ROMY JONS: Nilisali miezi 3 mfululizo niache POMBE, nilikuwa nalia, ilikuwa too much | CHIMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 40

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 3 місяці тому +4

    Naamini katika kuskia mkojo usiku ni Mungu amekuamsha uombe , chagua ni lako.
    RJ the Dj keep going! Laser focus.
    Natamani sana nikuone level za kina Dj Snake na Diplo.

  • @JayLEONCY
    @JayLEONCY 3 місяці тому +16

    skip to dakika ya 18:10
    yaan dakika za mwanzo jamaa wanajitqmbulisha tu

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 3 місяці тому

      Powa

    • @dcampafrica
      @dcampafrica 3 місяці тому

      Asantee

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 3 місяці тому

      Dah 😂😂 nili drag sana hadi kufikia mitaa hii, i wish ningechungulia kwanza comments... ila yap nimemuelewa sana Dj...

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 3 місяці тому

      ... interview nzuri. Motivation talks za kutosha.. Great

  • @Chaotic-c2p
    @Chaotic-c2p 2 місяці тому

    Im proud to be a drunkard .and sijutii .Wee Rommy umeacha tu pombe kwa vile huna ubavu tuachie sisi wenye ubavu tuendelee kunywa and im a very hardworking woman .ngoja nijipe maua yangu🎉oyooo

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 3 місяці тому

    Romy very inspiration for new generation

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 місяці тому +1

    Ati kwa nini duu njia ya.otoni unataka vijana wapotee pombe ni shetani hatutakiwi kutumia kabisa Romi uko vizuri Allah akusaidie

  • @MohamedMohamed-ry6lt
    @MohamedMohamed-ry6lt 3 місяці тому

    Honest ni aina nzuri ya interview hongereni sana

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 3 місяці тому +3

    uyo hakuwa mnywaji....si afadhali ww muda wa kufanya kazi unao una maendeleo...ni mlevi unayejielewa...uku tunao wale akikosa pombe anaumwa....na asipate hela....

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 місяці тому

    Uyu msee kipara ana sauti sawa na mbosso🇰🇪🇵🇸

  • @Tribalking-l6d
    @Tribalking-l6d 3 місяці тому

    Interviewers mnabonga sana. Tunataka msikia interviewee zaidi

  • @Mwananchii
    @Mwananchii 3 місяці тому +4

    To be honest, Sky Hawa jamaa zako wanabore sana!!
    Nusu wanaongea wao nusu wanafanya interview.
    Too many interventions!Mpaka anayehojiwa anapoteza flow!
    Huyu Romy angehojiwa na mtu anajielewa angetoa bonge la interview.

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 місяці тому +3

      Hiki ni kipindi cha redio, kina format tofauti! Video ni mbadala tu ila show inaruka Clouds fm, hivyo si kama mahojiano ya kawaida

    • @Mwananchii
      @Mwananchii 3 місяці тому +1

      @@SimuliziNaSautikama ni hivyo sawa maana sijawaelewa tokea nilivyoangalia show ya Haika!

  • @restitutakisamo7607
    @restitutakisamo7607 3 місяці тому

    Dactor anafungua hospital yake.hapo sijawakubali mnavyosema,mwanasheria pia anafungua ofisi yake,na anakuwa na watu watakaokuwa chini yako

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +4

    Alice ulivyosema kuhusu hujawahi kufanya kazi posta umejishusha kaka...usiseme vitu kama ivyo ..wakati watu wanakuona mtanashati na unadeserv kufanya kazi ofisi za posta..alafu ukisema unataman kufanya kazi huko unajishusha Mzee baba

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 3 місяці тому

    Kweli Alice amejushusha sana,kumbe hata yeye bado anakaushamba flani

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 3 місяці тому

    Vilevile sauti Yako Alice kapiga sijui umepata changamoto gani

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 3 місяці тому

    Kwa mwendo huu SnS mnetisha

  • @MsabilaAlly-mv4ji
    @MsabilaAlly-mv4ji 12 днів тому

    Watangazaji wanaongea sana kuliko guest

  • @ndikumanamoussa4103
    @ndikumanamoussa4103 3 місяці тому

    Nc🇧🇮

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 3 місяці тому

    Kuna kitu Cha kujifunza kutoka kwa Rommy kwamba maamuz sahh yanahtaj uharaka

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 місяці тому +2

    Nadhani kuomba au kusali hakukuachishi pombe.
    Pombe inaachwa na maamzi ya mtu husika. Ukisema kua ulikua unaomba mungu miezi 3 ili uache pombe, hapo unakua unajua kua Roman Catholic wanakunywa pombe, Jehovah witness wanakunywa pombe. Anglican wanakunywa pombe. Na kunywa sio dhambi Musa alikua anakunywa, Ibrahim alikua anakunywa, manabii wote kwenye bibilia walikua wanakunywa. Hata Yesu alikua anakunywa ndo maana kitendo cha kwanza alibadirisha maji kua pombe, soma Matayo 11:17-19

    • @mudrikramadhani32
      @mudrikramadhani32 3 місяці тому +4

      Wewe unajielewa kweli wewe?

    • @nadhifamustapha7557
      @nadhifamustapha7557 3 місяці тому +1

      Hahahahah ss bibilia nacho ni kitabu cha kufuata mmekiwekea mambo mnayoyataka ya mungu mmeyatoa 😅😅😅😅 ili muendelee kudanganyika

    • @Isabella-ww8ks
      @Isabella-ww8ks 3 місяці тому

      Acha kupotosha watu wewe Yesu alikunywa pombe wapi hilo andiko ulioosema nitajie wp yesu alikunywa pombe nawapi alibadilisha maji kua pombe huijui biblia wew

    • @loningoletayo8453
      @loningoletayo8453 3 місяці тому +1

      Kunywa pombe ni sawa ila ukikikuta mtu imefika sehemu anaomba kuacha pombe ni kwamba imekidhiri ,yaani imepitiliza na hapendi kufanya hivyo

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 3 місяці тому

      ​@@mudrikramadhani32😂😂😂 hajielewi

  • @Rojo_Rojo
    @Rojo_Rojo 3 місяці тому

    Mimi ndo dereva

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 3 місяці тому

    Rj bhna kuacha pombe ww ni uongo bhna sitaki 😂