#LEOTENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2024
  • #LEOTENA: UTAPENDA FAMILIA SITA KIZIINJOI KWA PAMOJA BAADA YA KUTENGANA KWA MIAKA MINGI
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 153

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 2 місяці тому +15

    ❤❤❤❤❤❤❤❤mama ni mama hata awe na mapungufu gani mama ni mama tuu

  • @zulfajumapil7664
    @zulfajumapil7664 День тому

    Uchungu wa mwana naujua mwenyewee raha ya tumbo kilionaeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwajumaFundi-ex5tj
    @MwajumaFundi-ex5tj 2 місяці тому +9

    Nitakufa na wanangu pembeni siachi mwanangu hata kama Sina kitu mm na wanangu iwe mvua,iwe jua 💪💪

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 місяці тому +14

    Shangazi ana hasira

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 Місяць тому +1

      Sana

    • @yhasintakalenyula970
      @yhasintakalenyula970 Місяць тому

      Mno...Yaani shangazi ameshindwa tu kumkataza huyo mtoto wa marehemu kaka yake hasifanye hiyo tu.

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 Місяць тому +3

    Maashaallah Maashaallah Mwenyezi Mungu awalipe kwa kuwaunganisha wazazi na watt wao❤❤❤

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 2 місяці тому +4

    Mungu awatunze sana clouds media, mwendelee kukutanisha familia nyingi zaidi na zaidi

  • @annamndeme6312
    @annamndeme6312 2 місяці тому +4

    Nimelia sana yaan..😭😭😭 wengine wanatafut watoto wengine wanatelekeza watoto😭😭

  • @user-eo1nu2qc4i
    @user-eo1nu2qc4i Місяць тому

    Nawashukulu sana kwa kazi nzuri Mungu awalinde na kuwabariki muendee kufanya iki kipindi Mungu atawalipa❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому +5

    Yaan mimi siachi mtoto wangu yaan we. Bahati nzuri watoto wangu ninao mwenyewe hadi wameolewa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 місяці тому +1

      labda nilogwe ila kwa akili timamu siwez

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu Місяць тому

    Namshukuru sana Mungu kuwapa wazazi wangu umri mrefu wa kuweza kutulea watoto wao mpaka leo kila mmoja kaweza kujitegemea Allah azidi kuwapa maisha marefu sana wazazi wangu Inshallah 👏👏👏

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 2 місяці тому +2

    Nampenda gea na huu mwenzake manshallaah mungu awadumishe mapenzi kwenu na mmzidi kuwa na moyo huo huo

  • @hamispazia9
    @hamispazia9 2 місяці тому +6

    Clouds radio yangu pendwa,Da'Huu,Geah,Jose Mara,Mungu awahifahi wallah...

  • @RehemaMwakapimba
    @RehemaMwakapimba Місяць тому

    Yaani nimelima Hadi kichwa kinauma. Yadunia ni mengi. Hongereni sana gea na dahuu piauongozi mzima. Mnaviti vyemu mbinguni kwa hilimnalolifanya. Kwakweli niapenda sana hii redio.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому +1

    Mungu Asante Kwa baraka na neema hii Asante katika jina lipitayo majina yote nalo ni yesukristo mwana wa Mungu aliye hai.amen

  • @EdnaLugano
    @EdnaLugano 2 місяці тому +4

    Mi mama yangu amefariki nukiwa Mtu nzima kabisa lakini bado naumia na ninamiss mambo mengi Sana kutoka kwake sasa ambae hajawahi kumuona mama yake naeleawa Namna wanavyojisikia

  • @salma-fc2mq
    @salma-fc2mq 2 місяці тому +4

    Mama anauma jamani hata kama alikuacha ila utasamehe maisha yaendelee

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs Місяць тому +1

    Shangazi mungu akutunze,,ww ni mrembo 🎉🎉🎉

  • @Mjuni3
    @Mjuni3 Місяць тому

    Hizo Kanga zinanikumbusha Mbali sana ,,Ndio kanga za marehemu mamaangu alikuwa anavaa

  • @909dentalcentre9
    @909dentalcentre9 2 місяці тому +3

    kipindi kizuri sana hongereni clouz, laki mweke ulinzi cku atapigwa mtu makofi maana matukio yanatia uchungu sana

