Katika yoote..........., nimesikia "MYAO MKATOLIKI". Nimefurahi na kufarijika sana achimwene. Mungu akujalie maisha marefu yenye utii, na mikono uliyowekewa na kushushiwa Roho Mtakatifu, vidumu daima nawe, sasa mpaka utakapokamilisha safari yako duniani. Wewe kioo na ndo maana Mungu amezidi kukuinua na kukupa nafasi uendelee kuwatunza kondoo kupitia zawadi ya maisha uliyoipata. kila la heri kaka yangu myao mwenzangu. Siku Mungu akinipa kibali cha kuja kutembea huko nyumbani, nitakuja kushiriki ibada na kutoa sadaka hapo jimboni, bila kusahau jimbo la Nachingwea nilikobatizwa. TUMSIFU YESU KRISTU!
Hongera kwa kuwa kiongozi bora wa imani ya kweli kwa Mungu na kanisa katoliki popote duniani.nasi wandamba wa ifakara tunayo furaha kubwa km wayao wa masasi walivyo na furaha.bwana awe nawe.
Hongera kwa kuwa kiongozi bora wa imani ya kweli kwa Mungu na kanisa katoliki popote duniani.nasi wandamba wa ifakara tunayo furaha kubwa km wayao wa masasi walivyo na furaha.bwana awe nawe.
Katika yoote..........., nimesikia "MYAO MKATOLIKI". Nimefurahi na kufarijika sana achimwene.
Mungu akujalie maisha marefu yenye utii, na mikono uliyowekewa na kushushiwa Roho Mtakatifu, vidumu daima nawe, sasa mpaka utakapokamilisha safari yako duniani.
Wewe kioo na ndo maana Mungu amezidi kukuinua na kukupa nafasi uendelee kuwatunza kondoo kupitia zawadi ya maisha uliyoipata.
kila la heri kaka yangu myao mwenzangu. Siku Mungu akinipa kibali cha kuja kutembea huko nyumbani, nitakuja kushiriki ibada na kutoa sadaka hapo jimboni, bila kusahau jimbo la Nachingwea nilikobatizwa.
TUMSIFU YESU KRISTU!
Milele Amina.
Hongera kwa kuwa kiongozi bora wa imani ya kweli kwa Mungu na kanisa katoliki popote duniani.nasi wandamba wa ifakara tunayo furaha kubwa km wayao wa masasi walivyo na furaha.bwana awe nawe.
Hongera kwa kuwa kiongozi bora wa imani ya kweli kwa Mungu na kanisa katoliki popote duniani.nasi wandamba wa ifakara tunayo furaha kubwa km wayao wa masasi walivyo na furaha.bwana awe nawe.
Hongera sana. Mungu akuongoze na kukutia nguvu ya imani.
Mwenyezi Mungu akupe afya na Baraka tell Baba yetu mpendwa.
May the Holy Spirit continue to guide you to unite the Church of Christ.
Mungu akusaidie sana padre
Mungu akuongoze katika safali ya uchungaji
Mungu akujalie utume mwema
Bwana na akutumie vema Kama harifa kamili wa YESU KRISTO.
Ilikuwa ni weekend ya kihistoria jimboni kwetu TUNDURU-Masasi