UNAPO OTA NDOTO HIZI 5 HAKIKISHA UNAMSHUKURU MUNGU NA KUFANYA HAYA HARAKA ILI UTENDEWE KIRAHISI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • UNAPO OTA NDOTO HIZI 5 HAKIKISHA UNAMSHUKURU MUNGU NA KUFANYA HAYA HARAKA ILI UTENDEWE KIRAHISI

КОМЕНТАРІ • 32

  • @EvaEzekiel-o7z
    @EvaEzekiel-o7z 24 дні тому +1

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu mi niliota ua chini la kijani na juu ni jekundi likinifata na mwanaume ananivisha pete na pia nimepanda ndege nasafiri ila tupo wengi gafla ndege iliaonguka akatokea chui mnyama akawa ananiogopa hii inamaana gani nisaidie

  • @irineDancan
    @irineDancan Місяць тому

    Amen and amen

  • @pastoracanmpapala
    @pastoracanmpapala 5 місяців тому +1

    Zote hizo ninazo, mwotaji wa ndoto na zinatokea 90% pia naona YAJAYO , ninamzigo wa kuwa ombea watu, naweza jua anachowaza mtu, naweza hisi kitu na sikuwepo na inakuwa hivyo, naweza mwambia mtu usiende huko hutafanikiwa na inakuwa hivyo, huwa siwezi omba bila neno la Mungu na mst ya kusimamia, watu wananiambia ni nabii, pia nilishaota watu wananiita nabii, pia nilishaota Kuna ukuta umeniziba but naona yote yanayotendeka nyuma ya ukuta, pia hitamka Mambo kwa mamraka sana mpaka watu husema mbona anasema kwa mamraka sana, ninafunga vitu na vinafungika, pia ninanguvu ya Mungu ndani yangu na Roho mtakatifu ninanena kwa Rugha sana na kuomba naamini hata kufufua watu

  • @JudieJotshuah-vx4rj
    @JudieJotshuah-vx4rj 10 місяців тому

    Bwana yesu asifiwe,,, Je Mimi mtumishi nilipata funguo ambayo kunguru aliangusha Mimi nikakimbilia nikaokota lakini sikujua ni ya Nani nikaiweka sehemu ili mwenyewe aje achukue

  • @sedekiabilijite5516
    @sedekiabilijite5516 11 місяців тому +3

    Asante kwa msaada wa ndoto hapa inabidi niandike kabisaaaa vyote

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 6 місяців тому +1

    Amina 🙏 🙏

  • @user-dz4he8su4e
    @user-dz4he8su4e 4 місяці тому

    Aminaa Aminaa ubarikiwe Mtumishi wa Mungu 🙏🏿🙏🏿

  • @pendoprosper4090
    @pendoprosper4090 11 місяців тому +1

    Bwana yesu asife mtumishi mm niliota natoa sadaka iliyopokelewa kwa furaha kanisani nini maana yake

  • @BeatriceIluta
    @BeatriceIluta 6 місяців тому

    Ubarikiwe.

  • @ConsolathaTesha-x8o
    @ConsolathaTesha-x8o 6 днів тому

    Me mtumish nmeota nmeona ufunguo ndan ya tumbo la mtu maana yak nn

  • @genevievesunday
    @genevievesunday 10 місяців тому

    Niliwahi kuota ndoto, mti uliokuwa na nyoka mkubwa, lkn nilipanda juu ya mti huo bila kujua kama Kuna nyoka ,lkn nilipofika juu ya huo mti , nilikutana na nyoka ana Kwa ana jambo la kushangaza nikasikia sauti Kwa haraka angalia kulia kwako nikatazama nikaona upanga umekita kwenye mti nikauchukuwa ule upanga nikamkata kichwa akadondoka chini watu waliokuwa mahali pale walishangaa Kwa sababu nyoka yule alikuwa ni hatari ktk eneo lile na hata nilipokuwa ninapanda kwenye mti ule wakazi wa mahali pale walinihurumia. Lkn nilishuka pale Kwa ushindi nikastuka usingizini nini maana yake mchungaji.

  • @elizabethkambi5221
    @elizabethkambi5221 11 місяців тому +1

    Amen mtumishi. Je ukiota maua. Maana yake Ni Nini

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 3 місяці тому

    Nilisikia sauti ya kishindo kama mlipuko kwenye ndoto na sijui inamaana gani?

  • @user-ks5ih5lu5s
    @user-ks5ih5lu5s 9 місяців тому

    Pastor bwana yesu asifiwe me niliota ufunguo na kifuli lakini nilisahau kwenye nilieka inamaanisha nn

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387 11 місяців тому +1

    Na ukiota mahali ulipo kumepandwa viazi vitamu inamaanisha Nini tafadhali

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 місяців тому

      ISHARA ya a kustawi na mavuno

    • @hildabaruti7244
      @hildabaruti7244 6 місяців тому

      @@shiningstarheavenlyembassyMungu anatuonyrsha kwa njia ya ndoto Ila hatujui ..asante sana

  • @EdithaMyenzi
    @EdithaMyenzi 11 місяців тому +1

    MTUMISHI WA MUNGU BWANA YESU KRISTO ASIFIWE naomba maana ya ndoto hii niliona mimi ni simba na simba wengine walikua hapo karibu yangu wakawa simba wengine wakawa wanaunguluma wakiniungulumia kwa nia ya kunigeuka lakini nilipo waungulumia mimi wote wakanyamaza kimya wakakaa chini kwa hofu . Naomba maana yake Mtumishi

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 місяців тому +1

      MUNGU amekupa kipawa Cha KUSHINDA MAADUI KIRAHISI

    • @user-zh8pr8wv8i
      @user-zh8pr8wv8i 9 місяців тому +1

      shaloho shaloho emen ukiota mutu anakupea sigara nikavuta nusu nikazima iyonini emen

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  9 місяців тому +1

      @@user-zh8pr8wv8i ROHO CHAFU anakuwekea ya HASARA, uasi Kwa MUNGU, ulevi , uvutaji kataa

  • @kasashimujinga3814
    @kasashimujinga3814 9 місяців тому

    Shalom shalom niliota mti ulitoa matungulu mengi Chino ina Manisha Nini?

  • @tayg6001
    @tayg6001 11 місяців тому

    Pastor naota sometimes nalishwa maiti, inamaanisha nn plz

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 6 місяців тому

    Na ukiota unaosha mtu miguu???

  • @user-jd9nr4tk3f
    @user-jd9nr4tk3f 11 місяців тому

    Mtumishi,nikiota mwanaume niliachana na yeye inamaanisha nn?

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387 11 місяців тому +2

    Amen