NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 242

  • @furahaabdallah1377
    @furahaabdallah1377 2 роки тому

    Asante mtumishi, MUNGU akubariki mtumishi naomba Masada wa maombi sababu naota kila Mara niko kwenye mtiani na siumalizi ndoto hii inajirudia tafadhali nisaidie.kwa maombi.

  • @joshuaonefive6820
    @joshuaonefive6820 3 роки тому +9

    Amen baba yangu, Mungu akuongeze utukufu hata utukufu, Roho wa Mungu yuko ndani yako hakika.

  • @janemugwiria9846
    @janemugwiria9846 Рік тому +1

    Thank you pastor.pray for me I had such a dream at night.i was in my village where I used to be many yrs ago.

  • @annmungai5191
    @annmungai5191 2 роки тому +3

    Amen that pastor is talking the truth do not judge him he is truly a man ofGod

    • @maurinekelly252
      @maurinekelly252 Рік тому

      Niombee pastor mm kila siku nipo shuleni tena mazingira ya nyumbani kule huku nishaolewa

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 роки тому

    Bwana YESU CHRISTO asifiwe mtumishi wa Mungu, mimi naishi marecani , kwakweli izo ndoto mimi naziota sana nikiwa afrcan pia nikiwa darasani Mungu nisaidiye

  • @annafrancis2629
    @annafrancis2629 2 роки тому +5

    Asante babaa niombee mm mara nyingi naota Niko darasan kufanya mtihan mara kwa mara sana mungu anisaidie

  • @shukururukaga8334
    @shukururukaga8334 2 роки тому

    Amen MTU wa mungu mungu hazidi kukutumia said Na zaid

  • @djumazuena52
    @djumazuena52 2 роки тому

    Mungu ndoto m mbaya uzifute kwajina lakopeke yako. Mungu AMEN AMEN AMEN

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому

    Miungu akubaliki pastor hizi ndoto mbili nimekuwa nikiota nipo nafanya mithihani simalizi na nipo kijijini sikuelewa tuombee mtumishi wa mungu

  • @Loveness-i5v-f6z
    @Loveness-i5v-f6z 9 місяців тому

    Niliota na ng'ombe wengi sana kijijini chetu na waliogopesha sana..walikua brown in color yamaanisha nini??

  • @godwinnyambulapi6816
    @godwinnyambulapi6816 2 роки тому +3

    Mafundisho ya mashetani ndo HYa. Hakuna Roho mtakatifu hapo. Hubiri Kristo na Sio ndoto. Ww unayeota ndoto badili mfumo wako wa maisha na mawazo hata chakula tu. Hakuna maadui. Adui yetu ni mmoja tu shetani ambaye ukitoka ushamshinda.

  • @mebalkamonya4287
    @mebalkamonya4287 10 місяців тому

    Mimi nimeota maiti 4 wakiwa wamelazwa ndani ya jeneza zikiwa ndani ya magari maa nne aina ya Nissan maanake?

  • @neemacharles4144
    @neemacharles4144 Рік тому

    Ameen mtumishi ndoto hizi Huwa naziota sana nahitaji msaada

  • @shiplegcm4948
    @shiplegcm4948 2 роки тому

    Niliota ndoto hiz last year jumba mbovu then niko shule lower class Mungu nakataa ndoto hiz kwa damu ya Yesu christo

  • @esthernafula9995
    @esthernafula9995 2 роки тому

    Bwana asifiwe mchungaji, nahitaji maombi , hizo ndoto zote umeongelea huwa sinanikujia mara kwa mara nashindwa kuelewa shida ni nini, nashukuru sana kunifanya nielewe maana yake, barikiwa sana mchungaji.

  • @maureenwanyama9730
    @maureenwanyama9730 2 роки тому +2

    Amen pastor me huota ile ndoto ya pili na ya tatu nafanya mtihani tena najikuta natembea kijijini

  • @felistabosta6080
    @felistabosta6080 2 роки тому

    Amina. Mungu akulinde daima

  • @NancyJohn-rp4uz
    @NancyJohn-rp4uz 3 місяці тому

    Amina mtumishi mungu awatie nguvu mtumishi

  • @richardhaonga8138
    @richardhaonga8138 2 роки тому

    Asante mtumishi kwa somo zuri

  • @annamasebo2061
    @annamasebo2061 2 роки тому

    Mm huwa naota Sana ndoto no 3 eeeh mungu niepushe na hili

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 роки тому

    Aminaaa mtumishi.ni kweli kabisa

  • @lizymuthonimuthoni7367
    @lizymuthonimuthoni7367 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe,mm hivi jana nimeota nimerejea kutoka Saudi manake mm nko huku na sikuona nikigia kwetu nyumbani bali niligia kwenye kusanyiko la watu wa mungu kama ulikuwa mkutana na wale wote walio kuwa hapo ni wakanisa nililo lelewa kiroho na wote walikuwa gala mvua ikaaza kunyesha ikatulazimu tuigie ndani nilipo igia,wadada nawajua walikuwa wakinisalimu kwa mshagao na furaha huku mwaki nidakua eti mtoto wa fulani amerejea kutoka majuu ghafula nika gutuka

