Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 бер 2020
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    Listen our Podcast on
    ‪Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camSalamaNa
    NGOSHA WA MBASA
    Nakumbuka kipindi ambacho Fidi alikua anaamini kabisa kama kuweka ‘uso wa mbuzi’ ndo kulikua kunakufanya uwe ‘hard core’, sina uhakika lini aliachana na dhana hiyo ila kwa kipindi cha miaka miwili au zaidi tabasamu na bashasha vimekua havibanduki kwenye uso wake, jambo ambalo mimi kama rafiki nalifurahia sana. Nakumbuka baadhi ya marafiki zangu wa kike ambao ni wapenzi haswa wa mziki wake walikua wakiniambia eh, sema rafiki yako mgumu jamani, Kha! Mi hucheka tu na baadae wakishazoeana basi sidhani kama kuna hata mmoja anaweza kusema kitu kibaya kuhusu yeye. Nilikua nacheka kwasababu mimi naamini namfahamu rafiki yangu huyu, yeye hupenda sana matani, na kucheka na marafiki wa karibu wanaweza wakathibitisha hilo maana katika watu ambao unaweza ukawatania weeee mpaka asubuhi, na utani mpaka wa vitu vyengine ambavyo wewe wa karibu unaweza kusema ey, hiyo sasa imepitiliza, yeye waala... Atacheka tu!
    Mwenye kipaji chake cha kujifunza mwenyewe, nasema hivyo kwasababu nadhani kufahamiana kwetu na kuelewana kwetu pia kunatokana na kuwa na vitu vinavyofanana ndani yetu. Kajifunza jinsi ya kupenda kusoma vitabu mwenyewe, kujifunza jinsi ya kuandika na kurap mwenyewe, kajiendeleza mwenyewe (bila ya shaka kuna watu walomsaidia kwa tafu za hapa na pale ila walitokea baada ya kuona jitihada zake). Alihakikisha anasafiri kwenda nje ya nchi na Africa kwa jitihada zake mwenyewe na mpaka leo, kukiitwa watu ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kufikisha Hip Hop ya nyumbani hapa ilipo basi jina lake litakua ni miungoni ya yale yatakayopata heshima ya juu kabisa. Pia anachekesha sana. Uelewa wake wa baadhi ya vitu unaweza ukakuacha mdomo wazi wakati mwengine. Kwenye uwepo wake? Vicheko lazima vitawale.
    Hii siku nilitia nae story haikua kama kazi, bali kama mtu na rafikiye tu wakitia story juu ya njia za maisha ambazo tumepitia mpaka sasa. Fidi amekuzwa na Mama yake ambae alikua ni mfanyakazi wa serikalini (ameshastaafu), alikulia mkoani kama wengi wetu, alifika Dar akakaa kwa ndugu kama wengi wetu, alianzia sehemu na kutoka hapo mdogomdogo akajijenga kufikia hapa alipo. Humu tumeongelea hayo, watoto, muziki, ndoa, maisha ya wasanii na maendeleo kwa ujumla. Yangu matumaini uta enjoy na kuelewa baadhi ya vitu zaidi na zaidi.
    Here’s to Ngosha wa Mbasa.
    Love,
    Salama.
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 241

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 роки тому +60

    Wanawake huhofia maisha kabla ya ndoa. Wanaume huhofia maisha na future baada ya ndoa

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 роки тому +1

      Innocent Mushi Naona mnaokota madini ya ngosha😍

    • @innocentmushi1550
      @innocentmushi1550 4 роки тому

      @@veronicadaniel1122 yah ngosha ana madini mengi sana..ukitaka mengine nicheki kwa email yangu mushiinnocent19@gmail.com

    • @djunction4127
      @djunction4127 4 роки тому

      point hyosiomakudhuzi ya thuglife nailele

  • @sharifamfaume9342
    @sharifamfaume9342 4 роки тому +39

    Naomba like zamamaake fraridi jamani🤲

  • @fettymanyo438
    @fettymanyo438 4 роки тому +41

    Mwanaume ni kichwa cha familia lkin mwanamke in shingo inayofanya kichwa kizunguuke

  • @rishmizuka
    @rishmizuka 4 роки тому +28

    Naheshimu Fid- Q Sana toka long tym, big up dadangu Salama kwa kumleta

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 4 роки тому +61

    Only two artists nikiangaliaga au kusikiliza interviews zao nachota vitu vipya, 1. FID Q na 2. MwanaFA

  • @augustinojerome7001
    @augustinojerome7001 4 роки тому +3

    dah nimejifunz meng san kupitia mtu huy coz story ya maish yak aijaend mbal san na story ya maish yang thnks fid umenitia moyo wa maisha leo bigup pia salam kwa kuandaa kipind kizur km hiki i will be no 1 kukitazam kipind chako...

