SUBHHANALLAH... innalillah wainnailaih rajiun....kafiri hana kheri yeyote... acha kuwasifia maskofu mzee utaulizwa na ALLAH siku ya KIAMA nani amekufundisha kuwa ukirsto ni DINID 8:50
Shabani,shabani,shabani kwanini unachuki za kidini hivo ivi ni Mungu gani huyo mwenye chuki hiyo huyo alla Mungu wenu hakika huyo nijoka la mdimu aujoka la kibisa hakika mungu wawaislamu ni mwenye chuki na watu wasiyo waislamuna mwenye chuki ni shetani hivyo dini ya kiislamu nishetanina kuzimu
Unachukia nn tena wakati uko dini sahihi!? Wanatiana wengine unakojoa wewe, ok DINI sahihi ni uislamu,swali langu dogo tu "ni wazi kuwa kila muislamu ataonja pepo!? Na kila mkristo ataenda kuzimu!?"
Kwani shabani,kwa mambo ya dini ni chuki na uhasama ? Kama ni hivyo ninyi wenzetu kuona mwislamu akisifia ukristo kuwa ni ukafiri basi uislamu ni ufrauni kabisa hivyo sisi watanzania hatuchukiani kidini wewe mwenye kuendekeza uislamu wachuki basi nenda uarabuni madina na makha ukakae huko kwenye huo ufirauni wa chuki za kidini
Huu ndio mfano wa waislamu wanaoingia madarakani sasa kwa hali hii kweli watakuwa na uchungu na madhila yanayowapata waislamu? Kutwa wanataka dini mseto
Mzee Makamba...
Unafurahisha...unatakiwa
Kuwa Comedy...hongera
Sana....wakuongezee
Dakika .your so good.
Mungu akupe maisha marefu kuishi duniani ,,,, Mzee wa hekima
Mwenyez mungu akubariki mh makamba
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu.
HUYU MZEE MSHENXI SANAA.
Yuko kidunia zaidi uyu mzee hajitambui.
Mwenye busara sawasawa ataelewa, lakini mbumbumbu ataishia kufurahi na kupiga makofi Asanteni, Agayaaaaaaaaaa
Mzee Mungu akuongezee umri
Mzee wetu Asante sana.. nikija Lushoto ntakuja nyumbani
Babu yangu wewe mungu akuafu
Happy happy Mzee wetu
Wewe Mbiaji acha unyaturu Kristu ni njia kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia yangu
Uti ana tundu
Mheshimiwa Mzee Yusuf Makamba ( Gwiji Wa CCM ) hutoa hotuba Tamu saana .. !!!😂😂😂
Safi sana
God bless
Yuda iskariote wa Tanzania.
#WAZURI #HAWAFI@BONGE LA MNAFIKI
Shikamoo Baba yetu makamba
Na kweli......,
SUBHHANALLAH... innalillah wainnailaih rajiun....kafiri hana kheri yeyote... acha kuwasifia maskofu mzee utaulizwa na ALLAH siku ya KIAMA nani amekufundisha kuwa ukirsto ni DINID 8:50
Shabani,shabani,shabani kwanini unachuki za kidini hivo ivi ni Mungu gani huyo mwenye chuki hiyo huyo alla Mungu wenu hakika huyo nijoka la mdimu aujoka la kibisa hakika mungu wawaislamu ni mwenye chuki na watu wasiyo waislamuna mwenye chuki ni shetani hivyo dini ya kiislamu nishetanina kuzimu
Unachukia nn tena wakati uko dini sahihi!?
Wanatiana wengine unakojoa wewe, ok DINI sahihi ni uislamu,swali langu dogo tu "ni wazi kuwa kila muislamu ataonja pepo!? Na kila mkristo ataenda kuzimu!?"
Ww ni mbaguzi Shaban, ww ndie AllAH atakuuliza kwa nn uliwabagua ndugu zako. Wala haufai hata kuwa barozi wa nyumba kumi.
