КОМЕНТАРІ •

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 років тому +3

    Uko vzr sana mh msukuma nina uwakika utoishia ubunge tu utafika mungu alipokupangia dalili za mvua ni mawingu

  • @awadhkhamis7880
    @awadhkhamis7880 5 років тому +2

    TZ tunakoelekeaa Kuna leta tamaa tukipata w2 km Hawa kidgo wanatupa tma km mzalendo wa TZ gonga like

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 років тому +5

    safi msukuma.....lazima tuwabane wazungu fasta

  • @paulinarobert1181
    @paulinarobert1181 6 років тому

    cha msingi Tanzania mungu atajalie tufikie malengo yetu kama nchi

  • @mohamedmwamajuja7186
    @mohamedmwamajuja7186 7 років тому +6

    msukuma naamin kaz unayoifanyA naikubal hao walishakula pesa za wazungu

  • @hamiskanama1945
    @hamiskanama1945 6 років тому +6

    Nikweli kabisa hawana nia yakweli

  • @isaaclusesa2079
    @isaaclusesa2079 6 років тому +3

    Ndio kamanda wangu twende mbona watatuheleawa t2

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 років тому

    Anakipaji sana Msukuma namkubali sana wale vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri zao!

  • @anitaibrahim3795
    @anitaibrahim3795 Рік тому

    Pamoja sana msukuma

  • @oscargodfrey5049
    @oscargodfrey5049 6 років тому +4

    Msukuam vzr sana

  • @maryamdounga2290
    @maryamdounga2290 6 років тому +5

    😂😂😂msukuma noma

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 роки тому

    Msukuma utawamisi hao wapinzani walikuwa wanakukeraaaaaa

  • @AshrafAshraf-dm4xe
    @AshrafAshraf-dm4xe 6 років тому +2

    namkubali sana msukuma ..wachaneeeeee

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 років тому +3

    nakukubari myaka 10000000000000000000000

  • @charlesnyange5625
    @charlesnyange5625 Рік тому

    Mungu aibaliki katiba

  • @bakaribakarioficial3792
    @bakaribakarioficial3792 5 років тому +2

    msukuma yupo poa sana

  • @leonardkalaba1693
    @leonardkalaba1693 Рік тому

    Msukuma pamoja Sana Kaka wabie

  • @jamesakhabuhaya4747
    @jamesakhabuhaya4747 6 років тому +2

    Asante msukuma

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 роки тому

    Kati ya vitu ambavyo havinibariki ni hiyo ya utaratibu utaratibu ni kumtoa mtu kwenye reli tu!!

  • @isayaudopeudope350
    @isayaudopeudope350 Рік тому

    Msukuma ajengewee sanamu

    • @RehemaNyamatende
      @RehemaNyamatende 2 місяці тому

      Waheshimiwa.wabunge.lioneni.hili.mbumge.mkumbushe mheshiwa.wazri.wa.kilo.alituahidi.atatuchia.bwawa nzega.budushi..budusji.mbuga.kubwa.yapunga.siyo.heka.mamia.ni.maerufu mtakuwa.mmetufukuzi.njaa.na.kukosa.pesa.tunaomba.sana.msituone.kama.wemda.wszomu.kwamba.mnaongelea.kitu.kingine.sisi.tunaigiza.kitu.kingine.tumeamua.kufikisha.ujumbe.kwa.njia.hii.tunaomba.huruma.yenu.waheshiwa.sikilizeni.hoja.yetu zitaungana na.kufanyanya.vikundi.wakina.mama.na.kuletamaendeleo tutasomesha.watoto..kusudi.ni.kujikomboa.na.janga.la.ufukara.kwa.sababu.ardhi..tunayo muheshiwa.waziri.wa.kilimo.hata.mama.yetu.tunakuomba maana.ujumbe.huu.kwa neema.ya.mungu.nina.imani.utakufikia.tuaomba.serikali yako.tukufu ituanglie.wakina mama.wa.budushi.nzega.mbuga ipo nzuri.mpunga.hata.mje.muione.changmoto.mji.mkituchimbi.bwawa.mtaona juhudi.zetu

