KUHANI MUSA ATEKETEZA UCHAWI MZITO KWA MOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @GETRUDEAMOIT-oo8ks
    @GETRUDEAMOIT-oo8ks 7 місяців тому +1

    Amen continue preaching the word of God to poor people

  • @tumainlema6251
    @tumainlema6251 8 місяців тому

    Yesu pita nyumbani kwa Mama yangu mda huu

  • @yuzzoamunisi
    @yuzzoamunisi Місяць тому

    Moto uwake kwa jina la yesu ❤❤

  • @user-kv6kk3hm4t
    @user-kv6kk3hm4t 9 місяців тому

    Eee mwenyezi nawaweka familia yangu mikonon mwako watt wangu mumewangu dada yangu kaka zangu najiongamanisha na madhabahu ya kuhan musa kuanzia sasa

  • @mistikateleli
    @mistikateleli 10 місяців тому

    Washaaaaaaaaaaaaa moto motoooooooooooooooooo village vote majokaaaaaaaa teketezaaaaaa yote .eeeee yesuuuu kuanzia leo uchawiiiiiiii wote ugangaaaaaaaaaa mamlaka zote tekekezaaaaaaaaa.

  • @MawazoMamy-eu9bl
    @MawazoMamy-eu9bl 10 днів тому

    Amina akuna amshindae mungu

  • @user-hq3nl9xs1v
    @user-hq3nl9xs1v 9 місяців тому

    Uchawi wote uteketee kwa Jina la Yesu kristo.

  • @UpendoChale-ux5wb
    @UpendoChale-ux5wb 9 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏Mimi upendo chale kila kilichofichwa ktk nyumba yangu viteketee Kwa jina la yesu

  • @b-boss5788
    @b-boss5788 9 місяців тому

    Najiungamanisha na ibada.yaleo yesu Kristo WA ngomeni unguza mikoba yote upande WA baba naupande WA mama upande WA mume naupande WA mke unguza vilingivyote yesu wangomeni tusaidie

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 11 місяців тому

    Amiiina
    Baba
    Namuchawi wangu
    Anayitwa velonike
    Bwanayesu asifiwe 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @user-kv6kk3hm4t
    @user-kv6kk3hm4t 9 місяців тому

    Kila kilichofichwa kichawi kwenye nyumba yangu viteketee kuanzia sasa kwa jina la yesu

  • @mistikateleli
    @mistikateleli 10 місяців тому

    Washaaaaaaaaa moto upande wa mama upande wa babakl mkoba wa kichawi wa kl mkoba wa kiganga teketeza mikoba yote Washaaaaaaaaa motooooooo.

  • @uwitonzemulengerantwali6750

    Amen teteza kabisa nimejiunganisha na hii Mathabahu pande zote mikoba ya kichwawi inatumwa kutesa watoto wangu mimi family nayishamburia kwa Damu ya Yesu mto uviunguze kupitia Damu ya Yesu moto moto muteketee wa chawi.

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому

      Nachoma kila uchawi ulio mshikiria baba yangu namama yangu namdogo wangu namwanangu nateketeza kwa moto wangome ya Yesu kristo kimara temboni Yesu naomba nisaidie🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @dicksonsinyinza4168
    @dicksonsinyinza4168 10 місяців тому

    Amina

  • @tumainlema6251
    @tumainlema6251 8 місяців тому

    Washa motoooo

  • @user-vv5ls3qe2l
    @user-vv5ls3qe2l 8 місяців тому

    Mimi Diana naungana naibadahìi kiteketeza uchawi urio jificha uteketee

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 10 місяців тому

    Najiunganisha na hii ibada ya kuua wachawi wote wanaotesa familia yangu wakufe Kwa jina la yesu kristo kutoka Kenya na kufuatilia sana

  • @aminakioko8333
    @aminakioko8333 Рік тому

    Yesu wa kuhani musa lipua kilinge cha kwetu kwababa na kwa mama na mamangu mvyaa moto uwake katika vilinge vyao viteketee

  • @isayapaulo9211
    @isayapaulo9211 11 місяців тому

    Viringe vyote vya upande wa mama yangu na baba yangu viwake moto kabisa kwa jina la Yesu Kristo Mungu Mkuu

  • @KapilimbaYoshua
    @KapilimbaYoshua 22 дні тому

    Mungu wg Linda watoto wako

  • @happynesmchele8537
    @happynesmchele8537 9 місяців тому

    Namuga Isha malijan shamte ache uchamwi

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому +1

    Jamaini sijui madude gani hayo madude ndo yanatufanye tuishi kwashida

  • @user-uc2gn4ch1p
    @user-uc2gn4ch1p Рік тому

    amen

  • @mcharomshana2167
    @mcharomshana2167 9 місяців тому

    Uchawi wote. Vilinge vyote waka

  • @martinsimon7689
    @martinsimon7689 Рік тому

    Moto wa damu ya Yesu teketeza wachawi wote na vifaa vyao Vikongoro Chanika.

