Kauli kali za SPIKA mwanzo mwisho "Mama hatabiriki" || Pambana na kitu kingine sio Ndugai

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Job Ndugai amejiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kubaki kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa. Katika kipindi chake cha Uspika tunakuletea kauli mbalimbali alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na baadaye kujiuzulu nafasi yake ya Uspika.

КОМЕНТАРІ • 360

  • @abelsonmakabala6090
    @abelsonmakabala6090 2 роки тому +24

    Appreciate this Man....hata kuiongoza familia kunahitaji msimamo na jeuri....huyu ndo kiongozi tumtakaye....2025 niko upande wako mzee wangu........

    • @salmawatuta6468
      @salmawatuta6468 2 роки тому +1

      Msimamo unaomba radhi?

    • @robbiejerrson7437
      @robbiejerrson7437 Рік тому +1

      Si Kila msimamo ni hekima. Misimamo mingine ni ujinga na upumbavu mtupu. Huyu ndivyo alivyokuwa na nduguye mwendazake!!

  • @mokhimji
    @mokhimji 2 роки тому +9

    tumshukuru mungu kamaliza kazi bila kumjeruhi mbunge ata mmoja... ameena..

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 2 роки тому +13

    Ndugai haya ni maisha tu anaeyaweza.ni mungu tu nilijua utamaliza vibaya na bado hiyo ni trela

  • @israelifadhili9744
    @israelifadhili9744 2 роки тому +19

    Bila msimamo wa namna hiyo, huwezi kusimamia bunge. Bungeni kuna kanuni, ASA kama mbunge hafat kanuni unataka afanyeje. Alifanya vizur sana, kasoro yake ni kumsalit magufuli bandari ya bagamoyo bas. Alaf ninyi mliotengeneza hii, mnapenda kuponda sana wengine wakt ninyi wenyewe ni makaburi yaliojaa kila aina ya uchafu. Jiangalien na ninyi matendo yenu, yeye ametubu na mungu amemsamehe

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 роки тому +2

    Urudi kumuomba radhi professor Asad kweli bunge dhaifu

  • @joune8260
    @joune8260 2 роки тому +2

    Haya Sasa kinyozi umejinyoa! Ulikuwa unajiona nusu mungu kwa kauli zako za vijembe! Na hiyo Covid ulivyochanjwa mbona bado uliendelea kuugua tu. Nimependa ulivyotoka kwenye hiyo nafasi maana inahitaji mtu mzalendo zaidi na powerful brains!

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 2 роки тому +4

    Ata asingejiuzulu angeezuliwa tu kama mzee six ..aliambiwa safari hii tunataka spika m-mama

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 роки тому +1

    I just love vichapo vyako. Kwa upole na taratibuuu na kiboko kinakupata...

  • @NicholousMsanya
    @NicholousMsanya Місяць тому

    Uongozi unaweza baba mungu akurinde kiongoziwa mfano wa kuigwa kwataifa iposiku utakuwa wakuheshimiwa

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 2 роки тому +8

    Mnaanza kumtetea baada ya kujiuzulu, acheni unafki

  • @gabrielaniseti1537
    @gabrielaniseti1537 2 роки тому +11

    TAARIFA IMEEGEMEA UPANDE.MMOJA.
    SAWA SISI NI WA TAMZANIA MWISHO WA SIKU.AMANI UPENDO NA UMOJA WA KITAIFA UTAWALE

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 2 роки тому

      Na watanzania walivyokuwa na uelewa mdogo wanaacha kujadili deni kubwa sana na mfumuko wa bei wanahangaika na ndugai

  • @saramichael1632
    @saramichael1632 2 роки тому +2

    Jamaa Kweli Alitenda Apendavyo

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 роки тому +7

    Hongera sana Ndugai Unavuna ulichopanda yote mabaya uliyowafanyia wenzio yanakurudia. ✔️

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 2 роки тому +2

    Wewe ndugai utakula jeuri yako na hao wanaoshangiria nyote ni dhaifu na mazuzu kweli yaani wewe babu jeuri kweli sijui hilo juso lako na upara wako utauweka wapi ulifikiria utakaa hapo milele m.mungu anakuhukumu na kiburi chako kitakurudia

  • @anordkyelula6266
    @anordkyelula6266 2 роки тому +3

    Ilove tanzania ilove my nation

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 2 роки тому +10

    Kiburi cha uzima kimemponza, ndio ajue kuwa Dunia ni ya Mungu sio ya wanadamu. Aliwaona wenzake hawana thamani isipokuwa yeye sasa kafika wapi?

