Baba ninapo ianza siku ya Leo simama na Mimi baba kila adui alivyo simama na Mimi pigana nao baba wanao itafuta nafsi yangu wapigwe na waanguke kwajina la yesu
Ee mungu naomba uwa fezeheshwe wote wanao itafuta nafsi yangu kwa jina la yesu napokea kibari changu kutoka kwa mungu naangusha kila kazi za shetani na mambo yake yote kwa jina la yesu Amen🙏
Amen and Amen asante Mungu wetu kwa zawadi ya uzima na kutujalia kuiona siku nyingine asante pia kutuepusha na hatari za kiroho na za kimwili kwa jina la yesu la yesu tunaomba na kuamini Amina.
Ee mungu naomba unirinde naomba unirindie wanangu na ichi kiumbe nilichobeba, nilindie na mahusiano yangu namume wangu pia🙏🙏🙏 naomba mume wangu apate kuwa mume wangu wa halali sio kufichana tena amina🙏🙏🙏🙏
Asante mungu kqwa neema na kipari chako nashukuru qwa kuniamusha salama siku ya leo jana lako limidiwe na lipewe sifa mchana wa leo kua ngaao yangu unilinde amen
Asante MUNGU kwa kwakunipa nafasi nyingine ni asubui njema tena wapo wengine wamepoteza maisha usk waleo Mimi Ninani ni siseme asante MUNGU kwa neema hii ya uhai
Amen Amen asante MUNGU baba yangu,Wewe ndio natengemea kwa maisha yangu,Sina mwingine wa kunipingania. Ila wewe tuu baba yangu..Jina lako litukuzwe kila wakati..Tembea na mimi kila wakati JEHOVAH JIHER.
Asa te mungu junipa kibali chakuiona sku hi yaleo mungu unilinde uniepushe na maaduwi wanaotamani kuiangamiza nafsi yangu uzibariki kazi zamikoni yangu
asante bwana kwa siku ya leo najikabizi mikononi mwako ee bwana navunja kila agano lililo wekwa maishan mwangu namkabizi mama katika mikono yako ee MUNG naitaji uponyaji wako umponye mama angu kwa jina la yesu kristo ninaomba emeeni🙏🙏🙏🙏🙏
Nakushukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa umenijibu maombi haya, damu ya Yesu inatenda mema kwa ajili yangu nina furaha ambayo sikuitarajia kupitia maombi haya, maadui zangu wanahaha sasa, asante Yesu Bwana na Mokozi kwa kunipiganja, amen.
Ee Mungu waangushwe na wafedheheshwe wote wanao fuatia nafsi yangu. Unilinde, uniongoze siku hii ya leo, uwalinde watoto wangu, mume wangu pamoja na wazazi wangu, uwalinde ndugu na jamaa yangu,katika Jina la Yesu kristo. Amen 🙏
Ee Baba piga nao wale wanao itafuta nafsi yangu ma maneno ya fedheha kwa damu ya yesu pale ilivyo mwagika pale msalabani naufungua kwa jina la yesu katika siku hii yaleo nitafanikiwa nitatembea na wewe utanipigania na kunishindia yote
Eee Mungu waaibike wote wanaoniwazia mabaya mim na wanangu,wafedheheshwe wote wanaoitaabisha nafsi yangu,njia zao ziwe utelezi na Giza ,katika jina la Yesu kristo amen
Baba ninapo ianza siku ya Leo simama na Mimi baba kila adui alivyo simama na Mimi pigana nao baba wanao itafuta nafsi yangu wapigwe na waanguke kwajina la yesu
Baba wa mbingu na aridhi naomba nilinde ninapoiyanza siku yangu,nifungulie milango ya baraka,baraka Kila hatua yangu🙏
Ee mungu naomba uwa fezeheshwe wote wanao itafuta nafsi yangu kwa jina la yesu napokea kibari changu kutoka kwa mungu naangusha kila kazi za shetani na mambo yake yote kwa jina la yesu Amen🙏
Ee Mungu uwafedhehheshwe wote wanao iwinda nafsi yangu wapigwe kwa jina la Yesu Ameeeeen 🙏🙏
Kila roho ya uaribifu na aribu watesi wangu wote na waaribu kwa jina la yesu chrito amen
Bwana YESU asifiwe MCH. Naenda Sana maombi haya MUNGU wa mbinguni azidi kukufunulia.
