Idris Sultan afunguka alivyopoteza TZS Bil 1.5 mwaka 2020, 2022 kuwa staa anayeingiza mkwanja mrefu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
    / @simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 86

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar Рік тому +12

    Proud 👏 movie nzuri Sana. Idris is very street smart nimejifunza sana kwenye hii interview

  • @adamkisombe6563
    @adamkisombe6563 Рік тому +1

    Huyu jamaa Yuko na vibe nzuri balaa Kwa interview which is incredibly awesome asee 🤜🤛

  • @pizzaz4333
    @pizzaz4333 Рік тому +5

    Movie poa sana tumpe Idris support ya kutosha

  • @beautifulafrika
    @beautifulafrika Рік тому +4

    Idriss he’s such a Genius 🔥

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому +6

    Ila Idris 😅😅😅🙌🙌🙌 nampenda kiukwel Allah amuweke 😍🤲

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 Рік тому +6

    Amazing Tanzanian interview 2023 I just love it.
    Where's part2 cz niko sure bado unaendelea

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому +4

    super star idriss sultanga mbote mbote my handsome brother

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 Рік тому +7

    SKY anajua ku_interview sana

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому +2

    Idriss Sultan Big Brain japo anafosi sana kuchekesha

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf Рік тому +5

    Nampenda sana idris. He is so handsome mashaallah

  • @eltoncastory7087
    @eltoncastory7087 9 днів тому

    What a genius 👏

  • @alphaigogo787
    @alphaigogo787 Рік тому +7

    Nimetazama movie na mwanangu. Ni nzuri sana sema imeishia pale ambapo utamu unaanza kunoga. Yani zile scenes ambazo ameziweka mwisho wa movie tukatamani angeziingiza. Au labda anampango wa kuleta part 2. But in general it's good. Well done.

  • @ramamtanga3482
    @ramamtanga3482 Рік тому +8

    Big up indrisa

  • @JumaMkama
    @JumaMkama 4 місяці тому

    You guy I really love cause your are the man of vibe all the time 😊😊😊😊

  • @prudenciaorridge3990
    @prudenciaorridge3990 Рік тому +8

    Great interview bro.
    I just downloaded the movie from Netflix. I can’t wait to watch it over the weekend. I’ll be blogging about it in work next week x

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Рік тому +2

    Nimeiangalia jana hio filamu kwa kweli niliifungua kwa sababu ya idriss tu.hongera film nzuri.

  • @zurfapahenge8802
    @zurfapahenge8802 Рік тому +2

    Nimependa sana yaani hongera sana ni me enjoy sana appreciate ❤🤗

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 Рік тому +4

    Napenda sana ntavu ya idrisa😊❤

  • @josephgatunzi1670
    @josephgatunzi1670 Рік тому +4

    Nawapenda sana ndugu zangu❤🎉

  • @parachichiFM
    @parachichiFM Рік тому +7

    Idris ni moja ya watu ninawaangalia sana #RoleModel✊🏽

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 Рік тому +5

    4:00 huyu Ni Mimi kabisa 😂😂😂

  • @daudiissa9256
    @daudiissa9256 Рік тому +2

    Iyo kusov problem kabla ya kutokea nimeipenda sana bonge la ideal nmeichukua iyo

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +3

    Hongera sana 😍😍💪

  • @musason1680
    @musason1680 Рік тому +16

    Huyu jamaa huwa nacomment kabla sijamsikiliza akili mingi sana 💪

  • @abduladinane
    @abduladinane Рік тому +3

    From mozambique

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 Рік тому +5

    Proud sana Idris ❤❤

  • @limbrussamson591
    @limbrussamson591 Рік тому +5

    Idris! Idris! Idris! Nimekuita mala 3 unakitu utafika mbali

  • @johnnyjoshua5049
    @johnnyjoshua5049 Рік тому +3

    Nimefurahi sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +5

    Watu wangu wote niwapendao

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Рік тому +8

    Idlis unafeli wapi wateja wakiwa wengi ndio fursa iyo chansi angepata mchaga ndio ungejua unafunga eti wateja wengi

    • @nembrislukumay2367
      @nembrislukumay2367 Рік тому +2

      Hapa kwenye hii point katudanganya, kwa nini asirekebishe time ya kuanza kusaply chakula eti unafunga business sababu wateja wamekuwa wengi big NO

  • @waziribakari6067
    @waziribakari6067 Рік тому +3

    Mogul📌

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 Рік тому +5

    Nimepata kitu leo

  • @mchagashop1342
    @mchagashop1342 Рік тому +2

    Idrissa ⚒️♨️

  • @drrugazia4632
    @drrugazia4632 Рік тому +3

    Genius

  • @asante2077
    @asante2077 Рік тому +6

    Kwa ulichoongea kuhusu biashara Idris haupo sahihi , inabidi ujifunze zaidi kuhusu biashara, unge manage kwenye quality na si quantity. Kina kanye west wakilaunch viatu wanauza vyote kwa sekunde kwasababu ya idadi ya watu. Hawakufunga biashara

