SHABIBY AMWAMBIA SPIKA TULIA "SIKU UKITOKA KWENYE UBUNGE, WEWE LAZIMA UTAVAA KANDAMBILI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 226

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 5 місяців тому +10

    Wallah mbunge una maono Bima ya Afya ni muhimu sana na Afya ni uchumi Tafuteni vyanzo kama tozo simu mafuta vinywaji nk Asante baba

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 5 місяців тому +5

    Bima ya afya imekuwa mateso kwa wananchi, hongera sana mheshimiwa shabiby kujuwa changamoto watu hali ya chini ni mtihani mkubwa

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 5 місяців тому +28

    Wabunge anzeni kulipa kodi, tutapata Trillion 1.2 kwa mwaka

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 5 місяців тому

    Mheshimiwa SHABIBY Mungu akubariki kwa hekima na uzalendo wako wa kweli. Inasikitisha kuwa na wizara isiyo na ufahamu wa hali halisi ya wananchi wetu

  • @siriakosimon281
    @siriakosimon281 5 місяців тому +2

    Hongera Kwa kusema ukweli kuhusu pesa za NHIF zinavyoibiwa na hospitali binafsi.

  • @eliasjoseph8830
    @eliasjoseph8830 4 місяці тому

    Hongera sana mbunge shabibu uko sawa hicho serikari itafute chanzo Cha pesa ilikuwasaidia wananchi wake bima

  • @NassibMbuguni-n1d
    @NassibMbuguni-n1d 5 місяців тому +3

    Mbunge shabby Yuko sahihi mawazo yake yafanyiwe kazi hongera sana

    • @TuntufyeMwakaluka
      @TuntufyeMwakaluka 5 місяців тому

      Tatizo uwo mfuko wabima serikali inaukopa mbaya zaidi hailipi na je tukianza kata 2000 kwa kila raia tunauhakika gani zitakuwa salama

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 місяців тому

      ​@@TuntufyeMwakalukani namna fulani ya kuufisadi mfuko.

  • @philemonmbalwowa5619
    @philemonmbalwowa5619 5 місяців тому

    Asante Mh. Ubalikiwe.

  • @AllyKija
    @AllyKija 5 місяців тому

    Shabby shabby shabby mungu akubaliki sana Kwa michango wako mzuli tunaitaji wabunge km wewe hongera sana ilitakiwa uwe wazili kbs

  • @prorwega
    @prorwega 5 місяців тому

    Well said mbunge Shabib I am admiring you.

  • @elijuskikoto392
    @elijuskikoto392 5 місяців тому +3

    Mwarabu wa Gailo huwa nakukubali Sana

  • @samwelikangambili4831
    @samwelikangambili4831 5 місяців тому +7

    Hongera Sana mbunge kwa maono yako itakuwa mkombozi kwa wa Tanzania

    • @bulunjamalimikulwa4876
      @bulunjamalimikulwa4876 5 місяців тому

      Safi mwenyewe nimemuelewa, changamoto kwetu sisi ni kupinga Kila kitu tukisikia pesa tu.

  • @KenedyMasuva
    @KenedyMasuva 5 місяців тому

    Safi sana kamanda,karibu mbarali utete anyone,pia bima ni nzuri ila tatizo ni dawa hazipo!

  • @femexpress7857
    @femexpress7857 5 місяців тому

    Mh. anaongea vizuri sanaa. Mimi ningependa kuchangia kwa kusema kuwa, wananchi hali yao ya maisha ni ngumu sana. lakini pia watu wakuchangia hizi bima za afya wapo sana, maana watu wakitoa hizo hela kama kweli zitasimamiwa vizuri basi hata wale wasiokuwa na uwezo wanaweza kutibiwa kwa kutumia bima za afya hizo

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 5 місяців тому +1

    wenye laini zaidi ya moja mtakoma, watumishi wa serikali pia watakatwa mara mbili au tatu na zaidi

  • @TheNichym
    @TheNichym 5 місяців тому +2

    Kwa nini aseme tutumie mgodi mmoja wa dhahabu kwa ajili ya bima?! Au Tanzanite yote ya Arusha mapato yake yapelekwe kwenye bima na afya?! Ni ufinyu wa fikra kufikiria kuwakamua wananchi zaidi ya sasa, badala yake rasilimali za nchi hasa madini, mafufa na gesi vitumike vizuri, tutafanikiwa kwenda mbali, badala ya kuwaongezea ugumu wananchi na kuichukia serikali

  • @mcsukerpapaa8817
    @mcsukerpapaa8817 5 місяців тому

    Wazi zuri, nasi tunaomba kila anayemiliki Mabasi na Malori, ktk kila route akatwe tsh elfu 10. Na wenye Madaladala wakatwe tsh elfu Tano kwa siku. Nawasilisha hoja Spika.