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 роки тому +19

    Hii ya "Ongeza Bando" nimeielewa sanaa..😂😂
    So far, fid yuko very specific in details, unakua km unatizama movie hv

  • @cheaffundikila9727
    @cheaffundikila9727 4 роки тому +11

    Salama unamuoji mshikaji Kuna maswali kabla ya kuhoji unataka kucheka unajikaza

  • @emmanuelbukuku1
    @emmanuelbukuku1 4 роки тому +24

    (Wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa) Yani ukweli wa msemo huu ni asiimia 88%

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 4 роки тому +11

    "Farid Kubanda,alizaliwa Aug 13 katika hosp ya bugando jijini mwanza,kwakuwa mtoto kwa mama akui aliamua kwenda kulelewa kwa bibi.....salama napenda
    "Kwanini wasinitafute kupitia mimi"

  • @convilsabato7596
    @convilsabato7596 2 роки тому +3

    Kazi nzuri sana Salama. Mlete Jay Moe kwa interview

  • @davidsomi451
    @davidsomi451 4 роки тому +9

    nimemuelewa vizur Mr mbuzi naomba hii interview irudiwe

  • @abdallahmakombo3866
    @abdallahmakombo3866 4 роки тому +5

    Historia ya malezi ya fid q inaumiza Sana

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 4 роки тому +9

    Brain with potential

  • @gthegamer5866
    @gthegamer5866 9 місяців тому

    The way mwamba anavochana mistar katik nyimbo na interview ataendelea kuwa the best on my soul

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 4 роки тому +5

    Mwalimu wa kitaaa and the truth speaker,

  • @danielsama1576
    @danielsama1576 4 роки тому +7

    😂😂😂😂😂kila akichekecha hajamfraisha mwalimu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +7

    Much love my dear Brother *FAREED* unamadini Mengi sana Bro ❤️😍

    • @abujuhaifah7461
      @abujuhaifah7461 4 роки тому

      Yani ww hongera kila nikisoma koment za kipindi hiki lazima nikuone hongera hatar ila ue wajifunza mamy hata kama nakuona upo kwneye ndege ya ethiopia

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому +6

    Liberia, Senegal, Ivory Coast

  • @UgandanAllstarTales
    @UgandanAllstarTales 4 роки тому +4

    My nigga Q always been a great story teller. Liked alivyo simulia the way he met his girl

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 3 роки тому +1

    the G.O.A.T farid qubanda
    .... "nawapa ofa ya mswaki alaf mnaning'oa meno!!!!" hatar sanaa huu mstar

    • @maesryclassic456
      @maesryclassic456 3 роки тому +1

      Time is money nafasi hujali kuzuga, wema anataka saa ya almasi zari anaujali mda

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 3 роки тому +2

    brain ..Fid Q...GREAT

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 роки тому +4

    Leo story za malezi tu na familia

  • @ujudiabdull9442
    @ujudiabdull9442 3 роки тому +2

    Yaani FidQ nkikuangalia tu nacheka big up broo nakukubali sana 💪💪

  • @brayanphilipo1851
    @brayanphilipo1851 4 роки тому +3

    Natumia Akili nyingi Kuilewa Mistari Yako Bro 💪🏼

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 роки тому +5

    Ila Wakaka wa hip hop wanaonekanaga hardcore lakini wanakipenda wanamapenzi ya kweli

  • @habeebboost1342
    @habeebboost1342 4 роки тому +1

    Point ya mama fid umenikosha Allah akujazie kheri

  • @shesheejumaa578
    @shesheejumaa578 4 роки тому +3

    sister salama please nitafurahi sana kama utarudia tena interview na brother fid coz daaah maneno yake ni kuntu

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 4 роки тому +1

    ‘Nilichekechaaaaaaa nikandua sijafanya chochote cha kumfurahisha huyu headmaster’ fid Q nakukubari sana man

  • @abdulkarimmohamed4616
    @abdulkarimmohamed4616 Рік тому

    Hichi kimewahamasisha vijana wengi sana wawe na matumaini kwa maisha hasa mimi Salama dadangu mkubwa vipindi vyako navifwatilia mbaya

  • @stellaedmund7071
    @stellaedmund7071 4 роки тому +4

    Legends re perfect 🙏🙏🙏🙏

  • @edwalks4922
    @edwalks4922 4 роки тому +1

    Mmetisha sana

  • @deogratiusjohn4502
    @deogratiusjohn4502 4 роки тому +9

    Msanii bora wa hip hop Africa nzima na duniani kubali san bro

  • @abubakariynassoro9018
    @abubakariynassoro9018 4 роки тому +3

    Ndo mtangazaji wakike amesha fanya VIPINDI TOFAUTI LAKIN WA2 WANAMKUBALI

  • @clarasteven1802
    @clarasteven1802 3 роки тому

    Mr aron wa nyakabungo,ni shidaaaa

  • @hamispeter9043
    @hamispeter9043 4 роки тому +2

    Hii interview qali sana....fid q amepoa sana.

