Hongera Sana kipenzi..mungu azidi kukubariki na kukujalia...unatuinspire nasisi ..kama mim napenda Sana mambo ya ardhi Yan..namim ninataman Sana sikumoja namm nibulding inshallah
Hongera sana mdogo wangu umenifurahisha sana na kuni inspire sana napiga magoti namuomba MUNGU anitendee nami niweke kakibanda kangu ka saizi yangu tu yani nitajikuna pale nitakapo fikia. MUNGU akupe maisha marefu wewe na familia yako ili mu enjoy kile mlicho kitolea jasho .
Hata usipotaman at least kuwa motivated sio kutia huruma kusema wanasiri sana,kuwaza negative, itakua umezungukwa na watu wasiokua na ndoto kubwa ama huna hata moja wa watu wako aliekamilisha ndoto zake kubwa
Hata umasikini una siri kubwa, kutokuwa na nidhamu ya fedha, kutokuwa na growth mindset, kutokuwa na juhudi na shauku ya kutimiza ndoto kubwa nk. kisha kutoona mapungufu yote hayo ila kuanza kulaumu wengine kwamba ndio chanzo cha matatizo yako au kuamini kila aliyefanikiwa lazima atakuwa amefanikiwa kwa njia za mkato. Mi naamini unniverse ipo very fair na haina upendeleo ina mpa mtu kile ambacho atakuwa ame show up na kuamua kwa dhati kukipata, "if you focus on you, you grow if you focus on shit, shit grows"
Aise Big up Sana Dada kikubwa mungu Hana choyo na mungu habariki mkono mitupu nimekuelewa Sana na mungu atubariki Sana sote tujitafutao mafanikio yapo yaja tusichoke kutafuta 🙏🙏🙏
Hongera sana dada yangu ....nawashangaa wanaofikiria negative ...kujituma ndio siri ya mafanikio hakuna kingine ...asilimia kubwa mtu akiajiriwa mara nyingi anategemea mwisho wa mwezi ufike hapo unakuta amekuwa na madeni mpaka SONGESHA sasa hapo atakuwa na ndoto ya kujenga kweli .. cha pili tuache kulilia kutwa mapenzi piga kazi
Uko sawa mimi milishawaji kufukuzwa kwenye chumba kimoja nikiwa na mtoto miezi miwili tuu sikuwa kodi ,baadae ya miaka kumi nina nyumba tena wala siishi humo ninaishi kwingine Mungu ni Mungu na bidii ya mwenye haki haimuachi mtupu anayetafuta.
@@HappinessGerald-c8tKuanza kupambana zamani sio kufanikiwa. Unaweza ukapambana miaka 25 na usifanikiwe ila mwenzako akapambana miaka 5 tu akafanikiwa.
@@joyceassey2347 kabisa, yaani ukisikiliza habari za wanawake wa hapo Sanya juu wanavyoteswa na hela unajiuliza ninini shida,, kuna yule dada anaitwa Sabina wa Sanya juu nae anaishi Arusha, ukisikiliza kesi yake utachoka.,amenyanyasika jamani, mume amemtesa dada wa watu, sijui amerushwa mafuso, magari ya gharama uuuw
Ongera sana dada kwa juudi zako paradison ni hapa duniani na sio mbunguni.fiko ni mapumzo ya milele,vyote vinapatikana duniani tukivitafuta kwa bidii bila kukata tamaa isiyo mbaya.you ar super woman.
Ni wakati wa kupigia wenzako makofi hadi hapo wakati wako utakapofika ongeza adabu kwenye kile kidogo unachopata kufanya kazi pasipo kuwa na plan zaidi ni hasara then tengeneza njia nyingi za pesa
Hongera Sana Mwanangu. Mungu Amekuwezesha kwa kutimiza ndoto zako. Ubarikiwe Daima 🙏
Njoo tukupe laki mbili baada ya miaka kumi uje na gorofa😂😂
@@sadamissa5687 kabisaa, hafu aache kutudanganya umri sio 39 ni 17
Hongera Sana Dada,Wewe nakuchagua MALKIA WA NGUVU kwa mwaka huu,
Huyu dada yuko makini, na siyo sana kutokana na shahada, ila mojawapo ya wazazi au wote kwa pamoja ni brilliant, enterprising and consistent,❤.