  • @yateramadavaathumanmmbaga7776
    @yateramadavaathumanmmbaga7776 5 місяців тому +1

    Mswada walihangaika nao miaka 2 unaeakebishwa hauwekwi hadharani baadae wakaupitisha sasa hayo anayoyaongea ambayo ni mambo mazuri alitakiwa ayaongee kabla muswada hawajaupitisha ili ukipitishwa kila mtu anaufarahia. Anyway, mawazo hayo yafanyiwe kazi tena haraka maana tumechelewa sana

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 місяців тому

      Ilitakiwa waanze na wananchi kupata mawazo yao.ila kama kawaida wao wanajiona wana akili sana na wajuaji ndipo mambo mengi hugoma.
      Hata zile tozo za simu walifeli.

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 5 місяців тому +3

    Bima hizi hizi ambazo wanazichukia wahudumu wa afya au Kuna zingine

  • @SamuilSoinge
    @SamuilSoinge 5 місяців тому

    Hongera mshimuwa shabiby

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 5 місяців тому

    Safi sana baba mngu akuone

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine 3 місяці тому

    Uko sawa

  • @barakaalfred1491
    @barakaalfred1491 4 місяці тому

    Hakuna lisilowezekana, kuna vitu vingi serikali inavigharamia wakati havina impact kwa wananchi mfano ni vikao vingi kujadiri issues halafu matokeo yanabakia kuwa hasi kumbe ulikua mchongo wa posho.😃😄

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 5 місяців тому +1

    Huyo ni muheshimiwa kama muheshimiwa Shabiby

  • @inocentkaiza7962
    @inocentkaiza7962 5 місяців тому

    Hawez akavaa kandambili kwasababu uwakika wakuishi kwagharama ya serikali mpaka anazeeka upo namsharahara juu

  • @jumamhando3992
    @jumamhando3992 5 місяців тому

    Mm nilijua atashaur matajir wote wa Mabas wakatwe lak Kwa Kila mwez na wabunge walipe kodi Tena wawe mfano wakatwe asilimia 25 ingesaidia bima vzr

  • @EmanuelMtoka
    @EmanuelMtoka 5 місяців тому

    Tunaitaji wabunge kamahawa wanaishauli selikali vituvya maana wengi bungeni wanarara tu nimzingo kwa selikali

  • @rashidhtibangayukatibangayuka
    @rashidhtibangayukatibangayuka 5 місяців тому

    Nakupongeza SHABIB UKO VIZURI

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 5 місяців тому +1

    Bip up bunge

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 5 місяців тому +1

    huyu mbunge anasema ukweli mtupu isipingwe kitu yoyote !!!

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 5 місяців тому +1

    Ni yaleyale ya mzigo wa tozo nchi itajengwa na walala hoi italiwa na wenye meno

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 місяців тому

    Kwahiyo mheshimiwa unashauri tuongezewe gharama za line za simu sh 2,000? ..au sijakuelwwa vizuri?
    Ila ninanakukubali sana nd shabiby 6:47

  • @kaidiSaid-ot9nl
    @kaidiSaid-ot9nl 5 місяців тому

    Bima ni mpango wa kuwaibia wanachi ukweli bima haina nafuu kwa wagonjwa waulizeni wananchi waliopatwa na shida na wana bima. Kweli mbunge .

  • @stevengeorgetibenda1647
    @stevengeorgetibenda1647 2 місяці тому

    Mawazo yetu katika kupata mapato ya kuendesha nchi ni kuendelea kubuni kitu cha kumkata kodi mwananchi yuleyule licha ya kuwa anakatwa kodi nyingi kuliko inavyotakiwa ye anajua wafanyakazi wanalipwa mishahara mikubwa kama wao wabunge mpaka aseme wanakatwe 10,000 au zaidi?

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 5 місяців тому

    jamani watu wanatezeka sana kijijini madaktari wanaringa utadhani hospitali ni yao na madaktari hawana ukarimu na watu kabisa!