  • @MilikaYohan
    @MilikaYohan 4 місяці тому

    Mungu akupe maisha maref nabii uzdi kutufumbua macho

  • @RabiusRaphael-b7y
    @RabiusRaphael-b7y Місяць тому

    Mungu akubariki

  • @FRADOSFAMILLY-mf6ch
    @FRADOSFAMILLY-mf6ch 5 місяців тому

    Amen baba ubariwee

  • @emmysimon3706
    @emmysimon3706 2 роки тому

    Amina na mm naota sana nkiwa kijijin nyumban

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 Місяць тому

    Amina umbarikiwe

  • @stanleykathurima8062
    @stanleykathurima8062 2 роки тому +8

    Wewe ni mwongo sana sana sana unatumika na hayo maroho ya uongo kusubua waomini ambao hawajakomaa na kuwaibia pesa eti watoe ili iwe hivi na vile kazi imekuwa ni kubabaisha watu wa mungu kills uchao naomba atakaye kusukia asichukulie kitu ni udaku wa shetani mtu uota na pale ameleliwa mungu hana mabaya juu ya watu wake. Ni shetani tuu ndiye anayo hayo unasema ndiye unatikia mungu akuokoe kabisa

    • @jacklinedanieli5684
      @jacklinedanieli5684 2 роки тому

      Nimeota kipindi kilefu mimi. Mpk now nasubili hayo majibu. Naomba tu yasitokee

    • @EmanuelChazi
      @EmanuelChazi 4 місяці тому

      Usimhukumu anachokisema kiko sahh

    • @neemaKyabona
      @neemaKyabona Місяць тому

      Haya mambo ni kweli km hujaguswa lazima utasema Mungu hayupo ila akikuvusha ukawa una ushuuda nae hakika hutojutia maisha utakiri kumbe Mungu ni bwana karibu ukombozi uoneshwe mambo makubwa usio yajua.Na sikuzote binadamu Wana maneno ila Mungu analo neno Moja tu km simba wa yuda anapounguruma watu upona.

  • @BeIvanny
    @BeIvanny 5 місяців тому

    Nisaidie baba Mimi kijana maisha yangu yamekuwa ni yakuwa na mawazo abaya kwenye hakili yangu

  • @joycelivingstone7426
    @joycelivingstone7426 2 роки тому

    Ni kweli mtumishi DAMU YA YESU ITULINDE KILA WAKATI SAA DAKIKA KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI

  • @elizabethwambui2766
    @elizabethwambui2766 2 роки тому +5

    Hello pastor I had the fast two dreams for sometime now the problem is the pastor of this days want money when praying for you

    • @NairobiHotGossip07
      @NairobiHotGossip07 2 роки тому

      MIMI ya kufanya mtihani ndio huwa naota sana, any pastor who can help us?

  • @MukamusoniHawa-cj2yc
    @MukamusoniHawa-cj2yc 24 дні тому

    I am a muslim lakini unasema ukweli✌️✌️✌️

  • @kasondesampa7187
    @kasondesampa7187 2 роки тому +1

    Kweli mtumishi mm Mara nyingi naota nipo Kijiji kwetu nilikuwa cjajua maana yake nashukuru mtumishi was mungu fro zambi

  • @BarakaMwita-z7q
    @BarakaMwita-z7q Місяць тому

    Mimi iyo ndoto ya kurud kijijin naoyota sana naomba uniombee mtumishi wa mungu

  • @MagangaMasunga
    @MagangaMasunga 5 днів тому

    Ameen baba

  • @sekundaasenga2102
    @sekundaasenga2102 2 роки тому +1

    Mungu awabariki kwa utumihi wenu

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 роки тому +2

    Ameen mtume mimi.nilikuwa naota sana nipo kwenye nyumba mzuri na kijana wakizungu sijui maana yake nini mtume

  • @gidionsimon8875
    @gidionsimon8875 3 місяці тому

    Amen mtumishi

  • @tompatrick146
    @tompatrick146 8 місяців тому

    NAOMBA mkaanzishe FACE BOOK Chanell.. kama mano nijulshe , shukran.

  • @esternikata5948
    @esternikata5948 2 роки тому

    Jamani asante ni kweli kabisa hizo ndoto zote niliota nanikasambalatika kiuchumi gafla

  • @lydiakimani5087
    @lydiakimani5087 2 роки тому +1

    I've had those 3 dreams, little did l know they were not good.

