Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Bwana yesu asifiwe mtumishi izo ndoto kwenye maisha yangu zilikuwepo sana tangu utotoni
Amen and amen Mungu akubariki mutumishi wa Mungu
Ahsante Sana mtumishi
Asante sana mtumishi wa Mungu
Amen 🙏
Mungu nisaidie kalibu zote
Ndoto karibu zote hapo zinanitokea mungu nisaidie nisinitokee 🙏
Amen.
Amen 🙏🙏
Ahsanteni
Amen
Ndoto ya kufanya mapenzi inajirudia sana kwa maisha yangu 😢😢😭😭
Safisha MAISHA Yako na ku.penda YESU KRISTO sana
Mungu wangu nizaidie sababu zote naziota😮😮😮
Mpende YESU KRISTO sana na KUYAACHA MABAYA na DHAMBI
Ndoto za kupotea naza kijijini naza kula zina zoweya nitokea mungu nisaidie
USIACHE KUZITANGUA Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏
Na Mimi ndoto izo zinakuja sana kwangu nisaidiye Kwa maombi jina langue Riziki
Bwana Yesu asifiwe mtumishi nataka uliza kuota watu waliokufa mda wakupelekwa mazisini wanaamka inamaanisha nini? 🙏🙏
ROHO ya MAUTI, ACHA DHAMBI mkiri KRISTO
Mimi niliota nina mimba lasweek baadae nikapata mtoto nayoyesha ina maana gani
🤦 leo nimeota nakula ugali sembe mweupe sana na mchicha
Niliota nakula qndqzi linasisimizi nikakung,uta wote nikala nini maana mtumishi
Mm ninaitwa dainesi kilasiku naota mme wangu ambae tulisha tengana ananiomba msamaha kuwa turudiane Ina maanisaha nn?
Yesu nitoe kwenye hiz ndoto
Mtumishi mimi naota niko kwa mganga wa kienyeji napewa dawa, au wanawake wananipa dawa, inajirudia mara kwa mara.nisaidie kujua maana yake.
ISHARA ya kuunganishwa na NGUVU za giza, kulongwa na kupoteza ROHO WA MUNGU
Niko kwa hizo ndoto kila siku ndo Mana maisha imenibana vibaya😭😭😭