BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2017
  • November 9, 2017 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisimama Bungeni Dodoma kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge na moja ya maswali aliyoyajibu ni lililoulizwa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 353

  • @afyatv2220
    @afyatv2220 3 роки тому +10

    Waliorudi na kuingalia hii video 2021 kama mimi tujuane kwa likes hapa

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 3 роки тому +11

    Mbowe kweli Ni genius nakukubali brother mbowe

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 4 роки тому +6

    Usipo jua swali bora uliza warudie hili hujibu vzr swali maana njia ni barabara wewe unapita kwenye maji jibu swali la MBOWE vzr...🙏

  • @alhaji6094
    @alhaji6094 6 років тому +7

    Wazir Mkuu ameshindwa kujibu swal naona anazunguka tena pale alipoambiwa umekosea mwanzo

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 роки тому +7

    Mboowe mungu akupe miaka10000

  • @isaacnewkaboy9132
    @isaacnewkaboy9132 6 років тому +11

    Majaliwa nilikuwa nakukubali kwamba unawezo mkubwa lakini kwa majibu haya.... "ww ni kibaraka" maana inaonesha wazi huna maamzi ww kama mtendaji mkuu wa serikali.... yaaan unazunguka bado hutoi majibu yayoeleweka... shame up on u

  • @nabiipetermaganga.7715
    @nabiipetermaganga.7715 4 роки тому +4

    Majaliwa hawezi kujibu hayo maswali ya mbowe ni magumu sana majaliwa analikwepa kujibu maswali mbowe hongera kwa maswali mazur wazur mkuu hawez kuyajibu

    • @jumajumanne651
      @jumajumanne651 4 роки тому

      Peter Mapesa ccm oyeeeeeee majaliwa safiiiiiiii

  • @stephenmkulia9745
    @stephenmkulia9745 6 років тому +12

    Hata mimi nashangaa maudhui ya makofi hayo. Hakika wabunge wetu ni vilaza ajabu.

    • @muhidinihassani520
      @muhidinihassani520 5 років тому

      Hao ndio ccm oyeee kazi yao NI kupiga makofi tu, sio kujadili kwa maslai ya nchi

  • @jacobolucas5935
    @jacobolucas5935 4 роки тому +12

    Wehu nyie tushawajua serikali yenu ni ya watu wasio julikana uchunguz mpaka saiv miaka 3 mungu yupo atawalipieni kwa yale mnayo yatenda

  • @mathiaspaulina7355
    @mathiaspaulina7355 6 років тому +7

    mh . waziri mkuu kwann msiruhusu vyombo vya nje vifanye uchunguz haraka ili suala LA unyanyasaji na mateso kwa tz ikomeshwe haraka?

  • @paschalinejoginda5702
    @paschalinejoginda5702 6 років тому +5

    jibu swali bna,,,unajikanyaga mheshiwa

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 6 років тому +12

    Majaliwa hajajibu swali la Mh Mbowe ,,,amezunguka bila kusema kuwa anaruhusu international investigators au lah!!

  • @bulessatv3323
    @bulessatv3323 4 роки тому +2

    Ni kweli umuhimu Wa Uchunguzi wa kina ni Muhimu ila kama Mtu anajeruhiwa kwenye Maeneo ya Watu wakubwa yaani Mawaziri na Ni maeneo yenye Cctv camera na high securty una Vamiwa na Asijulikane hadi leo zaid ya miaka 3 kuna tatzo either Kwenye vimbo vya ulinzi Ushauli wangu Tuweni wamoja kuijenga Nchi Si kosa kwa kiongozi kukosolewa pale anapoonekana hajafanya vyema Mhe Waziri Naomba ujibu kwa Faida ya Audience ote na Tanzania Kwa Ujumla
    Tanzania yangu Nchi yangu

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому +7

    Bado mh Majaliwa anajibu kwa kuficha, sasa hapo kuna tatizo..mh Mbowe ww kuwa na subira, iko siku mambo yatanyooka tu.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 роки тому

      Eeee amen yatanyooka,kwani tunaishi miaka mingapi ??? Mpaka asubili mambo yatanyooka ??dunia tambara bovu

  • @pendomartini447
    @pendomartini447 6 років тому +7

    Pale ambapo mtakamilisha kazi hata ikiwa miaka 50 ijayo,......