  • @lucypeter-ev3xe
    @lucypeter-ev3xe Місяць тому +2

    Mungu amtunze shangazi shamila

  • @user-wt7mm9lx8i
    @user-wt7mm9lx8i 2 місяці тому +5

    Hatakama ntapitia magumukiasigan ila mtoto wang ntakufanaejaman

  • @TichaSabah
    @TichaSabah Місяць тому

    Kuna vitu nahisi hata hawa wamama wanamakosa.mie nimechukuwa watoto wangu sijui nitaishi vipi nitakula nao nn.mmona akiwa tumboni mwengine ana miaka minne .kwa sasa mmoja anasoma malaysia mwengine yupo 4m for baba anarudi kuja kuomba kwa wanawe shenxh wakati bado wapo chini yangu.mungu ataendelea kutenda miujiza kwa kila mwanamke alietelekezwa kama mm.mungu ametenda

  • @user-so2to1gs6n
    @user-so2to1gs6n Місяць тому +2

    Dj anachemshaaaaaaa

  • @FlowerJoseph-vn7mb
    @FlowerJoseph-vn7mb 2 місяці тому +4

    Yaani Raha sana kukutana na mama hakuna kama mama yaani Leo nimelia sana ila mungu ni mwema

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 2 місяці тому +2

    Raha sana jamani Mama hafanani na asie mama yako nalia kwa furaha❤

  • @hatimalnaamani876
    @hatimalnaamani876 Місяць тому

    Hongereni sana uongonzi wote hakika ni kazi kubwa ❤❤❤

  • @fredymagesa4463
    @fredymagesa4463 Місяць тому +1

    Mwenyezi abariki clouds kwa kukutanisha ndg waliopoteana kwa miaka mingi

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 місяці тому +4

    Na mimi mamangu si angekuwa amepotea then nimpate aki i mos her😢😢😢 innalilah rajiun rest wel kipenzi changu heri kupotea kuliko kufa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +1

      Pole muombee Dua

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 2 місяці тому +1

      Pole sana kipenz ❤
      Kikubwa Dua 🙏

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 2 місяці тому +1

      Pole sana

    • @FatumaIbrahim-c6d
      @FatumaIbrahim-c6d 24 дні тому

      😢😢😢😢endelea kupumzika kwa amani mamaangu nakupenda sana😢😢😢

  • @elizamrema5529
    @elizamrema5529 2 місяці тому

    Hongera sana radio ya watu ,,, hakika Hiki kipindi kipewe kipaumbele hongereni nyote mliopata mama zenu

  • @user-li2cy1st6o
    @user-li2cy1st6o Місяць тому

    Gea na watatangazaji wote wa leo tena Mungu awazidishie inshaallha nawapenda sana sina cha kusema ila Mungu anajuwa

  • @loveness09-k
    @loveness09-k Місяць тому +1

    Asante sana Mungu kunitia nguvu ya kupambania wanangu pale nilipoondoka kwa baba yao haya ni zaidi ya maumivu kutengana na mama miaka mingi hadi watoto ndoto zao zinakufa Yesu tutie nguvu🙏🙏 28:23

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie Місяць тому +2

    Mama ulifanya makosa. Shangaz haki yako kuwa na hasira. Mtt mdogo ondoka nae .tena mtt wa kunyonya...hapana

  • @Mitchellekyle
    @Mitchellekyle 2 місяці тому +5

    Natamani mamangu awe amepotea leo ndio ameonekana mama nakupenda R.I .P🙏🏻

  • @salama1113
    @salama1113 Місяць тому

    Shangazi yake waziri pambe❤❤❤❤❤❤

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Місяць тому

    Jamani mimi nimelia 😭😭😭namkumbuka mama yangu 😭😭😭😭Allah akuweke mahali pema Yarabi🤲

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +2

    Huyo mam kiboko ni mtihan

  • @neemanjakale2744
    @neemanjakale2744 Місяць тому

    Hi clouds naomba msaada wenu nifanye nn ili niweze kuwapata namtafuta rafiki yangu tumepoteana na mm miaka almost 25 naishi marekani USA .plz naomba jibu plz

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤makopa mengi kwawo hadi raha kabisa

  • @user-fw1ow4ch6g
    @user-fw1ow4ch6g 2 місяці тому +5

    Mama ni mama hata kama huyo shangazi achukie,ni Bure,mtt hazaliwi na mama wawili huwa ni mmoja tu.

    • @emes602
      @emes602 Місяць тому +2

      Ukweli maana shangaz kaonesha chuki

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Місяць тому +1

      Nabila shangazi sangefikia umri huyo 😂😂 asante shangazi, ila hatokua na mapenzi , kivile , nimeyaona kwa dadake mumewangu ,alitaka mjue mamake na ndugu zake basi , hana mapenzi nao anawapenda wale alokua nao , ayo yapo kwenye familia ya mumewangu 😂😂

    • @SharifaMohammed-el3ug
      @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

      Inaonyesha akimsimangia mama yake

  • @AsinaMohamed-pb5xt
    @AsinaMohamed-pb5xt 2 місяці тому

    Pole sana shamila

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 Місяць тому

    Asante sana shangazi kwa kumlea mtoto wa kaka yako lakini watu wa tanga wana mambo mengi sana

  • @emes602
    @emes602 Місяць тому +1

    Ila shangazi ana shari uyo. Kama vile kammindi uyo mama.. swali why mke mkubwa n mdogo wote waondoke kwa pamoja?