  • @OffisetClassic
    @OffisetClassic 29 днів тому

    Amen

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 2 роки тому +5

    Ndoto ambayo na pinganayo nia kuota upo kijijini eti nimbaya kwaio ukiota upo town ndo uta fanikiwa

    • @ZilipaDickson-u4w
      @ZilipaDickson-u4w 4 місяці тому

      😂😂😂

    • @cleveraron446
      @cleveraron446 19 днів тому

      Hujiulizi kwann uote uko kijijini? Umekosa ndoto za kuota... fikiria zaidi!.😊

  • @RoseKifumo
    @RoseKifumo 16 днів тому

    Ni kweli kbs

  • @SamwelMarcus
    @SamwelMarcus 3 місяці тому

    Amin .ndoto hizo zimenigusa sana naomba msaada

  • @sarahandrea3110
    @sarahandrea3110 3 роки тому +3

    Ameni,mungu Akupe nguvu,uzidikutufunuliaAmeni

  • @glodynkondo9800
    @glodynkondo9800 2 роки тому

    Amen mimi 3 times nalota tuko na mke wangu tuna furayi

  • @Chep-oj7og
    @Chep-oj7og 3 місяці тому

    Very true kabisa

  • @clarispendo8556
    @clarispendo8556 2 роки тому

    Pastor mm hizi ndoto zote zenye umezitaja huwa naziota kabisaa

  • @SaraAa-m9r
    @SaraAa-m9r 4 місяці тому

    Amen 🙏

  • @lucyrichard5117
    @lucyrichard5117 2 роки тому

    Aminaaa

  • @petronialushona174
    @petronialushona174 2 роки тому

    Ubarikiwe

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 2 роки тому +3

    Hiyo ndoto ya mtihani imekua ikiniandama Sana lkn hujasema nin tafsili yake

  • @judithcheptonui9764
    @judithcheptonui9764 2 роки тому +3

    So why can you do after dreaming

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ni kweli ata mimi ya mitihan nilikuwa naiotaga na nikajuwa ni mbaya ndio matatizo yanaanzaga kwenye ulimwengu wa roho

  • @priscapaul339
    @priscapaul339 2 роки тому

    Mungu.nisaidie

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 2 роки тому +2

    Amen baba, ubarikiwe

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini2044 7 місяців тому

    Amen.

  • @kombayona8949
    @kombayona8949 2 роки тому

    Amina mtumishi

  • @Haikakimaro
    @Haikakimaro 2 роки тому

    Amina mtumishi sioni namba

  • @jacklinedanieli5684
    @jacklinedanieli5684 2 роки тому

    Mi nimeota mala kibao jamani uwhiiiii. Zote hizo Sijui nipo shule mungu wangu mala kijijin

  • @asiamushi1898
    @asiamushi1898 2 роки тому

    Amina pastor mimi ndoto zote naziota jamani

  • @DogooHhayuma
    @DogooHhayuma 6 місяців тому

    Niombee mtumishi pia ubarikiwe

  • @carolinekhatievi7040
    @carolinekhatievi7040 2 роки тому

    Kila mala mi huota nimerudi shuule na pia nimeumwa na nyoka na nguruwe,hii Ina maama Gani?

  • @ancillawanga9002
    @ancillawanga9002 2 роки тому +1

    Mimi huota nimerudi shule yenye nilikuwa nasomea sekondari ....ama nakutana na marafiki wakitambo please pray for me towards that

  • @albertfabrigas5383
    @albertfabrigas5383 3 роки тому +3

    Ameen!! Tunafunguliwa kupitia Ufunuo huo wa Ndoto

  • @monicaisayah5374
    @monicaisayah5374 2 роки тому

    Naomba namba yako mtumishi me pia mhanga wa kuota ndoto mbaya

  • @florashirima1224
    @florashirima1224 Рік тому

    Nikweli past hizindoto huwasina nisumbua San sinarudiarudia san

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 3 роки тому +2

    Baba minaziota sana karibu zote asante baba kwa mafundisho mazuri.

  • @wamalwajoyce6608
    @wamalwajoyce6608 2 роки тому

    Na Kuota ukifanya wedding

  • @citybirdproduction7828
    @citybirdproduction7828 2 роки тому

    Every dream has a meaning..hii ya kufanya mtihani ama kuota umerudi shule very dangerous.

  • @ChegeboyAssey
    @ChegeboyAssey 5 місяців тому

    Mchungaji bwana yesu asifiwe

  • @danielnyongesa6994
    @danielnyongesa6994 2 роки тому +2

    Pastor mm huwa naota nikiwa shuleni ilhali nilitoka shule 2007, please pastor niombe sana.Naitwa Daniel kutoka mwiki.