Asante millard ayo na asante dada wote kwa pamoja mmeniongezea nguvu na imani ya kuongeza juhudi ktk maisha
Sanya juu hoyee. Wajomba zangu kumbe mpo vizuri. Hongera sana MAMMARIII.
Mashalah mashalah mashalah.. umejitahidi Sana shost..umeweza
Kotana kyaa kotana Kindo Kisha den mungu akupandishe Kwa viwango vya juu zaidi❤
Wao ❤
Hongera sana wanyumbani..mwenyenzi Mungu tunaomba tubariki na sisi
Hongera sana binti,Mungu azidi kukutunza na familia yako..
Nvaiiya ton'konu, vafele tili kisha.
Wanawake tukiamua tunaweza.❤
Hongera Sana kipenzi..mungu azidi kukubariki na kukujalia...unatuinspire nasisi ..kama mim napenda Sana mambo ya ardhi Yan..namim ninataman Sana sikumoja namm nibulding inshallah
Hongera sana mdogo wangu umenifurahisha sana na kuni inspire sana napiga magoti namuomba MUNGU anitendee nami niweke kakibanda kangu ka saizi yangu tu yani nitajikuna pale nitakapo fikia. MUNGU akupe maisha marefu wewe na familia yako ili mu enjoy kile mlicho kitolea jasho .
Hongera sn, kwa Mungu yote yanawezekana
Amen🙏🏻utukufu kwako Mungu🙏nami siku moja nitajenga kwangu na nitakuwa boss na mmiliki mkubwa wa mali nyingi🤲🙏🏻❤❤
Mtu anaamaendeleo kuliko ww unamshurii
Wafanyi biashara Wana Siri kubwa Sana Yani Mimi niliapa sitawahi tamani Mali za watu
Hongera
Sawa kabisa
Nje ya kuwapongeza, umeongea point nzuri sana. MUNGU anajua
Hata usipotaman at least kuwa motivated sio kutia huruma kusema wanasiri sana,kuwaza negative, itakua umezungukwa na watu wasiokua na ndoto kubwa ama huna hata moja wa watu wako aliekamilisha ndoto zake kubwa
Hata umasikini una siri kubwa, kutokuwa na nidhamu ya fedha, kutokuwa na growth mindset, kutokuwa na juhudi na shauku ya kutimiza ndoto kubwa nk. kisha kutoona mapungufu yote hayo ila kuanza kulaumu wengine kwamba ndio chanzo cha matatizo yako au kuamini kila aliyefanikiwa lazima atakuwa amefanikiwa kwa njia za mkato. Mi naamini unniverse ipo very fair na haina upendeleo ina mpa mtu kile ambacho atakuwa ame show up na kuamua kwa dhati kukipata, "if you focus on you, you grow if you focus on shit, shit grows"
Hongera na nisahihi sana kuajiriwa km upo uwezekano vyema sana kujiajir na utakwenda mbali kimaendeleo
Duh uko vzr mazee tukaze hawa wanawake wanachakarika sana sio poa😢😢😢
Ntahakikisha kwenye 50th birthday day yangu najizawadia kitu self love ni nzuri sana congratulations my sis endelea kutu inspire wow God bless you sis
Jumba kama la Christian Ronardo CR7 hongera sana Dada natamani wanawake woote wafanikiwe kama wewe Inshallah
Ameen
Hongera dada nimefurahi sana kwa kutumia asili yetu ukaachana na mambo ya kichina tz tunakila kitu
Dada yupo smart, LIKES kwa ajili yake..
Aise Big up Sana Dada kikubwa mungu Hana choyo na mungu habariki mkono mitupu nimekuelewa Sana na mungu atubariki Sana sote tujitafutao mafanikio yapo yaja tusichoke kutafuta 🙏🙏🙏
Hongera sana Dada Mungu azidi kukubariki, unamaneno mazuri yenye hekima
MashaAllah 🙏 ❤❤God bless
Amen barikiwa Kwa kuwatia wanawake Moyo ❤
Mashallah mashallah mashallah dada ana jielewa sna congrats
Hongera sana Liliani sipendi kuajiriwa pia na ninapambana sana
MWANAMKE NANGAI🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉TWENDE KAZI....