    • @neemasamweli5221
      @neemasamweli5221 Рік тому +1

      Kweli kabisa. hapa katudanganya Sana tu

    • @shahamtindo
      @shahamtindo Рік тому +2

      Ila mwisho kaweka wazi kuwa shida ni anashindwa kumanage, maana yake ni POOR MANAGEMENT.. Na unapokuwa na wateja wengi halafu huna perfect management lazima utafelisha tu

    • @allymoshi2053
      @allymoshi2053 Рік тому

      Kwelii demand SKU zote lazima iendane na supply kama unawateja wengi lazma uongeze human resource iwe kubwa kulingana na capacity ya wateja wako na ndio maana ya kwenda shule unaweza ukapanga kila 1 delivery person akawa na customers wake 20 kwa SKU wa kudeliver

    • @mjukuumoraa8491
      @mjukuumoraa8491 Рік тому +1

      @@allymoshi2053 jamaa unaakili big up

    • @gq7777
      @gq7777 Рік тому

      He had good problem ya kuwa na customers wengi…. Ila naongea kitu that doesn’t make sense… he is proud of anticipating problem kabla hazijatokea, yet business failed sababu ya extreamly good problem ya more customers… both sentence can’t be true. He is smart guy overall and humble guy. Business failures are great tools to learn

  • @silverman6930
    @silverman6930 Рік тому +4

    Another one 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧💙💙💙👌👌👌

  • @user-uv1dy7ib5l
    @user-uv1dy7ib5l 5 місяців тому

    Huyu jamaa noma sana,pia siyo mtu wa kukata tamaa

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 Рік тому +3

    Wacha niingie Netflix Germany 🇩🇪 kama nitaipata nami niione

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 Рік тому +1

      Chupa kali hapo Aly Sayda Hotel namuona Morien akiwa Reception Dah kitambo sana

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy Рік тому +6

    Idres kind anaongea kama Adam Mchomvu au Mchomvu anaongea kama yeye.

  • @user-st9yq7bl5c
    @user-st9yq7bl5c Рік тому

    No noo unatudanganya in case ya wateja kukuzidia hadi kufunga biashara also idadi inakua sabb ya kukufelisha

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 Рік тому +3

    Akili kubwaa

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 Рік тому +6

    Huyu mwamba amesha toboa

  • @silasmathew9728
    @silasmathew9728 Рік тому +2

    Akili n kubwa sana kwenye utani wake😂✌️

  • @user-st9yq7bl5c
    @user-st9yq7bl5c Рік тому

    Sio sifa ya pesa na bado nafsi haijafikia hapo ktk money cases

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 Рік тому +2

    Safi mwandishi

  • @TujuzeTv
    @TujuzeTv Рік тому +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +13

    Jamaa idris ni ana akili sana wengi hatuja fika level yake ya ku jielewa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @mymbaralitv2968
    @mymbaralitv2968 Рік тому +6

    Sema mtoto iddi anasound kama jakaya kikwete hivi

  • @rehemasaadan3450
    @rehemasaadan3450 Рік тому +1

    I loved this 13:12 🔥🔥🔥

  • @lionofjudahtv8796
    @lionofjudahtv8796 Рік тому +2

    Kweri ni kusengeza

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 Рік тому

    🎉

  • @princemosha4566
    @princemosha4566 Рік тому +2

    Iike my comment I'm coming

  • @fenkra
    @fenkra Рік тому

    wakinga tuna nini😂😂

  • @philemonambilikile
    @philemonambilikile Рік тому +1

    Huyu jamaa ni Mimi mtupu Ila nimemzidi ukimya

  • @user-st9yq7bl5c
    @user-st9yq7bl5c Рік тому

    Sio sifa ya pesa na bado nafsi haijafikia hapo ktk money cases 😂😂😊

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 Рік тому +4

    Uyu nae muongo tu

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW Рік тому +2

    🤍🤍🤍💙💙💙

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Рік тому +1

    +974

  • @Heisgvoice
    @Heisgvoice Рік тому +3

    Mpya mjini ua-cam.com/video/M9BEcC2OB2E/v-deo.html

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic Рік тому +2

    Nakubali sana ua-cam.com/video/sS5fEPWanlk/v-deo.html

  • @user-st9yq7bl5c
    @user-st9yq7bl5c Рік тому

    Sio sifa ya pesa na bado nafsi haijafikia hapo ktk money cases

  • @user-st9yq7bl5c
    @user-st9yq7bl5c Рік тому

    Sio sifa ya pesa na bado nafsi haijafikia hapo ktk money cases