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    Kweli dada gea. 🎉🎉🎉❤❤

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 2 місяці тому

    Kadi nzuri😢😢😢❤

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Місяць тому +2

    shangazi ameamua kuongea alimuacha amfwate alipomuacha ataki mchezo

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 2 місяці тому +1

    Mama yangu nae SI angepotea tu at nmtafute nimpate Kama hivi but now siwez kukuona kukuona kabisa😢😢😢😢

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi Місяць тому

    Nn nko apa tu nawasaidia kulia😢😢😢😂MACHOZI ya furaha❤🎉🎉🎉🎉

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 місяці тому +1

    Shangazi Allah akulipe

  • @msakadoobongeladada-uh3sk
    @msakadoobongeladada-uh3sk 2 місяці тому +3

    shangazi yuko na ujasiri hadi nimemoenda bure nahis atakuwa msambaa mkilindi huyu maana hatunaga mbambamba

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 місяці тому

    Mungu awalipe clouds f.m

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 2 місяці тому +1

    Nimelia 😢san leo

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Місяць тому

    Shangazi unahasira lkn hujui kaka yk alimfanya nini huyu mama mpaka akamwacha mwanae

  • @farajaphilipo8844
    @farajaphilipo8844 Місяць тому

    Natamani mama yangu niwe nimempoteza leo ndo namupata lkn haiwezekan 😢😢😢

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

    Kafanana na mama

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Місяць тому

    ANAONA AIBU MAMA. MAANA HAKUKATAZWA KUONDOKA NA MWANAYE. UNAPOONGEA NA MTU MWANGALIE USONI. MBONA HAJACHANGAMKA HUYO MTOTO MWENYEWE.

  • @tato8979
    @tato8979 2 місяці тому

    Mauwa 🎉🎉🎉

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 22 дні тому

    Mama mkavu uyu ata isia ana

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 Місяць тому +1

    Hata nipitie shida gani siwezi muacha mwanangu

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 місяці тому +1

    Hizi mila nazo ni shirki

  • @RehemaJonas-yj7ed
    @RehemaJonas-yj7ed Місяць тому

    Kloud mnaona maajabu hapo Sana make mwanamke anamwachamwanae miez afu aseme namtafut

  • @HappyCap-mf6iv
    @HappyCap-mf6iv Місяць тому

    Naombeni namba za clouds

  • @SalhaIssa-eh6bj
    @SalhaIssa-eh6bj Місяць тому

    Yaani mtu unatelekeza wtt wa nne yupo sawa shamila pole mm naishia na wtt wangu napata shida nipo na wanaagu wapende wtt wako ujui utaishia wapi

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 Місяць тому

    Jamani nikiangaliaga kipindi waga nalia sana nikifikilia kulelewa bila mama mh nikazi

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Місяць тому

    Haya mambo km hayajakukuta utasema uzembe ila yalotukuta tunajua

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 2 місяці тому +1

    ni haki shangazi kuchukia

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому +2

    Kweli milazakisambaa lazima walambiane chumvi nimbui wasambaa wenzangu

  • @ReginaOpportuna-kf5km
    @ReginaOpportuna-kf5km 2 місяці тому +1

    Nina wazo. mikiwaalika afisa ustawi wa jamii kuhudhuria siku hii kila mwaka nadhani itakuwa vizuri jamani.

  • @user-qg7wx1ou5b
    @user-qg7wx1ou5b Місяць тому

    Munasababisha tunao angalia pia tunalia kwakweli😭😭😭😭😭

  • @mbonijabut1405
    @mbonijabut1405 2 місяці тому +1

    Sambaaa oyeee usembe

  • @aziza9093
    @aziza9093 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Місяць тому

    Shangazi mchawi

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

    Watoto wanafanana mama zao

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @RwiririzaBora
    @RwiririzaBora 2 місяці тому

    Maana mi nalia tuu, sujui hata kwanini nalia kuwashinda wenyewe

  • @asiansky9767
    @asiansky9767 Місяць тому

    Mmejua kuniliza clouds

  • @dalalihakweahakweya6662
    @dalalihakweahakweya6662 Місяць тому

    Nina wazo jamani najua mnatumia galama nyingi sana kwa nini isifanyine kwa mwaka mala mbili 2 navipi kuhusu wanao tafuta wa baba zao nao wasipewe nafasi

