AINA MBALIMBALI ZA MAEMBE YAFAAYO KWA BIASHARA
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Tazama video upate kufahamu aina mbalimbali za maembe yafaayo kibiashara.
Karibu Frida Homestead kwa miche bora ya matunda ya kisasa
Tunapatikana kwa number ya whatsup +255627457289, email: fridahomestead@gmail.com
Hongera sana dada
Amina Kaka🙏🙏🙏
Asante Dr kwa ufafanuzi mzuri juu ya matunda hayo..
Je kwa sisi tuliopanda miche ya maembe ya kisasa maembe tutakayo vuna yanakuwa na utofauti gani na hayo uliotuelezea katika Radha na kibiashara yakoje?
Na je Yana majina?
Amina, Karibu