  • @happyzablon3106
    @happyzablon3106 2 роки тому +1

    Hiyo ya tatu ishawahi ntokea naona Kama wenzangu wamemaliza kufanya mtihan lkn wenzangu wanaona mtihan mwepesi nashindwa kuandika muda nap hauishii

  • @musnamohamed4199
    @musnamohamed4199 7 місяців тому

    Namba ziko wapi

  • @sophynyabosh4386
    @sophynyabosh4386 2 роки тому

    Mm kila siku nikilala hua naota tulipolelewa na mume wangu tuliachana

  • @امينه-ط9ذ
    @امينه-ط9ذ 2 роки тому

    Naomba tafadhali nieleze kuhusu Naoto ya kufanya mtihani yaani mimi huwa naota tu kila siku nafanya mtihani ngumu sana na shindwa kumaliza

  • @masanjaemannuel1948
    @masanjaemannuel1948 2 роки тому

    Amin pamoja sana

  • @janerosejuma5840
    @janerosejuma5840 2 роки тому

    Kuna hii ndoto nashinda kuota,
    Nimelala kwa nyumba yenye side moja haina ukuta na mvua inanyesha ndani na tunanyeshewa na watoto . Jamani pastor niombee.

  • @sakinam3658
    @sakinam3658 3 роки тому +1

    Mimi nilikuwa Nikiota sana nikiwa kijijini na Pia ndoto nikiwa Shuleni nikifanya mtihan na simalizi

  • @azizahassan5919
    @azizahassan5919 2 роки тому

    Mimi ninaota sana nipo shulechungaji yaani sijui ni kwann na inajirudia sana

  • @luhyabae6471
    @luhyabae6471 2 роки тому

    Aki mm naota sana ndoto nikiwa kwetu na family ya upande wa babangu

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 2 роки тому

    Mungu nisaidie.

  • @bettyraman8517
    @bettyraman8517 2 роки тому

    Izo ndoto zote uwa naziota na zinajirudia kila mara kilaa mara naota na wanafunzi tulio soma na wao pamoja na walimu na imekua ikijirudia kila mara

  • @VeronicaNdunge
    @VeronicaNdunge 7 місяців тому

    Naota nikifanya mtian na wanafunzi tuliomalisa shule miakamingi imepita😊

  • @rosemuthini6098
    @rosemuthini6098 2 роки тому

    Nilijenga miaka 5 ilioyo pita nyumba kubwa na nimekua nikiota naishi ndani lakini ikiwa imebomoka na kweli maisha yangu kwa sasa imekua ya kuangaika

  • @EvaLastonimwabobo
    @EvaLastonimwabobo 3 місяці тому

    Mara nyingi naota Mume wangu kadufuka Hali alishakufa hii Ina maana gani mtumishi

  • @judyliz4544
    @judyliz4544 2 роки тому +2

    Amen jamani Mimi naota nikiwa Kwa siku za wa mama,hii inamanisha nini

  • @evanssagala4515
    @evanssagala4515 2 роки тому

    Mungu Akubariki Mimi kilamara naota Nina paa hangani Aki nkifatwa nawatu lakini hawanipati hivi Nina homba unisaidie inamanisha Nini Babangu please

    • @saidmaginga2257
      @saidmaginga2257 6 місяців тому

      Nzuri sana hiyo upo vizuri sana endelea kumuomba mungutuu

  • @ZuberiJuma-i7z
    @ZuberiJuma-i7z 5 місяців тому

    Mi Niko singida nimeota vua inanyesha lakini ilitokea shoti zaywaya za umeme zimeowa mujini muzima ikiwa mpamoja na matunda ya zabarau mengi yamedodoka chini

  • @janelayala2914
    @janelayala2914 2 роки тому

    Mara mbili nimeota nimeenda kwetu na kufanya harusi Kubwa mno. Wiki haikupita nephew wangu mpendwa akafa😭

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 місяців тому

    Nimeinda leo ya kwaza plz nisaindie

  • @linetharon
    @linetharon 2 роки тому

    Hizi ndoto kwangu ni zote😳😳😳😳🙆🙆🙆🙆ghai

  • @nancynancy5680
    @nancynancy5680 2 роки тому

    Amen and Amen

  • @StelaNyaluke
    @StelaNyaluke 3 місяці тому

    Amenj

  • @poneandrew2461
    @poneandrew2461 2 роки тому

    Jamani Mungu nisaidie mimi nimewahi kuota

  • @janethmushi5359
    @janethmushi5359 2 роки тому

    Mungu wangu nisaidie mtumishi ndoto hizi 2 nimeziota Leo usiku

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ata kuna mchungaji alisema hayo .ndoto hizo mbaya

  • @PIUSEMMANUEL-jq6qw
    @PIUSEMMANUEL-jq6qw Рік тому

    Huwa naota mala nyingi sana nipo nyumba

  • @peterobiri2509
    @peterobiri2509 2 роки тому

    Amen 🙏 , zote mm nimeota kila siku