  • @masudiwaukweli468
    @masudiwaukweli468 Рік тому +1

    Nimeipenda sana tangia agost 13 mpaka sasa maneno ya kikubwa heshima kwenu👍👍👍👍

  • @kisalaurence6177
    @kisalaurence6177 Рік тому

    SalamaNaFidQ among the best talk siku zote ya kuangalia to us young generation ✊🏿🤍🖤

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 роки тому +3

    Bonge LA ex interview Kati ya Ng'wanamarundi na salama
    Nimecheka sn ety ninaappetite ya msosi

  • @mercymakundi3582
    @mercymakundi3582 4 роки тому +4

    Bonge la intavyuuuuu aiseee

  • @andrewjulius3951
    @andrewjulius3951 4 роки тому +4

    Leo kali,,,umekutana na mtu mwenye upeo mkubwa kiakil na saikolojia,,,,ulizeni maswali ya kikubwa.

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому +1

      kama yapi?? yaweke wazi ili wajue tujifunze...

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 4 роки тому

      Vivian Charlz 😅😅

  • @tafawasaid4740
    @tafawasaid4740 4 роки тому +6

    Salama Jabir The Greatest Of All Time #Goat she can do each and everything in this industry

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 4 роки тому +10

    Single monthers and fathers mjifunze hapa, msiwatie sumu watoto, haisidii. Baba ni baba na Mama ni Mama. Period!!

  • @Ivy-pn2gc
    @Ivy-pn2gc 4 роки тому +7

    Salaama uko makini ...eti apo ushaita mpenzi.

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 3 роки тому

    Fid q kalelewa vzr xn uyu jamaa ana hekima na busara xn npo jiran na nymbn kwao apa nyegezi Mwanza jamaa anakujaga home Hana sifa yan ana maisha ya pekee xn

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 4 роки тому +7

    Love u my sisSalamA ... 🤗your hair 😋

  • @KaoratajrMD
    @KaoratajrMD 4 роки тому +2

    some brains conversations...safi sana

  • @rehemamrutu5596
    @rehemamrutu5596 4 роки тому +4

    Salama always I love you

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 Рік тому

    Wana sanaaa waliobaki ni fd pr j sugu na fa

  • @jimmymangao5698
    @jimmymangao5698 4 роки тому +4

    Best interview Salama n Fid Q

  • @frexalphonce9387
    @frexalphonce9387 4 роки тому +4

    Dar fid nimependa maneno yako ofxa

  • @alshabihnjuck
    @alshabihnjuck 9 місяців тому

    Perfect Mwanamalundi fid Q

  • @abdalamhamed1748
    @abdalamhamed1748 4 роки тому +1

    ukiniuliza msanii bongo,kichwani inakuja fid q.

  • @queenkiruwa3499
    @queenkiruwa3499 3 роки тому +1

    Salama uyo Alisha kua mtu wako gonga like km unajua iloo

  • @mkoakaskaziniu8132
    @mkoakaskaziniu8132 2 роки тому +1

    Wewe hatar sana salama
    Unajua

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 4 роки тому +1

    Kaka mkubwa wewe ni zaidi ya kiyoo... Mashairi yako, maisha yako hua najifunza Sana kupitia nyimbo zako... 🤪 Mzee wa appetite

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 4 роки тому +1

    Great interview

  • @ibrahamkalu9069
    @ibrahamkalu9069 4 роки тому +1

    Salama twataka sura ya Jesca,,. interview iko 🔥🔥

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 4 роки тому

    Ni kweli Salama aliwah kutembea na fid q

  • @sidval-el5816
    @sidval-el5816 4 роки тому

    "Sehemu niliopo huku hamna access kabisa ya pilau" imenichekesha sana na kunihuzinisha pia. Bittersweet moment!

