Fei toto ni mchezaji mzuri sanaa na tunuu ya nchi ilaa kwa sasa palee yangaa hawezi kuanzaa moja kwa moja ili umpate Fei bora anatakiwa kucheza kiungo chinii kidogo ya mshambuliaji wa mwisho yaani no. 10 na hiyo nafasi Azizi Ki ni kama ameiwekea zege kwa sasa ilaa inawezekanaa kupata nafasi za kuanza kwa baadhi ya mechi... huku akijitafutiaa utawalaa wakee tenaa...
Osca kaongea ukweli mtupu, feisal pale hakosi namba hata azizi(10) anaweza kumpisha pia mbona kipindi yupo walikuwa wanapishana tu hakuna mwenye alikuwa ana uhakika wa moja kwa moja hata namba 6 anacheza pia
Km unajua mpira huwez kupinga fey ndio mchezaj bora kwa ligi ya tz saiv kuifikisha azam mshindi wa pili sio kaz ndogo na km anatua Simba yule dogo angeitikisha tz
Msiongee kiushabik ongeen mpira kuna wachezaj na kuna fei sio yanga tuu nationanl al ahly fei anacheza yanga ndio nin acheni ushabik quality ya uchezaj wa feu tofaut na ao mnaowafikiriy hersiy anajuw mpira na ndio maana anauona umuhimu wa kumrudisha fei nyie msiojuw mpira pigen kelele shabashh
Fei atakua mjinga sana kurudi yanga, hersi atataka kumrudisha fei kwa sababu moja tu kufukia mistake na kutoruhusu kuja kuchezea simba otherwise, fei inampasa aende mbele zaidi kwenye timu kubwa za nje zinazomtaka na sikucheza duara,

baba levooo😂🤣🤣🤣me nakupenda bhnaa we ni mkwelii..gamondi co nabi haangalii sura wala history yako..fei atakaa benchi kwel kama alivyojituma
umetisha baba Levo!
Baba Levo na mpira wapi na wapi,
Mkuu wa vikao Baba Levo uko vizuri unamzidi sana kuujua mpira zaidi ya Osca
Hapo Oscar umechemka sio kweli kabisa fei Hana nafasi
Ni wa moto ila yanga inajiweza ata bila fei toto aliiacha timu robo kwenda fainal abaki azam japo anauwezo mkubwa ila yanga iko safi
Fei mchezaji mzuri sana na sisi baazi wa Yanga tuna mkubali sana ila kwa kurudi Yanga aisee sina nguvu ya kumzuia lakini kwakweli apana
motto wake aupeleke azam jamaniii..sisi hatumtaki Ex..muda anaoffer vtu vngi sanaaa,,,fei ni mashutii tuu😂😂
Yaan mpaka leo hamjui Feisal aliondoka yanga kwa sababu ya aziz ki
Wacha ujinga na wacha upuuzi
Baba levo mpira si fani yako unatoa hoja mbovu sana
3:34 😮
Fei anacheza kumi sikuizi, ukimuweka no 8 sahivi anateseka sana
Fei Africa kote ananza
Badala ya mwenzio kumpa moyo kama mtanzania mwenzio fei eti unashobo na wachezaji wa kigeni ambao hawana uchungu na taifa lako baba levo unazingua 😅😅😅
Hatumtaki Feisal aende timu nyingine timu siziko nyingi sio lazima kucheza Yanga
Kana kibuli,aende simba
Live babalevo Oscar anatuletea biashara za jumla😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Kwan Duke ni 1st 11 ya yanga? Huyu Oscar ni mlevi
Umesema ukweli timu yoyote ile ligi yetu anaanza
Baba levo sio mchambuzi ila kuchamba anajua
Arnde Simba banà,ona sasa Aziz anaomba kuondoka,wanamfahamu kalumanzila
Kk unaotaaaa eti umesemaji!!!
Oscar unaugonjwa wa kpenda na kchukia kupitiliza
Hatumtaki sisi, anadhalau ya kuzaliwa nayo huyo dogo pubavu zake.
😂 unajipendekeza hadi wenzio wanakushangaa ungekua unalipwa namilioni ya fedha ungekua chawa????
Kweli fei 10 sasa key na pacome je
Kwakwel Mudathir mtuue 😂
Osca anaongeaga kishabiki
haipingwi Fei niwamoto
Kampeni zimeanza utopolo wanaogopa ataenda Simba
Acha uongo we mtoto wa daimondi wap.daimond hana mtoto kubwa hiv
Asante baba levo I 🎉🎉🎉🎉🎉
Asante.kwalip?
Hujui kitu tuliza pua lako hilo ..unaongea non sense tuh
Osca kaongea ukweli mtupu, feisal pale hakosi namba hata azizi(10) anaweza kumpisha pia mbona kipindi yupo walikuwa wanapishana tu hakuna mwenye alikuwa ana uhakika wa moja kwa moja hata namba 6 anacheza pia
Weee mudathir ni habari nyingine kabisaaa ana kaba mpaka kivuli
Baba levo chenga analeta ushabiki fei ni wamoto anawazidi kitakwimu wote to azizi ki tu
Yule ni mtanzania,hao unaowataja teyari wengine wameshaingiza starehe na kiwango kimeshuka,Feisal acheze Yanga
Mkumbuke uyoo Azizi k amezidi kuonesha uwezo wake baada ya fey kuondoka
Panga pangua fei anacheza timu yoyote bongo.
Km unajua mpira huwez kupinga fey ndio mchezaj bora kwa ligi ya tz saiv kuifikisha azam mshindi wa pili sio kaz ndogo na km anatua Simba yule dogo angeitikisha tz
Mchezaji bora ni Aziz Ki ambae hajafikiwa chochote na Feisal kuanzia kitaifa mpka kimataifa.
Baba levo hajui mpira sasa mudathir ampishe chama acheze ??
Namba tofauti kabisa
Msiongee kiushabik ongeen mpira kuna wachezaj na kuna fei sio yanga tuu nationanl al ahly fei anacheza yanga ndio nin acheni ushabik quality ya uchezaj wa feu tofaut na ao mnaowafikiriy hersiy anajuw mpira na ndio maana anauona umuhimu wa kumrudisha fei nyie msiojuw mpira pigen kelele shabashh
Fei atakua mjinga sana kurudi yanga, hersi atataka kumrudisha fei kwa sababu moja tu kufukia mistake na kutoruhusu kuja kuchezea simba otherwise, fei inampasa aende mbele zaidi kwenye timu kubwa za nje zinazomtaka na sikucheza duara,
Fei anaanza makolo tu