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 роки тому

      Sana tu hakuna kitu kibaya km ukijiona Mungu mtu Kiburi chake kimemrudia mwenyewe!

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 роки тому +2

    Ama kweli kabla hujafa hujaumbika binaadam tumekuwa waungu tunalaani ovyo ovyo

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 2 роки тому +2

    Yaani alijiona kama Bunge kama la babaake vile na kusahau kuwa cheo ni dhamana😏

  • @rasurmasoud5762
    @rasurmasoud5762 2 роки тому +3

    Nimemkubali Sana jeneral ulimwengu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому +24

    Na mazuri yake wekeni. Tanzania ifike mahali tuwaheshimu watu kwa mema yao na si kwa kutafuta mabaya tu. Hastahili dhihaka hizi alifanya kwa nafasi yake pia jamani.
    Huu ndio uhuru wa habari tunaouliliaga?!Muacheni mzee wa watu jamani.

    • @davegervas4707
      @davegervas4707 2 роки тому +1

      weka wewe kama unayajua

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 роки тому +1

      Yaweke ww hayo mazuri acha kupangia watu cha kuposti

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 роки тому +1

      @@davegervas4707 fedheha ikupate

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 роки тому +2

      @@madetetv6576 ww ndio unataka kunipangia cha kupost ndio maana ume reply kwangu. Kumbe hata hujielewi!!Ss unatokwa poovu. Huna hata cha kusema bendera tu wewe .

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 роки тому +1

      @@davegervas4707 bendera fuata upepo tu wewe

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 2 роки тому +7

    Sentensi ya mwisho ni tamu sana!

  • @raphamahengo5480
    @raphamahengo5480 2 роки тому +6

    Damu ya wengi itawarudia wenyewe twende sasa

  • @tbsgenterprises.hongera4631
    @tbsgenterprises.hongera4631 2 роки тому

    Ndugai Lisilowezekana kwa binaadamu kwa Mwenyezimungu litawezekana.leo umeuona mkono wa Mungu usioshindwa na mamlaka yoyote.Unayoyapitia sasa ni matokeo ya kiongozi au kutumia mamlaka uliyonayo pasipo hofu ya Mungu.Spika sio Mungu Spika ni mtumishi wa watu.anapaswa kuwaheshimu ili kulipa heshima mamlaka anayoiongoza.

  • @johnnnko5814
    @johnnnko5814 Рік тому

    Kweli Mungu wee ni Mungu....kuheshimu mamlaka ni muhimu kwa woteee..

  • @thomasmerinyomollel3544
    @thomasmerinyomollel3544 2 роки тому +3

    Mungu ni mungu na ni mwenye wifu hawezi kukubali miungu watu ndani ya dunia akiwaacha watambe basi itakua kakosea kumtoa mwanae wa pekee kuchukua ufalme duniani na mbinguni nenda wewe mungu mtu wa ----

  • @israelifadhili9744
    @israelifadhili9744 2 роки тому +16

    Nakubali msimamo wako. Achana na wajinga wasio kuelewa

  • @shakiradevid8811
    @shakiradevid8811 2 роки тому +1

    Ndugai alikua sahihi sana kosa lake kuomba msamaha

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 роки тому +4

    We will miss you!!!

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +2

    Mnafki huyoooo? Kiburi sana huna hadhi ya kua spika wa BUNGE.

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 2 роки тому +7

    naweza kukupiga marufuku kuongea huku ndani hakuna cha swali wala nyongeza na hunishtaki popote😂😂😂

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 2 роки тому +3

    Wanna kama Hawa ndo walikiwa wa kuijenga Tanzania unyama unyama🔥

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 2 роки тому +2

    Huyu na bashite akili zao sawa

  • @amanihosea8587
    @amanihosea8587 2 роки тому +2

    Sasa ndio nimeaminii huyuu jamaa alikuaa na misimamo ya maana sana ,huyu anafaa kuwa kiongozi mkubwa kwenye hii nchi.

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 2 роки тому +2

    Daaah, dunia hii

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 2 роки тому +3

    Hivi bila kuwa na msimamo utaendeshaje kundi ulilonalo acheni kumsema ndugai kauli za watu fulani zilikuwa za ajabu ndugai ni jembe mkatae mkubali aliwaweza sana wenye vimidomo sijaona ubaya wake

  • @ReactorsWatcher
    @ReactorsWatcher 2 роки тому +17

    Huyu Jamaa alikua Jeuri Aisee dah, What goes around comes around

  • @jamilahabdallah8397
    @jamilahabdallah8397 2 роки тому

    Kweliiii upo vizuri

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 роки тому +3

    Pambana na kitu Ingine sio Ndugai. Mmmmmmmmh ulitumia nafasi yako vibaya. Yalitunzwa Sasa wanakuonyeshea, yamekugeuka.

