![DTV](/img/default-banner.jpg)
- 744
- 2 357 116
DTV
United States
Приєднався 16 гру 2014
HII CHANNELI INAHUSIKA NA KUINUA MAISHA YA WATU YA HALI YA CHINI ILI KUWEZA KUSIMAMA TENA
PAMOJA NA WAGONJWA
PAMOJA NA WAGONJWA
HALI YA MAMA HUYU YAZIDI KUA MBAYA KULA YAKE SHIDA
HALI YA MAMA HUYU YAZIDI KUA MBAYA KULA YAKE SHIDA
Переглядів: 214
Відео
MAISHA ANAYOPITIA HUSSEIN KWASASA NI SHIDA|MWAJUMA ASHINDWA KWENDA SHULE
Переглядів 1,9 тис.4 години тому
MAISHA ANAYOPITIA HUSSEIN KWASASA NI SHIDA|MWAJUMA ASHINDWA KWENDA SHULE
MAMA ZAWADI :KIBANDA CHANGU KINAENDA NA UPEPO |NISAIDIENI
Переглядів 1,2 тис.7 годин тому
MAMA ZAWADI :KIBANDA CHANGU KINAENDA NA UPEPO |NISAIDIENI
WATOTO WALIOKUWA WANALALA KWENYE KIBARAZA WAPATA VITANDA|FURAHA YAREJEA
Переглядів 1,4 тис.7 годин тому
WATOTO WALIOKUWA WANALALA KWENYE KIBARAZA WAPATA VITANDA|FURAHA YAREJEA
MAISHA YA HUYU BIBI KIPOFU YAZIDI KUA MAGUMU|SINA MSAADA
Переглядів 1,1 тис.12 годин тому
MAISHA YA HUYU BIBI KIPOFU YAZIDI KUA MAGUMU|SINA MSAADA
UTACHEKA BIBI AKIHESABU PESA|OMARY KUPEWA MAFUTA
Переглядів 2,9 тис.12 годин тому
UTACHEKA BIBI AKIHESABU PESA|OMARY KUPEWA MAFUTA
NISAIDIENI MATIBABU UMRI WA MWANANGU UNAONGEZEKA
Переглядів 1 тис.16 годин тому
NISAIDIENI MATIBABU UMRI WA MWANANGU UNAONGEZEKA
APELEKEWA MAGONGO|AONESHA FURAHA SANA
Переглядів 1,3 тис.19 годин тому
APELEKEWA MAGONGO|AONESHA FURAHA SANA
BIBI NA BABU WAKABIDHIWA NYUMBA YAO RASMI
Переглядів 3,3 тис.21 годину тому
BIBI NA BABU WAKABIDHIWA NYUMBA YAO RASMI
MAISHA YA BIBI MLEMAVU WA MACHO UTALIA
Переглядів 1,5 тис.День тому
MAISHA YA BIBI MLEMAVU WA MACHO UTALIA
HALI NI TETE KWA MAMA MWENYE KANSA|MTOTO AACHA SHULE
Переглядів 1,4 тис.День тому
HALI NI TETE KWA MAMA MWENYE KANSA|MTOTO AACHA SHULE
NYUMBA YA BIBI NA BABU MBIONI KUHAMIA
Переглядів 1,7 тис.День тому
NYUMBA YA BIBI NA BABU MBIONI KUHAMIA
UKOMA UTANIUA NISAIDIENI NITAFIA NDANI|MAISHA YANGU NI MAGUMU MNO
Переглядів 1,3 тис.День тому
UKOMA UTANIUA NISAIDIENI NITAFIA NDANI|MAISHA YANGU NI MAGUMU MNO
UJENZI WAENDELEA|MAMA ZAWADI AHOFIA MVUA|AOMBA MSAADA NYUMBA IISHE HARAKA
Переглядів 1,5 тис.День тому
UJENZI WAENDELEA|MAMA ZAWADI AHOFIA MVUA|AOMBA MSAADA NYUMBA IISHE HARAKA
HABIBA KUFANYIWA UPASUAJI LEO|SHUKRANI KWA WOTE WALIOMCHANGIA
Переглядів 1,9 тис.14 днів тому
HABIBA KUFANYIWA UPASUAJI LEO|SHUKRANI KWA WOTE WALIOMCHANGIA
