TAZAMA TEGO KUBWA LA KICHAWI LANASWA DUKANI
Вставка
- Опубліковано 20 чер 2024
- gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #amen #believe #biblestudy #praise
- Фільми й анімація
Mwezi huu wa saba sitavuka na watesi wangu wote nawazamisha kwenye kaburi la moto, asisalie hata mmoja kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho, Yesu wa kuhani musa nakuomba usinipite
Naomba mungu nifungue kilichoharibu maisha yangu
Mungu naomba fungua njia kwa ajili ya ada za watoto wote wanao hitaji ada na amani ktk ndoa za watoto
Mungu watesi wangu wote nawazamisha kwenye kabuto la moto asisalie hata mmoja kuanzia leo
Eee mungu naomba uninene maisha yangu ibadilike
From Kenya naomba MUNGU ANIFUNGUE MACHO NIENE KILICHO NIFUNGA KWA MAISHA YANGU 🤷♀️ 🤷♀️ 🙏🏿
Amina bab naomba nam nifunguliwe nyot yangu kwa jina la yesu,,
Amen na mm naomba kupokea ukombosi
Mungu nakuomba nionyeshe njia pasipo na njia
🙏🙏🙏🇨🇩
Naomba uyu mungu wa Kuhani Musa anione na mimi sizai sijui nini kinendelea kwangu
Kama halijawahi kukuta jambo kama hili uwezi elewa ni jinsi Gani Huyu Kerubi la Mbinguni anafanya kazi kubwa Kwa watu wengi, 🥰
Naomba Nishike mimba ya mapacha Kila uchawi unayofanhika juu yangu uaribiwe kabisa
Amina baba unanibariki na mimi
Kuhani Musa Naomba usinipite nateseka.
Kuhani Mussa🙏🙏
Yesu wa kuhani musa nasisi tukumbuke mimina uzaowatumbolangu tumesumbuliwa nawachawi baba tukumbuke namaombi watoto wangu wapate mandowa wapate mavisa y’a Canada naabariki keiymikonoyangu
Mungu nami nipate neema
Mungu naomba umfumgue Jerry
Asante Yesu NAMI Duka langu litafufuka
Amina❤❤❤❤ baba
From Kenya,nabii niombee hata mm nko na jini Kwa nyumba yangu nimeshunguka sana baba nisaidie
Jaribu upate vifaa vya kiroho na umuombe mungu kwa imani na hayo majini yata toweka
MUSIWAPANGE WATU KUWAIBIA WATU KAMA NI KWELI MUNGU AWABALIKI AMEEN 😢UMASIKINI KAMA HUU WA MADAM KWELI ALIKUA NA UTAJILI NA KUFILISIKA???? NYUMBANI KWAKE NI FUKALA MASIKINI WAKUTUPWA
KAMALILE FUVU LA DIAMOND KABISA , HILO LENYE MACHO.
Eeee munguuu wa yote naomba uniponyeee na mm🙏🙏🙏🙏
Daaah mungu atupiganie , mungu fichua na kwetuu sisi
Mtumishi naomba uniombee wanirudishe vitu vyangu
Kuna watu wanamwona anaependa miujiza kapotea lakini wewe usiona miujiza mwenye imani yako na umekaa apo tu huku ukisema pana Mungu wee ni mjinga hakuna munguasiekuwa na miujiza kwawatu wake
Amina.baba.hatali.sana.yesu.wangomeni.ana.ona.sana..na.mimi.naomba.anione
Mungu nufungue na mim na family yangu
mungu acheni aitwe mungu dahhh inauma sana
Amina baba naomba uniombee na Mimi wamenizulumu vita vyangu baba mkwe na shemeji yangu baba niombee vitu vyangu wanirudishe baba
Mungu fijua na kwangu
Kwa kweli nibgekuwa n'a pesa ningefika kA ajili ya familiya yangu lakini napokeya kwa imani
🔥 unstoppable
Siku za mwisho
👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu nifungue na mm
Na kama mungu wako alifanya miujiza zamani tu na sasa hawezi kufanya basi kashakuwa mzee kachoka,sasa Mungu gani anazeeka?
Kwenye imani miujiza ndokilakitu kasome popote
Amina.baba
Amina
Deusi kihongosi
Amina baba
Hatari sana
Unakaa kwenye bar ama 🤣🤣🤣🤣
Asante n'a pokeya
Typing... .......
Hata.fanikiwa
Yesuuu fichuaaaaaaaaa
ngumu kuamini ngumu kukataa kwa tabia za leo kwa wahubiri wetu hawa
Ukisema bibilia ukailewa basi hata wachungaji wale utawekewa tu huyu kweli na huyu sii kweli
@@user-wi8og3sv4j kitu ambacho mimi kinanichanganya kwa hawa wahubiri kwa nn wanakosa kutunza siri za waumini wao ?badala yake wanatumia matatizo hayo kujitangaza kitu ambacho kinatoka kwenye taswira ya injili na kuwa biashara
From Kenya naomba MUNGU ANIFUNGUE MACHO NIENE KILICHO NIFUNGA KWA MAISHA YANGU 🤷♀️ 🤷♀️ 🙏🏿
Amina baba