Amen 🙏🙏🙏 barikiwa Sana mtumishi
Ameen naomba toba na rehema...wafedheheshwe wanao watesi wangu katika jina la yesu kristo
Asante Yesu Kwa ubendo wako WA ajabu kwangu.
Ubarikiwe Mtumishi Kwa maombi ya Asubuhi.
Amen Amen!!!
Amen 🙏
Mungu nitetee pale ninaposhindwa.kwenye magumu baba nishike mkono Mimi na familia yangu yote
Asanteee yesuh kwa siku hii ya leo naomba unilinde na hatari zote za mwilini na rohoni Ameeen
Amen and Amen asante Mungu wetu kwa zawadi ya uzima na kutujalia kuiona siku nyingine asante pia kutuepusha na hatari za kiroho na za kimwili kwa jina la yesu la yesu tunaomba na kuamini Amina.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa maombi haya ya ukombozi wa familia
Ee Mungu wangu kuwa nami kuanzia leo tunapoanza maombi hii ya mwezi bwana usiniachee
mungu piganao wanao pigana Nami na unilinde mimi na Familia yangu na wale wote walio nizunguka Amina
Mungu piganao wanao piganap nani unilinde na familia yangu Amen
Asante mtumishi kwakuniombea ushindi kwa Mungu na afya Naamini nimewekewa urinzi wa yesu
Ee mungu naomba unirinde naomba unirindie wanangu na ichi kiumbe nilichobeba, nilindie na mahusiano yangu namume wangu pia🙏🙏🙏 naomba mume wangu apate kuwa mume wangu wa halali sio kufichana tena amina🙏🙏🙏🙏
Mungu wangu komboa familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi
Thank you for this powerful prayer... Ilinishindania. Nashukuru Mungu... Jina la Bwana litukuzwe milele
Asante mungu kqwa neema na kipari chako nashukuru qwa kuniamusha salama siku ya leo jana lako limidiwe na lipewe sifa mchana wa leo kua ngaao yangu unilinde amen
Asante MUNGU kwa kwakunipa nafasi nyingine ni asubui njema tena wapo wengine wamepoteza maisha usk waleo Mimi Ninani ni siseme asante MUNGU kwa neema hii ya uhai
Amen,Kila sindano nilizondungwa kwa kupitia ndoto nazishinda kwa damu ya yesu 🙏🏾
AMEN AMEN 🙏 Asante sana kwa mafundisho yako mtumishi wetu
Mungu nilinde pamoja na familia yangu kila mahali tuendapo tuwe pamoja nawe Amen
Amen Amen asante MUNGU baba yangu,Wewe ndio natengemea kwa maisha yangu,Sina mwingine wa kunipingania. Ila wewe tuu baba yangu..Jina lako litukuzwe kila wakati..Tembea na mimi kila wakati JEHOVAH JIHER.
Bwana yesu. Nishindie kwenye mipango yangu,,Asante yesu mwokozi was maisha yangu. Ameen
Bwana yesu. Nishindie kwenye mipango yangu,,Asante yesu mwokozi was maisha yangu. Ameen
Bwana Yesu nakuomba unilinde mimi na familia yangu tushide salama.
Amen asubuhi ya Leo kwajina la yesu kirsto ikawe njema kwang na family yang mung nakuitaji
Amen mtumishi naikubali hijo ktk jina la yesu Kristen wa nazareno amen
Amen Damu ya yesu ikafunike. maisha yangu ikawe siku njema kwa Jin la yesu
Amina… Bwana Yesu Asifiwe Milele!
