BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 кві 2017
  • Kutoka Bungeni DODOMA, leo April 10, 2017 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
    Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 264

  • @yesayamwanjemba4726
    @yesayamwanjemba4726 7 років тому +13

    Hii imekuwa serious issue. Mungu ibariki Tanzania

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +2

    Hata mm ningekuwa ktk list ningeshindwa kkuvumilia .... Asante bashe kw kuogopa kututangulia

  • @deviskaliare5420
    @deviskaliare5420 7 років тому +5

    Bashe you are da best.. hujaenda bungeni kulala mkuuu.. Mungu na akulinde...

  • @gracemarine6753
    @gracemarine6753 7 років тому +22

    Shikamoo Bashee MUNGU awaongezee ulinzi awatume malaika wake walinzi ili hawa mashetani weusi waanze kuteketea kuanzia hapa dunia mpaka jehanamu

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka3708 5 років тому +1

    safi sana Dada tulia unajua sana hongera sana,kweli sheria inaweza kuyafanyia kazi baana,hatuna haja kamati za bunge kwani nazo zikiundwa si zitaenda kukusanya taarifa polisi,kwa wahussika na familia za wahanga ambacho naamin na polisi ndo wanakifanya...then au bashe anahisi polisi wamekaa tu noo...wanafanya kazi pamoja na matatizo yote hasa ya rushwa walio nayo

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 7 років тому +3

    Yan wew mwanamkeeee kwelii unfnya kazi yako ilokufnya uletwe hapooo xaxa naomba Mungu naww familia yako itekwe

  • @lupetamhagama2145
    @lupetamhagama2145 7 років тому +28

    Kwel bashee you are smart in ur heard big up nzega they are luck

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 років тому +13

    Bashe & Sugu pamoja sana.

  • @thedeo472
    @thedeo472 7 років тому +20

    Waziri wa mambo ya ndani hajui au hana alifanyalo. Ningemshauri ajiuzulu kulinda heshima yake(kama anayo).

  • @japhetnzunda5421
    @japhetnzunda5421 6 років тому

    Nashukulu sana kwa hojaja nzuri muheshimiwa bashe

  • @bushmendatoga4754
    @bushmendatoga4754 7 років тому +5

    Bashe is a gentleman indeed. ... Tanzania tunakoelekea siko na huu utamaduni haukuepo

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 7 років тому +10

    Bashe ni akili kubwa sana

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 7 років тому +62

    sina imani na naibu spika Tulia, yaani kazi yake imekuwa kutuliza tu hoja, huwa simwelewi kabisaa

    • @arnoldamel8164
      @arnoldamel8164 7 років тому +11

      geof beka kumbuka kuwa ni mteule wa rais kama mbunge na alimpa huo ubunge ili akawe naibu spika nadhani picha unayo

    • @davidlauliankitinya3035
      @davidlauliankitinya3035 7 років тому +4

      kaka Bashe me nimekbali I like your chain na ntaifuata kaka I have future

    • @abdalahsuleiman8989
      @abdalahsuleiman8989 7 років тому +2

      Hatar sanaa

    • @stephanomwakyobe4675
      @stephanomwakyobe4675 5 років тому

      geof beka sio naibu tu ata spika mwenyew ndo ivy ivy

    • @rahmarahmajuma8646
      @rahmarahmajuma8646 5 років тому

      Hilo swara linatuumiza wananchi ila huyo special pamaja navigogo wakuu wanalijua kuwa wakimchukia tu mtu ndio wanamuazibu hichonikikulacho kinguoani mwako

  • @palesyosilingo6386
    @palesyosilingo6386 7 років тому +7

    Bashe rafiki yangu mungu atakulinda kwasababu unaongea ukweli na huyo rais wenu anasema msema ukweli ni mpenzi wa mungu

  • @isayakaihula8172
    @isayakaihula8172 5 років тому +1

    Your the best in speech the government have to work on this

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому

    Mwendazake alaaniwe huko aliko alikua farao mkubwa

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 років тому +6

    Yani mtu anaongelea issue ya uhai wetu unamwambia akae chini??????????
    Yaani acha ninyamaze tu maana hasira nayo ni dhambi

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 років тому

    Mungu akulinde bashe

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 7 років тому +2

    Shikamoooo mwanamke wa shoka twakupenda je 2020 wewe ni waziri yaani una watuliza kama kitenesi💪💪💪💪

  • @lemalalioloulu3025
    @lemalalioloulu3025 5 років тому

    Bashe mungu akulinde witete watanzania we nyonge

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 роки тому +1

    huyu ni mbunge wa watanzania na sio mbunge wa chama cha mapinduzi nakukubari sana bashe

  • @santodelove4351
    @santodelove4351 7 років тому +7

    big up basheeeeeee

  • @castrolk.ezekiel7426
    @castrolk.ezekiel7426 7 років тому +6

    Bashe na wew utaambiwa umechochea unatangaza kua nchi hakuna aman!?

