Masoko
Kilimo cha Papai - Bagamoyo
Переглядів 3445 років тому
Kilimo cha Papai - Bagamoyo
Kilimo cha Tikiti Maji - Part 2
Переглядів 27 тис.5 років тому
Kilimo cha Tikiti Maji - Part 2
Kilimo cha Tikiti Maji - Part 1
Переглядів 6 тис.5 років тому
Kilimo cha Tikiti Maji - Part 1
Kilimo cha Papai- Papai zimekubali haswaa - 0763071007
Переглядів 5905 років тому
Kilimo cha Papai- Papai zimekubali haswaa - 0763071007
Miche bora ya Papai -
Переглядів 1206 років тому
Miche bora ya Papai -
Kilimo cha Papai.
Переглядів 6256 років тому
Kilimo cha Papai.

КОМЕНТАРІ