Asate mungu kwakuni linda usiku nakuniamhsha salama nakuombamungu gunguamilangoyangu yabalaka namaduizangu nilinde kilaniamhkapo nanilalapo emungu nisaidie Amen 🙏🙏🙏
Mungu Baba pigana na wanao pigana Nami katika jina la yesu christu amen Asante kwa maombi ubarikiwe
Asa te mungu junipa kibali chakuiona sku hi yaleo mungu unilinde uniepushe na maaduwi wanaotamani kuiangamiza nafsi yangu uzibariki kazi zamikoni yangu
ameeen
Amina kubwa kwa maombi ya asubui ninabarikiwa sana kupitia maombi haya MUNGU azidi kukuinua viwango vingine Amina.👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Asante Mungu wngu najiweka chini yaulinzi wako na familia yangu
Nafuta kill uharbifu ulioingia dhidi ya mtoto wangu Irene kwa jina la Yesu Ameen
Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa maombi ya ulinzi wa familia
Amen Damu ya Yesu kristo itufunike Mimi na Familia yangu
Thanks Jesus for the best prayer! Asante sana mtumishi kwa kumtii Roho Mt. na kuachilia maombi haya! Yana nguvu kubwa sana. Barikiwa sana.
Damu ya Yesu inene mema kwa ajili yangu na family. Amen
Asante Yesu kwa kunipigania wakati wote Amen
Wow! What a powerful prayer! Asante sana mtumishi! Mungu akubariki sana.
Asante yesu pigana na watesi wangu pingana na wanOnidhurumu haki yangu na usimame katika biashara yangu katika jina la yesu
Asante yesu kwakunijia maombi haya naiman nitashinda majalbu
Mungu anilinde na nguvu za giza zinazo nyemerea maisha yangu
asante bwana kwa siku ya leo najikabizi mikononi mwako ee bwana navunja kila agano lililo wekwa maishan mwangu namkabizi mama katika mikono yako ee MUNG naitaji uponyaji wako umponye mama angu kwa jina la yesu kristo ninaomba emeeni🙏🙏🙏🙏🙏
Pigana Kwa jiliyangu mwenyezi mungu Amen 🙏
Amen Mungu naomba unitenge na Roho za maadui zangu
Nakutakuliza. Mungu siku ya leo ukaniongoze ktk Kaz ya mikono yang
Amen zaburi 118:17
Amen Amen, pigana nao bwana kwa jina la yesu
Mungu pigana na wanaopigana nami na uilinde familia yangu Amen
Asante mtumishi wa Tangu nianze kufwatila maombi name pata amani
Nipigani bwana Kila wakati mm na jamii yangu yote in Jesus name...
Nimebarikiwa sana kupitia maombi haya, ubarikiwe mpaka ushangae MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI!
Eee mungu. Adui zangu. Waangushwe. Wafezeeshwe kwajinalayesu
Amina mtumishi ttuwe na asubui njemaaa
Asantee yesu Mungu akubariki mtu wa bwana
wote wanaoitafuta roho yangu,wote walionitendea uchawi wafedheheshwe kwa jina la yesu ,kila baya walilolifany kwangu liwarudie wao wenyewe ameen
❤ameen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana kwa Maombi haya ya BARAKA
Amen and Amen more blessings 🎉🎉mungu sikia kilio changu
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌 najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia napokea uponyaji wangu Leo napokea muujiza wangu
Ameni pastor 🙏 nawe mungu azid kukulinda na kukuinua🙏🙏
Amen 🙏 mubalikiwe Sana mutumishi wa Mungu
asante yesu kunipa kipali cha kuona siku ya leo pia napokea maombi haya
Mungu baba nakuoba kutulida na mabaya baba watoto wangu naoba uwabaliki Amen
Eeee bwana warudishiwe nyuma wanaona nifatilia jina langu na maisha yangu ee bwana uwapatilize adui zangu woteee
Ee Mungu nilinde dhidi ya watu wanaonitafuta kwa ubaya
Ee bwana pigana nao wanaotaka kupigan nami waangamize wanaotak kuniangamz amn
Mtumishi wa Mungu asante kwa maombi naubarikier na Bwana.
