UCHAWI MKUBWA WA FUKULIWA MBAGALA/KATIKATI YA VIWANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @SalmaMsangi-rf5lh
    @SalmaMsangi-rf5lh 5 місяців тому +2

    Wafichuliwe na moto wa Damu ya Yesu Kristo uwawakie bila kukoma na wataabishaji wa maisha ya watu, wachawii wote wakate motooooooooo wakaaaaaaa

    • @vickystellah3194
      @vickystellah3194 5 місяців тому

      Wapigwe na kufa

    • @ahmedabry293
      @ahmedabry293 5 місяців тому

      Yesu sio mkristo.. Ukristo umeanzishwa na paulo na Barnaba katika mji wa antyokia mwaka 47 AD maika 13 baada ya kuondoka duniani yesu..

  • @user-wk8tq5fh5l
    @user-wk8tq5fh5l 5 місяців тому +9

    Kwakweli mnashangaza sasa kuna tofauti gani na wanganga wa jadi ubirieni watu watubu wamrejee MUNGU hayo wala hawarawasaidia

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 5 місяців тому +4

    Jamani ACHENI tu uchawi upo iv vitu nime viona mie mwenyewe sio kuambiwa

  • @user-wk8tq5fh5l
    @user-wk8tq5fh5l 5 місяців тому +7

    Kweli watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Pole yenu

    • @aminajuma1156
      @aminajuma1156 5 місяців тому +2

      Kabisa Sasa si watu wanataka pesa kimefukiwa usiku asubui kinatolewa eeeh Mungu wangu nisaidie nisiingamie😢😢😢watu wanaibiwa sana

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      ​@@aminajuma1156... Walipokuja kufukia uliwaona, kufukua MBONA hukuwaambia watu hawa walikuja usiku wakuamini, na we ni MMOJA wa wafukiaji, hujafikwa utajua kweli utakapokutwa na Kuhani na mwalimu MUSA RICHARD MWACHA utamtafuta

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому +2

      HONGERA MWENYE MAARIFA, SISI TUNASONGA MBELE, HAYO YA KUKATISHWA TAMAA HATUANGALII, TUNAIMANI NA KUHANI NA MWALIMU MUSA RICHARD MWACHA TUNASONGA MBEKE

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      TUNASONGA MBELE

    • @user-fi6hb3lp5y
      @user-fi6hb3lp5y 5 місяців тому

      Nikweli kwani mjinga huamini Kila neno lakini mwerevu huangalia Sana

  • @faridymtobozi7086
    @faridymtobozi7086 24 дні тому

    😢 ubarikiwe kuhan❤

  • @florasauli9030
    @florasauli9030 5 місяців тому +2

    Yesu fichua na kwetu ameen

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 5 місяців тому +2

    Hakuna Amina Amina nimajenti washetani namgaga au LR amba amba

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Umeonae 🎉🎉🎉

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      LAZIMA NAWE UWE URGENT ILI UMJUE MWENZIO, KUNA MMOJA WAO WA HAO MMAJENTI HUTUMIA JINA LA YESU KRISTO NIJIBU TUENDELEE KUPEANA MAARIFA

  • @enockchiswagala3866
    @enockchiswagala3866 5 місяців тому +1

    MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sana KUHANI

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo 5 місяців тому +1

    Hiyi kazi waganga wanaiweza sana

  • @mohamedmohamedy8311
    @mohamedmohamedy8311 4 місяці тому +2

    hao ni wapigaji...walishatengeneza mazingira ya muda mrefu""" huyu jamaa namjua vzuri na nimesomanae

  • @NaryMoses
    @NaryMoses 4 місяці тому +2

    Uwe unakaa kimya tumsikilize musa

  • @stellamuyenjwamboyi7559
    @stellamuyenjwamboyi7559 4 місяці тому +1

    Amen Baba njoo yombo dovya CCM nako temeke

  • @FadhiliSijali
    @FadhiliSijali 20 годин тому

    Haaaaaaa utapeli tuuu

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 5 місяців тому +2

    Manyau nyau kaingia kanisani usanii mtupu.

