🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | LIGI KUU YA NBC | SIMBA SC {4} VS FOUNTAIN GATE FC {0}
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Daah hii SIMBA ni Tamu kweli..!😊😊
Sijawahi kufikiria kuihama Simba yangu pongez sana kwa wachezaj mmetupa burudan
Wakwanza Leo naomba like Zangu wanalunyasii🎉🎉
Unataka like za nini😢
Xzedgjy en drf thx cghyko@@derifinusdgaspary4595
Simba Hii 🤗🤗 nyie tulieni Tu, ikijipata kikamilifu litakuja kufa JITU chuma 8.
Kweli kbc tutulie tule mtori nyama zikochini wallah
Ad mjipate 😂😂
Ubaya ubwela❤❤
Mwalimu na wachezaji endeleeni kujinoa kweli kweli maipunguze kazi na msijiamini sana mkadharau timu yeyote ili muwe Bora sana zingatia mazoezi.
🎉🎉🎉❤hii Simba 🔥🔥
Nmependa sana hizi move za goli la Mukwala...BALUA ni bonge la AM 🙌
Simba bingwaa
Yanga wasipo mloga ahoua nimchezaji mzuli saaaaaaaaaaana leo na kesho
Kagoma aanze huyu mashaka ni mzuri nilishasema
Na viongozi msijisahau kuitibia timu kwa shetani yupo kazini muda wote na wachezaji jitibieni mkichanganya mnakuwa zaidi
بأذن الله تعالى اهلي طرابلس بي يتاهل ع حسابكم
Ubaya ubwela
💫💫
Uy ahoa cjui ana mipir mizr sana yani huo mpira akiupug km kip hyk mkn doh ankul nying sn wallah
Yaah dogo freecick zke zote alzopiga yy ni ubora wa goalkeeper ndo umemnyima goal nyingi
NIULIZIEN SIRI YA EDWINI CHAZ BARUA NA JEAN CHAAZ AHOUA
Mkwala anatakiwa kuwa mwepesi hasiwe mzito maana ana Ka uzito flani
Goli la pili ni pira biriani,ndo goli la kisimba simba
Mhhh awamu hiii siongei meng
Ushindi ya Simba Bingwa..
Tuzidi kuwaamini wachezaji wetu.
Kweli ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤
SIMBA TUNAWAPIGAJI WAZURI SANA WA FREECICK BALUA NA AHOUA
Simba nguv moj
Mnyama simbaaa 😅😢❤
ee baba Simba waooo
😢🎉Ubaya ubwelaa hatari TU
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba imeshajiaminisha tayari. Nbc na kombe la shirikisho bingwa.
Anaesema simba inanunua magori kwan wao hawana ela
Mpelekeni Mukwala kwa Denzel Trainer akanolewe fitness
AHOUA UMAFANYA VZR KUTOA PASI C UMEONA TUMEPATA MAGOLI MENGI?WACHEZAJI USILAZIMISHE KUFUNGA KM UWEZEKANO HAUPO. MPE MWENZIO AFUNGE ANAYEKUWA NANAFASI. NDY MTAPATA MAGOLI MENGI LENGO TIMU ISHINDE HANGERENI SANA SIMBA
Nakubal
Simba bingwa
Unyaa
❤❤❤🎉🎉🎉
Jamani jamani huyu Fondo ipo siku atatuletea shida apunguze kujiamini kupitiliza ebu viongozi jaribuni kumkanya asituletee ujinga tuna maumivu sana,kwa hiyo msimu huu hatumtaki ujinga wowote ufanyike
❤❤❤❤❤
Ila huyu kibu duuh hamna kitu😂😂😂
Simba gari limewaka 😂😂😂
❤❤❤
Simba ya kidunia 😅😅😅😅ubaya ubwelaa
Sakho nataman aludi humu
Imewaka
Wanasimba tuanze kunywa dawa za kisukari sasa maana sio kwa utamu huu
Aidha Mnyama ni mkali sana au Fountain Gate ni wabovu sana. Yote ya Yote, pongezi kwa mnyama. Tunatazamia mengi
Simba yamoto inakuja
Unaipenda Simba kama mimi?????
Watu wa digital fanyeni hizi highlights ziwe Zina wekwa muda mfupi baada ya mechi kuisha Ili kuongeza mapato humu you tube pia subscribers, Sasa mnaweka baada ya masaa sita huku Azam Tv wameshaweka muda mrefu maana yake Nini? Ebu kuweni chapu jamani
ALHMDHULILLAH
Haha bhana
Ubaya ubwela simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤
❤
🦁🦁🦁🦁🦁
Unyama
Kama unasema mwanaume haja anza ligi siwewe mke wa wake ukaombe wakuruhusu ili ukute una cheza we we.
Stamina kwa mukwala inaanza kupungua.
magori yote nimatamu simagori tu nimisumali ilioenda shule simba oyee nguvu moja,
Jaman wachez muwe hta mna staili ya kushangilia
Aiseee kwan iii camera mlinunu bei gan chama langu mbona naona vzur kuliko zile za azamembe ❤💜⚪
Konfdens uloipata mukwAlala endelea nayo usiogope paka wala dudu wote tu wa Simba pigeni mpila
Dan
Usiwe unachelew sana kuweka bana
WACHEZAJI ASANTENI SANA. HAPO NI MWENDO BILA KURUDI NYUMA. PASI PEANENI UKIONA UWEZEKANO WAKUFUNGA WEWE HAUPOMPE MWENZIO AKIWA NA NAFASI ILI KUIPATIA TIMU USHINDI NA MAGOLI MENGI
Ubaya kwel umelud
Kwa magoli haya ya kizembe ingekuwa yanga makoro mapovu yangewatoka ooh hilo tawi lenu ooh gsm wanatoa bahasha mapovu yangekuwa mengiii lakini kwao sasa kama wamebeba kombe la nbc wamesahau yoote na wamesahau mwanaume hajaanza ligi😂😂
Wewe tulia dawa ikuingie na bado utapona tu ugonjwa wako wa kutoelewa
Tuliza chura ww acha kuwanga😅
Magoli ya kizembe waip wew achawivu ndiyo gari limewaka hivyo
Huku ndo kwetu
🦁🤍🤍🤍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👏👏👏👏👏👏
uubaya ubwera
Unyama