Napokea ushindi kwa damu ya YESU KRISTO kwa kila jambo linalonihusu Mimi AMEN.
Ee Bwana Yesu kristu wafedheheshe wanaoitafuta nafsi yangu🥺🙏
Ee mungu nilinde Tena siku yaleo kwasababu hatujuwi saa
Eee mbwana Pinga nao wanaopingana na mm Kila anae nifatilia kwa ubaya pigana nao wanao nifatilia kwa ubaya na wanao fatilia familiya
Ameen and Ameen 🙏🙏🙏 Bwana Yesu asifiwe kila saa🙏🙏🙏
E bwana yesu utakapoenda kuwadhuru wengine na mii nikawe mmojawapo
Mungu nipiganie pigana na maadaui wangu
Ubarikiwe na bwana mtumishi wamungu🎉🎉🎉
Mungu unitetee na kla aibu iliyopangwa dhidi yangu nipiganie dhdi ya adui niinuke kiuchumi
Amen. Nimepata nguvu mpya mungu azidi kukulinda
Amena Mungu ni mwema siku zote tena Akubariki
Asante cristo yesus kwakunipiganiya vita ya leo
Nakushukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa umenijibu maombi haya, damu ya Yesu inatenda mema kwa ajili yangu nina furaha ambayo sikuitarajia kupitia maombi haya, maadui zangu wanahaha sasa, asante Yesu Bwana na Mokozi kwa kunipiganja, amen.
Barikiwa sana Mtu wa Mungu neo linihuhisha sana
Editha ukumbuke uzao wangu wanao ulaani wapidwe upofu wafedheeshwe kwajina layesu amina
Damu ya YESU imefuta kila aina ya uchafu walionitegea
Eeeee mungu pigano nao wanaoo pigana NAMI , wafedhehesho na waludi nyuma
Asante bwana nalishukùru jina lako kwa mahana wewe ni mtetezi wangu amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Asante ,mungu ni tangulie mbele yangu ili niyashinde majaribu ya siku hii ya leo
Ee Mungu waangushwe na wafedheheshwe wote wanao fuatia nafsi yangu. Unilinde, uniongoze siku hii ya leo, uwalinde watoto wangu, mume wangu pamoja na wazazi wangu, uwalinde ndugu na jamaa yangu,katika Jina la Yesu kristo. Amen 🙏
Ee Baba piga nao wale wanao itafuta nafsi yangu ma maneno ya fedheha kwa damu ya yesu pale ilivyo mwagika pale msalabani naufungua kwa jina la yesu katika siku hii yaleo nitafanikiwa nitatembea na wewe utanipigania na kunishindia yote
Eee Mungu waaibike wote wanaoniwazia mabaya mim na wanangu,wafedheheshwe wote wanaoitaabisha nafsi yangu,njia zao ziwe utelezi na Giza ,katika jina la Yesu kristo amen
Eeeh mungu wafeheshwe na waangushwe wanaoiwinda nafs yangu
❤❤❤ Aminaa Muñgu akubariki Mtumishi wa Mungu
Ee Mungu uwe mtetezi wangu juu ya adui zangu
Asante yesu Asante YESU Amen
Amina nabarkiwa sana kilaniombapo maombi haya❤❤
Mungu wangu komboa familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu
Mungu asubuhi ya Leo,wapige watesi wote wanao winda maisha yangu kwa jina la yesu
Fungua familia yangu Mungu wangu muumba wangu
Ameeeeen Ameeeeen imekuwaaa kwa jina la Yesu