  • @shehemnazi127
    @shehemnazi127 5 років тому

    Asantee bashe.

  • @Purity493
    @Purity493 7 років тому +2

    safi sanaa

  • @basraebrahim9687
    @basraebrahim9687 6 років тому

    Mashallah you are good

  • @ismailbaruan2833
    @ismailbaruan2833 6 років тому

    yaan naibu spika Uko vizuri sana ahsante sana kwa majibu yako

  • @fridgeismybestfriendwhenit7149
    @fridgeismybestfriendwhenit7149 7 років тому +10

    "there's no hope kutoka serikalini" so true ...naombeni mkopo nihame nchi 😢😢😢

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 7 років тому

    jamani mbona

  • @sakinandoile4758
    @sakinandoile4758 7 років тому +13

    wah. Bashe na Sugu bora mmekuwapo mjengoni...coz watu twaishi kwa mashaka sasa

    • @alinanusyemwatukambo7908
      @alinanusyemwatukambo7908 5 років тому

      Wewe acha uwongo sugu sio mwana siasa mwenyewe ni vta tuu

    • @vivianlenard3618
      @vivianlenard3618 5 років тому

      Unakua na mashaka we naye una nn wakuteke sasa. kuna anayekujua huko zombi kweli

  • @briggsanji9176
    @briggsanji9176 7 років тому +3

    Safiii

  • @olivaanosisye3184
    @olivaanosisye3184 7 років тому +8

    bashe, Sijui upewe kitengo gani? tupiganie baba

  • @noellikwet6113
    @noellikwet6113 7 років тому +4

    huyu tulia huyuuuuu ooooooh

  • @khatrarage4445
    @khatrarage4445 7 років тому +2

    it's trueeeee😢😢😢😭😭 there is no hope in serikali basheeeee oyèeeeeeeeee tutetee jmn😢😢😢😢

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 7 років тому +3

    Bashe, nakukubal xna kaka. inapobid kuzungumza ukweli, we have to say xo.

  • @enosh22wanyeche45
    @enosh22wanyeche45 5 років тому +1

    God bless mh bashe

  • @swaburyrwamlaza1479
    @swaburyrwamlaza1479 7 років тому +2

    shukurani mheshimiwe bashe

  • @hajamijohana6979
    @hajamijohana6979 5 років тому +3

    2020 bubu ataongea

  • @manfredymahinya9511
    @manfredymahinya9511 5 років тому

    mwiguru amini hujafa hujaumbika najua ww ni mcha Mungu sana naomba kwa kauli yako uwasaidie Watanzania ili wawe ktk hali ya amani.

  • @irinekatumwakatumwa6606
    @irinekatumwakatumwa6606 5 років тому +1

    Dhu jaman!!!! Sisi wote niwakupita tuache visasi ili cku moja tuuone ufalme wa mungu

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 років тому +2

    Hivi serikali yetu kama ingekua sio makini na kutegemea wa bunge kupanga maendeleo yetu tungekua hali mbaya sana

  • @charlzlyimo1982
    @charlzlyimo1982 7 років тому +6

    duuuuh!!! hata na nyie wamewageukia

  • @johnsonkuziwa171
    @johnsonkuziwa171 7 років тому +8

    Bashite Aende Jeratu Wananchi TunaumiaTunakuea Nahofu Nanchi Yetu Hatunaamani Jamani Tunaenda Wapi Sasa Jamani Hatupo Sudani TupoTanzania Nchiyenye Amani"

    • @aishahussein68
      @aishahussein68 7 років тому +5

      Johnson Kuziwa wee kilaza kweli umeelewa alichokisema sasa aende jela kwa kipi we pumba kweli

    • @mobileshop818
      @mobileshop818 7 років тому

      Aisha Hussein tena pumba asie jielewa kabisa

    • @mariammarco1554
      @mariammarco1554 7 років тому +4

      Johnson Kuziwa Wew chizi kweli aende jera kwa kosa gani alilolifanya?? kwani yeye ndo anayewateka? unapotaka kukoment uwe unafikilia kwanza muone na kichwa km vile zombi..