  • @nuhubalandya9164
    @nuhubalandya9164 4 роки тому

    Apo fresh Fid Qn , nakuelewa sana mzee

  • @chumayaoinvestment1647
    @chumayaoinvestment1647 4 роки тому +1

    Neat

  • @jacksonmishwaro7460
    @jacksonmishwaro7460 4 роки тому +5

    mimi nikishamuona jessica tu...Show imeisha

  • @pascalanthony2542
    @pascalanthony2542 4 роки тому

    Nakukubali sana fid q

  • @berthamtenga2091
    @berthamtenga2091 4 роки тому +1

    Namkubali saana fid

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 3 роки тому

    Fid q fundi wa mziki we proud of u Wana lake zone

  • @johashisamson1915
    @johashisamson1915 4 роки тому

    Jamaa anajua sana

  • @allimwakalebella3789
    @allimwakalebella3789 4 роки тому +2

    Salama na #Dj_Fetty itakua poa

  • @mussaissa5270
    @mussaissa5270 4 роки тому

    Salama nakupenda sanaaa wallah 🙏🙏🙏

  • @hamzaabdulhalimissa7184
    @hamzaabdulhalimissa7184 4 роки тому +1

    Mwanamalundi,ngosha,mwanza mwanza,cheusi dawa sijawahi kuchukia interview zake

  • @lovenessgodson1075
    @lovenessgodson1075 4 роки тому +1

    Mbona haifunguki kwangu

  • @bahatilusambo2757
    @bahatilusambo2757 Рік тому +2

    Fid anaweza kumlaumu Baba yake lakini haja fanya utafiti kuwa kilicho mfanya Baba yake kubadilika Ni Nini?mke anaweza kuwa mzuri kwa watoto lakini asiwe mzuri Kwa mme au mme anaweza kuwa mzuri kwa watoto lakini asiwe mzuri Kwa mke wake kwa hiyo kujua chanzo kikubwa cha tatizo ndio ukomavu wa fikra pana na utafiti, asilimia kubwa ya mke au mme kuna kosa kubwa sana wanalo fanya kuhamishia upendo kwa watoto Ni kosa kubwa sana katika ndoa, mme na mke wakipendana wao kwa wao Ni jambo jema na la busara, Mimi nina mwanangu lakini mwanangu akikua ataniacha na mke wangu

    • @zedekiahmagwega8044
      @zedekiahmagwega8044 2 місяці тому

      Hapo alipotoka huko kwa mwanae na akaamua kumsamehe nafikiri aliambiwa ukweli ulivyo

  • @kelvinsichone2359
    @kelvinsichone2359 4 роки тому

    You are so conscious mwanamalundi

  • @mababiyoo8099
    @mababiyoo8099 4 роки тому

    One love

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 Рік тому

    Mpaka leo 👌🥰🥰👌💯

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    *FARID QUBANDA* nakukubali sana 💕

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 4 роки тому +1

    Jeska kula gwara👊

  • @bittersweet1683
    @bittersweet1683 Рік тому

    Fid Q's music changed how I see the world

  • @andrewbabaako6972
    @andrewbabaako6972 2 роки тому

    usinikubali halaka moja kat ya ngoma nzuri sana inayotukosesha mademu

  • @amanihamisi5686
    @amanihamisi5686 4 роки тому

    Ngosha#mzee mbuzi

  • @hajiabdalla2034
    @hajiabdalla2034 2 роки тому

    very nice

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 4 роки тому +12

    nakumuintaviu ex veepee 😂

  • @watidowalid7744
    @watidowalid7744 4 роки тому

    Sawa

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 Рік тому

    King 👑 of Rock City 🙌

  • @zedekiahmagwega8044
    @zedekiahmagwega8044 2 місяці тому

    Rudia hii interview SALAMA

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 4 роки тому +1

    Duh

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 роки тому

    My kaka WA mbasa

  • @marthamasanja3138
    @marthamasanja3138 3 роки тому

    Nakubali xana braza

  • @victoriasospeter592
    @victoriasospeter592 4 роки тому

    love n love fid qubanda

  • @majadotto9513
    @majadotto9513 4 роки тому

    Mwanamalundi nakubari

  • @rajabudau7478
    @rajabudau7478 4 роки тому +3

    Salama upo active sana .. unajua sana hii kazi siku choki kwenye kamera

  • @augustinojonas2643
    @augustinojonas2643 3 роки тому

    Ngosha the swagga don

  • @nellykasanda825
    @nellykasanda825 3 роки тому

    Good

  • @africanyoung5410
    @africanyoung5410 4 роки тому

    Salama naskia goma hlo kitambo mshagusisha nyaya

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 роки тому +1

    Kipindi kizuri🇹🇿🇦🇷

  • @innocentsimika1937
    @innocentsimika1937 4 роки тому +2

    kichwa kinaongeaaaàaà........... #realmantalkrealthings

  • @majidomar4770
    @majidomar4770 4 роки тому +2

    Mbn boommplay mara hii imechelewa

  • @billionairesmind182
    @billionairesmind182 4 роки тому

    Ngosha genius

  • @marymichael6635
    @marymichael6635 4 роки тому +8

    wooozaaah😍😍😍

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 4 роки тому

    mbasa Gete