  • @AlmandoMasino-mr3qc
    @AlmandoMasino-mr3qc 4 місяці тому

    Mungu akulinde akape maisha marefu

  • @felistasombi8497
    @felistasombi8497 5 місяців тому

    Baba yetu kuhani na mwalimu Musa Yesu kristo akupe nguvu za kuendelea ufanye mambo makubwa zaidi walioshangaa mbagala wazidi kushangaa kwasababu mbinguni hatuendi na vibuyu ng'oa vyote hata kwenye tailizi

  • @user-bn1ml9dw4h
    @user-bn1ml9dw4h 5 місяців тому

    Mungu aendeleye kukutiya nguvu baba

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 5 місяців тому +1

    MUNGU atusaidie sana na huu uganga

  • @user-di3lr4xb9c
    @user-di3lr4xb9c 4 місяці тому

    Mungu tusaidie tusimame naimani yetu

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 5 місяців тому +1

    Ongela baba kuanii

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 5 місяців тому +2

    Mtu mweusi amelaaniwa na mavi yamejaa kichwani

  • @salahsalahallympika679
    @salahsalahallympika679 4 місяці тому +1

    Upuuzi mtupu bora nibaki na ukatoliki wangu

  • @user-fx2mu9vt6i
    @user-fx2mu9vt6i 5 місяців тому +1

    Yesu fichua na rombo

  • @89_Media
    @89_Media 4 місяці тому

    MBAGALA ZAKHIEM kila mara Unaitaja,MTANGAZAJI UNABOWA BHANA

  • @marierichard3074
    @marierichard3074 5 місяців тому

    Mungu wa Kuhani Musa,fichua na kwangu

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 4 місяці тому +1

    Utapeli tu apa hamna kitu sijaona cha ajabu ni janja janja tu.

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y 5 місяців тому +2

    Hivi Hawa ni viongozi wa dini au ramba ramba ?

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      FICHUA BABA LAO MBAGALA KUMUKUWA KISIWA CHA WAGANGA, WACHAWI, NK

  • @SalmaMsangi-rf5lh
    @SalmaMsangi-rf5lh 5 місяців тому

    Motoo wa Damu ya Yesu ukawawakiee na wakate motooooo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 місяці тому

    Pini na pembe hiyo ndani ya ungo.

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 4 місяці тому +1

    Kaviweka yeye msitudangaye

  • @JgIt-uw1ru
    @JgIt-uw1ru 5 місяців тому

    Amen

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 місяці тому

    Sasa huo ni uganga wa kienyeji Mungu atasaidie saana

  • @user-du6su6mh1h
    @user-du6su6mh1h 5 місяців тому +1

    Kama una nguvu ya yesu kwanini ufukue wakati ni simple tu neno lake tosha

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 4 місяці тому

    Hivi bado amjamka tu kweli watu wanaangamia kukosa malifa Wameweka wenyewe hao nimbinu ya kujitangaza apate sadaka

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery 4 місяці тому

    Wakanate wachawi wore

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 5 місяців тому +2

    Siku za mwisho manabiii haloooo

  • @adammalale7194
    @adammalale7194 5 місяців тому +1

    Uje na mtwaraa Baba kuna majoka makubwa

  • @neemamgendi1389
    @neemamgendi1389 5 місяців тому

    Yesu wa ngomeni awfi hue leoleo Ili kesho wake kujisalimisha wenyewe

  • @mwakimusikali2382
    @mwakimusikali2382 4 місяці тому

    Mere cheat, please don't take us on ride. Nothing at all don't look for milage though deceivous ways please give us a break.

