asante sana mmbunge wa mbulu mchape waziri mwizi awekwe ndani awache kutuvalia ngozi ya kondoo ilihali yeye ni mmbwa mwatu. MLA maliyetu wezi wooote wakae maweni Tanga tunataka maendeleo kwa kila mkoa na Kila wilaya asante sana wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika wote tuishi kwa amani na ushikiriano watanganyika wote tupendane kama watoto mapacha

Nakupenda bura
Hongera mbunge flatei girgoyi masaiii
Msukuma Mungu akulinde
Huyu mbunge yupo makani sana, pokea 💐🥀 yako mapema
Hongera
Mchina haskii kiswahili msinizeeshee mbunge wetu bhana
Miradi imesimama mingi sana
🔥 🔥 🔥 🔥
Manjala Liberation of African Association legacy (LAAL) inaomba sapoti yenu viongozi
Leo umezungumzia issue ya misingi na hoja iliyo tugusaa kama jamniii ya hapo kwetu
Wasipopitisha hizo Hela, piga SAMBASOTI bunge zima mpk Kwa Spika..
Very poor recording, inajirudiarudia.
😅😅😅