Naomba wote wenye mapenzi na mzee makosa, leo usiku tusali hiyo hela asiende kupanda miti, aitumie hiyo hela kuboresha maisha yake binafsi... Miti aliyoipanda enzi za utajiri wake ilitosha kwa kweli, mimi form one nimesoma Iringa ni kwamba mji mzima una miti yake, na siyo ya kibiashara ni miti ya kujitolea tu, sasa ajitunze na yeye pia, he deserves it
kweli kabisa ,katika kila kitu inatakiwa kuwa na kiasi . kujali kwanza familia alafu mengine atafanya akisimama . Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
Kati ya Moja ya taarifa iliyonifurahisha sanasanaa mpaka metoa machozi,Makosa Mzee wetu tunakupenda sisi watoto wa iringa💪siku alisema hakati tamaa sababu kama pumzi ipo yanini kukata tamaa🙌 MEJIFUNZA sana
Kinachoniumiza pamoja na mihangaiko yote wanaume wanayo hangaika akisha yumba kiichumi ni wachache sanaaa wanao inuka tena na kuendelea na mapambano wanaume wengi wanakata tamaa na majukumu yote ya familia anayebeba mwanamke yuleyule aliekua anadharaulika kipindi unanguvu kwa kumbdalishia wanawake wakila namna aiseeee I feel the pain huyo mwanamke anamaumivu makubwa sanaaa 😢
NI BORA uwe na kilevi cha pombe ambayo unaweza kunywa mwenyewe kwako kuliko BAR Nako Kuna vishawishi baada ya kunywa 5 utanunua kreti nzima WANAWAKE ni kilevi hatarii..unataka umuhonge mwanamke akuone wa maana Ukitaka mwanamke awe chini ya HIMAYA yako mwanamke umpangie, umtunze ili abakie kwako Ndiyo zinakutoka 😅 Ni bora ujilimit uwe na wanawake 2 na uwawezeshe wajitume wasiyo tegemezi sanaa kwako
Baba levo anaakili mingi sana uyu Broo yan uyu jamaa angesoma kidogo tu angekua noma sana yani ukisikia maswal yake jinsi anavo tengeneza Hoka daaah noma sana sio uyo Oscar chinzi kabisa
Hongera sana daimond huyu pia katika kipato chake katoa watu wengi sana katunza alikuwa na kituo cha watoto yatima anaishi nao lakini binadamu daaa mungu ambariki
Mbona mzee anaeleweka vizuri tu kwanza ana upendo mkubwa kwa watu halafu afanyi kitu kwa ajilii yake tu anapenda kuona na wengine wakinufaikia kupitia hicho alichokifanya kuhusu maisha yatakuwaje nadhani muacheni afanye anachokipenda ndio wito wake huo na MUNGU kampa Roho nzuri kwahiyo Mungu atatenda tu mambo mazuri juu yake.
Kajibu kwa akili kubwa sana ,angesema aitumie 10ml kujikimu asingepata fursa zote ambazo kazipata kupitia hiyo kauli yake.Kifupi Aweso atamtafuta,wazira ya mazingira itamtafuta nk....jamaa katoboa uzeeni!!
Daah Dunia hii..!! Yaani Chibu Mzee makosa umempa milioni 10... basi mzee Abdul mpe hata milioni 1 tu.. ili nae apoze machungu .. maana nipo nae hapa anachek kipindi 😢😮
Huyu mzee atafutiwe mshauri nasaha inaonekana akili yake imepagawa,maana hizo pesa badala atumie kuendeleza familia yake yeye bado anataka kurudia makosa ya kunufaisha jamii ambayo haina mpango naye
yeye anaposema hayo haimaanishi lazma afanye kwa ela hizo... ingawa kupitia wazo lake na umuhimu wa hilo jambo lazma patatokea mfadhili au serikali yenyewe kumsapot
Nimefuatilia mahojiano ya huyu mzee amesema serikali ilifungia akaunti zake kwa kosa la kutolipa kodi kwenye hiyo shughuli yake ya upandaji miti kwa kuwa kampuni yake haikusqjiliwa kama CHARITY. Kama ni kweli nadhani serikali iliangalie hilo nadhani haikuwa sawa japo taratibu za usajili wake yawezekana amekiuka kwa kutojua taratibu lkn kuna haja ya kumfuta machozi kwa juhudi kubwa aliyoifanya ya kuisaidia jamii alipokuwa na uwezo. Achimbiwe hicho kisima anachokitamani na wafanye hata harambee kumjengea nyumba nzuri kidogo ya kuishi na fedha walizofungia kwenye akaunti wamrejeshee na fidia kidogo. Kongole kwa Dimond pia kwa kumshika mkono, alishafanya hivyo pia marehemu Muhidini Ngurumo kipindi flani ni jambo jema sana.
