VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лис 2016
  • Moja ya headline iliyochukua nafasi leo wakati mkutano wa 5 wa bunge la 11 ukiendelea bungeni Dodoma ni pamoja na hii ya Naibu spika Dk. Tulia Ackson kulazimika kumzuia Waziri mkuu Kassim Majaliwa asijibu swali la mbunge wa Hai Freeman Mbowe aliyedai kwamba wabunge wa CCM walipewa shilingi milion 10 kila mmoja ili kupitisha muswada wa habari unaotarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni bungeni.

КОМЕНТАРІ • 98

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 4 роки тому +1

    Bungeni hakuna kinachoendelea zaidi ya kuona wabunge wana .........!

  • @KASOLEKA
    @KASOLEKA 7 років тому +5

    Ohooo. Naona kuna ukweli hapo, kwa nini wanakwepa swali. Hayo nayo majipu Tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........... Lakini yanayoonekana ni ya watumishi hewa tuuuuuuu. Aibu tupuuuuuu....

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 6 років тому +3

    Respect Dkt.....confidence na kusoma vzuri sheria ndyo maamuz yako

  • @davidjosephmsuya1929
    @davidjosephmsuya1929 4 роки тому +1

    Hii mijibunge mingine cjui inafikaga huku vipi yani swali la maana kbs yy hataki lijibiwe dah! hatari sana

  • @masoudkhamis54
    @masoudkhamis54 7 років тому +5

    jamaa wanagawana pesa zetu kimya kimya ila yana mwisho wake hayo na utafika

  • @musakutenga6015
    @musakutenga6015 7 років тому +1

    Ifike wakati tuelewe watanzania tujuwe maana ya bunge kuwa lina sheria zake pamoja na kanuni zake tuache ushabiki wa kisiasa maana watanzania wengi tunafata mkumbo tu

  • @lawrentkaifa5897
    @lawrentkaifa5897 7 років тому +4

    naibu speaker hatuna

  • @petermatemu8306
    @petermatemu8306 7 років тому +7

    naibu spika hana uzalendo kabisa, anaendesha bunge kwa maslahi ya chama tawala

    • @chrishicksambo880
      @chrishicksambo880 6 років тому

      Kaka mimi ni mtu wa mbeya lakini huyo dem sijuh Kama ni mzaa wa mbeya maana sio kwa usenge huo hatunaga upuuzi huo

    • @joshuafrank8253
      @joshuafrank8253 4 роки тому

      ccm hamna akilitu

    • @joshuafrank8253
      @joshuafrank8253 4 роки тому

      wanawake wanin kuwapa vyeokamaivo vyanin kuwapa

  • @ramadhaniismail9291
    @ramadhaniismail9291 6 років тому +1

    Corruption ni sera
    Naomba mungu akubariki ili kua rais wa nchi kwa maswali yako

  • @petermkamba3594
    @petermkamba3594 7 років тому +4

    Cha mcngi hapo; angeachwa waziri ajibu tu yaishe kwani Tulia alivyokataa swali lisijibiwe; ndipo negative nyingi zitawajaa watu wakati siajabu habari zenyewe c za kweli!

  • @geofreyemanuel8939
    @geofreyemanuel8939 4 роки тому

    Safi sana mzee baba mbowe unatuwakilisha vyema

  • @simonwaziri2827
    @simonwaziri2827 6 років тому +1

    Ufisadi
    Raisi magufuli sikiliza hlo ukatumbue jipu hilo limeiva kwenye ufisadi

  • @israelibrahim5206
    @israelibrahim5206 7 років тому +1

    ufahamu ndio unatupa shida, bora nisinge elimika haya mambo yasingesumbua akiliyangu

  • @kilagane183
    @kilagane183 7 років тому +5

    Hahahah, swali zuri sana

  • @cheskomichael6099
    @cheskomichael6099 7 років тому +4

    mmh hatariii

  • @vickymamy2241
    @vickymamy2241 7 років тому +2

    asante mboweee!!!!!!!

    • @joycedaudi8765
      @joycedaudi8765 6 років тому

      Ni kweli kabisa kama tungekua hakuna mtu ana elewa haya mambo ya siasa na demokrasia tusinge umia..