  • @user-np4io9vq4z
    @user-np4io9vq4z Рік тому

    Uchawi upandewamama upandew Baba kufa

  • @user-xz5qo9os8u
    @user-xz5qo9os8u 10 місяців тому

    Ameeeen

  • @ishengomahenry2644
    @ishengomahenry2644 4 місяці тому

    Teketeza mpk kijijini

  • @rachelmassawe3307
    @rachelmassawe3307 10 місяців тому

    Kila uchawi unaonifatilia uwake moto mikona tunguli zote teketea

  • @esterjosiahkileo1021
    @esterjosiahkileo1021 Рік тому

    Asante bwana yesu kwa ukuu wako

  • @kabindamatata1666
    @kabindamatata1666 Рік тому

    Najiunganisha kufunguliwa

  • @lahabesheuya1257
    @lahabesheuya1257 Рік тому

    Naungana naibadahii kuteketeza mikoba yote upande wa mume wangu na upande wa babu mzaa mama

  • @user-es2tf1dy7p
    @user-es2tf1dy7p 10 місяців тому

    Teketea mikoba yote kwa jina la yesu

  • @happynesmchele8537
    @happynesmchele8537 10 місяців тому

    Kila uchamwi kwenye family ukoo uteketee vilinge vyote mwaume

  • @AdamMdolo-cm6qi
    @AdamMdolo-cm6qi Рік тому

    Ameeeee

  • @alicerugaitika1687
    @alicerugaitika1687 Рік тому +1

    Lipua vilinge vyote vya kichawi viteketee kwa jina la Yesu Christu wa Nazareth aliye hai

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому

      Leo kila mkoba wakichwa uliofunga maisha yangu nalipuwa kwa moto wakuhani musa muda huu nawasha moto kila mapepo namajini nawasha moto kwa jina la Yesu kristo🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @zumbemgalawe
      @zumbemgalawe Рік тому

      Nateketeza kwa Moto wa yesu vilinge vyote nawahsaa

    • @tunsumemboma
      @tunsumemboma Рік тому

      @@zumbemgalawe amina,ya,Radi

  • @user-nf5ml8wi3k
    @user-nf5ml8wi3k Рік тому

    Kiukweli jana ilikuw niibada ya kipeekee San kwangu🙏

  • @RichardPiusi-tr1fp
    @RichardPiusi-tr1fp Рік тому

    Uchawi wote upande wa baba na mama teketea uchawi wote upande wa mume wangu teketea kwajina la yesu Kristi wanazaleti Alie hai

  • @eunicezawadi9844
    @eunicezawadi9844 Рік тому

    Kiwake MPAKA huku Moto 🔥🔥🔥 lipua Baba 🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @user-jl3ck5mf8p
      @user-jl3ck5mf8p Рік тому

      Washa Moto baba😮😮

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому +1

      Najiungamanisha na ibaada ya madhabu ya Yesu kristo kwa KUHANI MUSA BABA LAO namm nakiteketeza kila kinacho nizuwia nashindwa kuomba usiku na asubuhi teketea kwa damu ya Yesu naomba nisaidie🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому

      Nawarushia moto watesi wangu wowote songea paka tanga wakate moto wowote 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿bwana YESU kristo nisaidie🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому

      Kuzia leouchawi ulio ktk mwili wangu teketea kwa moto wa YESU Kristo

  • @AmosiKichuya
    @AmosiKichuya Рік тому

    Uwake

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 Рік тому

    Amina kuhani tuko pamoja

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b Рік тому

    Ok kabisaa

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому

    Vilinge vyote viteketetee

  • @veronicamillinga
    @veronicamillinga Рік тому

    Teketea kila uchawi upande wa mama na upande wa baba ninatuma moto kwajinalako yesu amina

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 6 місяців тому

    Wanafik haoooooo

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому

    Kuhani musa daa hatari huyu mwamba

  • @subirasimbeye5389
    @subirasimbeye5389 Рік тому

    Hakika nimemuona Mungu

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 Рік тому

    Lipuwa wachawi Wote wa ubabani na umamani

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 11 місяців тому

    Amiiina
    Baba
    Amiina

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому

    Amen ❤❤

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 Рік тому

      Ebwana Yesu uchwai wakila aina nilio fanyiwa nawatesi kufa kwa moto

  • @oswinngatunga-sj1ex
    @oswinngatunga-sj1ex Рік тому +1

    Uchawi wote unaosababisha ajari uteketee kwajina LA yesu kristo nauchawi wore waupande wababa na mama uteketee

  • @evaathanasathanas9919
    @evaathanasathanas9919 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому

    Nachoma vyote vilinge vya uchawi