    • @mobileshop818
      @mobileshop818 7 років тому +2

      Mariam Marco ha ha hahahaa kwani kichwa cha zombi kiko vpi? umenifurahisha sana ndugu yngu; ila c mbya umempa maneno ya kweli mana kitu kikitokea majibu yanakuja c mwingine bali makonda

    • @bilalkitiku9096
      @bilalkitiku9096 6 років тому

      mbwa wewe ,,,,,,kusoma mwenyewe hujui ,,,uelewa nako zero

  • @memoratasalon1128
    @memoratasalon1128 7 років тому +50

    Bashe marry me

  • @nehemiajohn3918
    @nehemiajohn3918 7 років тому +6

    hawa wote kina jenista wanahemewa kisogoni

  • @ghayoghayosd1581
    @ghayoghayosd1581 7 років тому +2

    Duu hatari sana sasa kama mnaogopa kiasi hiki je na kwa walio hali ya chini wanao potea wanasaidiwaje

  • @elishaalex6695
    @elishaalex6695 7 років тому +5

    Yan nchi kama somalia banaa

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 3 роки тому

    Bunge bado halipo na haki ya kutetea raia na ndio hao wanaotumia kukamata watu kimykimy shenzi kabisa sugu na bashe nawakubali sana

  • @novatiemmanuel2175
    @novatiemmanuel2175 7 років тому +1

    Bashe Mungu akuzidixhie uwezo na nguvu na uwe imara kusema ukweli na kutetea wtz na siyo kutetea ugali kama wenzako was ccm hakika Bashe ww ni mfano tosha kwa wanaccm wenye akili kukuunga mkono

  • @BLESSblessing1
    @BLESSblessing1 Місяць тому

    Jamani naomba , lissu, sugu, zitto nawengine warudi bungeni siku hizi bunge limekala sana.

  • @yohanabandoma9337
    @yohanabandoma9337 7 років тому +4

    Speaker is toothless now,nothing can't do.

  • @bestinamseti3078
    @bestinamseti3078 5 років тому

    Basheee your very bright

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 років тому +8

    bashe umenena vizuri

  • @shafiimsemo698
    @shafiimsemo698 5 років тому

    Bashe ukovizuri,hongera kaka

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 5 років тому

    love u bashe

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 7 років тому +4

    bashe kweli ni mwanaharakati.....

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 років тому +4

    mwiguru umekaatu aseee

  • @agressngimbudzi5319
    @agressngimbudzi5319 6 років тому

    Uko vizuri bashe wenzio wa
    ccm wanaogopa kusema ukweli wanaogopa

  • @mohammedally8569
    @mohammedally8569 7 років тому +2

    Dah nimasikitiko makubwa kwa nchi hii jamani

  • @elishaalex6695
    @elishaalex6695 7 років тому +10

    huyu naibu spika daaa ...sijui na yy ana ubashite.....

  • @annethdominic3403
    @annethdominic3403 7 років тому +1

    MUNGU awe pamoja nawe Bashe umeongea vizuri

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 5 років тому +1

    duh

  • @shyneplatnumz2583
    @shyneplatnumz2583 7 років тому +1

    Bashite bungeni

  • @stephanomwakyobe4675
    @stephanomwakyobe4675 5 років тому +1

    njoo ukawa kuna mdee lemma nassari, kama wew

  • @datchdatch3836
    @datchdatch3836 7 років тому +3

    KAMA CHOMBO TUNACHOKITEGEMEA NI HIKI, KISHA MAAMUZI YA WASIMAMIZI WAKUU NDIO HAYA MAJIBU TUMEYASIKIA , TUSUBIRI NEEMA YA M/MUNGU. siku akifanyiwa anayewagusa LABDA UMUHIMU UTAJULIKANA , MAANA MALIPO HUWA NI HAPAHAPA.

  • @jozeymkonge4905
    @jozeymkonge4905 5 років тому +1

    Bashe mwamba wao

  • @justinchriss3778
    @justinchriss3778 7 років тому +3

    bashe the great

  • @DeusNchembah
    @DeusNchembah 7 років тому +1

    Tulia anajua kutuliza,Majina mengine banaa!

