КОМЕНТАРІ •

  • @muta-news2786
    @muta-news2786 11 місяців тому +8

    Endelea kuandamana wenzio wanalala kwenye kasiri sisi km ndege.
    Hii nchi kila mtu apambane na maisha yake Ila sio kupotezeana mda.

  • @suwedinamga581
    @suwedinamga581 11 місяців тому +4

    Kama siasa ndo hii acha tufanye biashara huko kuna maisha sana

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 11 місяців тому +1

    Hongera sana

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 11 місяців тому +5

    Usidanganywe na wanasiasa kua maisha ni magumu. Pambana kivyako. Ukiambiwa kua kuna ugumu wa maisha ujue wamebanwa na mfumo sio kwamba Wana maisha kama yako

  • @leonardmartine662
    @leonardmartine662 11 місяців тому +2

    Mbowe kweli ananjaa

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 11 місяців тому +3

    Ukiwa mwanasiasa Tanzania Jua wewe utakuwa tajili mkubwa sana

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 11 місяців тому +1

    Oky kumbe mnasema tuchangie chama nyinyi mnaumuwa mijengo na kupga picha pamoja bila hata wogo mnaita na waandishi wa habari kuonyesha ruzuku zinavyo tumika

    • @aud548
      @aud548 11 місяців тому

      😂😂😂Bro hao wenzio wamezaliwa kwenye pesa ..wewe endelea kupiga mayowe mtandaoni...unadhani hiyo ni ruzuku...mawazo ya kimaskini sana asee

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 11 місяців тому

      😂😂😂😂 mtakufa masikini na kujiunga na vyama chama pekee ni kumcha mungu basi vingine kausha damu

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 8 місяців тому

    Mbowe hajatengeneza hela kupitia Siasa lazima tujifunze kusema kweli,amezaliwa amezikuta pesa kwenye familia...japo si msapoti freeman mbowe kisiasa ila panapo ukweli hebu tujitahidi kuusema kuliko kuwapakaza watu matope

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 8 місяців тому

      Sio kweli , Chama chao lini kimefanyiwa auditing???

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani 8 місяців тому

      @@ndukulusudikucho_ .umeaminishwa auditing ndio inazuia wizi? Hivi ulishawahi walau kuuza duka ndio ujue auditing kuwa ni usanii tu wa kuhalalisha wizi,auditing ni usanii tu .Kuna taasisi nyingi zinafanyiwa auditing na Bado watu wanapiga humu humo kwenye jumlisha