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 Місяць тому

    Duuu mbona na mm nalia jamani!!?!😊

  • @loveness09-k
    @loveness09-k Місяць тому

    Halafu kapewa kanga jamani na roho yake mbaya bado wanampa kanga 😂😂😂 22:21

  • @user-qd5qp3dd2x
    @user-qd5qp3dd2x Місяць тому

    Huyu mama kama mgogo siambembeleze mwanae😢

  • @SafiaOmary-ii5zm
    @SafiaOmary-ii5zm 2 місяці тому

    Dah

  • @HappyCap-mf6iv
    @HappyCap-mf6iv Місяць тому

    Shangazi anaonekana ana pendashari

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +4

    Huyu mama kakaa umbo lakiume mjinga san utaachaje mtt wako wa miez 9 ujinga san muon kwanza

    • @Sampovoice8088
      @Sampovoice8088 2 місяці тому

      Acha coment zko mby izo

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 2 місяці тому

      Unapata dhambo Mungu ndo alivyomuumba

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 місяці тому

      SubhnAllah mola akusamehe

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 2 місяці тому

      @@yasminoluoch169 ww unawez am ni subukhan lllah kuitamka tuy

    • @MeckitilidaTushabe-or9hu
      @MeckitilidaTushabe-or9hu Місяць тому

      Usiseme ivyo uwezi jua nin kilisababisha anamwacha mtoto wake

  • @LawrenceMakata
    @LawrenceMakata Місяць тому

    Kutafuta baba mnaaza lini

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому +2

    Duu hikali mumenikumbusha mbali sana watangazaji maua yenu hongeai maa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 2 місяці тому

    Toweni mizki

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 2 місяці тому +2

    Nimelia sana hivi vipindi vyenu Gea

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 місяці тому

    Numelia jaman 😢😢

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs Місяць тому

    Hivi wamama wengine cjui wakoje,,unamuacha mtt,na ujua ulipo muacha,,hata kurd hkn

  • @user-fe7zg9hd9z
    @user-fe7zg9hd9z 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤😂

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Місяць тому

    weee uyu shangazi ajafirahishwa na uyu mtoto kumpata mamaake hàki kwa hali hiii shamira pole sana mamaske shamira uliacha mtoto akapata shida maskini

    • @SharifaMohammed-el3ug
      @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

      Shamilabona amekuwa mpweke tena? Mama Shanghai kawavuruga nini?

    • @SharifaMohammed-el3ug
      @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

      Shangazi angefunga mdomo au anataka malipo?

    • @SharifaMohammed-el3ug
      @SharifaMohammed-el3ug Місяць тому

      Nimempenda shamila. Kalia mwanzo mwisho maskini

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 Місяць тому

      @@SharifaMohammed-el3ug uyu shangazi alimlea kweli ila yaonekana kitendo cha uyu msichana kutafuta mamaake na kumpata kimemkwaza mana sio kwa majib aya si alijua aliko muacha kali hii aya mungu smfanyie wepesi

  • @OmanAlkamil-nl2zw
    @OmanAlkamil-nl2zw Місяць тому

    Shangazi ni kama hajafurahia mtot kukutana na mama yake

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 2 місяці тому

    Hadi kichwa kinaniuma

  • @hawakomba692
    @hawakomba692 Місяць тому

    Nimachoz tu yana dondoka

  • @echosound255
    @echosound255 Місяць тому

    Kwanjeka kwetu kwa Dongo

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому +2

    Shamila pole mwenetu duu

  • @user-fw1ow4ch6g
    @user-fw1ow4ch6g 2 місяці тому

    Beba mtt wa mwenzio kalala,akiamka anauliza mzazi wake

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 2 місяці тому

    Hivi kuna mtu anayetazama kipindi hichi na hasitoe machozi

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +1

    Mam unaacha mtt wamiez6 kisa utaenda kufukuzwa wazazi waaina gan hao lbda din nyingine

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 місяці тому

      labda waislam

    • @shamzone388
      @shamzone388 Місяць тому

      Roho mbaya haina dini acha kusema sema ovyo

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Місяць тому

      @@shamzone388 mie nimesem kituy ninacho juw ww ulion wap wachaga wanaacha watt am ww binafs unaweza acha mtt wako nauko na akili timam kweli am ww ndo unaropokwa ovyo muon kwanza

  • @JacklinedamianMtweve
    @JacklinedamianMtweve 2 місяці тому

    Shosti kumbe na ww uliterekezwa pole jirani

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    Yaan huyo MAMA lijinga sana utaachaje mtoto wako wa miezi sita:yaan mshamba mshamba tena. Hivyo kabisa.