    • @lucyngoo6309
      @lucyngoo6309 2 роки тому

      Tena yeye yamemgeuka kwelikweli bila ya yeye kutarajia

  • @januaryjohn4771
    @januaryjohn4771 2 роки тому +1

    Hakuna kitu hapo ccm mmewaibia kura wananchi hamjachaguliwa zaidi ubepari tu,hicho ndio kinachowatafuna

  • @kkkbrotherskahixe6818
    @kkkbrotherskahixe6818 2 роки тому

    Iyo ya profesa Asad...

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 роки тому +2

    Tuliwahi kua na spika moja mbovu sana😂😂😂😂😂😂

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 2 роки тому +2

    Nimeipenda hio ya mirembe apelekwe nayeye mirembe

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 6 місяців тому

    Aliongeza bunge kwa manufaa ya taifa lakini kujiudhuru kwake si kwa manufaa ya taifa ila alifurahisha nafsi yake, sababu tumepoteza bandari.

  • @saitotimariba2209
    @saitotimariba2209 2 роки тому +3

    Kuna mda utafika mtamuona ndugae kuwa alikuwa sahihi nyie endeleeni kupiga midmo

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 2 роки тому +1

    Huu mhimili umejiuzulu lakini una jambo kubwa sana unalificha Ndugai tuambie Watanzania tujue kinachoendelea

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 2 роки тому +2

    kwenda uko Ndugai huna kauli nzuri kwa watu wazima wenzako sasa utapiga makofi mezani km wenzako dadadekiii zako muliona Samia mwanamke wa mchezo mchezo Mama Samia kenda labour hawaogopi nyote na magenge yenu

  • @marywakesho4887
    @marywakesho4887 2 роки тому +3

    Uongozi hautaki nguvu na majigambo.... Wacha watu wakukubali kwa ubora wa uongozi wako...

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp Рік тому

    Viongozi muwe mnachunga sana ndimi zenu ona sasa ulijifanya Mungu mtu kikowapi sasa ukiziona kauli ulizokuwa unalopo sijui unajionaje na unajisikiaje

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 роки тому +2

    Kazi kweli kweli wewe Ni mkweli ndiyo maana

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 роки тому +1

    Da ndugai uko vzur sana 🪴 2025

  • @SimonMasanja-k1d
    @SimonMasanja-k1d 6 місяців тому

    Nikweli kabisa usidharau usiye mjua

  • @caxstonembuli4457
    @caxstonembuli4457 2 роки тому +30

    The future president of Tanzania I love his speech very convincing. The change Tanzania wants

    • @gabrielsarwatt2119
      @gabrielsarwatt2119 2 роки тому +6

      Mimi ninakubaliana kwamba file lake lililoko mirembe lihifadhiwe,soon anahitaji kuhudumiwa pale

    • @raybirry3816
      @raybirry3816 2 роки тому +3

      Sio kwa system hii iliyompiga teke.

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 2 роки тому +4

      Tanzania gani hiyo? 🤣

    • @mahmoodsurour9265
      @mahmoodsurour9265 2 роки тому +4

      Nahisi ni mental kidogo

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 роки тому +4

      Eeh bwana eeh huyu msimpe ujiko na kumfagiliaaa, mbona alipokuwepo na Magu aliyakubali mengi na kufanya madudu kibaoo akaja akaharibu kwa kumuondoa CAG Mussa Asad kwa Nguvu zote ili watu wasipate kilichokuwepo ktk Bunge na Serikali pesa zinazotumika na zilizopo kwa nini sababu mtajaza nyie! na haya kayafanya kwa njama tu ili Mz. Magu akitaka kufanya yake iwe kiulani tu sasa mbona ilo hamlisemii??? 🤔Wabongo Asad ni Mtu wa Tanga km sikosei Kwa nini sababu huyu ni Mwanamke na Mzanzibar bc sio kinginecho zaidi ya icho tu mbona mie namkubali kwani ni Mama yangu?? Hapana huyu tukitakaa tusitakee ndio kashapewa Urais na Mungu mjuee umnanielewa???