Hilo ndiyo agano letu na Mungu ila sisi tukajifanya wajuaji eti wake wanne😂😂kudadeq sijawahi kuona ndoa yenye wake zaidi ya 1 ikadumu hapo ndio binadamu tujue huo siyo mpango wa Mungu
Mzee makosa ,anza na familia ,miti itafuata ukishanyanyuka. Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
Mtu kachezea maisha na mademu wamemmaliza, kapata bahati kapewa 10M, na bado munataka achangiwe, kuna watu wa kuwachangia kibao huko hospitalini, kuna watu figo zao zimefeli wanahitaji kuchangiwa
Sikiliza story vizr wewe ndio kweli alikuwa na wanawake wengi Lkn sio wanawake ndio waliomfilisi bali wanawake walikuja kusepa baada ya kufilisika Bali kuna sababu ya mali zake kufilisika
Shida ipo ukizidisha kiasi cha manunuzi ya vocha bahati mbaya mfano kununua vocha ya 1,000 ukaongeza sifuri bahati mbaya ikawa 10,000 imekula kwako na hawana suluhisho
Huyu mzee inabidi achangiwe kama fadhila.Serikali imuangalie vizuri as kwa sasa Kuna KAMPENI ya kidunia kuhusu mazingira..mzee wetu alikuwa mbele ya muda
Yani kwanza 😅 umeongeya point kubwa ya hekima . Ndiyo coment yakwanza kati ya coment za hekima Yako nember Moja una maono ongera serekali Ili pokeye nakuli fanyiya KAZI
Big up kwa mtangazaji Rambati kwa kumfichua mzee makosa Hadi wasafi kumpa heshima yake.
Naomba wote wenye mapenzi na mzee makosa, leo usiku tusali hiyo hela asiende kupanda miti, aitumie hiyo hela kuboresha maisha yake binafsi... Miti aliyoipanda enzi za utajiri wake ilitosha kwa kweli, mimi form one nimesoma Iringa ni kwamba mji mzima una miti yake, na siyo ya kibiashara ni miti ya kujitolea tu, sasa ajitunze na yeye pia, he deserves it
Kabisa jamani.
Uyu mzee kwa aliyo pitia awezi potezaa tenaaa coz ana jutia mtu anae jutiaa huwa anaongeaa ukweliiii.... Iyo 10M itamtoa tenaaaa
kweli kabisa ,katika kila kitu inatakiwa kuwa na kiasi . kujali kwanza familia alafu mengine atafanya akisimama .
Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
Daimondi na baba levo mungu awa zidishie pale ulipo bungukiwa napale mlipo toa mzidishiwe hapa Duniani na akhera mungu awabaki sana 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amen ❤
Mungu mbariki naseeb nyange Kwa moyo WA kutoa na asipungukiwe kamwe.🙏
MUNGU atazidi kukuinua gineus Makosa❤❤
Alikuwa vizuri Sana tu namfahamu ana moyo mzuri amesaidia wengi hadi machokoraa alinunua nyumba aliwalea
nasibu mungu akubariki Sana kwa moyo wako wa kutoa umefanya jambo kubwa Sana Sana ww umfano wa kuigwa
Napenda baba anavyojibu maswali, mzee smart sana
Hata kuzungumza, anazungumza kwa weledi.
