UTAMHURUMIA Olesendeka Ateseka Bungeni, Ishu ya Loliondo, Spika Tulia Amchachafya
Вставка
- Опубліковано 19 чер 2022
- SUBSCRIBE HAPO JUU
tembelea WEBSITE YETU
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1 - Спорт
Congratulations our maasai hero olesendeka.... in Tanzania 🙏🙏🙏
Atamakofi hakuna aaaa mh olesendeka❤❤❤
Tonyua baba enkaje maa tunakutegemea kwawingi baba uwe mtetezi ya wanyonge wa jamii wamaasai tuko nyuma yako 💯
Olesendeka tunakuunga mkono na mungu atakusaidia kimayan engai naleng tong'oroi akeye irmaasai linyii alaputanlay
Lusendeka tunakuelewa mungu anawaona tuko pamoja 25 tutaamua tnavichinjio
Huyu spika wa bunge hafai hata kwa nyumba mbili ovyoooooooo unampinga oleswndeka wakati anaongea pwent mko tu hapo namnajikalisha hamuoni maisha ya wananchi vile wanateseka? Olesendeka kimayan engai endelea tu kusimama katka nafasi yako🙏🙏🙏🙏👏
Hapendeki huyo speaker,watanzania hawana Imani naye
Kuwa mkweli bb amini katika ukweli
Spika unaliburuza bunge, unamburuza Ole Sendeka.
Sijuw sis wa masai tutatetewa nanani jaman eeeemungu
Esipa sana
Wanamasilai hapo
Esipa
true
Wana ccm wenzangu 2025 tutapoteza wabunge wengi,
Ole sendeka ninakukubali Kwa asilimia mia Moja,ila Kuna chuki kubwa Kwa serikali ya Samia Kwa wamasai,anatuchukia vibaya sana,swala la ngorongoro na loliondo inathihirisha hili.
mweheshimiwa spika kuwa mzalendo
Kumbe Mzee sendeka alishagundua Ngorongoro na Liliondo kutakuwa na shida ila hawakumsikia acha mvua iendelee kunyesha tuone panapovuja.
Mi nahic huyu spika hajui sheria ndy mana anaruka sheria
Wabunge wa zazibary mpo mmemuona mzee huyo wakimasai navochambua vifungu watu wamenda shule
Duuu
Bi kidude amepewa nini...
Tunaomba spika awachie serikali wajibu hoja siyo yeye kujibu yeye no mwanasheria vinginevyo wabunge wawe na wanasheria spika tusaidie
Mwacheni huyo baba aseme kwanini a nabanwa hivyo ?z
Sendeka hamia chadema tujenge nchi achana na maccm
Kumbe tayari kuna wawekezaji? Hii CCM yenu imefika muda mtatutambua Watanzania kwa rangi yetu halisi. Sendeka simama imara.
No
olesendeka tunakuunga mkono wewe ndo mkweli wachananao ccm niwakora sana
Bunge ni chombo cha kusemea wananchi, sio mahakama au darasa la sheria, sio law school.mbunge unaeleza shida za wananchi kwa lugha yao..kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika
Spika ndohamna kitu mbeya hawana Mbunge dawa nikumtoa tu barabara hamna mzigo Tena was mavi
CCM Aibu tupu wanaiogopa sana Sheria zetu, wanatokea watu wamejitolea kuielimisha jamiii iliyopo mbele yetu, lkn CCM wameziba masikio hawataki kabisa kueshimu Sheria za nchi yetu kulingana na ufisadi haramu
Spika kuwa mzalendo. Mnagawa ardhi kwa wageni bila kuwajali wananchi wenye nchi yao?
Wananchi wanalalamika mpaka wanapiga kelele huyo waziri anasema pori tengefu kwanini unatudanganya