UTACHEKA BIBI AKICHEZA MZIKI NAKUIMBA
Переглядів 3,2 тис.14 днів тому
UTACHEKA BIBI AKICHEZA MZIKI NAKUIMBA
JIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU|NA SEHEMU NZURI
Переглядів 72714 днів тому
JIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU|NA SEHEMU NZURI
UJENZI UNAENDELEA|MCHANGA NA KOKOTO
Переглядів 1,6 тис.14 днів тому
UJENZI UNAENDELEA|MCHANGA NA KOKOTO
NYUMBA YA MAMA ZAWADI UJENZI KUANZA|TUMCHANGIE
Переглядів 1,9 тис.14 днів тому
NYUMBA YA MAMA ZAWADI UJENZI KUANZA|TUMCHANGIE
MAMA MUUZA MAKOPO APELEKEWA MIFUKO YA CIMENT
Переглядів 1,9 тис.14 днів тому
MAMA MUUZA MAKOPO APELEKEWA MIFUKO YA CIMENT
MAMA ZAWADI ALIA JUU YA NYUMBA YAKE |UPEPO UTAONDOKA NA SISI
Переглядів 2,2 тис.21 день тому
MAMA ZAWADI ALIA JUU YA NYUMBA YAKE |UPEPO UTAONDOKA NA SISI
AVUNJWA SHINGO NA KIUNO KWA KIPIGO KWA MUME WAKE |NIMESAMEHE MALI ZOTE |AMENIPA KILEMA
Переглядів 3,4 тис.21 день тому
AVUNJWA SHINGO NA KIUNO KWA KIPIGO KWA MUME WAKE |NIMESAMEHE MALI ZOTE |AMENIPA KILEMA
UJENZI WA MSIKITI UNAENDELEA|FABIAN APELEKA MIFUKO YA SIMENTI
Переглядів 43621 день тому
UJENZI WA MSIKITI UNAENDELEA|FABIAN APELEKA MIFUKO YA SIMENTI
PESA IMESABABISHA KIFO KWA MTOTO WANGU
Переглядів 3 тис.21 день тому
PESA IMESABABISHA KIFO KWA MTOTO WANGU
Subhanllah
Mimi nilikuwa na kula kwa shishi ana madharau shishi wakienda wakubwa ndo anajipendekeza utamuona hakai lakini ingia wewe hata ila kukaribisha anashindwa sukuma hilo ajiona hakuna akikaa hapo kwenye kiwe cha ke
Fungu mdomo lako kama choo
Shishi ni mgomvi yeye ndo kamfuata sehemu ulikuwa anaishi
Bibi mwenye nyota yake mjinii
Aaalllah mdulilah
Mungu ni mwema
Mashallah Mashallah
Pole Sana mdoga wangu mungu atakujalia utapona inshaallah
Allah atakufanyia wepes habiba❤, alafu umefanana sana na zabibu wa maximum tv.
Pole.sana.mdog.wangu.Allah.atakuafu
Pole sana dada Mungu atakusaidiya🙏🙏
Pole inshalar Allar akufanyie wepesi
Pole sana Habiba Allah atakufanyia wepesi in shaAllah utapona
Pole Sana mdogo wangu Mwenyezi awe faraja kwako akupe shifaa upone
Mungu atakifanyia wepes inshaallah tukonpamoja
Mashaalah mungu akuzididhiye ishaalah
Mungu akufanyiye wepes kazana kumuomba mungu pole sana Dada yangu
Pole San dada allaah atakufanyia wepsi
Huyu dada anapitia makubwa
Naona hata Bibi macho bado. Sio mazima. Mbona hao wadada wazima si wangefanya biashara febi.wapewe mitaji.