  • @jamesreonard6957
    @jamesreonard6957 6 років тому

    big up sana musukuma

  • @charlesmataba6931
    @charlesmataba6931 6 років тому

    Musukuma unaweza maana hata vyeti walivyonavyo baadhi syo sawa na uwelewa wao

  • @faidatiba8766
    @faidatiba8766 6 років тому +2

    Uko xawa Msukuma wang

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 6 років тому +2

    msukumaaaa nouma

  • @allykafungwa31
    @allykafungwa31 6 років тому

    namuelewa sana huyu Joseph Msukuma

  • @mohamedmwamajuja7186
    @mohamedmwamajuja7186 7 років тому +3

    kwel MSIGWA unatoa macho yaan we kipind cha kikwete ulisema ni raisi weak VP Leo tena ni weak?

    • @charleskazimoto6968
      @charleskazimoto6968 5 років тому

      Katika watu wajinga ni huyu Msukuma. Anataka kulinganisha akili yake na Dr Asad. Mimi nashauru Watanzania tuweke sheria wasomi peke yake ndio waingie bungeni tupate michango ya kisasa kama wenzetu Wakenya. Tunataka wabunge walio na mawazo ya kisasa sio mipasho. Watu wote wanaogombea ubunge wawe na elimu certificate na Diploma. Ziwekwe sheria kabisa kama huna vyeti usigombee ubunge. Wasomi wanapofanya kazi wanabezwa na watu kama Msukuma. Huyu mbunge amekuwa mtu wa mipasho tu.

  • @kissatuagusto2246
    @kissatuagusto2246 7 років тому +4

    ...ninachofahamu elimu is nothing,cha msingi ni utaifa kwanza,wangapi wamegraduate then they are nothing in the society???

  • @dicksondicksonstivene9295
    @dicksondicksonstivene9295 5 років тому

    Hahahahahahahaha muheshimiwa msukumaa

  • @monicajapheth8564
    @monicajapheth8564 6 років тому

    ata kama umeishia LA saba uko vizur msukuma..nakukubali

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 6 років тому

    Msukuma anajenga hoja kuliko hats wasomi yeye anafahamu tuchohitaji basi na ndiyo uongozi unaweza ukawa msomi lakini hujui kuongoza au kujenga hoja

  • @omarybakary1010
    @omarybakary1010 6 років тому

    Safi sana msukuma

  • @paulinarobert1181
    @paulinarobert1181 6 років тому

    ukweli unauma na kama there is anything behind let us make it openly maana ata maandiko yanasema " kuweni wakweli nao huo ukweli utawaweka huru"

  • @nyalalibuswelu9879
    @nyalalibuswelu9879 5 років тому

    Safiiii dar es salaam na dhahabu wapi na wapi wambieeeee

  • @lukadelik3652
    @lukadelik3652 5 років тому

    Wabunge. Tumewatuma. Mtusaidie. Watanzania lakini wingi wao hawatimizi malengo.

  • @mariamstanford7771
    @mariamstanford7771 Рік тому

    Hatari

  • @johnmagaja1929
    @johnmagaja1929 6 років тому

    huyu mbunge balaaa lakin acheni aseme ukweli kuhusu Tanzania ye2

  • @michaeljuma8512
    @michaeljuma8512 5 років тому

    Noma sana

  • @nsolachalo
    @nsolachalo 6 років тому

    msukuma yupo sawa vyeti sio ishu hata wehu wanavyeti pia.

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 років тому

    Maprofesa kibao wamesaini mikataba ya kijinga Msukuma huko vizuri sana na mzalendo na ana confidence!

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 років тому +1

    Msukuma atabaki kuwajuuu juuuuuiikileleni

  • @charlesmerengo6872
    @charlesmerengo6872 6 років тому +2

    Wambie ukweli

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 7 років тому +1

    Adui namba moja ni CCM kutuwekea wabunge vilaza hivi....

    • @furahajonas839
      @furahajonas839 7 років тому

      sikweli

    • @nyhamapagi9694
      @nyhamapagi9694 7 років тому

      Funguka akili, wew,,huna akili kmm wabunge wako. na chadema yako ovyoooo

    • @nyhamapagi9694
      @nyhamapagi9694 7 років тому

      Funguka akili, wew,,huna akili kmm wabunge wako. na chadema yako ovyoooo

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 7 років тому

      manish kule kwetu moshi huwa tunawapigia kura lkn Geita wanawaweka tu hawawapigii kura.

