RAMADHANI ALIA BAADA YA KUSIKIA MANENO HAYA|SIJUI ITAKUAJE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry 3 місяці тому +3

    Yaa Allah tunakuomba wewe kwa uwezo wako umponye baba yeyu Ramadan awe sawa ameen inshaallah 😢😢😢

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 місяці тому +4

    Mmh pole baba kweli sahiz anaumwa mola amfanyie wepes apoe inshallah

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 місяці тому +4

    Pole sana brother mwambieni ajitahidi kunywa maji

  • @عايشهالمجنونه-و8ب
    @عايشهالمجنونه-و8ب 3 місяці тому

    ALLAH atakusaidia inshallah 🤲 kheriiii utapon baba anguu

  • @MohdMchezo
    @MohdMchezo 3 місяці тому +7

    Ya! ALLAH msaidie mja wako huyu MZEE RAMADHAN. Anapitia magumu sana ila hakuna wa kumuondolea ila ni wewe pekee ALLAH.

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 3 місяці тому

    Daaah polee sana kaka uyu ilibidi asisubili mbaka mwezi wakumi ilibidi aludishwe akafanyiwe tena vipimo

  • @angle3600
    @angle3600 3 місяці тому

    Mungu akufanyie wepesi Bwana Rama

  • @ExcitedMountainVolcano-qp8rg
    @ExcitedMountainVolcano-qp8rg 3 місяці тому +1

    Asalam alaikum warahamatullahi wabarakatuh Alhamdulillahi alakulihali in sha Allah pesa ikipatikana akafanyiwe MRI

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 3 місяці тому +2

    Mwenyezi mungu akupe nguvu

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 3 місяці тому +1

    Allah kadeer kwa kila mja wake 🤲

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 3 місяці тому +4

    Ukitazama mamake pia umri umetangulia hawezi kumuhudumia kwa hiyo kiusawa mumpeleke hosp, akapate matibabu kwa "Full check-up" kwa uwezo wa mungu atapowa. Halafu ki-mental anawakumbuka watoto wake pia inamuuma km mzazi, yote hayo yanachangia.

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 місяці тому +1

    Mupeleni kwabule jamani aende kwakiboko au kwa R mwasha from Capetown

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 місяці тому

    Mwenyezi mungu akuafu baba

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 3 місяці тому

    Pole Sana na mtihan

  • @mrsab303
    @mrsab303 3 місяці тому

    InshaAllah 😭😭😭😭

  • @RehemaKatana-hb4ei
    @RehemaKatana-hb4ei 3 місяці тому +1

    Pole babangu ila ningependa kukushauri upitie pia Kwa maombi kama spital haukuonekana ugonjwa Mungu akufanyie wepesi babaa

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 3 місяці тому

      Raman Ni muislam ilikuwa anasomewa akasema haon mafanikiyao sasa kwaza mumeelewe imani yk iko wap unajuwa Iman ndio kila kitu yy Iman yake alisema apelekwe kanisan Ila naona ilikuwa Ni nguo Kwan Hao kina fabi Ni waisilam Allah ndie anayejua magum ya Rama naamin iko sku atapoa Ila atoe kitu ndaniya moyo wake bado anakitu husema alishasamehe Ila mmh

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 3 місяці тому

    Allah atakuafu baba angu watoto hata uruma jmn mzazi ni mzazi hata awe na kasoro mara elfu rkn hatabaki kuwa mzazi wengine tunatamani hata tungekuwa nao hila wametangulia mbele ya haki

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 місяці тому +1

    Sasa hiyo gesi kama mikono inakakamaa itakuwaje jaman

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 3 місяці тому

    Kweli bora apelekwa hospital. Watoto wake ndugu zetu kutokwa na Imani kiasi hiki. Pengine na mawazo ya unyonge. Bibi mgonjwa pia. Mlango wa pepo uwazi bado juu ya mzee wenu. Msidharau

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 3 місяці тому

    Apelekwe hospital ya mloganzila wako vizur sana mungu atamsidia

  • @AliAli-m5k9l
    @AliAli-m5k9l 3 місяці тому

    Kk Rama maji ndio shida dawa anakula zina itaji maji kwa wingi apelekwe osptali atawekewa drip ya kumwongezea nguvu ni drip atapata nguvu

  • @rukiamagambo5554
    @rukiamagambo5554 3 місяці тому +1

    Fab mpeleke kwanye maombi kwa kiboko wa wachawi uwezi kiss.