Mmmmh 😭😭😭😭😭😭
Kwani shabani,kwa mambo ya dini ni chuki na uhasama ? Kama ni hivyo ninyi wenzetu kuona mwislamu akisifia ukristo kuwa ni ukafiri basi uislamu ni ufrauni kabisa hivyo sisi watanzania hatuchukiani kidini wewe mwenye kuendekeza uislamu wachuki basi nenda uarabuni madina na makha ukakae huko kwenye huo ufirauni wa chuki za kidini
Well said mzee Makamba, Mungu azidi kukubariki na kukujalia afya njema ili uwaone wana wa wana wa wana zako.
Ndo maana kkt wanaunga mkono uuzwaji wa bandari
Hata kuisifia gavoment ni sawa
Huu ni msiba hili jitu bora ungekuwa mkristo
Udini utakua kenge wewe
😂
Makamba jembe
Huyu mzee safiiii
Makamba bwana
😂😂mungu akusamehe makamba kwa Maneno yako
Udini utakuua
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuun
mnafiki mkubwa ww
@@dyzoomgonja9892 kivipi
Huyo si muislamu na hawezi kua muislamu tena asijiite muislamu
Acha uvaguzi na kuhukumu Kwani vigezo vya kuiona pepo sio Dinii Bali ni matendo mema na Mungu ndio anajuwa yupi atainfua yupi haioni pepo njema
Mzee Makamba kiboko
Tutoe kodi nyinyi mle si ndio hiyo asali ni kodi zetu walai mungu atawalaan hela za wanyonge
BArakoa ,,zipo Safi sana
Huyu Mzee lazima awe chawa namba Moja Tanzania kwa sababu mtoto wake analamba asali ya kutosha sikia maneno yake ya shonmbo
,😂😂Mzee huy ana mafumbo
Kafiri mkubwa
Hili babu lina dhihirisha kuwa Nafiki
Kweli mtaramba sana
Kabisa
Mwanasiasa asiyebatizwa Wala kuokoka anawahubiri wachungaji nao wanainama mbele yake.
Mzee makamba alistahili kuwa mristo
Mwanasiasa hafai hata mnacheka nchi inauzwa hongeleni
Lambeni tu, ila mwisho huo hapoooo!
Mze una maneomazuzi mungu aku bariki
Uwoooo ni msiba mkubwa
Ole wao ma nabii wa uongo walitumialo jina la Bwana kutakatisha ulambaji wa asali kwa kuvamia madhehebu yasiyo wahusu na kuhutubu
jaman utaniua na kucheka
Huu ndio mfano wa waislamu wanaoingia madarakani sasa kwa hali hii kweli watakuwa na uchungu na madhila yanayowapata waislamu? Kutwa wanataka dini mseto
Na kweli wamelamba asali mtoto wake ni waziri wa Nishati
Mzee anafanana na mama Maria Nyerere 🤔
😂😂 Christina duu umenivunja mbavu
Hhhh kafanana pia na, kiongozi wa upinzani, wa msumbiji, afono jakama.
@@babaluxe8626 😂😂😂🤦🤦
Mzee ana maneno matam sana.
Wewe umeshakula vingi bwana
Kweli ukubwa dawa
Huyu aliyesema watu wema hawafi tutaona hata baada ya miaka kadhaa
Utatamani kumsikiliza.
Alisema wazuli awafi, inamana baba wataifa alikufa alikuwa mbaya, wewe mzee unakufaulu
mnamkaribisha nyoka ndani huyo msariti mpaka yesu anajua huyo mnafiki kabisa pesa ya bandari inamsumbua amekura mgao huyo inamtafuna bandari
ila nyie watu bhn😂😂😂, chuki tu
Nyie mmemkaribisha huyo mzee mhuni huyo mfukuzeni harakasana
Mmmmmm na mkumbuka mzee huyu akiwa RC Kigoma.Waliotikiswa na Mzee Yusuf Makamba tujuane.
😂😂😂😂
Yuko ki dunia zaidi uyu mzee hajitambui
Kwelii Nyuki ingia katika Mzinga wa Babu.
Mnafik mkubwaaa
Ujanja wote huo ye na mwanae wameshindwa kuleta maendeleo jimboni kwao bumbuli
Hekima kubwa