Breez Online Tv
Breez Online Tv
  • 2 036
  • 9 610 425

Відео

Ujumbe wa Raisi SAMIA kwa Ask Lagwen wa MBULU/SIMBACHAWENE Amuwakilisha/ Afikisha ujumbe mzito/
Переглядів 4,5 тис.14 днів тому
AMEYASEMA HAYO KWENYE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YUBILEI YA MIAKA 25 YA UPADRE ASKOFU LAGWEN WA JIMBO KATOLIKI MBULU. Video Original source:TEC #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #baloziwaamani
WAZIRI MWIGULU Mbele ya Maaskofu Katoliki TEC/Atoa ahadi NZITO/Awasilisha zawadi yake kwa Ask Lagwen
Переглядів 6 тис.14 днів тому
AMEYASEMA HAYO KWENYE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YUBILEI YA MIAKA 25 YA UPADRE ASKOFU LAGWEN WA JIMBO KATOLIKI MBULU. Video Original source:TEC #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #baloziwaamani
RAISI wa Baraza la Maaskofu TEC Atoa KAULI Mgogoro wa WAMASAI Ngorongoro/Awakemea Polisi kupiga watu
Переглядів 20 тис.14 днів тому
AMEYASEMA HAYO KWENYE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YUBILEI YA MIAKA 25 YA UPADRE ASKOFU LAGWEN WA JIMBO KATOLIKI MBULU. Video Original source:TEC #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #baloziwaamani
Ujasiri wa Watoto 100 mbele ya Askofu Ruwai'ch/Akoswa na Majibu yao/Wazazi waulizwa maswali ya Gafla
Переглядів 41721 день тому
Maswali ya papo kwa Hapo kwa watoto wa kipaimara; Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 19 ya mwaka "B" wa kanisa katika parokia ya Mtakatifu Monika Matosa Misa hiyo iliadhimishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCap Katika Misa hiyo Askofu Mkuu Judethaus Ruwa'ichi alitoa sakramenti ya Kipaimara kwa waimarishwa 100
Askofu mkuu Ruwai'ch "Unatawala alafu mtu mdogo mdogo anakuja kukutisha'' Asisitiza kutokukata tamaa
Переглядів 2,5 тис.21 день тому
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 19 ya mwaka "B" wa kanisa katika parokia ya Mtakatifu Monika Matosa Misa hiyo iliadhimishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCap Katika Misa hiyo Askofu Mkuu Judethaus Ruwa'ichi alitoa sakramenti ya Kipaimara kwa waimarishwa 100
Waziri BASHUNGWA Atoa Ngo'mbe 3 wa Maziwa kwa Maaskofu wa kanisa Katoliki/Amuwakilisha Raisi SAMIA
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Ibada ya misa takatifu ya Jubilei pacha ya Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhasham Desderius Rwoma. #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #Jubilei #baloziwaamani
Askofu mkuu RUWAI'CH aweka waza "Mimi sijifichi tena najitambua kama MZEE, Mniombee"
Переглядів 922Місяць тому
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 17 ya Mwaka "B" wa Kanisa. Ikiambata na utoaji wa sakramenti ya kipaimara kwa waimarishwa 138 katika parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Madale Sakramenti hiyo ya Kipaimara ilitolewa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCAP #breezonlinetv #daressalaam #kanisakatoliki #choir
Watoto parokia ya Madale DSM Walivyopangua Maswali tata ya Askofu mkuu Ruwai'ch/hakika inapendeza.
Переглядів 399Місяць тому
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 17 ya Mwaka "B" wa Kanisa. Ikiambata na utoaji wa sakramenti ya kipaimara kwa waimarishwa 138 katika parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Madale Sakramenti hiyo ya Kipaimara ilitolewa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCAP
KAULI ya Askofu mkuu RUWAI'CH kuhusu Manabii wa UONGO/Rudini nyumbani kumenoga na Mtulie.
Переглядів 309Місяць тому
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 17 ya Mwaka "B" wa Kanisa. Ikiambata na utoaji wa sakramenti ya kipaimara kwa waimarishwa 138 katika parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Madale Sakramenti hiyo ya Kipaimara ilitolewa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es salaam Mhashamu Askofu Judethadeus Ruwa'ichi OFMCAP
Mama MKATOLIKI aliyesali kwa KIBOKO YA WACHAWI Aomba msamaha kanisani/Akiri watu kuibiwa mamilioni.
Переглядів 5 тис.Місяць тому
Ukweli ni kwamba mama huyu alirudi ndani ya kanisa katoliki akiwa na majuto sana na ili kupata undani wa alichokutana nacho fuatilia video hii kasha niachie maoni yako kwenye comment box #daressalaam #kanisakatoliki #africa #BaloziwaAmani