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 6 років тому

    oyooooooooo chadema oyee nawakubar kichz yan

  • @gandisalim5423
    @gandisalim5423 7 років тому +3

    Ndio maana hawataki bunge lionyeshwe

  • @michaelalban3749
    @michaelalban3749 5 років тому

    Tulia ackson sijui ulikaaje hicho kitu

  • @hajideprince9607
    @hajideprince9607 7 років тому +2

    bunge oyeeee

  • @makulazomorice3766
    @makulazomorice3766 5 років тому

    Huyu naibu speaker ni ccm dam dam maana siyo kwa kumlinda iv

  • @pascalmsilwa7817
    @pascalmsilwa7817 4 роки тому

    Pamoja Sana mboe

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 років тому +2

    ndio mboye tuteteee wanyonge

  • @dicksonmrimi8703
    @dicksonmrimi8703 6 років тому

    asante mboweee

  • @saidrashidi5153
    @saidrashidi5153 7 років тому

    hivi rushwa ni acquired character or ni inherited character??

  • @josephminja5827
    @josephminja5827 7 років тому

    Majipuuuuu hayoooo mweshimiwa mboweeee..kwanin...anagoma kujibu maswali yakooo

  • @mtakitibezuka9604
    @mtakitibezuka9604 7 років тому

    kweli ccm noma wizi mtupu wazili tujibu usiiname xana

  • @darposttv2647
    @darposttv2647 3 роки тому

    Haka Kama kana roho mbaya sana

  • @danfordmwigune3406
    @danfordmwigune3406 7 років тому

    kazi kwako

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 7 років тому +1

    uwiii ccm ni nini mbaya ci mmuache wazir ajibu

    • @ramadhansaid1671
      @ramadhansaid1671 7 років тому

      hivi bado kunawatu mnaamini utaifa na ubora wa maisha uko bungeni!? si upinzani wala utawala, samaki ni walewale, tofauti majina tu.... anaebisha akamuulize dr s..... huko canada, au .....kule Zanzibar na buguruni.

  • @nyakisn6512
    @nyakisn6512 5 років тому

    Mnapiga tu hela kijanja nchi hii aise

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому

    Dunia akuna haki aki ipo kwmaungu ndiomana imewekwa siku yakiama viungoz wetu wakiafrica awataacha kuiba pesa mpaka mwisho wadunia

  • @vascojuma2158
    @vascojuma2158 4 роки тому

    Aiseee milion 10 kila mbunge wakati kuna hosptal hazina dawa Mh raisi liangalie hili huu nao ni matumizi mabaya ya pesa yauma Tusaidieni kujibu maswali bungeni Haki huinua Taifa Mh tulia usiendeshe bunge ivo mama unakosea kumlimit mtyu asijibu swali sasa maswali ayo wakaulize nan na wap?

  • @johnraphael7790
    @johnraphael7790 7 років тому

    Siandiki chochote acha nipite
    Hasira bubu hiz

  • @teonaswistonteonas8975
    @teonaswistonteonas8975 7 років тому +1

    Hakika ww nijembe unatupigania mno

  • @christinamtewele127
    @christinamtewele127 7 років тому

    hebu wacha kugadi chama bungeni spika mbona swali rahisi unamzuiya nini kujibu acheni kubebana kumbe wanagawana pesa zetu wasome warumi 13 yote mistari yote 14wanaweza kubadilika mungu awasaidie sana

    • @emmanuelrichahd4236
      @emmanuelrichahd4236 6 років тому

      wamesahau kututetea cc wameanza oo jana mmepewa pesa kama wamepewa nachama watajua wenyewe cc tunataka muongeree maendeleo saivi unawasema ccm rakini ukienda jimbon kwako hakuna hata maji mbona haulalamiki tumewachoka au kwavile haukai jimbon

  • @poppmusiciringakilolopoppm6519
    @poppmusiciringakilolopoppm6519 5 років тому

    Aka kamama kana roho mbaya ndo maana ata kunenepa akanenepi

  • @davidelias6376
    @davidelias6376 7 років тому +1

    dawa ya swali ni kujibu

  • @christophermhanze7027
    @christophermhanze7027 4 роки тому

    Akiri ndogo kuongoza kubwa shida

  • @davidgidion2262
    @davidgidion2262 6 років тому

    Nilitegemea swari haliwezi kupata majibu

  • @meryjohn7120
    @meryjohn7120 4 роки тому

    Wewe unalinda ujinga wezi nyie kodi zeyu naye amekula

  • @issaally2394
    @issaally2394 7 років тому

    kweli hichi ni kifaa

  • @gandisalim5423
    @gandisalim5423 7 років тому

    shikamoo mboe

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +3

    nilichoona ccm inajiendesha kwa kujuana ndio mana bunge la sku hiz bora utafte kaz ya kufanya kuliko kuangalia cz hakuna kinachoendelea wapinzani Wapewe haki yao na kwa hali hii wanahaki ya kulalamika big up mbowe thax Milad Ayo