  • @africanstears7755
    @africanstears7755 5 років тому +5

    cctv camera kwenye majengo jilani na nyumba ya tundulissu ziko wapi

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 роки тому

      Ndugu wapendwa leo nimefurahi sana kumsikiliza rais Magufuri.Kasema!!!! Wapelelezi ndiyo shida eanachukua mda mwingi mno kupeleleza na kutoa jibu na ndiyo maana nanukuru kasema kuna wafungwa13 elfu lakini mahabusu wanaosubili ili wajue hatima yao wako 17 elfu. Hawa wako ndani wananyea kwenye ndoo .wakiuliza jibu ni ,upelelezi bado,miaka 5 mtu yuko mahabusu kweli ??? Hii inaingia akilini jamani? Kwa hiyo swala la Tindu Lisu mpaka yesu aje !!nakwa vile yuko karibu!wacha tusubili,ila hao wapelelezi cha moto chao kinakuja

  • @rashidyishika6868
    @rashidyishika6868 4 роки тому +3

    We wazir Mkuu kumb Msanii??

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 6 років тому +7

    daaaaah wanasiasa wanajua kuzungusha maneno

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 5 років тому +2

    Mbowe nakuelewa sanaaaa , hawana majibu hao ya kukupa mkuu .

  • @jordankaaya606
    @jordankaaya606 6 років тому +7

    Duuu mbna swali la msingi halijajibika?

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 6 років тому +3

    Yaani Hao wanaopga makofi cjui wanafahamilia zilizolelewa katika MALEZI mazuri

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +1

    Hawa nilichoelewa wanahisi picha limekaribia kuisha .... Next yr wengi watakuwa wanashuhudia mjengo kupitia youtube Kama sisi raia wakawaida .....Sasa wanatafuta huruma tu , na TRUST ME Sera watakuwa hawana ktk kampeni zao ila hizi story za kutekwa na kuteswa ndio zitakuwa sera zao.

  • @abubakarimchani114
    @abubakarimchani114 6 років тому +11

    mungu atakuja kutoa jibu ck1 tu tuombe uzima2

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 6 років тому +7

    Majibu ni tofaut na swali uchunguzi mpaka lini Sasa matukio yote ya Zaman mbona hakuna hata jibu hata 1

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 4 роки тому

      Katika watu wanaharibu hii Tanzania ni hawa CCM. Wanadhanishia wamewekwa madarakani milele. Namkumbusha tu Magufuli kuwa kuna mtu alikuwa anajiita Idd Amin yuko wapi. Alijipa majina makubwa kuwa yeye ni Rais wa Maisha Uganda leo yuko wapi. Mtanzania ukiwa hai mshukuru MUNGU wako na watendee wenzako mema. Magufulib anamwambia "MNYIKA" nimekuletea Maji kwenye jimbo lako unataka DEMOKRASIA. Hivi Magufuli ndie analeta maji au kodi zetu anazochukua. Laana ya kuwavunjia wapiga kura wako nyumba na kuwaambia hautalipa fidia ni unyama na malipo yake utayaona mda sio mrefu. Mbona Karume kule Zanzibar alikuwa anawajengea watu nyumba za kuishi wewe unakimbilia mambo makubwa wakati watu wako unawavunjia nyumba bila kuwalipa. Watu uliowaua damu zao zitakulilia milele hautakwepa hilio. Umekuwa "HITLA" wa Tanzania unawazuia wenzako kufanya mikutani wewe ni kama nani Duniani. Umebatiuzwa unaitwa "YESU" haya ni majanga. Hivi unaweza jifananisha na YESU kweli wewe Dikteta. Tujengee hosipitali za rufaa hatuna haja ya kwenda India tena. Ndege zzako zikienda India waliojaa ndani ni wagonjwa wa Tanzania hakuna hata wafanya biashara. Tuambie basi Watu wako hasara tuliyopata kwenye biashara ya Kusafirisha Gesi na korosho kuja na Dar es salaam. CCM kwa nini hampendi kusema ukweli. Mumelipa Deni la ndege Dola milioni 20 bado milioni 13 mnasema mumeshinda kesi. Kwa nini mnatufanya wajinga. Mimi niwaambie tu 2020 tutaminyana sana. Wabunge wa CCM mtakula mikongoto mbaya sana. Tumechoka kuona mko Bungeni kiupiga makofi tu.