  • @SibomanaSaida
    @SibomanaSaida 3 місяці тому

    Ila watoto wake 😢 jamani hawana huruma kweli apana samehe ili tusamehewa

  • @fatumadiwani4098
    @fatumadiwani4098 3 місяці тому +2

    Fabi bro rama anatakiwa afanyiwe operation ya mguu hiyo ni cartilage imeisha ktk mifupa ya goti inabidi operation apate kutembea na pia apate glucosamine

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      Magotini ute ukimaliza ndio magoti yanauma kabla ya uparation kuna dawa za vitamin D pia mtu hupewa mimi nipo nje ya nchi nilipewa hivo kutokana na kukosa jua na ka Rama hatoki nje kupata jua angekuwa ana mtu kila asubuhi amtoe aote jua kisha dawa nyengine aroweke bamia 24hrs kisha anywe ile supu yake ya rojo la lenda la bamia lakini inataka moyo kunywa bamia isiyopikwa

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 3 місяці тому +1

    Fabi mshauri anye maji mengi maana maji yakipungua husababisha mwili huchoka

  • @fadhilakhamis9363
    @fadhilakhamis9363 3 місяці тому +1

    Wa kwanza

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 3 місяці тому

    Inabid akafanyiwe vipimo vikubwa kabisa

  • @عاماستخدام
    @عاماستخدام 3 місяці тому

    Hakuna sauti

  • @عاماستخدام
    @عاماستخدام 3 місяці тому

    Sauti haiko

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 3 місяці тому

    Ni malaria hio ametafunwa na mbu sana

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 місяці тому +2

    Hiyo si kazi yako fab ni kazi ya selikalii kuwa angalia raia wasio na uwezo kama Rama, ambao wako wengi, lakini viongozi wetu wanaishi maisha ya milionea, amkeni wabongo kwenye usingizi mliolala

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому

      Sqsa wqmuache asisaidiwe. Selikali ni watu na kilamtu nakabuli lake naaazabu zake wao watajua wenyewe kwani hawataishi milele wataonana na Muumba watajibu wanayoyafanya

    • @S.Mnguyu
      @S.Mnguyu 3 місяці тому

      Hakuna ajuae kesho yake ww ukisubiri selekali, yakikukuta ww watu wakikwambia iyambie selekali usilalamike ,din zote Zina tufundisha tuhurumiane tusaidiane ,fikiri kabda ya kusema

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 місяці тому

    Huyu mzee anatakiwa anywe maji mengi angalau lita mbili kwa siku, mwili wake hauna maji mimi pia nilisumbuliwa na kuumwa na mwili na sana miguu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому

      Hiyo miguu anatakiwa kula vitamin D bamia la kuroweka unakunywa na supu za miguu kama ya ng'ombe,mbuzi au kondoo ni supu ya miguu si ya nyama mungu ataleta wepesi na kuota jua la Asubuhi ni muhimu

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 місяці тому

    Mungu wa mbinguni nakuomba umkumbuke mwanao Rama mpe afya mwondolee maumivu umpe furaha.
    Jamani tumchangie kaka Rama akapate matibabu.

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 3 місяці тому

    Fab mpeleke nabii kiboko wachawi

  • @MaedaMm
    @MaedaMm 3 місяці тому

    Atumie dawa za wamerekani foreva

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota 3 місяці тому

      Zipi

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому

      Wapi zinapqtikana. Huwanasikie wapo mwenge sijuihisehem gani mm nataka niende huko nikaonane nao ninaumwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому

    Itakuw lbda umefanyiw mambo mengine yale yakoshirikina lbda

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 3 місяці тому

    Apelekwe kwa nabii kiboko wachawa yupo buza kwa lulenge

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 місяці тому

    Kwanini ajaenda kwakiboko ya wachawi mungu nimoja tu mpelekeni atatembeya tuu