Sijawah kujutia kua shabiki wa lion tangu anze kuimba mpk hii leo ❤❤🎉🎉
Yan mzee anapenda Tz kuliko viongozi😢😢😢 wabunge
Kati ya Moja ya taarifa iliyonifurahisha sanasanaa mpaka metoa machozi,Makosa Mzee wetu tunakupenda sisi watoto wa iringa💪siku alisema hakati tamaa sababu kama pumzi ipo yanini kukata tamaa🙌 MEJIFUNZA sana
Asasi ashirikishwe kwenye suala la upandaji wa miti koz anayomitambo ya kuchimba hata hivyo visima
Nilicho gundua kwa mzee makosa anamoyo wa kujitolea sana
Safi sana hii vizuri
Kinachoniumiza pamoja na mihangaiko yote wanaume wanayo hangaika akisha yumba kiichumi ni wachache sanaaa wanao inuka tena na kuendelea na mapambano wanaume wengi wanakata tamaa na majukumu yote ya familia anayebeba mwanamke yuleyule aliekua anadharaulika kipindi unanguvu kwa kumbdalishia wanawake wakila namna aiseeee I feel the pain huyo mwanamke anamaumivu makubwa sanaaa 😢
Mungu hawa fanyie wepesi amina
Naelewa kwanini mzee kafilisika malizake zote unapo bahatika kutajirika haifai kupenda penda kila mwanamke utakaye kutana naye.najuwa wanaume wengi huwaga naasira kwasababu walikataliwa kabla kisha wakitajirika,wanachukuwa hiyo nafasi ili kulipiza kisasi.nando usababisha mtu afilisike haraka.na ndugu wapuuzi wavivu na wazembe wasiyo penda kazi.sio vema kuwakaribiya unapo tajirika.
NI BORA
uwe na kilevi cha pombe ambayo unaweza kunywa mwenyewe kwako kuliko BAR
Nako Kuna vishawishi baada ya kunywa 5 utanunua kreti nzima
WANAWAKE ni kilevi hatarii..unataka umuhonge mwanamke akuone wa maana
Ukitaka mwanamke awe chini ya HIMAYA yako mwanamke umpangie, umtunze ili abakie kwako
Ndiyo zinakutoka 😅
Ni bora ujilimit uwe na wanawake 2 na uwawezeshe wajitume wasiyo tegemezi sanaa kwako
Ndiyo mana Iringa kuna matunda mengi sana kongole kwake huyo mzee kwa kugawa miche bure
Best interview. Big up to the presenter's.
Baba levo anaakili mingi sana uyu Broo yan uyu jamaa angesoma kidogo tu angekua noma sana yani ukisikia maswal yake jinsi anavo tengeneza Hoka daaah noma sana sio uyo Oscar chinzi kabisa
Makosa alikua ni mtuu saaana ila watu wenye wivu sio watuu
God bless
Makosa ana vitu nadra sana !! Kuvipata katika vizaz vya sasa!! Respect you my legend!!
Inabidi wananchi na viongozi wa Iringa tupande miti wenyewe ili Mzee wa watu afanyie pesa yake kwa maisha yake japo miti ni sehemu ya maisha yake
Hongera sana daimond huyu pia katika kipato chake katoa watu wengi sana katunza alikuwa na kituo cha watoto yatima anaishi nao lakini binadamu daaa mungu ambariki
Mbona mzee anaeleweka vizuri tu kwanza ana upendo mkubwa kwa watu halafu afanyi kitu kwa ajilii yake tu anapenda kuona na wengine wakinufaikia kupitia hicho alichokifanya kuhusu maisha yatakuwaje nadhani muacheni afanye anachokipenda ndio wito wake huo na MUNGU kampa Roho nzuri kwahiyo Mungu atatenda tu mambo mazuri juu yake.
Mungu Akubariki Diamond Huyu mzee alinisikitisha sana sema ckuwa na uwezo
Diamondi hongela sana mjomba
Mzee Makosa kanikera hapo kwenye miti,hiyo hela imsaidie kujikim
Watamjenga kisaikolojia na aitqkuwa ivo tena
Kajibu kwa akili kubwa sana ,angesema aitumie 10ml kujikimu asingepata fursa zote ambazo kazipata kupitia hiyo kauli yake.Kifupi Aweso atamtafuta,wazira ya mazingira itamtafuta nk....jamaa katoboa uzeeni!!
MashaAllah huyu mzee ni intelligent.
Daah Dunia hii..!! Yaani Chibu Mzee makosa umempa milioni 10... basi mzee Abdul mpe hata milioni 1 tu.. ili nae apoze machungu .. maana nipo nae hapa anachek kipindi 😢😮
Hapo Baba Levo anawaza amshauri Makosa akabeti ili ziongezeke 😂
Chawa baba levo
Mzee madin sana
Yani baba levo akiona hela anadata kabisaa...mkamalia mkamalia tu
😂😂😂😂😂
Mkamalia😂
Ila huyu mzee aliangushwa na TRA na chanzo ni hiyo hiyo miti 😢
Mzee achana na miti. Angalia Plan B kuhusu maisha yako. Yaliyopita yameshapita. Mungu ana malengo na wewe.