  • @saidkhantz2525
    @saidkhantz2525 6 років тому +9

    UKIWA upinzani hasa Raha Wallah.... Upinzani una wasomi, upinzani una watu wenye uwezo wa kutoa hoja zilizoshiba.... Mijitu isiyokuwa na akili utasikia ikisema " kupigwa risasi kwa lisu ni mipango ya ukawa" sasa kama ni mipango ya ukawa kama wanavyoamini wananchi wanaoipenda fisi em? Kwa nini fisi em yenu isiruhusu jeshi la uchunguzi la watu weupe lishuke hapa nchini kufanya yake????.. ina maana ukawa hiyo hiyo ndio ihusike na mipango ya kupigwa risasi lisu, na ukawa hiyo hiyo ndio itake kupatikana uchunguzi wa kimataifa?. Au na hao wa kimataifa nao ni ukawa watawatetetea?.. acheni kutufanya mazuzu bhna ccm

    • @abduljuma5284
      @abduljuma5284 6 років тому +1

      duche! kwerii nchii imepotea wazirii kumbe nikilaza kiasi hicho chakushangaza wapumbafu wanampigia makofi sasa makofii yann hapo amahakika Tanzânia tunawawakilishi wengi kuliko viongoz

    • @morismush4273
      @morismush4273 Рік тому +1

      Wazuri mkuu unatuda,nganyaa

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 6 років тому +4

    Kwann wasiruhusu vyombo vya nje kufanya upelelezi hilo ndo swali unaongea tofaut na swali!!?

  • @robertshedlack5354
    @robertshedlack5354 5 років тому +2

    woi Waziri hapo sjaona jipya aliongea, mungu ataumbua tu hao mnaosema hawajulikan

  • @zuwenasirgutty8830
    @zuwenasirgutty8830 6 років тому +2

    Specific ya hayo Makofi niyakazi gani....!!??

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 років тому +19

    Kama hamjafurahishwa Mbona kwenda kumuona mlikuwa mnakataza watu Wa chama cheni wasiende? Mnaruka ruka mnamjua mhusika na Mungu atawaumbua tu.

    • @erickcobra4054
      @erickcobra4054 6 років тому

      Happiness Mwaipopo amen

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 4 роки тому

      Kama uchaguzi utafanyika kwa haki na huru mimi kura yangu nitampa TUNDU ANTIPASI LISU. Huyu bwana yuko baribu sana na MUNGU kuliko Magufuli. Mimi nina imani machungu aliyopitia yalisimamiwqa na MUNGU. Magufuli sio chaguo la MUNGU ni chaguo la CCM na SHETANI. Mambo anayofanya Magufuli ni ya mapepo tu. Ameshawalisha baadhi ya Watanzania libwata wawe wanamsifia kuwa kafanya na kujisahau kinachojenga Tanzania ni kodi zao zikiwepo kodi za WAPINZANI. Maisha ya Magufuli baada ya kuwa Rais ni kifungo tu.

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 5 років тому +4

    Mbn hujibu swali??

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 6 років тому +3

    Maelezo mengi ya nini? Jibu swali, yani majibu yako waziri mkuu hata kama angekuwa mtoto mdogo tayari angejua anadanganywa. Na hao wanaompigia makofi waziri ni macrazy sioni la msingi kupigiwa makofi wakati maswali ya muhimu hajayajibu kiufasaha.

  • @yusuphchami2991
    @yusuphchami2991 6 років тому +12

    mh, waziri mkuu kama vyombo vyetu vinauwezo mbona hakuna majibu mpaka Sasa Mimi naona nibora turuhusu wachunguzi kutoka nje watusaidie kupata majibu sahihi

  • @starlily07
    @starlily07 6 років тому +2

    Maswali yako Mh Mbowe yamewashika pabaya, hawawezi kujibu moja kwa mojaa ni kujikanyaga tu, aibu yao but time will tell na Mungu yupo kazini.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 6 років тому +3

    Waziri ujajibu swali unazunguka mmbuyu tuuu

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 6 років тому +10

    Hayo sio majibu kwakweli khaa🤔😢🙄

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 6 років тому +10

    Kwa majibu haya kama ndio mtihani ticha natoa 0/100

    • @samwelimwinyi9327
      @samwelimwinyi9327 6 років тому +1

      FADHILI IBRAHIM-Ahahahaha- wazr kapga chenga kujbu!