Watoto wa Kipaimara parokia ya Msumi Dsm walivyoimba Utukufu/Inapendeza.
Переглядів 141Місяць тому
Watoto wa Kipaimara parokia ya Msumi Dsm walivyoimba Utukufu/Inapendeza.
Askofu Musomba akerwa"VIJANA wanapenda kulelewa na MASHANGAZI" Kamari na jogging Inavyowaharibu .
Переглядів 140Місяць тому
Askofu Musomba akerwa"VIJANA wanapenda kulelewa na MASHANGAZI" Kamari na jogging Inavyowaharibu .
Askofu MUSOMBA akemea tabia za Waumini kutangatanga/Afichua ujanja wanaoutumia kuwateka watu/homilia
Переглядів 238Місяць тому
Askofu MUSOMBA akemea tabia za Waumini kutangatanga/Afichua ujanja wanaoutumia kuwateka watu/homilia
REC:Misa Takatifu sherehe ya miaka 10 ya Upadre/Padre Philipo Tairo Visiga Seminari DSM
Переглядів 336Місяць тому
REC:Misa Takatifu sherehe ya miaka 10 ya Upadre/Padre Philipo Tairo Visiga Seminari DSM
YESU NI MWEMA- (LIVE) KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
Переглядів 368Місяць тому
YESU NI MWEMA- (LIVE) KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
Alichokisema Padre Vicent Kibooo kwenye Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Pd Philipo Tairo
Переглядів 88Місяць тому
Alichokisema Padre Vicent Kibooo kwenye Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Pd Philipo Tairo
Bwana Utuhurumie-Ukwakata parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mbezi-Beach DSM
Переглядів 209Місяць тому
Bwana Utuhurumie-Ukwakata parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mbezi-Beach DSM
Pd NYILAWILA"Ukweli upo ndani ya kanisa katoliki,Hakuna lingine'"Awasha mshumaa miaka 50 ya Upadre
Переглядів 252Місяць тому
Pd NYILAWILA"Ukweli upo ndani ya kanisa katoliki,Hakuna lingine'"Awasha mshumaa miaka 50 ya Upadre
Litania ya Watakatifu Wote Upadrisho wa Mapadre 9 Jimbo kuu la Dar Es Salaam
Переглядів 229Місяць тому
Litania ya Watakatifu Wote Upadrisho wa Mapadre 9 Jimbo kuu la Dar Es Salaam
TUMEZITAFAKARI- KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
Переглядів 609Місяць тому
TUMEZITAFAKARI- KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
RC Kilimanjaro asema Raisi Samia alimwambia awe karibu sana na Askofu Minde/Vicheko vyatawala.
Переглядів 932Місяць тому
RC Kilimanjaro asema Raisi Samia alimwambia awe karibu sana na Askofu Minde/Vicheko vyatawala.
Askofu MINDE:Mapdre IGENI Mfano wa hawa/hawana vurugu wala hawasumbui/Wamefanya aje kufika hapo.
Переглядів 970Місяць тому
Askofu MINDE:Mapdre IGENI Mfano wa hawa/hawana vurugu wala hawasumbui/Wamefanya aje kufika hapo.
Askofu AMANI:Mapadre Tunzeni Maagano yenu/Agusia sakata la Waomi kufanyiwa mitihani/Hawana Ufanisi.
Переглядів 882Місяць тому
Askofu AMANI:Mapadre Tunzeni Maagano yenu/Agusia sakata la Waomi kufanyiwa mitihani/Hawana Ufanisi.
Inapendeza-Maandamano Jubilei ya miaka 50 ya Upadre Jimbo katoliki Moshi 2024
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
Inapendeza-Maandamano Jubilei ya miaka 50 ya Upadre Jimbo katoliki Moshi 2024
Inapendeza Padre Kihoo alivyowaimbia Wanandoa wapya Walioenda kutoa Shukrani/Wajitambulisha Rasmi.
Переглядів 8202 місяці тому
Inapendeza Padre Kihoo alivyowaimbia Wanandoa wapya Walioenda kutoa Shukrani/Wajitambulisha Rasmi.
Vicheko vyatawala Swali la mtego kwa waumini (Tujuzane Challenge ndani ya kanisa katoliki)
Переглядів 4762 місяці тому
Vicheko vyatawala Swali la mtego kwa waumini (Tujuzane Challenge ndani ya kanisa katoliki)
Padre Kihoo:Kina Mama Waleteni Waume zenu kanisani/sikilizeni ushauri wa Madaktari-Homilia
Переглядів 6932 місяці тому
Padre Kihoo:Kina Mama Waleteni Waume zenu kanisani/sikilizeni ushauri wa Madaktari-Homilia
UJASIRI wa watoto Walivyopangua Maswali ya Mtego ya Askofu Ruwai'ch, Wengine wapata Kigugumizi.
Переглядів 2922 місяці тому
UJASIRI wa watoto Walivyopangua Maswali ya Mtego ya Askofu Ruwai'ch, Wengine wapata Kigugumizi.
Kikongwe wa miaka 106 Afariki/Padre bahati awafariji wafiwa"Kila mtu abebe majukumu yake"
Переглядів 1,3 тис.2 місяці тому
Kikongwe wa miaka 106 Afariki/Padre bahati awafariji wafiwa"Kila mtu abebe majukumu yake"