  • @nchodegodalinze5465
    @nchodegodalinze5465 6 років тому +1

    Kazana msukuma wataelewa tyu

  • @zuhulamajaliwa5380
    @zuhulamajaliwa5380 6 років тому

    tulichagua kwer Fanya kazi msukuma

  • @shabaniramadhan4724
    @shabaniramadhan4724 6 років тому

    Huyu mbeng namkubali San kutetea wananchi

  • @jonesmedia4120
    @jonesmedia4120 6 років тому

    msukuma huko vzr

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 6 років тому +1

    Huyu jamaa hanywi bangi uyuu??

  • @hatibumphily3385
    @hatibumphily3385 5 років тому

    naliomba bunge tukufu lijadili masoko ya mazao waulima twaumia na kipato ni duni

  • @deusngika360
    @deusngika360 6 років тому

    Hahaha Hahaha Tumechoka

  • @msina6200
    @msina6200 3 роки тому

    Kutoa macho kulia amekosea nini

  • @ezoboykihegulo6178
    @ezoboykihegulo6178 6 років тому

    msukuma PGA kazi so wengne hamnagavktu

  • @issasiraji5117
    @issasiraji5117 2 роки тому

    Issa

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 6 років тому

    shikamoo masukuma nakukubali mpka nachzika

  • @lusticendokole9385
    @lusticendokole9385 6 років тому

    Huyu mbunge wa geita ana shida

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 6 років тому

    Ila huyu Mbunge jamani duu

  • @stewardsalvatory2917
    @stewardsalvatory2917 6 років тому

    saaana msukuma

  • @adelinemizengo5783
    @adelinemizengo5783 6 років тому

    msukuma mbavu zangu Mimi hahahahaha

  • @deogratiusmenyera5836
    @deogratiusmenyera5836 4 роки тому

    Uyuuuu jamaa ni noum

  • @emmanuelimayala130
    @emmanuelimayala130 4 роки тому

    Aliingia kwenye 18 ya msukuma

  • @goodluckolesolomon5931
    @goodluckolesolomon5931 6 років тому

    huyo jamaa kasoma hadi darasa la ngapi

  • @thomasysanga6109
    @thomasysanga6109 6 років тому

    🙏🙏🙏

    • @giovannijake3056
      @giovannijake3056 2 роки тому

      i guess Im asking randomly but does someone know a tool to log back into an Instagram account??
      I was dumb forgot my login password. I love any help you can give me