  • @lumamichombochayesu1838
    @lumamichombochayesu1838 7 років тому +3

    duuh ni shidaaaaaa

    • @sadikisaidi28
      @sadikisaidi28 5 років тому

      Sawa ila kunawengine hpo niwatata angalien msje mkapgana na chupa

  • @elialucas6140
    @elialucas6140 3 роки тому

    Ahsante sugu

  • @rachelissacmahenge1348
    @rachelissacmahenge1348 4 роки тому +1

    Kwanini habari za utekaji ziko awamu wa tano tu🤷‍♀️

  • @munuobaraka5409
    @munuobaraka5409 7 років тому

    sana bashe

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 3 роки тому

    Seen

  • @anthonmunishi4463
    @anthonmunishi4463 6 років тому +1

    naibu spka kawekwa jamani kwahyo Hana nguvu yeyote

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 3 роки тому

    Very brave Bashe,wh

  • @jisamjose2184
    @jisamjose2184 7 років тому

    Kweli kabisa haiwezekani tukose uhuru

  • @mujwahuzikyabwishukuru2917
    @mujwahuzikyabwishukuru2917 Рік тому

    MWIJAGE JOHN

  • @neemahussein4957
    @neemahussein4957 7 років тому

    mama wee 😲😲😲😩😩😩

  • @abelmachunda9494
    @abelmachunda9494 7 років тому +2

    ndiye naibu spika... dk tulia ... tutegemee mabadiliko baada ya miaka 10000

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 5 років тому

    Duh

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 років тому +1

    Tanzania 🙏🙏🙏🙏

  • @amryabdallasaid2077
    @amryabdallasaid2077 5 років тому

    Big up: Bashe.

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 років тому +5

    duuh ...I hope speak Ndugai...will do something.. naibu speaker is useless..God bless u Sir Mh Bashe n Sir Mh Sugu

  • @babucheenyahega2778
    @babucheenyahega2778 5 років тому +1

    Tutafute katiba yenye usawa maana naibu spika mjinga mjinga kama tulia niwakuponda mawe

  • @ayubnsajigwa1037
    @ayubnsajigwa1037 7 років тому +3

    Mhh Nchi imekwisha tuliipofika Mungu atusaidie

    • @mobileshop818
      @mobileshop818 7 років тому +2

      Ayub Nsajigwa Ameen In sha Allah kwa uwezo wake Allah ninaimani tutaishi kwa Amani.

  • @bamurwakana5890
    @bamurwakana5890 4 роки тому

    Jamn bashe ubarikiwe kwa ukweli wako

  • @husseinrajabu2735
    @husseinrajabu2735 5 років тому +1

    Waambie bna nchi yetu yaa Amani hatutaki kuipoteza hii Amani

  • @jeremiajohaziel4927
    @jeremiajohaziel4927 7 років тому +38

    BASHE NI JEMBE LA KUIGWA NA WATANZANIA

  • @ibrahimkassim7298
    @ibrahimkassim7298 5 років тому

    true

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 5 років тому +1

    Upon vizuli

  • @charleskanwani5765
    @charleskanwani5765 5 років тому +1

    MALAIKA wakulinde bashe

  • @omanoman1576
    @omanoman1576 3 роки тому

    Bshe yupo saw kbxaaa mna

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 2 роки тому

    Bashe nakukubali sana ndio uongoz huo shida chama chako hakitaki ukweli sio kila kitu siasa

  • @shafiimsemo698
    @shafiimsemo698 5 років тому +1

    Sema japo inauma, ukweli wa mungu ndo huo.

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому

    Ngoja nifanye ivi🤐🤐

  • @athumaningitu7743
    @athumaningitu7743 6 років тому +1

    Ally kessy

  • @charlespalangyopalangyo663
    @charlespalangyopalangyo663 7 років тому

    bashe

  • @mustaphakisanga8381
    @mustaphakisanga8381 3 роки тому

    Dr. Tulia anasitahikuwa spika wa mbuge na sio naibu

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому

    Hapo spika hamna kitu...ngoja atekww mumeo na kundi usilolijuaa.. ndio utakaa kwa pattern. Saiz sio dharula kwasababu watekaji unawajua

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +3

    jmn huy sugu hatar