    • @lucasgasper5235
      @lucasgasper5235 6 років тому +1

      FADHILI IBRAHIM Kweli kabisa

    • @amrikemwalu979
      @amrikemwalu979 6 років тому

      sio 0/100 tu mi naona ata -20/100 yaani anadaiwa kabisa

    • @michaelmpoma3579
      @michaelmpoma3579 4 роки тому

      FADHILI IBRAHIM ...watu wanazunguka danadana had unatia hasira

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 років тому +3

    Daaaah maswali kwa uchungu ,majibu sasa duuuu

  • @hocymbesere9459
    @hocymbesere9459 6 років тому +3

    asee ww jbu swali usikwepe hiv hawasomag koment hawa nyumbu

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 років тому +7

    mbona mauaji mengine hamkutaka wachunguzi watoke nje? kweli binadamu mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!;

  • @aissacktegama8972
    @aissacktegama8972 4 роки тому +1

    Tuteteeni Sisi wafanyakazi kampuni binafisi mishahara inachelewa pia hawapeleki michago yeti nssf tusaidieni wambuge wetu

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 6 років тому +7

    Mbona hajibu kwa nini hawataki Tume ya Kimataifa.? Swali Gumu hiloo.!

  • @AloisNashali
    @AloisNashali 6 років тому +3

    Huyo majariwa pumbu tu

  • @elihurumathomas686
    @elihurumathomas686 4 роки тому +1

    Binge Lina washangiliaji wengi kuliko wanaofikiria

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 років тому +1

    Uchungz mpaka lini?

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 5 років тому +2

    Yaani majibu ukiyasikiliza vizuri unapata kujua kwamba, ukweli hauja zungumzwa.

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 6 років тому +2

    Ukweli Mh mbowe polisi wanatesa sana RAIA,wakija hahuku kukamata waalifu,wanatoa vitisho na kupoga watu ovyo

    • @gregoryntandu4718
      @gregoryntandu4718 4 роки тому

      Sia Mollel ukiwa salama ww huta
      Jua kama wezako wako hatarini

  • @abellusana935
    @abellusana935 4 роки тому +2

    Waziri wetu unajua sana kujieleza asante chapa kazi

  • @abedychaula1721
    @abedychaula1721 4 роки тому

    Msikae na kujitizama nyinyi tu watu wangapi wanao shambuli na kupoteza maisha ndani ya hii nchi,tatizo ni ubinafi mlio nao.

  • @esteribrahim7127
    @esteribrahim7127 5 років тому +2

    Si mruhusu uchunguzi

  • @Nestory_mvwata.
    @Nestory_mvwata. 5 місяців тому

    Umetisha sana mzee

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +1

    Mbunge wako au wa Masasi??

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 роки тому +2

    Wabunge wa ccm bhn wanapiga makofi ya nn au wanataka watu waendelee kuuliwa

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 Рік тому

    Towa majibu au jibu swali pamoja nakulibia atujalizika na hayo majibu

  • @chiefmachibya3894
    @chiefmachibya3894 6 років тому +3

    Wanaopiga makofi ni mbwa tu

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 6 років тому +5

    specific questions=specific answers

    • @kazok892
      @kazok892 4 роки тому

      Hili jamaa ana title ya uwaziri mkuu lkn ni ceremonial tu...hana power & authority...lile pimbi Bashite lina nguvu kumzidi...bogus people!

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 3 роки тому

    Maswali ya Mbowe Ni sahihi na majibu aliyopewa nayo sahihi kah!!
    Ni noma

  • @laulianmeneja2079
    @laulianmeneja2079 4 роки тому +1

    Mbona hamtaki uchunguzi wa nje

  • @niazonbukoke1964
    @niazonbukoke1964 10 місяців тому +1

    Majaliwa ni kilaza kwa Mbowe

  • @mcfrank1423
    @mcfrank1423 6 років тому +1

    maja bwana ndo jibu hilo?

  • @paulojosephy6338
    @paulojosephy6338 6 років тому +3

    waziri mkuu kaulizwa swali kalikwepa

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 18 днів тому

    Duu uchunguzi huo uliishia wapi ,ulipata nini sasa ,au Bado wanaendelea kuchunguza ?hapa ndipo viongozi wa Tanzania wanaponikera ,na hata kuwachukia na kuona chadema na wapinzani wengine wapo sahihi

  • @george27103
    @george27103 6 років тому +3

    ushabiki mwingine ni wa kushangaza maana watu wanapiga tu makofi kwa mihemuko bila ata ya kusikiliza ni nini kinajibiwa.very sad.

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 4 роки тому +2

    Sasa ni hofu gani kama watakubali vyombo huru vya nje kuja kufanya uchunguzi ?

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 3 роки тому

    Miccm washenzi wanaua wafrica wenzao kisa niubinafsi uchoyo!!hivi mnaakili nyee miccm mtachelewa kusongambele maana mnaandama wenyevipaji vyakutukwamuwa!!!!