КОМЕНТАРІ

  • @henesysolomon8196
    @henesysolomon8196 Годину тому

    Pole Sana baba g

  • @henesysolomon8196
    @henesysolomon8196 Годину тому

    RIP MAMA GLORY TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI. MUNGU AKUPE PUMZIKO JEMA

  • @agnesmwasumbi9763
    @agnesmwasumbi9763 13 годин тому

    RIP Dr. Grace

  • @GetruderMfinanga
    @GetruderMfinanga 15 годин тому

    Pole sana, Baba.

  • @Digba-l
    @Digba-l День тому

    Bro me ni mseminari mdogo natamani kuwa kama ww naitwa barakw

  • @LucasLucas-sq3bc
    @LucasLucas-sq3bc 2 дні тому

    Dah huyu Huwa alijitoa kabisa...nakukumbuka nilipotembelea Kijiji Cha Izazi Migoli Irnga....Pia Morogoro mjni

  • @EliaRitte
    @EliaRitte 4 дні тому

    Hongereni

  • @sabinakushoka9737
    @sabinakushoka9737 4 дні тому

    Mungu ana kitu ndani Yako endelea katumia kipaji chako Amina

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 6 днів тому

    Yan Hawa ni.. dah😢😢😢

  • @SamsonAnthony-i3u
    @SamsonAnthony-i3u 7 днів тому

    Polen ndugu zangu

  • @brendakagendo589
    @brendakagendo589 7 днів тому

    The voice is heavenly 🎶

  • @AnastaziaMartin-u2s
    @AnastaziaMartin-u2s 9 днів тому

    Tulinogha

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 9 днів тому

    Eti baba inamana akuna ambae amupendi hadi muke wamugombea wapili nae anamnyima kula mmewe niuongo tena sana asikofu ukovizuli

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 9 днів тому

    Ukiona watumishi wa mungu wanaongea janbo moja inamana nisauti ya mungu ,ndivyo ilivyokuwa kipindi cha mwenda zake subili we mama usipotii sauti ya mungu shaulizako .mungu akishusha asila hapatoshikika subili

  • @joyprintspro3845
    @joyprintspro3845 10 днів тому

    Umenyooka BABA ...Ubarikiwe sana.

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 11 днів тому

    Ipo siku hii nchi hii mtaipasua kwani maskofu huwa hamtulii wakati nyinyi ndio mnanufaika na keki ya taifa lakini akiwa kiongozi km magufuli mlikuwa kimya lakini kiongozi akiwa c waimani yenu mnaanza ufundi wa kuongea. kwanini msianzishe chama chenu cha siasa au muingie moja kwa moja ktk chama cha siasa

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 11 днів тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 11 днів тому

    Shukrani sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ConradChubwa
    @ConradChubwa 12 днів тому

    Pumzika Padri Saba!

  • @Methodkihanga
    @Methodkihanga 14 днів тому

    Amina sana

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 15 днів тому

    Aaaameeeen! Ukweli utabaki kuwa huru.mabeber Mungu awalaani

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 15 днів тому

    Aaaameeeen! Ukweli utabaki kuwa huru.mabeber Mungu awalaani

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 15 днів тому

    Yani Kama Kuna mtu ambae afai katika ii nchi ni wwe, hivyonasi ujitasmini tutakupoteza mda si mlefu, tumechoka na uraghai wako, mbwa wwe.

  • @2003hintay
    @2003hintay 16 днів тому

    Huyu ni mnafiki mmoja wa Chadema mbona haikosoi Chadema hawafanyi uchaguzi saccos na huyu ndo mwandishi wa katiba wa chadema. Ujinga tu huu

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 16 днів тому

    Kiongozi hasiye mnafiki usema kweli. Asante Baba Padre.

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 16 днів тому

    Hogera saan kaka

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 16 днів тому

    Amina sana mungu akuinue zaidi

  • @Tumaini-dd7kg
    @Tumaini-dd7kg 16 днів тому

    Mungu akutie nguvu

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 16 днів тому

    Baba ccm ni shida wame luhu makazi hole machinga Kila Kona mabondeni yamevamiwa na wakulima mama lishe kupika barabarani Kila Kona mabwana afya wamekua kama trafiki balabalani ni kuchua pesa mikokoteni na majiko ya chakula jamani nani ataokoa taifa letu nchi yetu imekua jalala la vicha na Wenda wazimu tunaenda uchaguzi watusaidie nini kuibiya raiya

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 16 днів тому

    Wewe mbwa mwitu uliyejifunika ngozi ya kondoo

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx 17 днів тому

    Thanks bishop

  • @user-pg4rw9fv9k
    @user-pg4rw9fv9k 17 днів тому

    Hongera sana Baba Askofu kwa kutoa tamko la TEC.

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 17 днів тому

    Wa Tz tujitahidi kuandika Kiswahili fasaha. Tutumie vizuri herufi h, a nk hizo siyo izo nk

  • @Mariahhymatia
    @Mariahhymatia 17 днів тому

    The most down to earth and visionary cleric of our time. Voice of justice and love reverberates through his speech❤

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 18 днів тому

    TUJIFUNZENI KWA WA KENYA HAWATAKI KABISA KANISA KUJIHUSISHA NA SIASA NI MAFIA WANA BWEKA KWA MASLAHI YAO 😮😮

  • @francispanja3399
    @francispanja3399 18 днів тому

    Heshima. Kwako. Baba. Asikof mungu. Awe pamoja Kwa maneno ya hekima

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 18 днів тому

    Niko paleee nawasubiri KKKT,PCCT,TAG BAKWATA nk

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 18 днів тому

    Baba Askofu hongera sanaaa najivunia imani thabiti ya ukristo wangu Mungu awape nguvu katika utume wenu

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 18 днів тому

    Mungu akulinde watu kama nyinyi mungu kawainua kwa maana yake

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 18 днів тому

    Ameshatumwa kulaghai TEC na yule mashavu mnywa damu za watu🤬

  • @juliasmusanga9069
    @juliasmusanga9069 18 днів тому

    Ubarikiwe baba askofu mungu hawabariki sana muwe na upendo wa dhati kwa kusungumuzia watu wa tanzania inzima ubarikiwe sana ila viyongozi walieko kwenye uwongozi ya juu endeleeni kumshaushi waje kwenye mgogoro ya wamasai wa ngorongoro wanao nyanyaswa bila haki ya kibinadamu kilio imezidi kwetu ngorongoro 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @BenardBwakitare
    @BenardBwakitare 18 днів тому

    Wewe hufai kabisa kwenye dini malaika lakini ninyi ni wakasidi

  • @user-ct1qp3th5f
    @user-ct1qp3th5f 18 днів тому

    Polisi hawana shida, wenye shida ni watawala wanaowatumia polisi kutenda yasiyostahili

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 18 днів тому

    askofu, fanya hata muujiza mmoja tukuamin tukufuate kama unaweza..acha watu waende wanapoamin.

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 18 днів тому

    maneno ya kushindwa, watu wana shida na ndio maana wanatafuta wap kuna nguvu za Mungu kweli, nendeni mkaponye vipofu, mkafufue watu, mkaponye walemavu, ukoma, ni maagizo yalitolewa...tunatafuta nguvu za roho mtakatifu zikifanya nguvu kwenye jina la yesu.

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 18 днів тому

    Waislam bakwata Iko wap waislam walitekwa wakapewa kes za ugaid wakakaa kimya waliacha Lema ndo awapiganie Leo wamaasai wanateswa anatoka sheh mmoja mfuga Majin anasema upumbav

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 18 днів тому

    Hiv viongoz waviwatesa wamasai wanafanya hivyo Kwa maslahi ya nan, bila shaka ni ya kwao binafs ndo maana wameshupaza shingo na wamefunga masikio kama hawasikii zaid wanaendelea kuandaa njia zingine za kihuni kuendelea kuwabana. Ina maana serikali sio sikivu kias hicho haisikii vilio vya watanzania karibu wote wanawalilia wananchi wenzao wamasai. Jaman nchi hii awam hii it's beyond

  • @WakrenoSimoni
    @WakrenoSimoni 18 днів тому

    Uchawa mkirud majimbon mtakutana na sis

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 18 днів тому

    Jeshi liko wapi wananchi tunateseka tusaidieni

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 18 днів тому

    Unasema kweli kabisa na Mungu akubariki uendelee kuwatete wanyonge....