Baba levo ukimtizama haraka haraka unaweza usimuelewe lkn pale kwene kipindi hicho ndy injini
Huyu mzee atafutiwe mshauri nasaha inaonekana akili yake imepagawa,maana hizo pesa badala atumie kuendeleza familia yake yeye bado anataka kurudia makosa ya kunufaisha jamii ambayo haina mpango naye
Utajir ni kuishi ndoto zako sio magar na pesa pekee hata kuacha legancy ni utajir tosha
We Rafael ni kama hujielewi. Huyo anafanya jambo la wito wake alioitiwa duniani. Anaishi ndoto yake. Huo ni utajiri namba moja.
Kaka upo Sawa Mia Mia miaka 70 akilizake zinaanzaa kuludi utoto
yeye anaposema hayo haimaanishi lazma afanye kwa ela hizo... ingawa kupitia wazo lake na umuhimu wa hilo jambo lazma patatokea mfadhili au serikali yenyewe kumsapot
Nimefuatilia mahojiano ya huyu mzee amesema serikali ilifungia akaunti zake kwa kosa la kutolipa kodi kwenye hiyo shughuli yake ya upandaji miti kwa kuwa kampuni yake haikusqjiliwa kama CHARITY.
Kama ni kweli nadhani serikali iliangalie hilo nadhani haikuwa sawa japo taratibu za usajili wake yawezekana amekiuka kwa kutojua taratibu lkn kuna haja ya kumfuta machozi kwa juhudi kubwa aliyoifanya ya kuisaidia jamii alipokuwa na uwezo.
Achimbiwe hicho kisima anachokitamani na wafanye hata harambee kumjengea nyumba nzuri kidogo ya kuishi na fedha walizofungia kwenye akaunti wamrejeshee na fidia kidogo.
Kongole kwa Dimond pia kwa kumshika mkono, alishafanya hivyo pia marehemu Muhidini Ngurumo kipindi flani ni jambo jema sana.
huyu mzee kapagawa huyu😂😂😂 yn 10M anataka akapande miti ya jamii.. wakat kumbe kibenten 😂😂😂😂..ila nimemkubali sana Babu Makosa ni mkweli sana..
Sasa Ukweli pekee uliousikia hapo ni UBETEN TU
Huyu Babu ana kitu jaman ,Wala hana tamaa kabisaa amepata hela na Bado anawaza jamii
Huyu Bibi wa kihehe yupo vizuri sana
Pia, aliwahi azisha wazi la upandaji wa miti kwa kila mwanafunzi kupanda mti
Baba levo msikilize mzee acha kubet mbwa wew
Mke wa kweli amebak wengine walikuwa wapigaji tu uwa nasema mke uwa mmoja tu
Hilo ndiyo agano letu na Mungu ila sisi tukajifanya wajuaji eti wake wanne😂😂kudadeq sijawahi kuona ndoa yenye wake zaidi ya 1 ikadumu hapo ndio binadamu tujue huo siyo mpango wa Mungu
Mungu akikupa mke bora tu wewe n tajiri wa Dunia
Mzee kweli ww makosa kweli hiyo hela mpee huyo mama kidogo afungulie kibeishara mti wache wapande wenyewe
NASHAURI HELA ZA MAGOLI ZA SIMBA NA YANGA ZIPELEKWE NA MAMA KUCHIMBA HICHO KISIMA.
NI WAZO TU 🤔🤔🤔
MashaAllah..🙏
Fantastic interview
Nimependa kumuombea kwa mheshimiwa waziri wa maji AWESO.wasafi mtafutie wathamini wa ubarozi wa mazingira ili awe anapate mashavu ya pesa
Nipe namba nichangie laki 7
Kwenye kisima kaibiwa naomba munipe number zake nimsaidie bure
Ila jua kua ni mlimani mkuu
Baba levo taaluma yake kwenye kumsoma mtu na uliizaji maswali ndogo sana aendelee kubaki kuchekesha kwenye mada za wakwa wao
Hapan he is very intelligent. Hakupenda pesa yote itumike kuchimbia kisima. Alitumia busara kumuongoza aanzishe biashara.
Platinumz
Nimependa ushauri wa mzee ramadhani
Mmh baba levo hana namba ya siri kweli ya hiyo cm🙄
aitwe pia ikulu uyuuu mzeee mama aliangalie na huo mrad wa maji wakautimize tu serkali ili iko kiasi akajikimu tu na maisha yake
Kwani mu Malawi ndo yuko je?😊
Makosa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sound Engineer Wa Hiki Kipindi Anazingua Big Time Yaaani
Mzee makosa ,anza na familia ,miti itafuata ukishanyanyuka.
Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
Chibu😅😅😅
Daah sio poa chibu
Mtu kachezea maisha na mademu wamemmaliza, kapata bahati kapewa 10M, na bado munataka achangiwe, kuna watu wa kuwachangia kibao huko hospitalini, kuna watu figo zao zimefeli wanahitaji kuchangiwa
Sikiliza story vizr wewe ndio kweli alikuwa na wanawake wengi Lkn sio wanawake ndio waliomfilisi bali wanawake walikuja kusepa baada ya kufilisika Bali kuna sababu ya mali zake kufilisika
Tunaomba namba ya cm hyo
Mama kama anaitaman mil.10 hivi hahahaa...na kachana ukwel hatak mil 10 iende kiduanzi jamii yenyewe ya kuipandia miti Haina SHUKURANI kudadeq
we mzee achana na jamii fanya maisha yko.jamii ulishasaidia na chamoto ulikiona,ila bado unawaza jamii?!
Wasafi kuna kama mzee makosaa huku kigoma kwetu naomba mumsaidie anataka kufa mzee wa watyu alikuwa tajir mzur tyu leo ni huruma tyu kwake
Watu wa iringa tunaelewa huyu mzee kafanya nni kwenye mji wetu alistahili heshima sana
Mzee
Oyaa babalevo kuna mchezo kaucheza naomba cameraman sisogeze camera pemben abadan😂😂 uyo jamaa kuna keka keshalisuka na kanyofoa mill1
Hamna hebu acheni hizo.
14:40 😢😢😢😢
Tujifunze kwailo
Mwambie Bora hata akanunue ngombe tu
Baba Levo Acha Uroho Kiasi Hikooo !
ila hapo kwenye mradi wa miti na milion kumi mhh mzee unaandalia wajukuu
Huyu mzee serikali imsadie sana.
Mama pia anaweza kutusaidia kwenyeee hili jambo
Naitwa daudi nilla Mzee makosa lakini kuna msemo uitwao wa mbele atakua wa mwisho wa mwisho atakua wa mbele nipo Arusha loliondo 😊😊😊😊
Huyu mzee kafanya nizidi kuchukia binadam, lesson learned!
😢😢Sasa mmalawiani inausiana na interview
Shida ipo ukizidisha kiasi cha manunuzi ya vocha bahati mbaya mfano kununua vocha ya 1,000 ukaongeza sifuri bahati mbaya ikawa 10,000 imekula kwako na hawana suluhisho
Diamond msaidie Mzee Abdul
Huyu mzee kweli mzee makosa badala ya kumpumzisha mkewe navibarua anataka aichimbie kisima ili mkewe aendelee kuteseka
Ndo maana mzee yuko hvo
Mzee sio kinyongee😂😂 11
sio pow babuu mtu flan hiv nanusu
Maskin uyomze mungu atakupa zaidi mze
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga
Kweli huyu Mama. Hapendi kumuangusha mume wake
@wasafi pakeni rangi ofisini ipendeze bhana
Mzee alitaka kufanya tamasha la kujinyonga samora stadium huyo😂
Huyu mzee inabidi achangiwe kama fadhila.Serikali imuangalie vizuri as kwa sasa Kuna KAMPENI ya kidunia kuhusu mazingira..mzee wetu alikuwa mbele ya muda
Yani kwanza 😅 umeongeya point kubwa ya hekima .
Ndiyo coment yakwanza kati ya coment za hekima Yako nember Moja una maono ongera serekali Ili pokeye nakuli fanyiya KAZI
Oscar kama mtu vile anajua kuongea kinoma huyu jamaa
Me niwasihii vijana wenzangu tutumie nafasi ya interview hii kama somo kwetyuu........
❤️❤️❤️❤️❤️🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kila mtu mwenye akili timamu na Roho wa Mungu popote alipo lazma akipata nafasi ya kumsaidia huyu Mzee atafanya hivyo.
Sio kupanda miti,ni miche ya matunda...
Kweli
Tunawapongeza Dar 24 wandishi wote wangekuwa kama hawa wengine kazi kuandika umbeatu kichwa cha habali na habali ilioandikwa tofauti
Kweli kanena uchawa