PEPO YA MWANAMKE NO: 01 ( RADHI ZA ALLAH ZIPO KATIKA RADHI ZA MUME )
Вставка
- Опубліковано 17 тра 2024
- ENDELEA KUFUATILIA CHANNEL YETU HII UJIFUNZE MENGI KATIKA ILMU YA DINI NA SHARIA PAMOJA NA AKHLAAK YAANI TABIA
SOMO HILI LA LEO LINATUELEKEZA NAMNA GANI MWANAMKE AISHI NA MUMEWE ILI APATE RADHI ZA ALLAH NA AINGIZWE PEPONI UKH SHUWEIKHA ANATUFAFANULIA HAYA
USISAHAU KU SUBSCRIBE KU LIKE NA KU COMMENT PAMOJA NA KU SHARE
Marshall ah Allah akuongeze elim
Dad Mungu anazidishia
Manishaalh mola atujaalie waume wema
Mashallah naomba mawsilino ya ukhty huyu mimi nmafatilia sna shukran
MaashaaAllah dada Allah akuzidishie uzid kutufunza zaid na zaid
ماشاء الله جزاك الله خيرا
Taalau mpya
Maa shaa Allah, tabaaraka Allah.
Tumefaidika, Shukran wa jazakillahu khairan
ما شاء الله تبارك الله
Ahsante sana
Baarakallah fiikum
Maaaasha Allah ukht shuweikha Allaah akubaarik Aaamiina Yaa rabbi
😊😊😊😊😊😊
MashaaAllah ustadha wetu kpnz Allaah akzdshy elmu Aamiin
Allahu akbar
MashaaAllah
Waaleykum Salaam warahmatullahy wabarakatuh sister
Nimefurahy sanaa kukuona Kipenzii changu❤
Manshallah safi haya kina mama huyu dada ndio anafundisha hasa ipasavyo vizuri basi jitahidi hii channel muifuatilie achani na wale wanawake wanajiita eti wanasaikolojia na wanajinasibisha na uislam
Mashaallah somo zur wanawake watanufaika kwa kujua pepo yao
Na wanaume pia linawahusu ili somo maana hamtekelezi majukumu yenu kisha msubiri wema kutoka kwa mke autoe wapi wema uo? Na iyo pepo mungu atusaidie tu lkn mtihani na nyie waume ndo mtakua 7bu kubwa yakuwakosesha pepo wanawake
Maa shaa Allaah ❤
mashaallah
❤❤❤❤
Asssalamu alykumu sema
عن أمِّ
Wala siyo
أمُّ
Huyu anasomesha malezi sio nahw
❤❤❤ Masha Allah
Je yafaa mwanamke kutoa mawaidha hivi kwa mitandao?!
Ukhty tafadhali muwe mnaelezea nimume wa aina ipi! Waume wapo lakini" wapo waume aina tofauti tofauti'ukituambia hivyo tuambie na waume wenye tabia hii na hii! Kuna waume mradi jina tu mume! lkn tabia zake hazitofautiani na firauun,sasa nawapa taabu wake kuitafuta pepo kwa mume kama huyu mpaka mke anakufa hatoiona pepo kupitia mume huyu!toeni hadithi na darsa tafadhali
Ni kweli kabisa wanaume wengine ni mzigo jamn
@@LeilaWilfred-zc7gn umeona eee!wao wazungumzia mume wa aina ipi? Maana kuna waume wewe waitafuta pepo yako kupitia wao lkn" wao wakuforse kukupeleka mke jahannam! Sasa wafundishwe pia kuwaepuka waume wa aina hio maana hata itafika kufa hutoiona pepo na wao ndo sababu kukupitisha ktk misukosuko hekaheka bila kutegemea kesho yako! Subuhanah Allah itakuwaje? Je wake waanze kuwaepuka mapema kabla ya vifo vyao?
Taalau mpya
MashaaAllah