MTOTO WA BIBI NAE APATA NEEMA|CHUMBANI KWAKE PABADILISHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @user-vs7vv7xd2f

    Fabian nakupenda kwa ajili ya Allah napenda unavowakumbusha watu kuswali Allah atakupa kila la kheir inshallah

  • @SibomanaSaida

    Kabisa swallah ndio kila kitu kabisa mashallah 😘 unawaongoza vizuri kweli

  • @user-uf4xy4ms2m

    Mashaallah naipongeza D Tv kwakuwajibika na wanyonge.Allah awajaalie jannatu firdausi na wote wenye wanyoosha mkono nahata wale ambao hawajatoa lkni wanawaombea watu hawa.Fab Allah akufungulie milango yakheri na akupe uwezo inshaallah.

  • @zainabumartin9520

    Kweli kabisa ibada niyamhimu

  • @rahmakhamis5972

    Fabi huyo OMAR ni wakuvaa Miwani ya kuonea mbali itamsaidia sana kwa hiyo mpeleke hospital

  • @ghhhhy1812

    Niko apo bibi harusi ❤

  • @user-my5di6kx3c

    Kk fabiii omary nae apatiwe godor na kitanda inshallah kherii

  • @oman1oman179

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ manshallaah tabarakallaah mungu awalipe wote walio jitolea inshallaah na fabie na adamu mungu awatie nguvu

  • @user-pp9mp1pz9f

    Nmependa sana kaka ulivyo zungumzia swala 🥰 Allah akufungulie na akupe kila la kheri

  • @chunaabdullah1333

    Fabi mpeleke Omar hospital ya macho akapate miwani ya macho itamsaidia kuona mbali na jua, mbarikiwe sana.

  • @bintmansooralhabsi1203

    Alhamdullah mwenyezi mungu awajalie Fab na kwa wote mlio shikisha kipindi hichi kwa kazi kubwa mnayo ifanya allah atawalipa kwa kila mnachokitoa kwa hali na mali yaraab

  • @umsulaiman7468

    ManshaAllah Fabi jaman anawakumbusha kusali Allah akubarik

  • @aminaomary5567

    Fab mungu atawabariki sana❤❤❤

  • @aminaramadhan3815

    Swala ndio kila kutu muombe mungu akusimamie kila kitu

  • @user-xk7vy4gb6g

    Ubarikiwe Sana Fabian na team yako Adam Mungu awabariki sana. Mungu ambariki aliyetoa

  • @faudhiasaidi3669

    Maa shaa Allah

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 14 днів тому

    Bora kaongea ukweli

  • @umsulaiman7468

    Mungu Akupe mke mwema Fabi haya Fanya Fanya uowe

  • @user-vm5yf8cs2r

    MashaAllah Gani Allah akupe KILA la kheri InshaAllah

  • @user-fd5pb1dt4j

    Kk fabi wewe owa tu tuandae sale😂😂