Bunge LINALAANIWA MNAOGOPA Nini - Mbowe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 кві 2019
  • Bunge LINALAANIWA MNAOGOPA Nini - Mbowe
    Kutoka bungeni jijini Dodoma baada ya kipindi cha maswali na majibu kjuisha wWabunge wameendelea kuchangia hotuba mbili za Wizara ya Ofisi ya Rais Tamisemi Pamoja Wizara Ya Utumishi Na Utawara Bora.
    #MBOWE
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website:
    www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 29

  • @petercley6230
    @petercley6230 5 років тому +5

    Mbowe kiongozi makini sana, sema sasa serekali imeweka pamba masikioni

    • @charleskazimoto6968
      @charleskazimoto6968 5 років тому

      Magufuli hauwezi kufanya kazi anazofanya Mbowe. Magufuli anayo jazba lakini Mbowe ni mtulivu. Kesi za Magufuli zimefikia 60 na zote za mauaji.

  • @mathewtarimo9614
    @mathewtarimo9614 4 роки тому

    Asante mbowe kwa kuwapa elimu

  • @bwangajatown4237
    @bwangajatown4237 4 роки тому +1

    Pamoja muheshimiwa mbowe

  • @lucasjacob9733
    @lucasjacob9733 4 роки тому

    Mwenyekiti mbowe nakukubali mno

  • @kfastak
    @kfastak 5 років тому +2

    Safiiii

  • @jonathanmundeda4461
    @jonathanmundeda4461 4 роки тому

    Asante kamanda wa anga

  • @muaminiadamu2066
    @muaminiadamu2066 4 роки тому

    Haya bro Mbowe

  • @simuyangu1356
    @simuyangu1356 5 років тому +1

    Dk chache saana mnapewa

  • @pendwatvgft6820
    @pendwatvgft6820 4 роки тому +1

    Wenye akili tunakuelewa

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 5 років тому +4

    Nakuunga mkono Mheshimiwa Mbowe.
    Umesema la maana hapo Bungeni leo😀

  • @gonzalesdeus5117
    @gonzalesdeus5117 4 роки тому

    mbowe huwa nakuelewaga

  • @geofreykonzo2064
    @geofreykonzo2064 4 роки тому

    Wabunge wa ccm wanadhani Amani ikitoweka hapa nchini wao watakua salama

  • @kelvnassey3236
    @kelvnassey3236 5 років тому

    mbowe makin san

  • @wasakamtema9721
    @wasakamtema9721 5 років тому

    Je bunge limebinafsishwa? au ni mtazamo wangu tu?

  • @abelumoja2866
    @abelumoja2866 5 років тому

    mbowe ukumbuke sheria za nchi moja haziwezi lingana hata siku moja mirungi na bange hata robo msokoto sheria ifuatwe 30yrs

  • @yahayamatondo7920
    @yahayamatondo7920 5 років тому

    ????????????!!!!!!

  • @yohanajakobo6051
    @yohanajakobo6051 5 років тому

    Mtaongea xana hongera xana jpm hapa kazi tu

  • @pendokatindasa2281
    @pendokatindasa2281 5 років тому

    Umechoka Unatetea Mafisadi.

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 років тому

    Mirungi km halal kenya sio Tanzania mirungi haram mtu hakitumia kazi yake kulala tu ulaya mirungi hawataki ht kuusikia ss wewe mbowe acha bangi zk

    • @abdallahdullah9561
      @abdallahdullah9561 4 роки тому

      Ww kama umeolewa tandika kitanda utumikie ndoa kama hauja olewa katafute bwana

  • @jimsjoelwisdom88
    @jimsjoelwisdom88 5 років тому +1

    Laana unaijua kweli.. laana ya kwako

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 5 років тому +1

    Laana zenu nyie za kuungana na mabepali wa ulaya nakuuwa wtz wa kibty wazalendo wasio na hatiya umeificha nahutoisema

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 років тому

    Magu amewaweza mlijilimbikiza mali wachaga mlifikiri watanzania wote wajinga leo unaongelea hk haki gani ulimilikijengo ht kodi ulikuwz ulipi kiongozi mzima shame on you hahaha leo povu sbb umekaka jela utudanganyi

    • @fitinankalango850
      @fitinankalango850 4 роки тому

      Anaejilimbikizia Mali saivi we huwezi kumuona kwa leo, subiri mda utafika ndo mtaelewa

    • @juliusmkopekwa336
      @juliusmkopekwa336 4 роки тому

      Wambie wanna Mambo ya ajabu tena mabaya Sana kupita

  • @bahatib.kidesela5423
    @bahatib.kidesela5423 5 років тому +1

    Mbowe wewe unaliita bunge kuwa LINALAANIWA!!
    Unajua maana ya laana au unasema tu???
    Uzuri unaongea hata makosa yao.