  • @wilfredaxwesso7394
    @wilfredaxwesso7394 5 місяців тому +1

    Mhhh hospitali binafs zikidhoofishwa ujue huduma ya afya itakuwa mbaya sana kwani wafanyakazi wengi wa serikal hawana uzalendo katika kufanya kazi pia kutunza vifaa katka hospitali za seikali.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому +1

      Point ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @paschalmahinyila1779
    @paschalmahinyila1779 5 місяців тому

    Goloko kulafa ushauri muswanusi Shabiby kwa mkweli sana Blai

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 5 місяців тому

    Mhmm kumbe umeongeea unamaliza kwa kutudanganya yani spika tembelee kandambili kachumbali apo mimi ntakua natembea uchi sasa😮

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 5 місяців тому

    Sio kweli hospitali binafsi mil 2 ni laki 7 muhimbili laki 5

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 5 місяців тому

    Daaaa maoni mazuri sana mbunge

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 5 місяців тому

    Mawazo mazuli sana mbunge wetu unayo yasema ila shabiby mkiamua kukata Kodi kwenyesim sawa ilaujue ngorongoro,bandari mbuga,mdini misitu vituo va mafuta, fainizamagali ,vitalu, viwanjava ndege mgodi, Yani haikufaa kukatakodi zasim wanyonge Yani labda mngesema hivi mishahara yenu naposhozenu nyiewabunge zamwkamzima msilipwe pelekeni huko kwenyebima ila sio kuwapa mzigo wnanch

  • @mathiasabel2345
    @mathiasabel2345 5 місяців тому

    pesa ziibiwe halafu uendelee kutuchangisha. mnaelewa mnachookisema au kwa sababu ni mchango??? kwahiyo tuchange mkaibe tena?

  • @JamalMshenga-ex5ui
    @JamalMshenga-ex5ui 5 місяців тому

    Lipeni nyie mnojiongezea maposho kila mara- bac hata sie pangu pakavu mtukomoe. Mnachukua pesa kwenye vocha kisha mnatak kuongeza. Hy bn

  • @silasngoya9422
    @silasngoya9422 5 місяців тому

    Hayo mawazo ni sahihi kwa asilimia kubwa. Yanaonesha umhimu wa mchango wa bunge kujenga nchi. Watendaji lichukueni mlifanyie kazi haraka sana. Wananchi watafurahi hasa maskini ambao kwa kweli bima hawawezi kumudu kulipa Kila mwaka. Hata nchi zingine zitajifunza kwetu. Wapo watakaopiga kelele kwa unafiki na kwa hila kwa sababu zao za ubinafsi. Viongozi wa kitaifa msiyumbishwe kusimamia mambo ya msingi ya maendelea ya nchi kwa ubinafsi wa kutetea kura zenu.

  • @AliHamad-k7s
    @AliHamad-k7s 5 місяців тому

    What's problem

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 місяців тому

    Mnapunguza Kodi kwa wawekezaji na mnarundukia wananchi Kodi lukuku.... Mshahara wa wabunge ukatwe Kodi 20 asilimia tayari bima ya afya kwa wananchi maskini watakuwa wamelipia wote

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 5 місяців тому

    Kwann mbunge alipe kodi wkt anapata gross salary ya karibu 12m bado dodoma anapata posho ya laki tatu kwa siku wkt watumishi wa private sector hasa migodi mikubwa tunakatwa kodi kubwa ya asilimia almost 18 kila kitu unalambwa kodi hii sio haki ata kidogo

    • @yussufhemed7755
      @yussufhemed7755 5 місяців тому

      Hii nchi inatumia pesa hovyo huko bungeni afu kila siku wanawaza kukamua wananchi in a different way

  • @FideMgonja-u6u
    @FideMgonja-u6u 5 місяців тому

    Wabunge mkikatwa milioni moja kwa mwezi je

  • @AliHamad-k7s
    @AliHamad-k7s 5 місяців тому

    Mheshimiwa spika Hawa wabunge wameshindwa kufikiria, sas mm nawapa wazo moja, Kwanza kwa Kila mbunge wakiti raia akichangia elfu mbili na Hawa wabunge wao wachangie milioni tano kwa mwezi ili uweze kufanya uwiano sahihi sio wakae apo na vitumbo vyao waporoje Tu. Kwa sababu juzu mumeongezw kodi kwenye makato ya Simu.

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 5 місяців тому

    Baba ongera kwa wazo nzuri

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 5 місяців тому

    Hawa ndo watu wanafaaa kuwa Marais wa nchi hiiii point z uhakika

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 5 місяців тому

    Mtavutana na kukamuana lkn yote haya ni kukosa usimamizi wenye ufanisi kwenye rasilimali zetu! Hatuna maadili ktk hilo! Ni ufisadi mtupu.
    Ripoti za CAG ukisikiliza jinsi pesa zinavyopigwa utalia!