  • @user-vd2nq9ye1f
    @user-vd2nq9ye1f 5 місяців тому

    Fichua baba na watesi Wang wanaonifany sipati Kazi, naomba Kila Kampun Bila kupata majibu

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 4 місяці тому

    Mmm!

  • @gloryhosea-sy8op
    @gloryhosea-sy8op 4 місяці тому

    Ndio maana watu wanapuuzia kusali kumbe LAMBA LAMBA wapo kanisani

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 5 місяців тому +2

    Acheni ushirikina na usanii

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Nyakati za mwisho tutaona mengi

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      USHIRIKINA UPI UMEUONA HAPA, NIJIBU TUENDELEE KUPEANA MAARIFA

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      ​@@MiriamAbdallahHONGERA UNAJITABIRIA MWISHO, UMESHAMALIZA KUMTUMIKIA YESU WAKO

  • @NuruMbongo
    @NuruMbongo 5 місяців тому +1

    Kuhani Mkuu naomba mwombee Hawa dada anateseka na tumbo operation 23 tumbo plz

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      Akimponya ndipo ntamwamini

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      Karibu Kimara Temboni... Kila kitu kitsisha ukiamini... Huo ndio mtaji with Ngomeni

  • @LilianJohn-gz3sy
    @LilianJohn-gz3sy 5 місяців тому

    Acha afichue vikafichuke na kwangu baba

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 5 місяців тому

    Hivyo wamezika watu wake juzi mmmleerrkkkkerr

  • @frankbella4271
    @frankbella4271 5 місяців тому

    free___

  • @user-vn6so3on7z
    @user-vn6so3on7z 5 місяців тому

    Kweli wamevifukia wenyewe

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @SalumMzee-mu7zt
    @SalumMzee-mu7zt 5 місяців тому +1

    Wizi mtupu

  • @user-nn4kt1fx7e
    @user-nn4kt1fx7e 5 місяців тому

    Mungo sana jamaa wameweka wenyewe hvo

  • @HappnessMatandu-yu6ex
    @HappnessMatandu-yu6ex 5 місяців тому

    Fichua baba fichua na kwangu

  • @fungafungaabubakar6914
    @fungafungaabubakar6914 5 місяців тому

    Kamchape

  • @hamadshaban8997
    @hamadshaban8997 4 місяці тому

    Ajekivule huku tumechoka watu tuna umizana

  • @user-uf8cy1mj1h
    @user-uf8cy1mj1h 4 місяці тому

    Munguakuweke

  • @user-jk6we5qu2x
    @user-jk6we5qu2x 4 місяці тому

    Mtangazaji unamapepe unaboa

  • @hikmanalkanan9365
    @hikmanalkanan9365 4 місяці тому

    Naomba namba yake huyo mnganga

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 5 місяців тому

    JITU LA MBINGUNI, KUHANI WETU MUSSA RICHARD MWACHA

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 5 місяців тому

    Baba nakuamini .

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 5 місяців тому

    Kiki izo

  • @mashaulirichard
    @mashaulirichard 5 місяців тому +1

    Mchongo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Yaani 😅😅😅

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      Mchongooo, wa DAMU na JINA LA YESU KRISTO, tengeneza wako tuuone

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 5 місяців тому

      Mchongo wa yesu kivipi ?

  • @user-du6su6mh1h
    @user-du6su6mh1h 5 місяців тому

    Hv yesu alifanya hv??

    • @hazelsoko1594
      @hazelsoko1594 5 місяців тому

      ALISEMA YATAFANYIKA YALE MAKUBWA ZAIDI YAKE
      FICHUA BABA LAO MBAGALA KUMEKUWA NI LANGO LAO HAWA WAGANGA NA WACHAWI

  • @user-lr8kg8yu7s
    @user-lr8kg8yu7s 4 місяці тому

    😏😏😏

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 5 місяців тому

    😅😅😅

  • @user-ds6wy1dc3r
    @user-ds6wy1dc3r 5 місяців тому

    mungu wa kihani fichua na kwangu pia