Hongera sana dada Mungu azidi kukubariki na pia namuomba Mungu siku moja niweze kutimiza ndoto zangu
Hongera sana dada ❤
Hongera sana dada yangu ....nawashangaa wanaofikiria negative ...kujituma ndio siri ya mafanikio hakuna kingine ...asilimia kubwa mtu akiajiriwa mara nyingi anategemea mwisho wa mwezi ufike hapo unakuta amekuwa na madeni mpaka SONGESHA sasa hapo atakuwa na ndoto ya kujenga kweli .. cha pili tuache kulilia kutwa mapenzi piga kazi
Uko sawa mimi milishawaji kufukuzwa kwenye chumba kimoja nikiwa na mtoto miezi miwili tuu sikuwa kodi ,baadae ya miaka kumi nina nyumba tena wala siishi humo ninaishi kwingine Mungu ni Mungu na bidii ya mwenye haki haimuachi mtupu anayetafuta.
Hongera mjengo mkali sanaa🎉
Hongera sana kipenzi! Mungu azidi kukupa kibali❤
Hongera sana dada tena hongera sana .
Mafanikio ni siri msichanganyikiwe trust the process keep working
Anasema kununua kiwanja "anajua alichokifanya kupata kiwanja" sasa hapo kwenye kujua alicho fanya ndio siri zenyewe
Kabisa
Hongera mwaya ila maandiko yanasema usitamani Mali ya mtu amri ya Mungu Kila mtu atainuliwa kwa wakati Mungu anaopenda na Mungu anakupa unachostahili
Hongera dada honger sanaaaaaa mungu akuzidishieeee
We. Congratulations 🎉🎉raha sana 😢😢wamama siku hizi 🔥🔥🔥mashalllah mashalllah
Hongera sana dada
Hongera sana dada🎉👏. Wanaume ambao wenye fikra za umaskini watasema kwamba umedanga
Kwelii kabsaa watasema kadanga bla kujua ameanza zaman kujpambania ,,
@@HappinessGerald-c8tKuanza kupambana zamani sio kufanikiwa. Unaweza ukapambana miaka 25 na usifanikiwe ila mwenzako akapambana miaka 5 tu akafanikiwa.
Na wanawake ambao wana fikra za umasikini watasemaje?
Inawezekana pia
@@rumdeesonsoa1811 tokea niwafahamu wanawake niliowaona kwa macho huwa hawana fikra za umaskini
Wachaga oyeeeeeeee😊😊😊
nimekuja kugundua wachaga wanateseka sana na hii dunia
@julianapeason6254 kwa kutafuta hela au🤣🤣
@@joyceassey2347 kabisa, yaani ukisikiliza habari za wanawake wa hapo Sanya juu wanavyoteswa na hela unajiuliza ninini shida,, kuna yule dada anaitwa Sabina wa Sanya juu nae anaishi Arusha, ukisikiliza kesi yake utachoka.,amenyanyasika jamani, mume amemtesa dada wa watu, sijui amerushwa mafuso, magari ya gharama uuuw
Hongera sana dada kwajumba zuri
Mungu aendelee kukubariki na kukulinda dada
Mungu ndiye Anaye jua.
Hongera sana dada mungu nimwema 🙏😘🌹🌹
Hongera sana Dada! 🎉
Oohhhh.....more congratulations Lily.