  • @doralupenza3363
    @doralupenza3363 2 роки тому +1

    Nampenda
    Mungu wangu amenipa kitu ninacho mikononi mwangu

  • @salehkioza-xo8ti
    @salehkioza-xo8ti 2 місяці тому

    Huyu hayuko sawa na wala hastahili hata kuongoza shuĺle ya chekechea kwanza anazarau sana na kibri sana ila mungu mkubwa kuliko chochote kile,mwisho kaangukia puwa

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 роки тому +1

    Dah yan kuna watu vyeo viliwalevya🤣🤣 leo chaliii..cheo dhamana ndugu zangu

  • @hassanmkotya4136
    @hassanmkotya4136 2 роки тому +7

    Mema yake yakowapi Yarrabi huyo ni mwanadamu kupatia na kukosea ni sehemu ya maisha yake hakika Mungu nipe jicho la tatu linijaze ufahamu binaadamu siyo watu nimeshindwa Sina hamu. Jobu Yustin Ndugai kila la kheri huko uliko.

  • @TAMBIMEGELI
    @TAMBIMEGELI 4 місяці тому

    Mtu wa maana sana job ndugai

  • @kamotembaryo2283
    @kamotembaryo2283 2 роки тому

    Pole ndugai matamanio yagoma kuliongoza taifa

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 роки тому +5

    RIP Ndugai, utangulie mapumzikoni huko

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому +2

      Mmm kwani Uspika ndo Maisha tu??

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 роки тому

      Kwani ivyo ndio kashakufa km hajakufa maneno yanaeeza kumuua akapata maradhi ata mapesa yake akakosa kuyatumia na kuinjoi nayo!

    • @scholaredwardo6383
      @scholaredwardo6383 2 роки тому +1

      Jaman msinichekeshe

  • @davidjohn5977
    @davidjohn5977 Рік тому

    Au kwa sababu ni omba omba,haya kati ya majizi na Ombamba unachagua nini?.Mimi ni Mgogo acheni dharau za Makabira.

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 роки тому +1

    Muwe na akiba ya maneno tu.jakaya alitukanwa weeee hakumjibu mtu.dugai nae pia ameshatukamwa Sana.lakini yote yatapita

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 2 роки тому +2

    KILA BINADAM ANAMAKOSA YAKE ss ndugai kukosea ni ajabu???ipo siku tutamkumbuka maana wabongo hukumbuka shuka pakiwa pamekucha😥

    • @faumamakwaia5095
      @faumamakwaia5095 2 роки тому

      Kweli Ana mazuri mengi tu lkn wanaona mabaya tu,hakuna atakayekuwa mkamilifu duniani!

  • @aminamnega1778
    @aminamnega1778 2 роки тому

    Kujiamini ni vizuri

  • @jeromendetaulwa3466
    @jeromendetaulwa3466 2 роки тому +2

    Mzuka wa lisu utakumaliza tubu toa ufafanuzi stahiki zake ulimfuta ubunge

  • @nenolako8522
    @nenolako8522 2 роки тому

    Huwa nikisikiliza dua ya kuliombea Bunge, na baadae kidogo tu nikiangalia jinsi mijadala inavyoendeshwa. Nabaki nikisema moyoni ACHA MUNGU AITWE MUNGU tu.

  • @mohdhilali490
    @mohdhilali490 2 роки тому +5

    Aaaah... Kwli kila kitu kina mwisho wake.. Ctaki ata kusikitika kwa ni kwa nin kafanya maamuz yakiokua sahihi kwke.. NINACHOKIAMINI NI KUA NDUGAI NI MKOSAJI KW WAUMINI WANYE KUIPENDELEA MEMA TANZANIA.. Na anapaswa awaombe radhi wengi san..

  • @eliamwasomola578
    @eliamwasomola578 2 роки тому +4

    Ni kweli bunge ni dhaifu sana

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +1

    Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautojl

  • @allannelson1908
    @allannelson1908 2 роки тому +3

    Serikali aitakikuambiwa ukweli...tutafika safari ya baba wa taifa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому +1

    La proff Assad ndo lilinichukiza kama mtanzania

  • @davidjohn5977
    @davidjohn5977 Рік тому

    Sasa Mbona Mlimgeuka,Why?

  • @eleonorabokewarioba4420
    @eleonorabokewarioba4420 Рік тому

    Kukonga meza za bungeni sheria??

  • @StellaNdibaza
    @StellaNdibaza Рік тому

    Uko wapi sasa

  • @DittoSanga
    @DittoSanga 6 місяців тому

    Sawasawa

  • @boy-pq6ow
    @boy-pq6ow Рік тому

    That is good

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +6

    Yuko sahihi ila, alinikera alipomsaliti Maguful.