  • @user-nu3ne8ul5d
    @user-nu3ne8ul5d 3 місяці тому

    Ongera sana mbowe

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 роки тому

    Majibu huna ila siasa inamkondo wake , mbona hakuna uchunguzi . Vinarndelea siku diku zinapita kwenye viwanja vya bunge kamera ziliondoshwa na hata hiyo hakuna taarifa . Waziri mkuu unadanganya umma. Kumbuka waziri mkuu unajimwagia mafuta n Mungu atakuhukumu Kama unajarijukuuficha ukweli.

  • @kichuyawatanga5452
    @kichuyawatanga5452 4 роки тому +1

    Naomba kuuliza waliompiga risasi moringe sokoine ,nao wakamatwe ,mpaka Leo cjui waliompiga risasi wazir wetu

  • @esteribrahim7127
    @esteribrahim7127 5 років тому +3

    waziri MKUU wapi huyu anaongea pumba 2

  • @joshuahassan1605
    @joshuahassan1605 Рік тому

    Hivi report ya hayo aliyoyataja prime minister ilishatolewa??

  • @stewardnkinda9552
    @stewardnkinda9552 Рік тому

    Mbona Hadi Sasa hatuja pata majibu Toka kwenye vyombo vya Dola serikali hii Ina shida sana, kwann asiluhusu vyombo vya umoja wa mataif a vije vitedo hivi havivumilik

  • @calvinjackson2087
    @calvinjackson2087 Рік тому

    Waziri mbona hujibu maswali unapigiwa makofi yasiyo ya msingi

  • @johnsonbagambi835
    @johnsonbagambi835 3 роки тому +1

    Mbowe ni kichwa

  • @SUPREMEDIGITAL
    @SUPREMEDIGITAL 6 років тому

    Majibu ya Waziri Mkuu yameniacha Njia Panda Hakika,Mlengo mkubwa ni kutetea Watanzania Kwa Ujumla kutokana na Mauaji yanayoendelea Katika Nchi.Nadhani Serikali itoe nafasi iyo

  • @timizanafrikamedia5464
    @timizanafrikamedia5464 6 років тому

    Mmmh hakuna kitu hapo,
    Hata kujibu ni magumashi tu

  • @richardmakao7488
    @richardmakao7488 6 років тому +1

    hawawezi kuruhusu wachunguzi huru kwasababu wao ndo wanahusika

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 6 років тому +2

    Mh mkuranga kulee Kibit wamekufa wengi lkn hamukusimama kuomba serikal ilete wachunguz kutoka nje?

    • @abduljuma5284
      @abduljuma5284 6 років тому

      kwakweliii hii nchii nihamnazo kweli sasa waziriii kajibu nn hapo mbona haelewek

    • @janendomba9461
      @janendomba9461 4 роки тому

      lini uchunguzi utakamilika jamani mungu anawaona au mfute vyama pinzani

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 4 роки тому

    Isaya 42:22-23
    [22]Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.
    [23]Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?

  • @eugenemtaza201
    @eugenemtaza201 6 років тому +1

    Uwezo wa kutisha wananchi ndo wana weza. Acheni longo longo izi.

  • @eliajimmy5128
    @eliajimmy5128 6 років тому +4

    hapo nimeona serikali ndio wanaotuuawa kwa nini mnakataa wachunguzi wakimataifa

    • @amosseme8575
      @amosseme8575 6 років тому

      Unawaamin sana wachunguz wa nje ety

    • @eliajimmy5128
      @eliajimmy5128 6 років тому

      Amos Seme umeambiwa swala la bot mliita wachunguzi kutoka Scotland kwa nini mashambulizi haya mnayachukulia POA?

  • @seiphabdallah2122
    @seiphabdallah2122 4 роки тому

    Sasa kwa nini hawaruhusu uchunguzi wa kimataifa

  • @pilotngulamba388
    @pilotngulamba388 Рік тому

    mzazi umemjibu vizuri uyo kiongozi asie kuwa mkweli kwa chama chake chadema

  • @mathewtarimo9614
    @mathewtarimo9614 4 роки тому

    Kwa nn kafutiwa ubunge?