  • @haguhagu1515
    @haguhagu1515 4 роки тому

    Mnazingua 2

  • @adillymbata3893
    @adillymbata3893 6 років тому

    beli nas

  • @paschalgenda4461
    @paschalgenda4461 6 років тому

    Hyo jamaa n kiaz kwel

  • @sheheiddy6009
    @sheheiddy6009 6 років тому

    Huyoo ngombe ya kisukuma anaongea utumbo ganii

  • @malalemanhyasima6905
    @malalemanhyasima6905 5 років тому

    Ingiza taratibu shemeji

  • @nunguseni2971
    @nunguseni2971 7 років тому

    Msukuma kwel la saba weee

  • @minaziparasu8748
    @minaziparasu8748 6 років тому

    Kilazakilaza tuuu

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 6 років тому

    Msukuma hana adabu

  • @jamesalex185
    @jamesalex185 6 років тому

    xhafi

  • @vwtv800
    @vwtv800 5 років тому

    Pumba tu

  • @barakasaimoni-en9xw
    @barakasaimoni-en9xw Рік тому

    Nikwel

  • @jacksonmsillu8779
    @jacksonmsillu8779 5 років тому

    bashe

  • @ibrahsamaki5544
    @ibrahsamaki5544 6 років тому

    ibrahim

  • @vincentdavid348
    @vincentdavid348 6 років тому

    la nne

  • @mirajisalehe270
    @mirajisalehe270 6 років тому

    were Tu na mtu mwenye PhD

  • @jacksonmsillu8779
    @jacksonmsillu8779 5 років тому

    mbunge bashe

  • @philipoelias8302
    @philipoelias8302 2 роки тому

    gozbertgaudenc

  • @josephmichael8089
    @josephmichael8089 5 років тому

    msukuma vp ww huna lolote

  • @erickmdegela4921
    @erickmdegela4921 6 років тому

    Binafsi Msukuma namkubari sana yaani zaidi ya sana

  • @chazyjuma7353
    @chazyjuma7353 7 років тому +3

    huyo mbunge mbona huwa simuelewi

    • @nzilamashala3570
      @nzilamashala3570 7 років тому

      Chazy Juma humuelewi nini

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 7 років тому +1

      Chazy Juma msikilize vzi utamwelewa tu. Hata mm kilaza namwelewa

    • @hamisimwandu525
      @hamisimwandu525 6 років тому

      Chazy Juma kitu gani humwelewi? Wapi hujamwelewa nukueleweshe

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 7 років тому +1

    Kasheku saluti, unanipasuaga mbavu maana huwa hutafuti maneno hahaaaa

  • @charlesnoafekwalipibayaali2662
    @charlesnoafekwalipibayaali2662 4 роки тому

    Yani ukiisikiliza clip hii kwa mtu mwenye akili timamu utakaa na uwachukie viongozi wa chadema milele. Na kama bado upo chadema ukiwa na akili unaona mbali nakutaka chama hiki basi wewe jiwe . Hebu hapa tutumie akili anayotumia kuku tu wa kienyeji kijijini kwetu kuvuka barabara na kutokugongwa na na basi la ngorika nani hapo ameongea maneno ambayo leo tunaona matokeo yake kama sio Mh Msukuma? Uongozi ni maono Uchaguzi ujao niwambie chadema kwa sababu naona viongozi wenu hawaoni mbele samahani kwa hili kweli mtakuwa na wakati mgumu sana sijui mfanyeje zaidi ya kuombea hili janga labda liwatendee miujiza fulani ambayo haipo. Mfano nimemsikia Mh anatabiri eti watanzania kufa maelfu kama nzige na corona siku zijazo asee sasa unafanya kazi ya shetani. Mzee kaa kimya muda mwingine ndio hekima kwa kiongozi .Kwenye kampeni mtakaangwa na mafuta yenu wenyewe kutoka viongozi wenu waandamiza waliotoka mliokuwa mnawatukana kwa ufala wenu bila kujuwa usemi usemao usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Nionavyo mimi Ccm kampeni zijazo hawana kazi ya kufanya Nccr Mageuzi ndio watakuwa mwiba na wabaya kwa chadema "keep my word" .

  • @emmanuelshayo9623
    @emmanuelshayo9623 6 років тому

    Msukuma huna hoja

  • @kasimbora985
    @kasimbora985 6 років тому

    X ya lulu

  • @allymasenti8748
    @allymasenti8748 6 років тому

    angelikua ni upinzani angelikua ametolewa nje

  • @daduzpopolipo3654
    @daduzpopolipo3654 6 років тому

    Msukuma kunasaa anakua vzur kunasaa anaongea pumba hiyo kwa wazungu utasikia mane no tu mmwelipwa hakunaga kitu kama hicho bana

    • @ifunyaifunyas592
      @ifunyaifunyas592 5 років тому

      Daduz Popolipo msukuma yuko vizuri sana, wape vidonge

  • @samusonibalazingiza3689
    @samusonibalazingiza3689 6 років тому

    We we pumba tu

  • @chazyjuma7353
    @chazyjuma7353 7 років тому +1

    Lissu, mnyika, lema, mdee, bulaya, Ester Matiko, heche, msigwa nawakubali

  • @jamesreonard6957
    @jamesreonard6957 6 років тому

    big up sana musukuma

  • @chazyjuma7353
    @chazyjuma7353 7 років тому +5

    kwa vilaza msukuma anaongoza

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 7 років тому +2

    yan kweli uyu darasa la 7 kweli anataka kujadili miswaada mitatu kwa siku moja kilaza msukuma