  • @ColinMhema-ne3lz
    @ColinMhema-ne3lz 5 місяців тому

    Linaweza kuwa wazo nzuri tatzo pesa zikichangwatu tayari zinaingia kwenye makoti yenu

  • @erickonesphor9630
    @erickonesphor9630 5 місяців тому

    Uko sahihi serikali itulipie wananchi wake, mbona mafisadi wanapoteza nyingi ?

  • @mosesrutaihwa6569
    @mosesrutaihwa6569 5 місяців тому

    Maskini wa kutupwa!

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine 3 місяці тому

    Madini yalipe bima mbuga maziwa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 місяців тому

    Hata ijadiluwe vipi hiyo imeshapitaaa..!! Ni lini mjadala humo ndani ukabadili maamuzi ya Serikali ?!

  • @weremamwita8981
    @weremamwita8981 5 місяців тому

    Sawa nyie ongei tu; wala hammjui mwanachi anavoteseka sijui kwanini mnajisahau, ipo siku itasema.

  • @kilimoufugajipesatv5751
    @kilimoufugajipesatv5751 5 місяців тому +1

    Kweliìiiiiìi

  • @alexmnogi1822
    @alexmnogi1822 5 місяців тому

    Wazonlako n jema lakn mnaipeleka sehemu isyosahihi..na kuangukia kwenye mifuko ya wengne ...na pia ni veep kuhusu report ya CIG???

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 5 місяців тому

    Anzeni kwa kupunguza posho za wabunge.

  • @nasibuupete140
    @nasibuupete140 5 місяців тому

    wazo ni zuri cn hilo

  • @willylwiza6665
    @willylwiza6665 5 місяців тому

    10,000/= CHF imewashinda hiyo 2000 ya simu ataweza

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 5 місяців тому

    Nchi hii viongozi wanalalamika na wananchi wanalalamika

  • @mjukuuwamfalmetz3367
    @mjukuuwamfalmetz3367 5 місяців тому

    Wabunge watakatwa kodi kiasi gani kwa mwaka

  • @christopherdiu7851
    @christopherdiu7851 5 місяців тому

    Si zitapigwa au kukopwa kama KAWAIDA😅😅

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 5 місяців тому

    Hizo tirion zinaendana wp??

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 5 місяців тому

    Huyu shabiby umeeleweka

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 місяців тому

    NHIF imekufa, sasa hivi huduma nyingi zimetolewa kwenye matibabu kwenye bima ya NHIF. Semeni na hilo.

    • @knight6757
      @knight6757 5 місяців тому +1

      Imekufa kwa ugonjwa wa moyo au🤔

  • @aggreymsemwa4389
    @aggreymsemwa4389 5 місяців тому

    Na Kwenye Kila Basi Moja Tuchukuwe Elf 3000

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 5 місяців тому

    Uyu jamaa hua namkubal sana amenyooka

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 5 місяців тому

    Utani mara nyingi una unga undugu

  • @Godfreyolekidongo
    @Godfreyolekidongo 5 місяців тому

    Amezungumza kituchamsingi sana mbunge, kama 5000 imetushinda 300,000 ndo tutaimudu sisi wananchi wa hali yachini?

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 5 місяців тому +4

    Unazingua, kwa mafaoo yote ya spika hilo haliwezekani

  • @mussaali9729
    @mussaali9729 5 місяців тому +1

    huyu mbunge nimpumbavu

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 5 місяців тому +3

    shabiby akili nyingi sana Wana gailo mna jembe hapo mjengoni wengine kazi zao kusinzia

    • @ce-08
      @ce-08 5 місяців тому

      Angesema wabunge waanze kulipza Kodi ndyo tutapata pesa za maana

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 5 місяців тому +3

    Yaan bima ya afyaa imekuwa n mateso mateso Kwa wananch ..Kwa utajir wa Mali zet watanzania bima ingelkuwa bure Kwa Kila mwananchi😢

  • @godsonkilua7738
    @godsonkilua7738 5 місяців тому +4

    Kweli Mbunge wangu umekomaa kisiasa , hongera Sana kwa mawazo mazuri bima ya afya Ni pasua kichwa Hali ya maisha Ni mbaya hakuna mtu anaependa kufa kwa kukosa bima. Mungu akubariki kwa kupeleka kilio chetu bungeni tutakuchagua Hadi useme po. Huo ndio utetezi wa wananchi siyo kupigapiga mameza Hadi mikono inakuwa na sugu kwa hoja za wenzio.