  • @ulafim2719
    @ulafim2719 7 років тому +1

    Tulia Unaharibu Bungeeeeeeeee

  • @meryjohn7120
    @meryjohn7120 4 роки тому

    Wananchi tunakufa nacolona nyie mnaopiga hela ata kutupunguzia makuli tamaisha ktk kipindi ichi kigumu umeme mmetubani maji mmetubania sugu kaongea vitu vya muhimu mkajifanya amumsikilizi mnapanga tu njama zakupiga hela magufuli tunakuomba kwa hili haki itendeke kama unavyowatumbua wengine

  • @veronicakisandu5033
    @veronicakisandu5033 7 років тому +2

    hee! mikopo tukose sisi ela mchukue nyie, majanga!

  • @thekingdon174
    @thekingdon174 7 років тому

    Hapo hakuna kitu, Hiyo ni kiki tuu ya kutaka kujisafisha na Kashfa ya ukwepaji kodi NHC, na Mahela ya kimataifa.

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 років тому

    mnagawana pesa afu watumishi hewa watumishi hewa

  • @mossesmlokozi3425
    @mossesmlokozi3425 6 років тому

    yaan mccm yapungue Bungen2020 mjp wabk kama 4

    • @joycedaudi8765
      @joycedaudi8765 6 років тому

      Tangu tulia amepata nafas iyo imekuwa shida bungen

  • @victorfredrick1423
    @victorfredrick1423 6 років тому

    Naibu anawalinda watu wa chama chake

  • @petermnobe9485
    @petermnobe9485 7 років тому +1

    selikali lko safi Sana msituchanganye

  • @jasminmmary8077
    @jasminmmary8077 7 років тому

    Hata mim nimeona haloooooo

  • @elihurumaeliau7079
    @elihurumaeliau7079 7 років тому

    nahic kutapikaaaaa!!!!

  • @pierreadams3114
    @pierreadams3114 7 років тому

    dahhhh aiseee

    • @thuwenihussein8756
      @thuwenihussein8756 7 років тому

      bunge limekiwa kama bar huyu mama anasingua ndio tatizo LA kuchagua viongozi vilaza

    • @pierreadams3114
      @pierreadams3114 7 років тому

      +Thuweni Hussein umeona ehh pia anavyokataza swali kama lile anafnya ionekane n kwl yanayosemwa

  • @mzenji
    @mzenji 6 років тому

    Huyu mtu anawazimu? Kuna ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Sasa kama suala la rushwa na ubadhilifu wa pesa za umma sio suala la sera, ofisi hiyo inafanya kazi bila sera? Spika katoa point ya kijinga, hasa ukizingatia kwamba rushwa na uwizi ni katika sera kubwa ya Raisi mwenyewe.

  • @gonzalesdeus5117
    @gonzalesdeus5117 4 роки тому

    jembe tunakuelewaga kinchofanyika ni kulindina tu

  • @sonnonlinetv4288
    @sonnonlinetv4288 7 років тому

    mbowe

  • @allimnyawi739
    @allimnyawi739 7 років тому +1

    yasemwayo yapo hahaaaaaa

  • @hajideprince9607
    @hajideprince9607 7 років тому

    huyu naibu mbabe cna bhana

  • @aagdf1420
    @aagdf1420 7 років тому

    hahahahha .hamna.hoja.kazi.kurumbana.ndiyo.maana wengine wanaongelea.habari.za.chupi.bungeni.

    • @annacarlos7925
      @annacarlos7925 7 років тому

      naibu spika hufai unazuia nn kujibu swali nandio mnaoaharibu ccm hadi inasemwa vbaya

  • @barakaellyimo230
    @barakaellyimo230 7 років тому

    kitendo cha waziri mkuu kunawa mkono na hewa mmmh hili swali lina utata sama linahitaji majibu hahahahahahahah duh tunamiss uhondo kweli

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 3 роки тому

    Mmh

  • @rahimamkamba5032
    @rahimamkamba5032 7 років тому

    huyu mama arudi kijijini akafuge kuku anaharibu bunge

  • @bmrrugu2
    @bmrrugu2 7 років тому

    Disgusting

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 6 років тому

    h

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 7 років тому

    chezea tulia ww

  • @israelibrahim5206
    @israelibrahim5206 7 років тому +5

    ufahamu ndio unatupa shida, bora nisinge elimika haya mambo yasingesumbua akiliyangu