Askofu mkuu RUWAI'CH aweka waza "Mimi sijifichi tena najitambua kama MZEE, Mniombee"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 17 ya Mwaka "B" wa Kanisa. Ikiambata na utoaji wa sakramenti ya kipaimara kwa waimarishwa 138 katika parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Madale
    Sakramenti hiyo ya Kipaimara ilitolewa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCAP
    #breezonlinetv #daressalaam #kanisakatoliki #choir

КОМЕНТАРІ • 1