Hongera askofu umesema vizuri kulikko wabunge. Umekuwa muwazi kwa kazi nzuri iliyofanywa na hayatie John pombe magufuli. Pia umesema vema kuhusu shirika letu la ndege kumzidi spika wa bunge letu na CAG kwa kukuwa ni wasaka tonge
Huyu askofu alitaka CAG aseme uongo kinyume na taaluma yake?? Ina ogofya linapo semwa na askofu. Yoh 8: 32 Ukweli utawaweka HURU. Kuna ubaya gani wa kusema UKWELI shirika limepata hasara ili kuboresha na kurekebisha???
@@TM.Sullusi umesema kweli, Naona askofu anasisitiza kutolenga hasaratu; (kutokata tamaa)hasa ukikumbuka baada ya ripoti ya CAG kulikuwa na discussion kama kuongeza ndege inafaa au la.
@@maishayakipepeo7309 discussion ni nzuri cha muhim ripoti ya CAG inapaswa kuchukuliwa kama chamgamoto na kuifanyiwa kazi badala ya kuibeza. Chukulia hiyo ATCL ni kampuni binafsi nadhan wangefurahi sana kujulishwa mapungufu yao ili wajirekebishe. Hili kwakuwa ni la serikali basi linafanywa la kisiasa.
@@billgussy6099 nakubaliana na nimekuelewa. Ni kweli kabisa ripoti ya CAG inatakiwa kuwa changamoto. Ndo maana mimi Naona criticism ya askofu haikuwa kwenye ripoti naona inalenga kwenye kauli iliyoanza kuongelewa bungeni iliashiria kana kwamba kuwa na ndege kumeleta hasara zaidi( kitu ambacho ni kweli).Lakini je ni kampuni lipi la ndege halijapata hasara wakati wa korona? Mimi nimeona critic ya askofu ilikuwa ikilenga hapo, kwamba kurudi nyuma na kuanza ku doubt si vema ila ni kuangalia upande wa faida na kuanza kuoverstep hasara. Ni maoni yangu na ndio maana sikuona kuwa mzee alipingana na ripoti.

Askofu wetu wa zaman wa jimbo katoliki la Geita nakupenda sana mungu akupe nguvu uendelee kutoa huduma ya mungu
Safi sana ASKOFU huu ndio UKWELI unaotuweka HURU.......
asante baba waambie wajue aliyo yafanya magu ni yakuigwa
Namuona hapo Baba Askofu Mkuu Nyaisonga wa Jimbo kuu la Mbeya. Alikuwa Baba yetu Dodoma.
Ahsante sana, Watanzania ni muhimu sana kumuenzi Magufuli kwa aliyoyafanya.
Askofu wetu wa Jimbo la Songea barikiwa baba
Hongera baba askofu mwenye masikio asikie na mwenye macho aone
Amina sana asikofu dalu sauti yako tumeisikia
Nakukubali sana baba askofu daru Mungu akubariki
Magufuli Mungu amweke pema . Miundo mbinu hii yeye ni muhusika mkuu.
Umezoea kupokea sadaka ya malombi hatakama wakulima wamekosa kwenye dhuluma ya korosho husemi
@@nardhismhagama6266 andika kwa kingeleza hiki kiswahili hakieleweki.
Huyu Askofu anaakili Sana
Hahaaa ndege zinapishana Kama kunguru wa dar hahahaha nimefurahi Mungu akubariki Baba kwa kuliona hili,
Khasante sana baba Askofu mkuu jimbo katoliki la Songea
Kama tungekuwa na mababa wazalendo kama ww nchi ingeenda mbele
Nimejikuta nimefarijika sana baba umeniongezea siku nilikosa tumaini kama mti mbichi unachezewa hivi mti mkavu je?
Amina sana baba
Aminaaa
Askofu hana taarifa kuwa huduma ndiyo ilitafuna mashirika au kajisahaulisha makusudi. Cost benefit analysis muhimu kwenye kila biashara
Anatuchanganya waumini kama katumwa na chama atuachie kanisa letuu
Kwakweli magufuri adumu
Mmmmhh!!! Siasa au???
Anapiga siasa
Amina Baba
Baba askofu umenena vyema
Asnte baba yet daru
CAGE NI JINGA TU. ASANTE ASKOFU. HAPA SIONI MMEVAA BARAKOA SIJUH ASKOF DAR HAKUWEPO MAANA NA BARAKOA NAYO KAMA MAIGIZO.
Huyu askofu alitaka CAG aseme uongo kinyume na taaluma yake?? Ina ogofya linapo semwa na askofu. Yoh 8: 32 Ukweli utawaweka HURU. Kuna ubaya gani wa kusema UKWELI shirika limepata hasara ili kuboresha na kurekebisha???
Wala hujamuelewa mkuu😂😂😂😂, point kubwa ni kwamba badala ya kujadili hasara but tumieni kilichopo tayari kurekebisha yaliyokosewa.
@@TM.Sullusi verrryyy gooood

,
Amina baba