❤❤❤mungu akufanyie wpsi nshallah
Pore sana
Mungu ni mwema 🙏🙏
Uyo mwajuma kam inawezekan kuna shule za seleka bagamoy bei lais bola tumchangie akakae uko shule maan mabint nao hawa mtihan
Masikin pole Hussein mola ampe afya njema inshallah
Allah atawape siha na afia Kwa mgonjwa Yaa rab kweli maisha ni changamoto Allah atufanyie wepesi amiiin.
Kam namba haujai save ndo inafutika whatssapp hiv mungu wangu sai maisha ni magum TZ KULIKO MIAKA YA NYUMA DUUH
kyanite sowangekuwa wanawasaidiya watotowenemazimgira magumu wakawa wanawaacha.wasometujamani hatakama hawanapesa
Jifunze kuandika kwanza we mwenyewe shule huna kitu 😅😅😅😅
😅😂😂daaah nimecheka kwasauti 😅😅 hatari kwakweli mi nimeshindwa kuendelea kusoma hiyo sms😅
polesana bimkubwa mu guamuwafu husen
Huyo mtt lazima achungwe la sihivo ataleta mgeni itakuwa matatizo zaidi mchungeni
Na hayo mavazi yake sasa ya kimjini mjini😂😂😂
Mwajuma mbon Hana usuingi jmn
Jaman huaseyn pelen allah atawafanyia wepes
Km cheti cha kuzaliwa hana na namba za Nida za mama itakuwa changamoto Ndiyomaana wameomba elf 15
Mungu awafanyie wepesi inshallah
Mashaallah Allah akuzidishie dada ulotoa kitanda na kiti Allah akuepushe na mitihani ya mbali mbali na akupe fraha siku zote za maisha yako
𝐉𝐚𝐦𝐚𝐧 𝐦𝐮𝐳𝐨𝐞𝐟𝐮 𝐡𝐳 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐳𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐰𝐚𝐣𝐞 𝐦𝐢 𝐧𝐚𝐤𝐨𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐧𝐢𝐰𝐞 𝐧𝐚𝐮𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐞𝐧𝐠𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚
Mungu ataleta kheri inshallah
In shaaa Allah
Elfu hamsini hii ni ngapi Kenya
Dada uliempa kitanda mungu atakulipa zaid ya ulichokitoa inshallah 🤲🤲
Allah akulipe kheir hapa duniani mpk kesho akhera ulotoa kitanda
ilamimiombilangu kwa mamayetu samiya matibabuatuhurumiye jamanionakama huyubinti anavohangayka nawatoto kishaanamtoto mgonjwa badomatibabu yanahitajipesa nimtihanikwakweli hapoangepa angaliya mama matibabuakatusaidiya ikawabure sasahata pesayakumbadilishiya mbiramtoto hanaigekuwabure agenadilishiwa tunateseka kwakweli mamatusaidiye
Tukijahidi kuisoma msg yako umeongea maneno kwa uchungu sana ila Tatizo lipo kwenye mwandiko Sasa bila D mbili uwezi kuelewa hapa Mungu awajaalie wote waliojitolea 🙏🙏
yotekwayote namshukuru mungumiweza wakilajambo A lhamdulilah
kawapafiraha watoto namamayawo munguampefurahaduniyani na akheraamtanuliyekipatochake amuhifadhi yeyenafamiliya yakeape anachokihitaji yaninatamani nmuwonefuraha yangunaona zaidiya alomleteyavituhivo nikuwa naumiyasana ilauwezosina namuwombamungu azidikumfanyiya wepesi bintihuyo maananimamabora
yanihatamimi nimefurahi sanasana naninamuwobeya duwakwa munguamxidishiye alipopunguzazaidinazaidi
ameen yarrabbiy pomojana nyiyemlorusha habarizawatu wahitaji
DTV na bibi yao Raha tupu
Mash'allah Allah awaongezee walijitolea
Jamani bibi nilikuwa nimekumiss acha kabisa
MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah