@@Tee-King hawana lolote bro hawa wao ni umbea umbea umbea na wao hawana cha maana wanachozungumza kikakuingizia kichwani zaidi yao ,hebu angalia wachambuzi wa mpira wenyewe ndio hao wacha niwape block tu
@R10_Rajab naweza kupa mifano mifup kaka. Swala la kibu apa lilianza kujulkana wiki kabra, swala la kipa wa simba Ayoub pia lilijulikana wiki kabra, swala la dube wiki kabla, swala la bareke na dube mwez kabla, kwaiyo kuna habari kama mpenz wa mpira vumilia tu kaka. Muhim we chambua zipi nzur na mbaya.
Abbas mudathir yahya
Yanga African (Wasafi TV.)
Huu ndio mlengo wa halisi wa Wasafi.
Na mwamba anatisha mnoooh
Simu zinaita Sanaa
Labda sure Boy mbna muda anacheza sana
Kijana wamatelefoni huyo🤣🤣🤣🤣🤣
Muda boy na ni mwamba kweli kweli
Faridi Mussa
Sureboy
Muda kawafuata watu atakaepewa game yeyote sure boi
Wapemba ndo walivyo...yaani kama utani lakini atahakikisha la moyoni analitoa baaasi!
Mudathir
Mudathiri😅
Fabrice Ngoma
Ingawa sijui lakini hii ni Yanga, kwa sababu Yanga ndyo walienda South Afriy
Muda atabaki kuwa Muda tu uzuri wa Abuya huwez kuufananisha na wa Muda,
Muda
Code ipo kwenye MUDA utaongea 😂😂
😂😂😂
Kabsaaa
Kumb muda
Babu Kaju
Elewa anapo sema msimu uliopita aliuuwasha sana
Ingekua mchezaji wa simba usingemaliza ivyo kingekua kicheko na kebei apo
MASENGE NDIO WALIVYO
Si utopolo huyoo boya
@@mjanthony4864 JITOPOLO PAMOJA NA WEWE BOYA JITOPOLO
😂😂😂😂😂
Hichi kituo ni cha kimbeanbea mpaka uchambuzi wa.mpira wa kimbeambea hivi nifanye nini ninaposcrow youtube nisizione hizi channel za hichi kituo?
Chagua not recommended au block wasafi. Ila kama unapenda mpira vumilia mana leo wamekusema we kesho watamsema mwenzio utafurahi.
@@Tee-King hawana lolote bro hawa wao ni umbea umbea umbea na wao hawana cha maana wanachozungumza kikakuingizia kichwani zaidi yao ,hebu angalia wachambuzi wa mpira wenyewe ndio hao wacha niwape block tu
Kwakweli nami ni kuwabrock tu wasafi