Niliotaga sana izi ndoto za Vito vya dhahabu na pesa na magari lakin kukawa kuna mtu ananinyanganya ckuelewa ,nimeokoka napenda Yesu but cjui nn kilipita,ahsnt Mtumishi wa Mungu
Mm nimeota mvuwa inaninyeshea ikiwa na balafu nikawa naokota zile balafu badae nikaona zile balafu zikayayuka nikaona ni mchele mbichi jaman apo sijaelewa
Niliotaga sana izi ndoto za Vito vya dhahabu na pesa na magari lakin kukawa kuna mtu ananinyanganya ckuelewa ,nimeokoka napenda Yesu but cjui nn kilipita,ahsnt Mtumishi wa Mungu
Amen dada
Je!kuota kama unatema mate au unavuka kinyesi hii ndoto inamahana gani?
Asante Dada
Mm nimeota mvuwa inaninyeshea ikiwa na balafu nikawa naokota zile balafu badae nikaona zile balafu zikayayuka nikaona ni mchele mbichi jaman apo sijaelewa
Mie naotanga nikiwa na kisima cha pesa nyingi yaan zimejaa kwenye kisima adi juu adi zimetapakaa
Ukiota ukiumbiri watu wengi alafu unangeuka unaona watu wamengawayika wengine wanasikiza neno la mungu na wengine wako kwa matanga
Dah jitahidi kuandika vizuri nimepata shida sana kukuelewa
Juzi nmeota napewa elfu tano
Mimi niriota nimeibiwa🎉 7:24 7:26
Nliota niko ofisini
Weeeeee izo ndoto uoti ng, o labda unite mbwa
Yes
Mi huwa naota niko na wasanii wakubwa kama vile diomond nini maana yake
Naukiota mmeo anamke mwingine mala kwa mala unamaanisha nini
Nitamepata ujumbe najua nitafanikiwa❤❤❤
Ukiota unapigiwa mawe
ua-cam.com/video/-ffNdxO5k6A/v-deo.htmlsi=8tS8xmGJTWqXhidj
NDOTO ZA VIATU ZENYE Mafanikio
Amina nimefunguliwa ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
Thanks nitabarikiwa
Mmmh yan uote hela tu au biblia haha ndoto haziko ivo bana
Mimi niliota 4 days ago eti nimejifungua mtoto wa kiume iyo inamanisha nini
utakunya mavi magumu so epukana na vyakula kama mapera na mihogo
Hiyo ya mvua inanihusu
Mvua ni baraka
Naomba andiko la nitarejesha vitu ulivyoibiwa na adui
Yoeli:2;25
ZEKARIA 1,:3
Mimi niliota napewa sh 700
Ni ndoto njema ila inakujulisha kiwango chako cha uchumi kipo chini Sana Ongeza bidii ya Maombi ili milango yako ya Fedha ifunguke Zaid
@@pastor_Estersamwel Amen niliota napewa 7000 sio 700
Mimi niliota nipo nchi ya nje i ndoto ina maana gani?