Hongera mama samia kwa mchango wako kwa mzee huyu naomba na yule jamaa aliyeimba kama siyo juhudi zako nyerere naye atambuliwe nilimsikiliza hata mimi nilijua aliimba komba
Ahsante sana mwana FA, huo ndio uwajibikaji wa mawaziri inatakiwa hivyo, miaka yote tunejuwa na mawaziri wa utamaduni hawajawahi hata kuwafikiria wazee kama hawa, na wako wengi waliopigania uhuru na uzalendo wa nchi kwa njia ya nyimbo, wakimbukwe sana kina Bitchuka na kina Zahir Ally Zoro na wengine, hata kwa zamu lakini, wafanyiwe kitu,, Hongera Mwana FA.
Mm ninampongeza mh.Rais almaarufu mama Samia kwa kuyajali maswala yote mazuri yanayo au yaliyofanywa na watu kwa Maendeleo ya Nchi kwa namna moja ama nyingine, iwe kwa wanamuziki, wananzuoni mbalimbali, wataaluma n.k. Hongera kwake dkt Samia.
Nikuulize ivi kwani wasanii wengine mfano akina dula makabila,harmonize nk walipopata tuzo vip madansa wao walishirkishwa kwenye tuzo zao?nazani ukilielewa hili swali langu utakuwa umepata jibu kuhusu malalamiko yako
Mzeee anachombeza tuu sio kweli hawez fanya maana hivyo vitoto kama naviona vinavyoweweseka kwa taarifa yenu mnatekwa tuu hawez hata mmesikia hata miguu yake mibovu mutaweza kumbebaaa?wanachombeza story inakuwa tam kweli😂😂😂
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wazee wangu leo mmenifurahisha ❤❤❤ makopa kwenu
My friend Steven Hiza, hongera sana Mgosi.
Ongera sana mama Samia mungu akulinde sana❤❤❤na wandishi wa habari
Asante Mama kwa kumsaidia Mzee Hizza Naomba Mwana F amkalabatie Nyumban hiyo hera atumie mwenyewe
Bibi nakuaminia, bb hakukataa bali alitii aliacha mzee aende, ila mama alijua tuzo ni yake tu. Bibi Mungu akubariki sana.
Hongera mama samia kwa mchango wako kwa mzee huyu naomba na yule jamaa aliyeimba kama siyo juhudi zako nyerere naye atambuliwe nilimsikiliza hata mimi nilijua aliimba komba
Kiukweli kwenye hili mama umeupiga mwingi sana hongera mama samia
Kwa.kwel.huu wimbo naupenda na umetungwa kitaalamu sana sana .❤
Nimependa sana mzee alivyosema, ANAMSHUKURU MUNGU KWA KUMPA BARAKA HIYO
Mashallah Rais wetu kwakumkumbuka Mzee wetu
Asante sana mama Samia❤
Ahsante sana mwana FA, huo ndio uwajibikaji wa mawaziri inatakiwa hivyo, miaka yote tunejuwa na mawaziri wa utamaduni hawajawahi hata kuwafikiria wazee kama hawa, na wako wengi waliopigania uhuru na uzalendo wa nchi kwa njia ya nyimbo, wakimbukwe sana kina Bitchuka na kina Zahir Ally Zoro na wengine, hata kwa zamu lakini, wafanyiwe kitu,, Hongera Mwana FA.
Mzee amechanganyikiwa,asaidiwe na serikali kujengewa nyumba nzuri,na asimamiwe vinginevyooooooo da! Hatari
Imelda Mungu azidi kukutangulia ❤
Adi raha❤❤❤❤
Adi siyo ni Hadi nk
Serikali imjengee nyumba nzuri. Mzee huyu pesa itatembea hii.
Huyu mzee anaonekana hajamaliza , hapo alipo hizo pesa inaonekana bibi kashajua vitu mingi , huyu bibi hana furaha naona mzee anataka kurudi ujanani
Masha Allah hongera sana baba kwa kipaji
Asante sana unatukumbushambali
ATOMIC JAAZ WALIKUWA NA NYIMBO WATU WAKIIPENDA SANA ( MADO WANGU )
Dada imelda ubarikiwe sana nakufuatiliaga sana unawareness wanyonge
Unawatetea wanyonge
Apewe maua yake
Madam president mm nakuomba Bajaj tu napitia magum sana birth mate wangu na Rais wangu mpendwa ❤❤🎉
Mnaomba omba mtumalizie pesa za walipa kodi😂
Karabati nyumba mzee weka wapangaji upate pesA ya kudumu
Mm ninampongeza mh.Rais almaarufu mama Samia kwa kuyajali maswala yote mazuri yanayo au yaliyofanywa na watu kwa Maendeleo ya Nchi kwa namna moja ama nyingine, iwe kwa wanamuziki, wananzuoni mbalimbali, wataaluma n.k. Hongera kwake dkt Samia.
Usiache baiskeli mzee hiza inakusaidia pia kwenye afya yako
Asante sana unatukumbusha mbali
Mzee hajamnunulia mwenzie anasema kama wivu ni sunna atajua mwenyewe mzee Hiza 😂😂
Mungu akubariki mama samiha kwa upendo na imani❤❤❤❤
Hawa wazee wanatumia,lugha,ya, Sanaa usipoijua utadhani kweli
Mama samia popote ulipo na mimi nigeie ata milioni 20 tu nijikwamue kimaisha mama 😢
Kwanini msigawe pesa kwa wanachi wote jamani mnagawa kwa wachache wakati wenye shida ni wengi
Huwezi timiza haja ya kila mtu
Acha wivu roho ya kutu ndio maana Mungu hakupandishi daraja
Rais kwa hili nakupongeza
Busara za wazee
Nyimbo Hi Ikiwa Inapigwa Kwanza Nakua Kwenye Mawazo Mazito Sana Kukumbuka.Nyuma.Nyimbo Inaishi Hi
salut kwa mama🎉
Tanga tunapenda sana utani safi sanaaaaa 😅😅😅
❤❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤
Mzee ampandisha presha bibi😂😂😂
Wakati wa MUNGU umefika Kwa mzee hiza MUNGU awahi Wala achelewi hii ni sadaka kubwa sana aliyoitoa RAIS SAMIA
Mamaa watanga huyoo hataki mchezo mchezooo
Wazee wanafurahisha hawa. Utani na kuchombezana ni sehemu ya maisha ya ndoa yao. Kwa watu wa Kanda ya Pwani haya mambo ni ya kawaida sana😂😂
Huyu bb anamjua mume wake ni kicheche.hana imani kama hiyo 50 ataambulia haki!!
Dah jmn atavaaa suti sasa😂😂
Hivi ni kuna mtu anampango wakumnyima huyu mwanamke pekee wa mfano tanzania kura kweli?
😂😂😂nimemuona marehemu mjomba wangu enzi hizo alikuwa anayarudi
😂😂😂😂 mzeee mwenyewe huyo watakukoma mbonaa😅
Bibi na babu hao ni bomba sana. Bibi antunza mali zake kisha mwingine aje kichwakichwa we! Au du! Watakiona chamtemakuni. Bibi sema sema sema.
Alafu Bibi kumbe ni mwanchi kabisa
😂😂😂😂😂jaman huyu babu mambo mengi
kusema kwel milion 50 ina ondoa umaskin kwa kias flani
Body language ya huyo mke wake inaonesha hana Imani kabisa na hiyo tuzo, siku si nyingi ndoa itakufulia mbali. Anaebisha atakuja tahayari.
Asiache baiskeli, inamfaa zaidi
Mzee ajatulia anapenda madem
Wanamuzik ni hatari.
ndiyo maana alishindwa kujenga mjengo mzuri, saasita hiyo balaa
Wee mwanahabari kwa kugonganisha wewe! Hujambo
Muhuni utamjua tu akipata
Maneno haya ya Mzee Hiza, hayakufaa ayaseme ! !
Mzee uyo hapo network inapanda inashuka
Sasa bajaji ya Nini jmn😂😂😂
Itakuwa ya biashara
Reba akaka ka video urishimira aho urwanda rugeze
Babu hiza 😂😂😂
😅
Walipa kodi hawarudishiwi hata asilimia kidogo
Hiyo tuzo mnafanya makosa kumpa peke yake hao wazee walioshiriki kwenye nyimbo hiyo baadhi bado wapo nao wangehusishwa
Nikuulize ivi kwani wasanii wengine mfano akina dula makabila,harmonize nk walipopata tuzo vip madansa wao walishirkishwa kwenye tuzo zao?nazani ukilielewa hili swali langu utakuwa umepata jibu kuhusu malalamiko yako
Zawadi imetolewa kwa mtunzi siyo bendi
🎉@@samsonhamery3809
@@samsonhamery3809❤🎉
nime penda mjukuu na bibi utani wao hahaha watakoma
Mzeee anachombeza tuu sio kweli hawez fanya maana hivyo vitoto kama naviona vinavyoweweseka kwa taarifa yenu mnatekwa tuu hawez hata mmesikia hata miguu yake mibovu mutaweza kumbebaaa?wanachombeza story inakuwa tam kweli😂😂😂
Umeonae,kwanza kuona shida atawaonaje 😂😂😂
Babu utaliwa wewee!