  • @amanilucy
    @amanilucy 6 років тому

    kipindi cha mauwaji kubiti kilambunge jaribu kusema swalahilo aliitwa muhusika na serekali haikuwa tayari swala hill lisemwe,,,, kumbuka kipind lema na mnyika walipo elezea hill swala wakaletewa shida

  • @hamadimaulidi9485
    @hamadimaulidi9485 Рік тому

    Mm kama mm waziri ujatoa jibu hapo umezinguwa

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 років тому +1

    yaani kuna watu hapa hupenda ukikomenti hapa basi usapoti mawazo yao tu kama analaumu serikari basi na wewe ulaumu akitukana nawe utukane hapo hujisikia furaha na amani lakini ukiwa kinyume na mawazo na baadhi ya watu hao wanaanza kukutukana nadhani wanadhani matusi ndiyo yatawasaidia

  • @bonifacechengula1860
    @bonifacechengula1860 Рік тому

    Alikwepa swali la taasisi za kimataifa kuhusishwa kwenye uchumguzi. Kwanini? Serikali yake ndio illihusika

  • @ibrahimrikanga1607
    @ibrahimrikanga1607 4 роки тому +1

    Je ww waziri mkuu utatundagaya na nn wakati tuna macho

  • @kisa6022
    @kisa6022 Рік тому

    Dunia itaisha hakutapatikana ukweli wala ufumbuzi kwa hayo

  • @pilotngulamba388
    @pilotngulamba388 Рік тому

    kweni ao wa kibiti sio watanzania nanyi mnaoshabikia kuwa hajajibu vizuri kibiti nao wamepigwa lisasi na ni watanzania pia hacheni kuongeleo ujinga kweni lisu nani na hao walio uwawa na ni nani?

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 6 років тому

    Immanuel itakuwa imekuuma sana au we ndo ulie husika kwa tundu lisu ndo mana huna kitu .police mpk MTU anapona upelelez hujakamilika tu ata ule wakutudanganya tu

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 6 років тому +1

    Allah akbar

  • @ramadhanisaidy185
    @ramadhanisaidy185 4 роки тому +2

    Sijawaelewa wapinzan

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 років тому +9

    Maelezo ya nini mengi ruhusuni vyombo vya nje muone kama mtapona. Hamna lolote serikali uchunguzi gani mmefanya mfyuuuu

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 6 років тому +1

      Happiness Mwaipopo uko vizuri sana ccta nimekupenda bure

    • @simonsixbert2660
      @simonsixbert2660 6 років тому

      Happiness Mwaipopo albadir vipi? hamkusoma

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 років тому +1

      Simon Sixbert kumuulize shehe, umeona wapi ninajuzuu mimi😏

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 роки тому

      Mtu binafsi au taasisi zinaweza kufanya uchunguzi wenyewe kama vile CHADEMA ilivyokodi taasisi ya kuwaambia vipi watashinda Uchaguzi na ndio wakamkodi Mh. Lowasa ambapo matokeo ya utafiti yalionesha CCM itashinda kwa 45% UKAWA 40% na Mhe. Lowasa alikuwa akitembea na 15% za likebility ya kupendwa hivyo hata angegombea kama mgombea binafsi angepata 15% ya kura ndio UKAWA wakamkodi. Nashauri na kwa hili wawalete wachunguzi kwa siri na baadae taarifa iwekwe wazi, tupo pia tunaodhani mhalifu katokea CHADEMA kwa nini dereva hataki kuja, aliko anafadhiliwa na nani?

  • @jakobodeus9522
    @jakobodeus9522 3 роки тому

    Serikali ya matusho ya bunduki mna bunduki sana tanZania

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 років тому +1

    Mbowr unatakiwa uulize maswali magumu zaidi ya hapo ,hata kuhusu lissu tu, uone wanavyojikanyaga!

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 6 років тому +2

    Mbowe unaakil sana baba, huyu waziri sijui n@n hana lolote, N4$3/|\4J3 \|/AZ1æ1 ANAONGEA PUMB4 TU HAKUNA KITU CHOCHOTE UNAFKI ACHA WW, NA NYIE MNAOPIGA MAKOFI NI MBURURA KABISA HAMNA AKIL WOOTE

  • @daviekasinda6918
    @daviekasinda6918 6 років тому +8

    makofi ya nn? hlfu anazunguka zunguka hajajibu swal?

  • @errymwazembe2847
    @errymwazembe2847 6 років тому +1

    mheshiwa mbona majibu hayana mshiko wala hayana ukweli wowote niungo mweupe kabisa

  • @oywadavid9758
    @oywadavid9758 6 років тому

    kazi ipo

  • @saidsalum8321
    @saidsalum8321 6 років тому +2

    Porojo zimekuwa nying Jib no