| HEKAYA ZA LOLIONDO | Tiba ya Babu wa Loliondo [Part 1]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2019
  • Takriban miaka tisa iliyopita, mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki walifunga safari na kuelekea hadi kijiji cha Samunge nchini Tanzania kutafuta miujiza ya uponyaji wa magonjwa aina aina. Eneo la Loliondo likageuka na kuwa sehemu iliyosifika hasa miongoni mwa Wakenya. Dawa za uponyaji ambazo wakati huo zilionekana kuwa miujuzia zilikuwa zinatolewa na mhubiri aliyestaafu kwa jina Ambilikile Mwasapile maarufu Babu. Mwishoni mwa mwaka wa 2012 zaidi ya watu milioni 6 walizuru kijiji cha Samunge, sehemu anayoishi Babu hadi wa leo. Hii leo runinga ya Citizen imeandaa makala kuhusu matukio baada ya Loliondo ambapo wengi walifariki baadaye na wengine wakizungumzia masaibu yao. Huyu hapa Jamila Mohamed na makala ya Hekaya za Loliondo.
    #HekayaZaLoliondo #TibaYaLoliondo

КОМЕНТАРІ • 107

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 4 роки тому +6

    Have mercy oooh lord.. Just trust in him who lives forever... Health comes from God.. Please lets trust in Jesus.

  • @charlowmathew9762
    @charlowmathew9762 4 роки тому +24

    Walay huyu mzee ndio mkora mkubwa kuliko wote Duniani na inabidi Iwekwe kwenye historia kama Mtu hatari zaidi duniani kwa ukora

  • @geoffreyokonda2562
    @geoffreyokonda2562 4 роки тому +19

    Let people learn.....health is the greatest wealth one can have

  • @kahunakorteze2763

    Legend. Every year, Every generatin has their hype/narrative/scam. It is not unique to Kenya but similarly present the world over.

  • @wanjiruthuni7126
    @wanjiruthuni7126 4 роки тому +3

    Peter my long lost customer,nimekuona and u look Soo healthy

  • @ARTCELLENCY
    @ARTCELLENCY 4 роки тому +11

    Msilaumu mzee, nyinyi ndio mlipeleka kiherehere

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 роки тому +4

    Watu waliacha dawa kwa kweli inasikitisha sanaaa ni UONGO wa ajabu

  • @wangagirl3508

    Nimetoka kwa citizen kuja tena kuona loliondo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Geoffreynyachae
    @Geoffreynyachae 4 роки тому

    Waiting for part two

  • @nzamul1446
    @nzamul1446 4 роки тому

    This is sad. I totally understand why this guys went. God help you guys thru this journey.

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 4 роки тому +3

    Nimeona naekana sacco nikajua wakenya Sana Sana wakikuyu WAliende, 👏👏🤣Africa hatukosi vituko,, babu WA loliondo biguni ataonea viusasa

  • @WairimuMuya
    @WairimuMuya 4 роки тому +2

    So this man alkua anaplan kuwamaliza wah, part 2 naisubiri

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 роки тому +1

    Mimi hata kama ni jirani anasema ako na tiba siwezi. Yesu alisema tuwe maskini sana na hawa watu Mat 24.

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 4 роки тому +1

    Duh nakumbuka huko mwaka 😋

  • @faithchepkemoi473
    @faithchepkemoi473 2 роки тому

    Wonders shall never end!!

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 4 роки тому +2

    Tusisahau kwamba Kuna mwingine katokea hapa Kenya na maiti ziko hospital walifariki Jana na wagonjwa wako hospital

  • @makelula3240
    @makelula3240 4 роки тому +3

    mzee alipata utajiri kwa kuuwa watu 🚶🚶🚶

  • @wanjiruwanganga5707
    @wanjiruwanganga5707 4 роки тому

    Woiye

  • @themortonhub
    @themortonhub 4 роки тому +2

    People have problems but they don't know the real problem, many have refused to go to hospitals for the fear of the worst. Some look for who to blame family members, others neighbours etc. Let not be fooled by people who play our psychology by brain washing.

  • @tonnynamasaka4605
    @tonnynamasaka4605 4 роки тому +4

    DCI na DPP ichangamkie hii scandal 😁😁😁