Hongera sana lili mungu akupe zaidi
hongera sana dada 🥰🥰🥰👏👏👏
Hongera sana dada ushuhuda wako unanguvu na unatia moyo
Hongera sana kwake 🙏
Hongera zake
Hongera sanaa dada Ila umenipa wivu mkubwa sanaa lazma nipambane😢😢😢
Haswaaa hapo ndio unatakiwa
Sanya juu gather here
Woyoooo ❤❤❤😂😂😂😂😂
Sanya Tuppo Vzr
Daah aisee🙌
@@chenhans8236 kabisaa kibuwa Dua n kuamini kwakila unachokifanya nakua na mLengo tuu
@@rosemasaki698 kilakitu kinawezekana nikupambana tuu na kuomoba mungu na kuamini kwakila unachotaka kukifanya kabla yakufanya
Very humble woman ❤
Hongera sana binti
Yaan hii nyumba ni nzur kuzudi ya mwijaku mara 10000
Aisee so inspiring😊
Hongera sana Masiaoo
Hongera sana dada mwenyezi Mungu azidi kukubariki, hakika wewe ni mwanamke wa shoka,❤ Jumba kama la Messi
Huyu dada ni mkweli tena mkweli kabisa , hana majivuno hawezi kutaja hela kubwa ili ajipandishe , ameni Inspire saaana
Hongera sana kwa akili kubwa.
Hongera sana ❤
Hongera sana Lillian
Mwenyezimungu akujalie Kila la heri Amin inshallah
Nimejifunza kitu be blessed sana na kwifeahee iwe
Hongela winga
Ongera sana dada kwa juudi zako paradison ni hapa duniani na sio mbunguni.fiko ni mapumzo ya milele,vyote vinapatikana duniani tukivitafuta kwa bidii bila kukata tamaa isiyo mbaya.you ar super woman.
Hongera dada kwa kujituma hadi ndoto zato zikatimia
Congratulations to her
Kilimanjaro Moshi,sanya juu stend up
Hongera sana dada🎉🎉🎉
Mama hongera sana tena sana mimi pia nataka kujenga unaweza kunisaidia plani ni mimi Simba Abdul Amsterdam Holland
Amina,,na kwangu itakua
Mtangazaji unachakujifunza upo na Mtu mwenye madini mengi unauliza maswali mepesi sana
Hongera sana wanipa nguvu namm kupambana
🎉hongeraa sanaa kekuu
Wow umetisha sana
Congratulations sus
Smart!
Masha Allah ❤❤❤❤❤hongera sana dadaanke umeweza sana
Congratulations sister
Fanyeni cryptocurrency na raisi Samia aliongea,tumieni hio..Hasa Hasa kwenye pi network 😂amna uchawi kwenye ela wa Tanzania
Mtangazaji kazingua sana. Hamna tunachojifunza hapa.
Hizi pongezi ni wazi kuwa hatujui really how things work.
Tujifunze kufanya tathmini za uhalisia kwanza.
Mwenyewe tuu hujijui tathmini jifanyike mwenyewe kwa nini unaishi,na wajibu wako hapa duniani ni nini.
@@devothasimbi6495 sawa
Congratulations 👏 my sister 🎉❤
Hongera sanaa . Mpenzi. Umewezaa.❤
Hongera zaidi umetia fora.
Hongera mchaga🎉
Wachaga hoyee
Oyeee
Hongera sana binti. Mola azidi kukunyanyua!
Hili jumba sio poa hongera sana
Hongera kipenzi
Hongera sanaaa liliani
Wow Hongera sana Na Mimi nitajenga
Jifunzeni video za house tour mweeh.
Hongera my wii
Maashallah
Sending her❤
Eeeh mungu wengine wanatoa hela wapi jamni kama ni kazi mbona nafanya 😢😢😢😢
😂😂😂😂nimecheka
Hela ni jinsi unavyo ishi thubutu kufanya kazi😂
Kujipanga na kua na subra.
Wakati Wa Mungu ni sahihi,
Ni wakati wa kupigia wenzako makofi hadi hapo wakati wako utakapofika ongeza adabu kwenye kile kidogo unachopata kufanya kazi pasipo kuwa na plan zaidi ni hasara then tengeneza njia nyingi za pesa
Hongera sana dada
Asante sana Unawatia Moyo watu kujishusha na kufanya kazi.
big up dada umegusa penyewe
Mhhh! Jamaniiii! Mbona kama hesabu iinakataa kabisa kichwani?... Usitamani mali ya mwingine. Haujui ameipata kwa namna gani.