  • @erickthom6308
    @erickthom6308 2 роки тому +1

    mimi nakuunga mkono kwa kila jambo

  • @geneouscravery3428
    @geneouscravery3428 Рік тому

    Yes

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 роки тому

    MILEMBE INAKUHUSU.BUNGE DESERVE BETTER SPIKA

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 24 дні тому

    Lakini so umejioneaaaaa?😊Hivi jujui kila kitu konamwisho

  • @JackSolomon-oy7kb
    @JackSolomon-oy7kb 6 місяців тому

    Jamani uchaguzi uwe wa amani kwani mungu apendi fujo

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 2 роки тому +1

    Kweli bunge la Ndugai ni dhaifu😅

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 4 місяці тому

    Hajakosea ni kweli ni dhaifu

  • @itgamingke
    @itgamingke 2 роки тому +10

    Kutoka Kenya mi nasema msikize Speaker wenu kwa sababu anaongea ukweli hapa. 🇰🇪🇹🇿

  • @FromenaWilly
    @FromenaWilly 3 місяці тому

    Shida ni nchi kuegemea chama kimoja jamani

  • @aloycesiaitys607
    @aloycesiaitys607 2 роки тому +7

    Wala Ndugai hajakosea ametoa vidole vyake mapema. Tunakokwenda siko. Iko siku mtaamini.

  • @hamiduchingi2672
    @hamiduchingi2672 7 місяців тому

    Ndugai mimi ninakuelewa sana tazo watanzania tumezoa kuombwa ombwa tu atakama tunakosea au tunapokiuka maadili

  • @veronicamabinamasuka1755
    @veronicamabinamasuka1755 2 роки тому

    Uko sawa dugai

  • @nazarimahamdu9524
    @nazarimahamdu9524 2 роки тому

    Kweli nyinyi nizaifu Sanaa

  • @neemajackson9876
    @neemajackson9876 2 роки тому +2

    Kwan ndugai hajawahi Fanya jema mbona watu wanamsema sana🤔

    • @caesarmtebe544
      @caesarmtebe544 2 роки тому

      Mbona wewe hujaweka hayo mema maana yake si na wewe hujaona mema?

  • @josephyasata9017
    @josephyasata9017 2 роки тому +1

    Naona mnamponda utafikir mnajua Sana kuliko aliokuwa anakaa nao, vi clip vya mkato ndo mnakoment ujinga

  • @f.a6043
    @f.a6043 2 роки тому +10

    Sasa imekula kwako ubabe kiburi kwisha kabisa kalime zabibu na ujifunze kusoma Bible vizuri bila uzushi. 😄😄 Lkn hata hivyo licha ya yoote TUNAIMANI MUNGU AMEKUSAMEHE HATA NA WALE WENYE MOYO WA KUSAMEHE WAMEKUSAMEHE Lkn sasa kapumzike achana na Siasa maana labda imekushinda Mzee Baba ni fursa ya kwenda kucheza na wajukuu maana hakuna atakae kuhangaisha tena ukiwa na wajukuu 😄😄

    • @neemalucas4582
      @neemalucas4582 2 роки тому

      Unaongea ucchokijua kwamba akalime zabibu 😂huyo akitoka kwenye u speaker anakua mbunge wa kawaida kwahiyo hana njaa

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 роки тому

      @@neemalucas4582 kwani ubunge ndio utajiri au kua mkulima ndio umaskini
      Hujui kua kilimo ni utajiri mkubwa kuliko huo ubunge wa muda Mtazame Waziri Mkuu Mstaafu alivyo wekeza kwenye kilimo na ufugaji nitajiri kuliko huo ubunge unao upigia debe🤣🤣

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Рік тому

    Kumbe tabia ya Zitto inajulikana hahahahaha mh speaker ni hatariiiiiii

  • @daphiadevencher7338
    @daphiadevencher7338 2 роки тому

    💞💞🔥🔥🔥🔥

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +1

    Kwann watu hua mnaonaga mabaya tu? mazuri hayapo au

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 2 роки тому +1

    Mmmmmmh

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 роки тому +3

    MUNGU AMEKUONYESHA YEYE NI MUNGU.ULICHOSEMA MWENZAKO UMEPATA MAJIBU YAKE.MAMA NI MWANAMKE WA NGUVU .MAOMBI YETU MUNGU AMEYASIKIA.MNAFIKI AMEUMBUKA.

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

    We ulisema nchi itauzwa wakakutoa, shimo ulilochimba umefukiwa mwenyewe.ukowapi?.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому

    Hakuna aliyechaguliwa hata mmoja .Hawa ndiyo aina ya maspika tulionao Tanzania yaani wakanyaga katiba

  • @davymedia1487
    @davymedia1487 2 роки тому

    Aaahaaa..... magufulification