  • @jurdanforwardersltd1460
    @jurdanforwardersltd1460 5 місяців тому +2

    SHABBY upo sahihi sana umetoa wazo zuri sana ambalo serikali walifanyie kazi itapatikana pesa nyingi sana.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 5 місяців тому

    Wewe mbungenimzalendowakwelikweli unajaliwatanzaniawenzako kama familiayako mwe nywewe.

  • @msevenfokoro94
    @msevenfokoro94 5 місяців тому

    Mh..umeongea point sana lakin litatendewa kazi???😢

  • @gladmannyamba
    @gladmannyamba 5 місяців тому

    Na biashara za watu binafsi zifutwe,mabasi imiliki serikali,maduka n.k.Hoja haijakaa vzr,vituo binafsi vinasaidia Sana.Serikali haiwezi pekee yake.

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 5 місяців тому +1

    Ukiacha kumtoza mwananyi pesa taskinu alafu ukamtoza kwenye simu c umebadilisha njia ya utozaji ila utozagi upon pale pale.minashauri hela itozwe kwa gesi madini utali nakazalika

  • @wilfredaxwesso7394
    @wilfredaxwesso7394 5 місяців тому +2

    Si rahisi kuvaa kanda bili hata kama akitoka kwenye kiti kwani wako na stahiki nyingi baada ya kustaafu.

  • @Goofyplayz-fj3ce
    @Goofyplayz-fj3ce 5 місяців тому

    Msiseme 'WanaNchi wetu',:semeni 'WanaNchi wenzetu'!

  • @CosimaKatto
    @CosimaKatto 5 місяців тому

    Huyu mzee yuko vzr.hzr point kwa wenye roho mbaya huwez kusikia makofi yake

  • @erickuiso3703
    @erickuiso3703 5 місяців тому

    Huyu mbunge anaelewa kwamba karibu nusu ya huduma ya afya tz ni vituo binafsi???

  • @willylwiza6665
    @willylwiza6665 5 місяців тому

    NI wazo zuri ila .Huyo maskini nae kaesabika katika hizo line .2000 anapita wapi simu simu yenyewe Hana anamiliki line

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 5 місяців тому

    Wabunge na mawaziri nyie mnakatwa kiasi gani cha kodi ya maendeleo tafadhali, maana Tanzania ni ya ajabu sana. Watu wanapambana kuingia bungeni maana huko ndiko kwenye green pastures.
    Mngekuwa mnapewa mishahara kama wafanyakazi wengine hii nchi isingekuwa na matrilion ya maden, inauma sana napambana kijijini kulipa kodi kwa kila ninachonunua halafu anaenda kufaidi mbunge.

  • @bulunjamalimikulwa4876
    @bulunjamalimikulwa4876 5 місяців тому

    Napesa hz wakitukata kwenye simu tutashukuru sana, kwasababu tutapata huduma za afya, sio hizi zilizokuwa zikikatwa kwenye miamala wanatunisha matumbo yao tu. Ikiwa tu, watafuata maono na ushauri wa shabib akili kubwa ktk biashara

  • @gustavrwekaza802
    @gustavrwekaza802 5 місяців тому

    Punguzeni ubadhirifu na matumizi yasiyo yalazima

  • @harsoshelezi4658
    @harsoshelezi4658 5 місяців тому +1

    ZIBAKI ZA RUFAA TU KWASABUBU NDIKO MNAKO KWENDA.

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 5 місяців тому +2

    Hapo nimekuelewa Shabby 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @farajiissa8747
    @farajiissa8747 5 місяців тому

    Akika imekaa vizur ifanyiwe tu kazi nafikri fraha itakuwa kwa hawa watu

  • @rafikkarimomar8202
    @rafikkarimomar8202 5 місяців тому

    Hi bima ya afya anaye taka naakate asiye na uwezo aendelee kama kawaida akalipe cash anapo kwenda kutibiwa

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 5 місяців тому

    Ukweli usemwe akili nyingi mbunge makini

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 5 місяців тому +1

    Mlaikiji komenti🤗

  • @burkardkayombo4608
    @burkardkayombo4608 5 місяців тому +1

    Upo vizuri MH. Shabibi Bima kwa wote, isiwe njia ya kupruni Watanzania.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 5 місяців тому

    Inatakiwa kilamtuu atoe mchango

  • @Mpakele
    @Mpakele 5 місяців тому +1

    Shabib umewatetea sana wananchi. Hongera kwa ushauri wa kina juu ya chanzo cha kudumu cha chanzo cha bima ya afya kwa wote